29 10 2010 JE YESU NI MWANA WA MUNGU MAKADARA DAY 8

  Рет қаралды 220,587

AKASHA PRODUCTION TV

AKASHA PRODUCTION TV

Күн бұрын

Пікірлер: 160
@abaslegera9841
@abaslegera9841 6 жыл бұрын
Masha Allah hakika dini yahaki mbele ya ALLAH ni uislam pekee
@mamaaaishamamaaaisha7505
@mamaaaishamamaaaisha7505 7 жыл бұрын
nilizaliwa katika dini ya wakiristo family yangu yote wakirsto Niko Saudi Arabia niliamini usilamu dini ya haki dini ya Mwenyezi Mungu kupitia hii mihadara nikasilimu namshukuru ALLAH kwa kunitoa kwenye ukafiri na kuniweka kwenye uisilamu na naomba nife katika uisilamu ishallah
@AKASHA.P
@AKASHA.P 7 жыл бұрын
amin
@cassim4027
@cassim4027 7 жыл бұрын
Mamaa Aisha Mamaa Aisha mashaa Allah, Allah azidi kukuongoza amiin
@nassoroiddy8508
@nassoroiddy8508 7 жыл бұрын
hongera
@hashimkanjani4131
@hashimkanjani4131 7 жыл бұрын
Mamaa Aisha Mamaa Aisha
@dullividulli2397
@dullividulli2397 7 жыл бұрын
amin mungu aipokee dua yko
@saumrajabpalomar9569
@saumrajabpalomar9569 5 жыл бұрын
Wallai vichwa vyenu vina kazi kubwa mashaallah 👌👌👌👌😪😪😪ningekuwa hapo bila kuambiwa kuwa nitoe kwaajili ya Allah nitatoa mwenyewe kwaajili ya 😭😭😭hata tikiti ningetowa na nisinge jali😩😩😩😩😩
@elizabethfares4650
@elizabethfares4650 6 жыл бұрын
Mashallah mungu awabaliki san kwa ku2pa mawaidha ya Allah subuana wA tahala awabaliki san
@seifali5973
@seifali5973 9 жыл бұрын
yesu ni mtume wa mungu na si mungu kwa hivyo ingieni kwa uislamu musalimike na adabu ya kiyamaa
@michaeljoseph4517
@michaeljoseph4517 5 жыл бұрын
Yesu ndo njia na uzima kwa wote hamna haja ya kubisha jaman waislamu
@AHMEDHASSAN-pq9tg
@AHMEDHASSAN-pq9tg 4 жыл бұрын
Michael Joseph Yesu ni muislamu kama hujalifahamu hilo basi na ww karibu kwa uislamu....ushahidi yesu alifanya ibada kwa sinagogi na si kanisa na akanawa uso na mikono kwa ajili ya ibada je waislamu wanaosha viungo kwa ajili ya ibada au wakristo?
@amalzahor5865
@amalzahor5865 8 жыл бұрын
yesu tuna muamini km nabii issa hatumuamini km ni mungu..sababu amezaliwa akatahiriwa.hatuwez abudu binaadamu.
@jessemercus8282
@jessemercus8282 6 жыл бұрын
Hero kuamini yesu kuliko kuamini kuwa shetani ulala kwa mapua ya mwanadamu
@AHMEDHASSAN-pq9tg
@AHMEDHASSAN-pq9tg 4 жыл бұрын
Jesse Makamasi hujielewi kama dini yako...karibu kwenye uislamu dini ya Haki na ya kweli
@michaelwainaina4476
@michaelwainaina4476 6 жыл бұрын
Yesu ndiye njia, uislamu ni upagani ulioboreshwa.
@ashajumbe4225
@ashajumbe4225 3 жыл бұрын
Makosa makubwa .yesu kamamwana wa mungu alitahiriwa na mungu hamuonei mwanae huruma
@mohapromo6114
@mohapromo6114 3 жыл бұрын
Huyu alikua anafundisha ma fundi, but hajui. Mukristo afundishe mu Islam mambo ya mwenyezi mungu!!!!!!!!!! Wakristo munafurahisha sana wallahii kwa upotevu wenu huo.
@peterchuchu5395
@peterchuchu5395 8 жыл бұрын
mkiristo yeyote ambae hata amin kwahiki tukionacho hato amin Kamwe jihesabu ww ni wamoton2 hauto amini mpaka unakufa naapa kwa mungu mm nimeamin toka hiv sasa mm ni mwislaam kwasasa mm muhammad
@AlamriFofo
@AlamriFofo 8 жыл бұрын
mashalllah Allah akufanyie wepes
@mrsdully1613
@mrsdully1613 8 жыл бұрын
mashaAllah mola akujaalie kk kila lilozuri mbele yako
@hanifaharet3739
@hanifaharet3739 7 жыл бұрын
mashaallah Mungu akuongoze katk kheri@@ Peter
@abaslegera9841
@abaslegera9841 6 жыл бұрын
PETER CHUCHU ALLAH akuongoze
@captenndunga9385
@captenndunga9385 6 жыл бұрын
Taqbir mashallah mungu akufanyie wepesi ndugu yanga muislam nwenzangu kuanzia sasa.
@munaseif9769
@munaseif9769 7 жыл бұрын
makafili poleni mwaipopo nakupenda sana kwa kukuutetea uwislam unahasila sn😁😁😁
@ummuhbilalnusrat6525
@ummuhbilalnusrat6525 12 жыл бұрын
jazzakumullah kheir kabisa,uislam dini ya haki,tutawaona tu wanakuja makundimakundi makitufuata InshaAllah.
@asmaabdallah4055
@asmaabdallah4055 6 жыл бұрын
Wakristo wsmeacha mafundisho ya yeso mukamfwata Paulo shetani huyo ndie alieka magugu katikati yanganu
@asmaabdallah4055
@asmaabdallah4055 6 жыл бұрын
Wajinga kama nyinyi mungu babayenu kwa nini atawahukumu atawatia motoni kwa dhambi zenu baba gani huyo
@asmaabdallah4055
@asmaabdallah4055 6 жыл бұрын
Uslamu peke ndiyo dini yahaki
@dismaskuruletera
@dismaskuruletera 4 жыл бұрын
Unashangaa hilo mbona Mungu huyohuyo yuko mahali popote na anawasikiliza wanadamu wote kwa wakati mmoja akitaka bila kukosea au kusahau. Hiyo ndiyo miujiza ya Mungu.Mbona Mazinge amekiri kuwa Yesu ni mwana wa Mungu
@ashajumbe4225
@ashajumbe4225 3 жыл бұрын
Hamna unakosea kumuita yesu mungu au mwana wa mungu sasa Adam utamuita nani
@mstafahassan3989
@mstafahassan3989 6 жыл бұрын
mungu ameniasaidia sana kunifanya leo nikasilim wislam raha sana
@AHMEDHASSAN-pq9tg
@AHMEDHASSAN-pq9tg 4 жыл бұрын
Karibu katika Dini ya Haki ndugu na uwe na subra na ueneze dini ya ALLAH kwa watu wako na wengine ili uipate pepo ambayo Ina maisha yasokua na mwisho
@mariammahairz1521
@mariammahairz1521 3 жыл бұрын
Mashaah Allah awape umri naawalinde na husda
@chalajisamson210
@chalajisamson210 7 жыл бұрын
asiyemwamini mwana amekwisha kuhukumiwa....usipo mwamini Yesu jihesabie hasara ya nafsi yako.......loooh!asante Yesu kwa kuniokoa na Roho wa uzima kwa kunipa nguvu kama hivi leo.
@hp3202
@hp3202 5 жыл бұрын
Hakuna muislam asiyemuamini yesu, tunaiman sana yesu na ni moja kati ya nguzo za iman ndan ya uislam kuamin ndani mitume. Katika mitume 25iliyotajwa ktk Qur-ran yesu pia yumo. Kwa hyo sisi yesu tunampenda sana na tunamuamini sana kwa sababu alitumwa na Allah subhanahu wataala kuja kufundisha iliyoyakweli.kwa hyo ndugu njoo tumpatiye haki yake yesu na usimsingiziye utaenda motoni. Hakuna andiko lolote linalokiri kuwa yesu ni Mungu. Ni uzush wa kimatashi.
@elaineroseencarnacion6594
@elaineroseencarnacion6594 6 жыл бұрын
Hakika dini ya haki mbele ya ALLAH ni Uwislamu.
@khatibmbwana9640
@khatibmbwana9640 8 жыл бұрын
Mashekh...wambien ukwel ao kwan kiama watasema hapakua na watu wakuwaonyesha njia iliyo sahiii..ishaanlaah Mungu awazidshien awalnd kwa kla shar na awape afya na uzma il mzd kusambaza ukwel kwa Wakrsto\Makafr
@fafi9092
@fafi9092 8 жыл бұрын
Wakiristo makafir wameangamia wanasema mungu alipo umba minaadam akapunzika wanalana ao mungu alali wala asinziii sasa ao lana zimewazid mpaka wanamkufuru mungu nawao ndio wanatuletea mabalaa apa dunian
@hapondipowapwanisotekuraze5815
@hapondipowapwanisotekuraze5815 7 жыл бұрын
kumuita yesu mungu niukafiri
@rokiroki1825
@rokiroki1825 4 жыл бұрын
ALLAH Akulipeni kheri hapa duniani na kesho Akhera
@abikisenha464
@abikisenha464 10 жыл бұрын
Kiuingia mbinguni sio kwa kuingia msikitini wala kanisani.. Ni kwa kumuamini Yesu Kama mwikozi wako na kumkiri Kama Bwana. Tusiwapotoze watu Bwana. Hakuna njia nyingine ya kumfikia Baba Mbinguni..Yesu ndiye NJIA, KWELI, na UZIMA!
@katungukitambala4561
@katungukitambala4561 8 жыл бұрын
Amen
@trizahmim9006
@trizahmim9006 8 жыл бұрын
Amen
@mwamadihussein3613
@mwamadihussein3613 7 жыл бұрын
kwani kuna MTU asiye mwamini?tatizo uwelewa wenu ni mfinyu
@autienochongolo704
@autienochongolo704 7 жыл бұрын
duuuu kweli nimeamini kumbeshule inasaidia sana namshukuru sana mungu alie hai yani hatakufa kamwe mutu mishi wa mungu alie hai
@pichiambee11
@pichiambee11 11 жыл бұрын
shukran AKASHA N UPLOAD MORE
@chimam.a2984
@chimam.a2984 10 жыл бұрын
na wenyewe wanasea ya kwamba wakati akiwa katundikwa msalabani alilia akisema Mungu wangu Mungu wangu Mbona umeniacha? swali linakuja je Yesu ni Mungu kama si Mungu basi yatupasa tumfuate Mungu wake ambaye alikuwa akimlilia alipokuwa Msalabani (Amin)
@ashajumbe4225
@ashajumbe4225 3 жыл бұрын
Ndio kabisa broo upo sahihi sana Fanya umfate mungu wa Jesu ili uokoke
@chalajisamson210
@chalajisamson210 7 жыл бұрын
ukiona unaroho ya kuua mwenzao kwa kujitoa mhanga na bado unajifanya unapeponi au unakuwa unajielewa kweli....karibuni kwa Yesu atawasamehe kabisa na Roho wa uzima atawafunika.
@AHMEDHASSAN-pq9tg
@AHMEDHASSAN-pq9tg 4 жыл бұрын
CHALAJI SAMSON mpka sasa ukiristo umekusaidia nini ndugu zaidi ya ufukara wa mali na roho
@peterk5952
@peterk5952 2 жыл бұрын
Waisilam amuna Roha mtakatifu wa kufahamu
@yohanampangule8817
@yohanampangule8817 7 жыл бұрын
Naamini unabii,,,,unabii uliomtabiri Yesu kuanzia kuzaliwa na bikira(,,,Isaya7:14), kuzaliwa bethlehemu(mika 5:2) ,na nabii yule aitwaye isaya katika Isaya 9:6,,,,,alitoa unabii wa kumuelezea yesu na kueleza wazi kuwa Ni Mungu mwenye Nguvu,(zaidi ya miaka 400 kabla ya Yesu kuzaliwa na vitabu vilikuwepo siku zote hizo ). kwa kuwa tunaamini unabii basi hili nalo tuliamini,vinginevyo tuuchuje unabii wa isaya.Naamini Yesu ni Mungu Mwenye Nguvu.
@hp3202
@hp3202 5 жыл бұрын
Kwa hyo yesu ambaye amezaliwa je Mungu?? Tafakar sana hapo. Mungu anazaliwa wap na wap, yaan Kama wewe ulivokaa katika tumbo la mama miez Tisa na Mungu wako yesu alikaa hivo hivo na kuzaliwa. Think my friend
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 5 жыл бұрын
Kama yesu ni mungu..jee mamake mungu wake alikuwa Nani..yesu alipokuwa tumboni..jiangalie
@shaykhuusaid8317
@shaykhuusaid8317 5 жыл бұрын
Islam is completely religion haijaacha kitu....Allah atutie nguvu zaid kuwalingania hawa makafiri waliopotea in sha Allah
@uwessuchihangu9228
@uwessuchihangu9228 3 жыл бұрын
it
@AKASHA.P
@AKASHA.P 11 жыл бұрын
WE WONDER
@jacksonnchimbi308
@jacksonnchimbi308 5 жыл бұрын
Kuna tofauti kubwa Kati ya mwana wa mungu na mtoto wa mungu tatizo la waislam wanachukilia maandiko kwenye bibilia yafanane na wanaotafsi wao Kwa uelewa wao kitu ambacho sicho neno mwana wa mungu maana yake ni mpatanishi wa mungu kwa wanadamu mfano kwenye kitabu cha mathayo yesu alivyowafundisha makutano akisema heri wenye moyo Safi maana watamuona mungu,heri wenye njaa maana watashibishwa,heri wapatanishi maana wataitwa Wana wa Mungu,sasa nyinyi endeleeni na kuwapotosha waislam wenu eti mungu hana mtoto sasa wewe umeambiwa kwenye bibilia wamesema maana yake mtoto wa mungu
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 5 жыл бұрын
Mungu ana mtt ..aja zaa wala Aja zaliwa..yesu ni binadamu km sie..sema yy ni nabii wa mungu
@amadimagadi2017
@amadimagadi2017 4 жыл бұрын
Wakristo wenu ni ushabiki tu
@jamalathman6219
@jamalathman6219 4 жыл бұрын
Najivunia kua muisilamu neema kubwa hii,kitu cha ajabu wakiristo wanafanya binadamu ndio mungu kweli muko na akili timamu nyinyi.
@mohapromo6114
@mohapromo6114 3 жыл бұрын
Anajichanganya tuuu na vijimambo bila yakuya pima kinywani mwake
@ramzanqarim4977
@ramzanqarim4977 4 жыл бұрын
Sasa nabii Adam aliumbwa bila baba wala mama ..je yeye tumuite ni mwana wa nani?
@fafi9092
@fafi9092 8 жыл бұрын
Ila siku yao moja tu mungu atawaonyesha ipi nyia iliyo nyooka naswal sazo zakuungaunga azihulikan kichwa wala miguu wapo tu kwaajil ya masirah ya dunia yan mm wananiuz sana
@munaseif9769
@munaseif9769 7 жыл бұрын
mazinge auna wasi wasi😊😊😊juu ya maswali ya makafili 😃😃
@mzaliwabitangaca9277
@mzaliwabitangaca9277 6 жыл бұрын
Namshukuru MUNGU kwakua nimejua kumbe Uhisla auna jipya Bali bado wako katika (agano lakale) kwamana hiyo Waataka Tena Wamsulubishe YESU kwamara yapili . Unapo sema YESU hakufa (wewe simjinga wamahandiko?).
@pindabutter2736
@pindabutter2736 4 жыл бұрын
Amna muafrika mweusi wa ukweli ambaye ni Muslim au Christian. Itabidi muanze kufundisha watoto wabadae vingine Sio kutokana na hizo dini mbili, ulicho bakia ni Law ndio Sheria, Tu wanatakiwa kujua Sheria ilikuepo kabla dini yeyote kutoka Kwa mababu na mabibi zetu Egypte. Kwahiyo Sheria ambayo ililetwa na prophet wetu mweusi Mozes, wengine walimuita Musa, walimpata huku Egypte kabla dini aijatengenezwa. Kila kitu kilaanza pale,wakatuibia vitabu na Sheria. Sasa tuwafundishe Sheria ya mtume wetu Mozes. Ambae ni Ramsey III.
@twaahirbagessi1968
@twaahirbagessi1968 10 жыл бұрын
Biblia ilishasema wana macho hawaoni,wana masikio hawasikii.Lililopo tuwaombee mola awafungue waijue kweli.
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 3 жыл бұрын
Na mnajisifu kuuwa watu hapo MUNGU yupo kweli dini
@boontujimmaa9462
@boontujimmaa9462 4 жыл бұрын
Allahu akbar Mungu mkubwa
@amaniulaya8039
@amaniulaya8039 11 жыл бұрын
shukran kathira
@mikwwaramikwara2828
@mikwwaramikwara2828 7 жыл бұрын
Ustadh Malik
@salmamahfoozsalma2693
@salmamahfoozsalma2693 7 жыл бұрын
uislam ni raha tupu
@khalfanhamisi4218
@khalfanhamisi4218 5 жыл бұрын
Mahshaallahu !!?.....
@binbadru1654
@binbadru1654 3 жыл бұрын
mashaallah
@isahasan1356
@isahasan1356 11 жыл бұрын
Waislamu wenzangu kwenye mjkutano yote munayoifanya mungeitisha michango na pia kila Ijumaa baada yakuswali muitishe mjchango napesa zinazopatikana zikusanwye zijengwe Misikiti na Madarasa pia kuwasaidia Masikini;;;;;;;Vijijini.......
@umayrasaid7808
@umayrasaid7808 11 жыл бұрын
Thank yuo for uploading..going to subscribe and check the rest of your videos..please keep on uploading hizi debates in full. stay blessed
@ibrahimkhatib2154
@ibrahimkhatib2154 11 жыл бұрын
if jeus was god and how come he prayed to God
@OmarAli-wr1ti
@OmarAli-wr1ti 8 жыл бұрын
Sisi wa Islamu hatumkatai yesu kwani yy ni Mtume wa Allah tunamkataje? tatizo nyinyi wakiristo Mumemuelewa yesu ambavo sivyo alivo
@AKASHA.P
@AKASHA.P 12 жыл бұрын
TWAWASUBIRI KWA HAMU
@mohdhassanikhamisi8493
@mohdhassanikhamisi8493 7 жыл бұрын
AKASHA DAAWAH good
@chchientinante5696
@chchientinante5696 8 жыл бұрын
haina haja wala kukashifu dini ya MTU mkrsto penda dini yako Islam penda yako am proud to be a Christian no one will change.
@trizahmim9006
@trizahmim9006 8 жыл бұрын
Amen
@rahimbanda4954
@rahimbanda4954 7 жыл бұрын
Amen
@ramamohammed4334
@ramamohammed4334 6 жыл бұрын
sio dini hyi ww
@mwanashazingas3977
@mwanashazingas3977 6 жыл бұрын
Umeambiwa utafute elimu ataukiwa ulisoma vipi
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 5 жыл бұрын
Apa akuna kukeji dini..apa tuna fafanua...maandiko...is up to you..kule utaenda..lkn yesu akuwa mkristo...na km alikuwa mkirsto...nipe andiko
@TheAlesry
@TheAlesry 11 жыл бұрын
Masha Allah
@abuudharishahidy3074
@abuudharishahidy3074 6 жыл бұрын
umeamua vyema haüo umeitumia akili yako vyema ,hongera
@pindabutter2736
@pindabutter2736 4 жыл бұрын
Kama amta fundisha au kuanza kufundisha, Mtetemeko wa arthi utajua mkubwa zaidi ule wa Geita. Itakua ni ishara kwamba time imefika yakubadilika, Amna nnchi nyingine itaweza kuusaidia kama amta jisaidia wenyewe kujitoa kwenye utumwa. Wa kichwa(dini) Sio unakasirika fikiria Kwanza dini zimetoka wapi.
@abuuyaasinrashidirashidi9638
@abuuyaasinrashidirashidi9638 5 жыл бұрын
chaka kama hato silimu ataadhibiwa vikal san
@alhajjihaji5401
@alhajjihaji5401 4 жыл бұрын
Kwelikamahato silimuchaka atadhibiwa sana Allah amfanyie wepesi amuonyeshe njiailionyooka
@hanifaharet3739
@hanifaharet3739 7 жыл бұрын
yaani Chaka umehubiri uislam bila kujijua maskini,,Sijui wangoja nn kwenye ukafiri?Kati ya waislam na wakristo ni akina Nani wanaosema yesu ni mwana wa mungu?
@paulsamja3126
@paulsamja3126 10 жыл бұрын
UKWELI NI KWAMBA YESU ANAITWA KRISTO MAANA YAKE MASIHI KAMA SI YESU UKRISTO USINGEKWEPO. KWAHIYO YESU SI MWISLAMU.
@mamaaaishamamaaaisha7505
@mamaaaishamamaaaisha7505 7 жыл бұрын
pole
@godisgreat1845
@godisgreat1845 6 жыл бұрын
Paul Samja mkristo sio dini ni jina tu la kupanga lililotumiwa na wapagani wa antokia wakawapa nyie jina muliabudu mungu anakufa kama mwanaadamu analala, anakula, alivaa nguo za kitoto kazaliwa kama wewe na mimi
@sportsmart8481
@sportsmart8481 4 жыл бұрын
Mashaallah
@mudiinasser4303
@mudiinasser4303 5 жыл бұрын
Chaka umechemsha watoa aya za quraan na wala hufahamiki Sasa hayo yote Allah aliyakataza ndio akamleta mtume Muhammad sallahu Allaihi wasalam
@evaristemajegeza9282
@evaristemajegeza9282 8 жыл бұрын
endelea kuapa paracétamol kk Mazinge
@ibrahimkhatib2154
@ibrahimkhatib2154 11 жыл бұрын
Paul teaching is different than Jesus and Christians they haven't figure out
@odadagishu9700
@odadagishu9700 6 жыл бұрын
masha allh
@pindabutter2736
@pindabutter2736 4 жыл бұрын
We mtu atakupaje Biblia alafu anakupiga, kukuua, mijeredi, kubaka mama zenu, kuusu watoto, angalia kilicho tokea Amerika Kwa watu weusi, yani unapewa kitabu, alafu unapata mateso Kama hayo, Sio MUNGU wetu huyo
@peteraugustino8281
@peteraugustino8281 6 жыл бұрын
Mwali.chaka.safi.sana
@AHMEDHASSAN-pq9tg
@AHMEDHASSAN-pq9tg 4 жыл бұрын
marehemu peter nakuhakikishia kua mwenzio chaka anaujua ukweli ila anahangaika kukubali sbabu ya ushabiki wenu....lakini nakuhakikishia chaka atasilimu siku moja labda auliwe
@celestineindata4026
@celestineindata4026 8 жыл бұрын
hakuna siku giza na mwanga zitakutana.ni heri yesu alikufa na akafufuliwa siku ya tatu na alituahidi atarudi tena na je uyo muhammed wakati alikufa alienda mbinguni ama motoni na kama alikuwa nani wa ukweli mbona hakufufuliwa aende mbinguni ?pia sisi wakristo tunajua Mungu sio binadam na hakuna mtu yeyote amewai muona Mungu macho kwa macho ata musa ..Ibrahim hawaja wai ona Mungu.kwa hivo yesu alipewa uwezo na Mungu wakufanya kila kitu ...kufufua ..kuponya magonjwa ..yesu yuko karibu na Mungu.
@aminariziki1677
@aminariziki1677 7 жыл бұрын
Celestine Indata kwanza bibilia yenyewe sikitabu kilichoteremshwa ilio teremshwa ni INJILI,ZABURI,TORATI NA QUR'AN.
@munamohammed6006
@munamohammed6006 4 жыл бұрын
Hi
@maulidibnjuma9575
@maulidibnjuma9575 5 жыл бұрын
😂 😂 yaan wakristo mnaakili lkn hamfikirii, mnamacho lkn hamuoni, mna masikio lkn hamsikii, kikubwa tunawaombea kwa Allah kuwafungua mpate kuijua haki,,
@sabrinakhamis7731
@sabrinakhamis7731 3 жыл бұрын
😂😂😂 Aamiiiiiiin 🙏
@petromachanga29
@petromachanga29 5 жыл бұрын
Peter chuchu kuamini kwako niuelewa wako Quran 19 aya 71 hakuna wala ninyi waislam ila niwenyekuifikia jehanam
@ashajumbe4225
@ashajumbe4225 3 жыл бұрын
Acha mjomba Fanya usilimu kwani dini ya khaki ni uislamu .makosa ya kuita mwana munatakiwa kuita mja wa mungu sio mwana
@samanthaali873
@samanthaali873 6 жыл бұрын
Allahu Akbr
@lenjeevara3407
@lenjeevara3407 6 жыл бұрын
pwaaaaaaaaaa
@petromachanga29
@petromachanga29 5 жыл бұрын
Abdallah kufuata Quran hakuna hekima ,yaan utakuwa na uasi na kufulu Quran 5::68
@AHMEDHASSAN-pq9tg
@AHMEDHASSAN-pq9tg 4 жыл бұрын
Petro we ndio huna hekima na ushahidi ni kua huheshimiki kwa familia yako wala kokote kwa ulaghai wako....karibu katika dini ya Haki ya uislamu au ujiandae na moto wa Jahanam wewe na wafuasi wako
@petromachanga29
@petromachanga29 4 жыл бұрын
AHMED HASSAN ,Quran 19:71 inasema ,hakuna wala ninyi waislam ila niwenye kuifikia hiyo jehanam. Polen sana waislam,
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 3 жыл бұрын
Haha et sinagogi ni miskiti ya waisilamu ni viongo hivi mnatumia maandishi kiongo ongo tu majini majini tu , Mohammad kaja miaka Mia sita baada ya christo kwa kupewa itume na shetani Yani adui wa Gabriel ,kuelewa mandiko inahitaji roho mtakatifu sio majini ,endeleni kudanganya Ila ndacha kiboko yenu
@ashajumbe4225
@ashajumbe4225 3 жыл бұрын
Soma biblia kwanza ndio ubishe
@abuusamaa1044
@abuusamaa1044 8 жыл бұрын
KWA MAFUNZO YA DINI SWAHIHI TEMBELEA MATANDAO HUU UTAFAIDIKA KWA MAS'ALA YA DINI kzbin.info/www/bejne/mZOydZl5i7ulo7M
@thecrossconnectunit8485
@thecrossconnectunit8485 8 жыл бұрын
Here are just a few bible verses that confirm that Jesus is God: Thomas calls him God and Jesus confirms his statement- John 20:28-29 Thomas said to him, “My Lord and my God!” 29 Then Jesus told him, “Because you have seen me, you have believed; blessed are those who have not seen and yet have believed.” Jesus claimed to be “I am”- God’s name- John 8:57-59 "You are not yet fifty years old,” they said to him, “and you have seen Abraham!” 58 “Very truly I tell you,” Jesus answered, “before Abraham was born, I am!” 59 At this, they picked up stones to stone him, but Jesus hid himself, slipping away from the temple grounds." (they tried to stone him because he used God's name for himself) Jesus was making himself equal to God- John 5:16-18 18 For this reason they tried all the more to kill him; not only was he breaking the Sabbath, but he was even calling God his own Father, making himself equal with God. (John 10:27-30 Jesus says here that “I and the father are one”) 29 My Father, who has given them to me, is greater than all; no one can snatch them out of my Father’s hand. 30 I and the Father are one.” Jesus rejects the idea that he is just a prophet- Mark 8:27-30 27 Jesus and his disciples went on to the villages around Caesarea Philippi. On the way he asked them, “Who do people say I am?” 28 They replied, “Some say John the Baptist; others say Elijah; and still others, one of the prophets.” 29 “But what about you?” he asked. “Who do you say I am?” Peter answered, “You are the Messiah.” 30 Jesus warned them not to tell anyone about him. (The fact that the Messiah is God is found in Romans 9:5) Jesus claimed to be the son of God - Luke 22:69-71 “But from now on, the Son of Man will be seated at the right hand of the Power of God.” 70 They all asked, “Are You, then, the Son of God?” And He said to them, “Yes, I am.” 71 “Why do we need any more testimony,” they said, “since we’ve heard it ourselves from His mouth?” (Some translations have him responding “you say that I am” but these have footnotes explaining that in Greek, it is an affirmative statement, kind of like saying “you know that I am”) Paul calls him God- Romans 9:5 and Titus 2:13 5 Theirs are the patriarchs, and from them is traced the human ancestry of the Messiah, who is God over all, forever praised! Amen. 13 while we wait for the blessed hope-the appearing of the glory of our great God and Savior, Jesus Christ Peter calls him God- 2 Peter 1:1 “To those who through the righteousness of our God and Savior Jesus Christ” (The Granville Sharp rule for ancient Greek means that both “God” and “Savior” are referring to Jesus, not just Savior) Author of Hebrews calls him God- Hebrews 1:8 8 But about the Son he says, “Your throne, O God, will last for ever and ever; a scepter of justice will be the scepter of your kingdom. (many verses eg: Luke 1:35 confirm that Jesus is the son [of God]) John calls him God- John:1 (read the whole chapter) (The chapter says that the word/light is God while John 8:12 says Jesus is the light of the world, while John 1:18 says that the son is God) “18 No one has ever seen God, but the one and only Son, who is himself God and is in closest relationship with the Father, has made him known.” Jesus doesn’t stop people worshiping him- John 9:35-39, Matthew 14:28-33, Matthew 28:9, Luke 24:52 and Matthew 2:11, yet only God should be worshipped - Luke 4:8 and Revelation 22:9. Old Testament prophesies that God will be born- Isaiah 9:6-7 (also says he will reign on David’s throne in the next verse) 6 For to us a child is born, to us a son is given, and the government will be on his shoulders. And he will be called Wonderful Counselor, Mighty God, Everlasting Father, Prince of Peace.
@dggdf258
@dggdf258 6 жыл бұрын
mtaamini.tu.mda.ukifika
@abuudharishahidy3074
@abuudharishahidy3074 6 жыл бұрын
chaka hana mada anatetea ukafiri wake pasipo na ukweli,huku ndiko kuchanganyikiwa na akili
@mwoso
@mwoso 4 жыл бұрын
ni ujinga mtupu kwa upande wa waislamu na pingamizi zao. wanakwepa ukweli hadharani wala hawataki kukubali bila kutoa sababu muhimu kulingana na maandishi. Hii ndio shida yao.
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 4 жыл бұрын
Ewe kafiri muovu..Dini yahaki niuislam. .nabii isaa alikua muislam. Akienda Katika miskitini.
@alicesamson6316
@alicesamson6316 4 жыл бұрын
Silimu wewe
@mwoso
@mwoso 4 жыл бұрын
@@alicesamson6316 wewe! Una macho na mashikio lakini hutumii vyema. Ni wewe unae takikana kubatizwa. Yesu ndiye njia ya pekee. Huo ndio ukweli wa mambo hadi mwisho wa dunia.
@mwoso
@mwoso 4 жыл бұрын
@@sulehassanshall6140 Hakuna siku yesu aliingia musikitini. Kwa lugha ya kiarabu musikiti ni Masjid. Yaani nyumba ya wsislamu kuabudia. Katika lugha ya kiarabu kanisa ni kanis. Synagogue ambayo ni nyumba ya wayahudi kuabudia haina tafsiri kamili kwa kiarabu. Na ni synagogue yesu aliingia sio masjid. Masjid ilikuja na Muhammed miaka mungu baada ya yesu. Muhammed alikua kijana wa kawaida aliyeolewa na mwanamke tajiri sana kwa jina khadija. Mbeleni Muhammed alikua tu mfanyi kazi wake mtumwa kabla ya kumuoa. Huyo mwanamke Kama muislamu wa kwanza kusilimu alisaidia sana kuieneza hio dini ya kiislamu kwa Uwezo wake wa utajiri na pia kulazimisha watu. Wakati huo watu wengi walilazimika kusilimu kwa woga. Haya yote yakifanyika kwa bara la uarabu. Yesu alijifanya mwili na kua mwanadamu Kama muyahudi sio mwarabu. Wakati huo hakukua kitu kinajulikana Kama islam. Synagogue bado iko na ni nyumba ya wayahudi. Masjid/ musikiti ni nyumba ya Muhammed na wafuasi wake wa kiislamu.
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 4 жыл бұрын
@@mwoso 😂😂 😂 Unajua kidogo tu hio hystry. Lkn umekosea sana ..Tuulize cc wenyewe waislam.histry yanabii muhammad nabbiake khadija. ..kwanza kabisa maana yasinagogi nimskiti ulikua ukiswaliwa nakabila lamayahudi wakat wanabii yesu waliokua niwayahudi wakiswali ndani yasingogi...haikua kanisa..bali n mckitini maana yasinagogi kwa tafsri yabblia nmskiti...kwann wewe unaenda kwakanisa nyumba yashetan???bblia ishasema kanisani kuna kiti cha enzi chashetan ikasema tena waliolala kwaukirsto wamepotea ikasema tena imeandikwa umsujudie bwana mungu wako mmoja tu. ...kwann ninyi munamacho lakini hamuoni hayo maandiko???mushaambiwa ksnisani kuna kiti cha enzi chashetan. Vp ninyi munaenda kwashetan. Kwan kwashetan kuna amani????fungueni akili zenu achen ubishi waujinga mutajua ciku mukifa katika hali hio mbaya yaukafri. ...Nabii yesu Hakuenda kanisani kwashetan kucheza Rumba nakwaya Nahakuwatuma ninyi wakirsto muende huko kanisani kwashetan. . Achen ukora kumsingizia yesu uongo...bakien huko kwashetan kanisani uciku Aendelee kukumiminia maji yao machafu kwamikundu yenu musio msujudia mungu. .. Kuanzia zamani shetan wanabaka wanawake nawanaume wasio msujudia mungu. .nanyi bakien huko kwashetan kanisani muendelee kumiminiwa maji machafu yashetan kwamikundu yenu. ..Chezeni sana lkn mutajua kwanini nabii yesu Hakuenda kanisani kwashetan kucheza Rumba nakwaya. .
@amalzahor5865
@amalzahor5865 8 жыл бұрын
asiekuwa muislamu ni kafiri tuuu kafiriii.
@wilberchannel5346
@wilberchannel5346 3 жыл бұрын
Waislamu ndo kafiri kwa kua wanapinga maandiko takatifu john 3:16
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 9 жыл бұрын
muna nini wakiristo?? maandishi yako wazi. yesu alisali. mbona nyie hamusali?? yesu alisujudu na kuingia msikitini mbona nyie hamuingii msikitini? yesu alijiita mtu. nyie mnamwita mungu. mukifa na imani hio mumeisha. na mjue hamtaregeshwa tena duniani. mtaenda kuadhibiwa milele bila kufa.
@trizahmim9006
@trizahmim9006 8 жыл бұрын
tuingie kufanya nn kwa msikiti yesu alikuwa anahumbilia watu kwa musikiti na kuwapeleka kwa hekalu waelewa hapo
@كلثوميوسف-ث2ل
@كلثوميوسف-ث2ل 5 жыл бұрын
@@trizahmim9006 muongo mkubwa ww na siku ya kiama nyie Yesu atawakana
@raeehmsaif9485
@raeehmsaif9485 7 жыл бұрын
- sasa
@peteraugustino8281
@peteraugustino8281 6 жыл бұрын
Mwalim.chaka.pole.sana.ao.ndugu.zetu.wabishi.sana.
@pindabutter2736
@pindabutter2736 4 жыл бұрын
Mtaamini vipi MUNGU mlie pewa na watu ambao hawana huruma na nyinyi? Sasa mnatetea nini? We utasimamaje na kuubiri upendo Kwa kitabu ulicho pewa wakati wazazi wako, ndugu zako wameuawa bila huruma? Mpaka leo ampendwi kwanini mnadanganya watu? Watu Wangu nyie mmeumwiza na bado mnaumizwa na wale watu walio wapa Biblia na Koran.
@mwoso
@mwoso 4 жыл бұрын
wewe mazinge swali lako ni la ujinga . kiburi cha ujinga mtupu.
@everlynepedi7264
@everlynepedi7264 8 жыл бұрын
stop struggling so much with things that are beyond your understanding........
@geraldsiame1508
@geraldsiame1508 4 жыл бұрын
Dini ya propaganda
HABIB MAZINGE | MASWALI NA MAJIBU | MAKADARA GROUND MOMBASA | DAY 10
3:48:19
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 105 М.
KUTUI DAY 1 JE YESU NI MWANA WA MUNGU
2:01:25
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 8 М.
Ozoda - Alamlar (Official Video 2023)
6:22
Ozoda Official
Рет қаралды 10 МЛН
Война Семей - ВСЕ СЕРИИ, 1 сезон (серии 1-20)
7:40:31
Семейные Сериалы
Рет қаралды 1,6 МЛН
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН
HABIB MAZINGE | MOHAMMED ABDULKARIM | DEBATE YA MLALEO DAY 7  30 07 2013
2:06:18
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 53 М.
HABIB OTHMAN MAZINGE...JE YESU ANASIFA ZA KUITWA MUNGU
1:31:48
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 401 М.
Wakatoliki ni lazima wayumbishe SERIKALI - Hassan Ilunga Kapungu.
7:18
003 HABIB MAZINGE...KATI YA PAULO NA YESU NI NANI MWANZILISHI WA UKRISTO
2:30:22
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 173 М.
Muhadhara.Masai akiri wachungaji wamewapotosha.Shk.Mazinge
1:05:11
ALNUUR ISLAMIC DAAWAH CHANNEL
Рет қаралды 68 М.
kanisa
9:57
911Yohana
Рет қаралды 193 М.
DEBATE MAZINGE VS NDACHA: JE YESU NI MWANA WA MUNGU ?
2:17:20
ZVP ONLINE TV
Рет қаралды 18 М.
039 2 DEBATE   ASILI YA UISLAM NA UKRISTO NI UPI Pt 2
2:18:59
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 109 М.
MAZINGE vs GERISHON ODARE..JE PAULO NI MTUME?
1:34:19
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 142 М.
HABIB MAZINGE | DEBATE YA KONGOWEA  DAY.1
1:57:29
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 102 М.
Ozoda - Alamlar (Official Video 2023)
6:22
Ozoda Official
Рет қаралды 10 МЛН