Kweli mbosso anaimba vizuri sana cha kushangaza kwa nini hajatoka kupiga show nchi nyingine halafu akina harmonize wanafika mpaka marekani kusema kweli mbosso kamzidi sana harmonize kwa kuimba
@MHJuma2 жыл бұрын
Amenena kweli. Huku pwani ya Kenya mbosso tunamzimia kikweli.
@cosmaskabila30582 жыл бұрын
Mpe nyuma tuu
@mashramadhani19892 жыл бұрын
Uko sawa Pacho na hasa kuhusu mboso
@michaelmuendo54352 жыл бұрын
Tunamkubali sana mbosso huku mombasa,,,big up big bro
@israelnibigira49902 жыл бұрын
Sawa mbosso yuko sawa ila baikoko Ama ate ametukana
@jorgettemwajuma54282 жыл бұрын
Nikweli mboss ana mashairi kweli mazuri
@topactualite4892 жыл бұрын
Mbosso 🔥🔥🔥🔥
@safariadrien53482 жыл бұрын
Kweli kabisa
@stanleymartin29432 жыл бұрын
Tatizo unampenda mtu bila kufatilia nyimbo zake au km unasikiza basi uelewi
@rashowshine78492 жыл бұрын
Kwenye zipu Kuna kirungu
@trio99112 жыл бұрын
Mboso anaimba matusi makubwa kuliko msanii yeyote bongo ni vile huwa hamuelewi 😂 Mfano: 1.penzi letu baskeli kaa bomba la mbelee 2. Kwenye zipu kuna kilungu usikamate utaita wazungu muwe mnasikiliza nyimbo na muelewe 😂😂