Padre Dkt Kamugisha Msamaha Pt2: Msamaha ni hekima/ Msamaha unawezekana/Msamaha ni manukato/

  Рет қаралды 11,888

Faustin Kamugisha

Faustin Kamugisha

Күн бұрын

Ni mafundisho Sehemu ya pili ya Mafundisho ya Kwaresima kuhusu Msamaha yaliyotolewa na Paroko wa Parokia ya Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Dkt Faustine Kamugisha katika Kanisa kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Bukoba. Mafundisho haya hutolewa kila Ijumaa baada ya njia ya msalaba na mapadre mbali mbali wa Jimbo hilo.
#ShajaraFaraja

Пікірлер: 12
@eugenmasashua
@eugenmasashua 6 ай бұрын
ubarikiwe sana nimebaitikiwa na mahubiri ,Amina
@kaizamulinda633
@kaizamulinda633 2 жыл бұрын
Nimecheka sana jamaa anamwambia Mungu kama kawa. Fr Mungu akubariki. Nimekuwa addicted siwezi kulala bila kumsikiliza huyu Father
@fredricksteven2063
@fredricksteven2063 3 жыл бұрын
Asante sana father mafundisho yako ni mazuri nilikuwemo kanisani.
@berthanbenedict3480
@berthanbenedict3480 3 жыл бұрын
🙏🙏
@bhokechacha1497
@bhokechacha1497 3 жыл бұрын
Unatubariki sana
@reganmichael6615
@reganmichael6615 3 жыл бұрын
father nabarikiwa sana na mafundisho yako. uendeleee na kazi ya wito ubarikiwe sana
@msangibongimichael6209
@msangibongimichael6209 Жыл бұрын
"Mungu kama kawa" daah kamugisha wewe ni noma
@cellyassenga2020
@cellyassenga2020 3 жыл бұрын
Kataa kujikataa thank you baba Kamugisha
@abinanyanchama9561
@abinanyanchama9561 3 жыл бұрын
Forgiveness is healing 🙏🏽🙏🏽
@katembito3962
@katembito3962 3 жыл бұрын
Amina Amina Amina.asante Fr.
@handmanserv527
@handmanserv527 3 жыл бұрын
asante sana kwa mafundisho yako mazuri
@charlesbushongole3167
@charlesbushongole3167 3 жыл бұрын
Amiina
Padre Dkt Kamugisha: Mafundisho Hija Nyakijooga: Asiyepoteza Haokoti
1:00:15
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 27 МЛН
NGUVU YA MSAMAHA,  na mtumishi wa Mungu  Bienvenu WANZIRE
22:16
Bienve Ministries online
Рет қаралды 7 М.
Dr. Chris Mauki: Mambo 8 ya Kukusaidia Kuishinda Hofu
12:14
Chris Mauki
Рет қаралды 35 М.
Padre Dkt Faustin M Kamugisha - Hatupangi Kushindwa, Tunashindwa Kupanga Morning
41:59
NONDO ZA Pd Dkt. KAMUGISHA KWA WANAHIJA SUKAMAHELA SINGIDA
44:43
PRECIOUS BLOOD TV
Рет қаралды 9 М.
Unafahamu kwamba MSAMAHA huanza kabla ya UPENDO?
38:29
PROPHET NICOLAUS SUGUYE
Рет қаралды 15 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: USHUHUDA JINSI MWANAMKE ALIVYOIBIWA MUME
12:04
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 60 М.
NEEMA NI MTEGO PADRE DKT KAMUGISHA
42:27
Faustin Kamugisha
Рет қаралды 26 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36