PACOME HATARINI KUONDOKA YANGA, ANADAI MSHAHARA SAWA NA AZIZ KI, SIMBA YATAJWA

  Рет қаралды 10,618

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@dsgroup6093
@dsgroup6093 Ай бұрын
Hakuna mchezaji yyte tanzania hii anayolipwa milio 60
@Yohanatulito-r1m
@Yohanatulito-r1m Ай бұрын
Kati ya Stesheni apendayo moyo wangu 🎉🎉🎉 Hii ability 💥💥 Hakika. Nawakubali sanaaa
@RehemaJustine-co2kp
@RehemaJustine-co2kp Ай бұрын
Duh! Millard,huyu jamaa mmemtoa wapi? 😂😂 Yaani hata maelezo yake, unapata ukakasi kabisa. Yeye mwenyewe anaileta taarifa kwa watazamaji,ambapo hana uhakika na anachokiongea
@GodfreyMhando-gn7ok
@GodfreyMhando-gn7ok Ай бұрын
Sio kweli azizi
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha Ай бұрын
Tena kwa pafomasi yake imeshuka aende tu 😅
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Ай бұрын
Una har gan Kwa sasa baada ya pacome kushinda??
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu Ай бұрын
Wewe hujuw mpira
@RajabuHassan-f6i
@RajabuHassan-f6i Ай бұрын
Ww ni kolo ety
@WazirRMLGh7y
@WazirRMLGh7y Ай бұрын
Utakuwa shoga ww cz unaongea km umeingingizwa mboo kwenye hilo tobo lako la kunyea mavi,
@HusseinPacha-i2o
@HusseinPacha-i2o Ай бұрын
Stesheni nayoikubali san hawaongopi 😂😂 wao kaka
@allyhusein6267
@allyhusein6267 Ай бұрын
We jamaa nimuongo sanaa
@Shablazemovies
@Shablazemovies Ай бұрын
haya bhana wajuaji😂😂
@Joshua-u3s4m
@Joshua-u3s4m Ай бұрын
Tusidanganyane waandishi mayele kaondoka yanga maana kaomba mil 40 hakuipata afu leo mil 70 zungumzeni ukweli mnaanzisha uhasamA
@ZabibuMwenda
@ZabibuMwenda Ай бұрын
Wee kaka acha uongo sabini sio kweli
@Shablazemovies
@Shablazemovies Ай бұрын
usikute wew ni raisi wa yanga😂
@prospermbilinyi4639
@prospermbilinyi4639 Ай бұрын
Huyu zuzu umemtoa wapi hajitambui nyoko mafi gakwe
@boxdad
@boxdad Ай бұрын
Uyu mwamba ni mwongo
@kageclemence7096
@kageclemence7096 Ай бұрын
Aondoke
@PrimsMganda
@PrimsMganda Ай бұрын
Acha uongo we jamaaa,,uyu mchambuzi ni muongo sjapata
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 Ай бұрын
hyu jamaaa katumwa nin huu uongo ameutoa wapi
@AmarLikonda-q6d
@AmarLikonda-q6d Ай бұрын
Muongo huyu hakuna mchezaji Tanzania anaelipwa zaidi ya milioni 40
@Bongoupdates1
@Bongoupdates1 Ай бұрын
Muwe mnataja na source media kubwa kuongea habari kama wachambuzi wa bonyokwa mnazingua
@gabriel-dh3qn
@gabriel-dh3qn Ай бұрын
Fukuza kazi huyo kama umewmwajiri au kama umemwalika basi usimwalike tena studio! Hakuna mtu wa Media hapo! Anaongea vitu chonganishi! Anajua mshahara wa Aziz huyu? Eti vyanzo!???
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 Ай бұрын
Hili tahira wamelitoa wapi Tanzania hii mchezaji gan wa kulipwa 70M,muongo mkubwa ww,km hujui si ukae kmya kuliko kudanganya
@JaphetMoto
@JaphetMoto Ай бұрын
Aondoke wasituchoshe
@benedictkiteji3627
@benedictkiteji3627 Ай бұрын
Acheni uwongo niswala lamda tu mtanyamaza
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Milad achana na hawa waingo utaharibu credibility yako
@ephraimsaimontv9715
@ephraimsaimontv9715 Ай бұрын
Vyanzo vya uhakika kabisa vinasema Aziz Ki analipwa milioni 35 kwa mwezi ....acha upotoshaji kaka hii ni channel kubwa kama huna uhakika na unachosema kwanini uudanganye umma.
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 Ай бұрын
Hakuna mchezaji nchii hii anaelupwa hata mil 60 tu.
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 Ай бұрын
Zibadilishe hizo katika Dola ndiyo utaelewa kama hakuna wachezaji wanalipwa hizo
@samsonmwaipaja5231
@samsonmwaipaja5231 Ай бұрын
mwongo huyo anawaharibia chanel yenu msimkaribishe Tena, Tena msiwakaribishe watu wa mpira hpo wataharibu sana
@HassaniMumba
@HassaniMumba Ай бұрын
Una akiri kabisa kolo wewe
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН