BWANA YESU KRISTO ASIFIWE SANA NAOMBA KUTOA USHAURI, KWASABABU NYIMBO HIZI NI ZAWOKOVU TUBADILISHIE PICHA YA FAMILIA YA KIBAADA.
@paulajohn7901 Жыл бұрын
Amina Hao ni mke na mume nafikiri tuwaache wa enjoy ndoa yao nzuri wakimuabudu Mungu.
@williammarube56726 ай бұрын
Kweli. Maana ya picha hapo nnini ?
@annechege22585 ай бұрын
Wanamtimikia mungu wakiwa na upendo wa mume na mke.Picha iko sawa,na tunawapenda hivyo.
@DomDominataАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@danieldavid241619 күн бұрын
Kwani waliokoka hawapaswi kukumbatiana ikiwa ni mke na mume? Hiyo picha ni nzuri sana na inapaswa wanandoa wawe na upendo nakuonyesha mfano Kama hawa.
@HakizimanaEdouard-y6t Жыл бұрын
Mungu azidi kuwabaliki nimeridhika rohoyangu ika turiya tanks fir your good work ❤
@CarolineWanjiru-v4f Жыл бұрын
Nnimejuwa. Jana. Kijana. Wangu aliabbia kumuuhshi
@Larose1988 Жыл бұрын
Asante Bwana Yesu kwa Wokovu ambao umetupa kwa bure na ukatu haidi ya kwamba utakuwa nasii paka mwisho wa daari , asante kwa Neema juu ya Neema 🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰💃💃💃💃
@HaruniTendanq Жыл бұрын
Napenda sana nyimbo hizi zinanifariji
@melvinwinde-xq7jg Жыл бұрын
Wimbo zenye neema kweli... Ni za ku adilisha mtu mienendo na kumkaribia Yesu...mbarikiwe sanaa😊🙏🙏🙏🙏
@galaxyqwer7438 Жыл бұрын
Aki
@getrudeauma5812 Жыл бұрын
Asanteni sanaa Kwa nyimbo zenyu zimenibariki to sanaa mungu wa mbinguni awajalie to sanaa aki 🙏🙏🙏
@iratubonafloris Жыл бұрын
Burundi tuko pamoja papy clever na Dorcas hii famillia imebalikiwa Sana
@domiageless Жыл бұрын
Thanks!
@SimonMkambaMkamba Жыл бұрын
Akika nabarikiwa na sauti zenu mnasifuu Mungu kwa kweli nipo serengeti Harmony camps nabarikiwa uku naendelea na kazi mbarikiwe wapendwa❤
@kalimbomwero398 ай бұрын
Mungu awajalie maisha mema marefu yajae uzima na furaha..mzidi kumtumikia mungu wetu hadi siku ya mwisho....nabarikiwa sana na nyimbo zenu mungu awabariki mpaka mshangae❤
@kf7018 Жыл бұрын
Mbega indirimbo ziryoshe; nigitangaza amajambo na amajwi yanyu, naho umuntu yayarya, ntago nayahaga. 🌈❤🤗💥❤🌈🙏 Muri marayika zi Imana aha muri iyi isi. Imana murema abandindire, abahe kyose mwifuza, kandi mwi ijuru murugo iwe, aho yakoreye umugore numugabo we bakundana neza mukuri gusukuye, namwe murimo mufitemo urugo rwanyu, kuko murakwiriye Imana Ibarimo. Bless you, i LOVE YOU .
@DorcusYohana-u8c Жыл бұрын
Naahukulu sana kuskia hvyo hata mie nabalikiwa San🙏🙏🙏🙏🙏
@kandoreroannonciate3865 Жыл бұрын
Imana ibahaze ibyishimo kenshi ndabakurikira aho ndi hose no mukazi ntabwo bintera isoni iyo numva indirimbo zanyu kandi nkorana n'abantu basenga mu madini atandukanye
@joycewanjira6609 Жыл бұрын
After listen to your songs i feel like it's time for me to be born again
@CHRIST-f7g Жыл бұрын
Plz do. It's now or never
@rosewanjiru4650 Жыл бұрын
Hurry sweetie.... receive salvation tomorrow might be too late ooh
@tommwangi7544 Жыл бұрын
Yet to all who did receive him, to those who believed in his name, he gave the right to become children of God- John 1:12 NIV
@aginiwembilinyi6616 Жыл бұрын
Amen
@Gorgeousij Жыл бұрын
What are you waiting for?
@marysona9999 Жыл бұрын
Pongezi nyingi sana Kwa kazi nzuri ya kutangaza Kristo. Ndoa yenu ibarikiwe na mdumu katika pendo la KRISTO. Ni vijana wadogo lkn mnamjua YESU na kumfanyia kazi nzuri!!!! Namba 3, 4💪💪🌹🌹💒
@josephshuma1975 Жыл бұрын
Nashukuru kwa kazi yenu nzuri sana MUNGU awabariki sanaa❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@VenasiyaMusavimana Жыл бұрын
Xxxçvbnnnnķķp865fgss GG hjgfdrt❤😮😅😊😂🎉😢
@johnkennedy-xp4zv Жыл бұрын
From Burundi nabalikia sana
@OlgaMazoro-kd2er Жыл бұрын
Je vous aime beaucoup depuis la RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩.
@jacklineniryingoma9995 Жыл бұрын
Mungu awabariki Sana kwakazi nzuri munayoifanya, nilikuwa nahuzunika ila nimebariwa na nyimbo zenu, Mungu awape maïsha marefu watumishi wa Mungu🎉❤️
@eliaskabwe4898 Жыл бұрын
Nime barikiwa Na nyimbo hizi za wokovu!!! Nime kumbuka mwito wangu toka utotoni!🙌🙌🙌😊😊😊🎉🎉🎉👏👏👏👏🙏🙏🙏🇨🇩👌❤❤❤❤❤❤❤
@PhaniceMoranga Жыл бұрын
Nko gulf naskiza izi nyimbo nabarikiwa sana❤❤❤❤❤
@EsterKulwizila-gp8ic Жыл бұрын
Jamani niko mwanza na balikiwa Sana tena Sana
@meremeremere198 Жыл бұрын
❤❤❤mungu abaki bahimbaji wa bwana tumebarikiwa inawezekana mutusadiye kupata kitubu ça okovu badugu bwana yesu awabariki
@jeremiahswallo2773 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni aendelee kuwapigania na kuwainua katika kazi yenu nzuri ya uinjilisti kwa njia ya nyimbo. Nimebarikiwa sana.
@UpendoNkya-n3i12 күн бұрын
Nabarikiwa Sana from Tanzania mungu azidi kuwainua Zaidi na zaidi
Murantangaza bana bimana ❤ nukuri murumugisha wabenshi mubalikiwe Sana Kwa nyimbo za uwokovu.🎉❤ndabakunda cyaneeee ndabumvira Dk.mubalikiwe sanaaaaa
@naikekangele7117 Жыл бұрын
Nyimbo hizo zinakufanya uwe karibu na Mungu na kitengenenza mambo yako na mungu mm napona moyo wangu wandani kabisa
@geraldmasereka9779 Жыл бұрын
Nyimbo izi Zina nipa faraja sana
@vidishmbugua7600 Жыл бұрын
Nyimbo hizi zime nihudumia sana naku nijenga sana Kiroho nakunitia moyo sana nkiwa Saudi Arabia naposikiliza na barikiwa sana Mungu awazidishie ubako wake na neema tele na awabariki tena sana kwa Jina la Yesu Kristo
Asante sana jamani MUNGU awlinde nashukuru kunikumbusha nyumbani ndo nyimbo zenye nguvu za MUNGU nabarikiwa kwa kweli amen ❤
@brightbwalya4012 Жыл бұрын
I thank you so much to the best songs this song it in all languages around the world it was sing long time since then this song it for christianity it so powerful no one can bit what God put among us people continue my brother may the good Lord Jesus Christ bless you and the sister from zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲👍💯
@MAVISIJOSEPH-j8p2 ай бұрын
Mumechagua kazi nzuri sana. Mungu awajaze nguvu tele. Natamani sana kuwaona macho kwa macho mukiziimba nyimbo hizi. Nawasalimu toka Kinshasa, RD Congo
@sukarimaganga7967 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana 🙏 Natiwa Moyo sana ❤❤
@bisengobubasha Жыл бұрын
Asanteni sana for this collection. Your songs bring so much comfort 🙏🙏😭. Mungu wa mbinguni awe pamoja nanyi
@NicholasEmekuiya-hg8nj9 ай бұрын
Reggae
@damaristhuku7644 Жыл бұрын
May God bless Rev Ben he has made me listen to your songs they are powerful... working while listening to these songs is amazing team strong 💪 Les gather here🎉
@nayebarerose5899 Жыл бұрын
Papy and Dorcas Yesu awabariki Sana 🤝🙏🙏🙏
@andremoisekatsuva1558 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu apewe sifa sana, sana na tena sana. Nashukuru sana kwa ajili ya izi nyimbo zinazo upako tele. Ndugu Papi Clever na mama Dorcas, mubarikiwe kabisa.
@Simoncleaning Жыл бұрын
Nina shukuru kwakupokea iyo nyimbo
@henockngandu-3304 Жыл бұрын
Mungu akubariki n'a ngimbo ya wokovu
@iratubonafloris Жыл бұрын
Ooooh nice song nimefika kwa Yesu pia nakaribia Kwake niw mfariji wangu sitalia kamwe roho yangu inaimba💃💃
@priscarfrancis8492 Жыл бұрын
Hallelujah 🙏napata AMANI na utulivu kwa nyimbo hizi, Mungu awabariki sana.🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@IsaiahAbwao-x5l3 ай бұрын
Powerful song nimebarikiwa mara ya kwanza kusikiliza hi wimbo ilikuwa sa tisa usiku kama dunia imetulia tuli hakika nilibarikiwa kwali.
@Papichino254 Жыл бұрын
Nyimbo tamu kabisa ninaposikiza na isi uwepo wa Roho mtakatifu mungu azidi mbarikiwe
@gracevisaneemamayani7659 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana. Zinanibariki sana
@tabithaolubaha4349 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana😇😇💥
@petrobyamungu3082 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@petrobyamungu3082 Жыл бұрын
Mnanigusa sana kwa nyimbo hizi Mungu yehova awabariki
@joshuamdimi9507 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana Nabarikiwa sana na hizi nyimbo nzuri
@tuyishimeannemarie8583 Жыл бұрын
Hallelujah 🙌🙌 ndabakunda cne❤ be blessed 🙏🌟
@marydama6583 Жыл бұрын
Nabarikiwa niwa Saudi Arabia aki hizi nyinbo zinamguso wa mungu
@emmeronyango6078 Жыл бұрын
Which is your best here..Me..E Mungu mwenye Haki..of course all are beautiful and glorious
@silvermukunyi8396 Жыл бұрын
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏
@sa-majeste018 ай бұрын
Depuis la RDC. Que l'Eternel Dieu nous bénisse et qu'il nous pardonne. Merci pour cette compilation des chansons de louange. Mungu apewe sifa🎉
@jeannemarierutaha908610 ай бұрын
AKSANTI SAAAANA KWENU WAIMBAJI WA NYIMBO HIZI NZURI SAAAAANA AMINA AMINA KWENU WOOOOOOTE 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@hodarimihigo Жыл бұрын
I was fasting for my final breakthrough and ended on this collection ya nyimbo za wokovu I cried out while worshiping by believing I'd received what I was praying for🙌all glory and power belongs to Jesus Christ my Lord and savior 🙌🙌🙌💯
@andreasibanda8998 Жыл бұрын
I am really blessed indeed
@janelunanilo16211 ай бұрын
❤
@BERTINCHOMUKAMA10 ай бұрын
Se bien vraiment j'ai m
@marymson5346 Жыл бұрын
Blessings blessings blessings ❤❤❤❤
@Catherinenyawira-ww1du Жыл бұрын
16 Swahili songs woow👏👏 a proud Kenyan here🇰🇪🇰🇪❤️
@charleswesonga7219 Жыл бұрын
This one is from Rwanda
@monicanjoroge8842 Жыл бұрын
@@charleswesonga7219 True
@shadrackkipchumba9901 Жыл бұрын
Nyimbo safi sana.mungu awabariki
@mwalimushule898516 күн бұрын
14 songs. 2/16 are in Kinyarwanda. But all a blessing!
@EstherOduor-qq3hl Жыл бұрын
napenda sana hii couple may the Lord protect you never fall into temptation, take care your ministry as you save God together as a families, l love you all the worship is realy blessing me every day l must listen
@happynesspaul7553 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana ndugu zangu nchi jirani muwe na nguvu zaidi
@eliamichael6452 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukutia nguvu katika utumishi wako uendelee kutenda kazi kwa nguvu zote kwa ajili ya utukufu wa MUNGU
@rachelmaina2680 Жыл бұрын
E mungu mwenye haki,napenda sana,may GODs grace be more on you.
@musegekadahanwa2103 ай бұрын
Nimebarikiwa kwa nyimbo hizo Mungu Baba aendeleye kijana roho n'a nguvu za kumutumikiya
@josphinenganga7294 Жыл бұрын
My favourite song ..E mungu mwenye Nguvu this song makes me cry 😢from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunawapenda sana
@Ibraimu-c6r Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@ericgasita1436 Жыл бұрын
lmana ibampere umugisha couple yanyu
@makyeintiro1023 Жыл бұрын
Tuko pande za India tunabarikiwa na hizi nyimbo ,jina la Yesu ni kuu sana na neema na rehema zake za tosha milele na milele
@kevinsumini6153 Жыл бұрын
Am from Uganda may God bless you brother and sister for the good song
@breshmaxwell2524 Жыл бұрын
Naskiza nyimbo nikiwa kanisana namshukuru mungu kwa kuniamsha salama mbarikiwe
@jeenjj1725 Жыл бұрын
Waao this is what I wanted thank you for the mix...ooh my God be blessed now the work is easier when i put earphones in my ears listening to this mix am blessed go go go till you achieve it
Amen . Thank you Jesus for the gift of life ❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@nambajimanarene1033 Жыл бұрын
Doro na Papy mungu ababaliki siku zote nyimbo hizi zinanisayidia kwakazi nafanya niko Lilongwe Mubalikiwe tele Amina
@graceswai9166 Жыл бұрын
🎉 Not only today, but this is the forever albam........ Best Albam, God bless you all...!!!!!!! I'm from Tz
@desirebandza3828 Жыл бұрын
Oh !Fanyia mungu kazi...ah! Clever...God bless your Group and protect us.😂😂😂😂
@selemanibalelwa7414 Жыл бұрын
Ubarkiwe sana na Mungu akutie nguvu kwa kipaji hiki kifanye mengi zaidi kwa ajili ya utukufu wa Mungu. God bless you at all.
@mauriceonyuro6189 Жыл бұрын
Wapendwa wakristo,tusichoke,tuzidi kupigana Vita ili tufike binguni.mateso na Yale MAOVU yote tunayoiona hapa duniani,HAUTAONA Kyle mbiguni.haleluuya machozi ya nitoka.
@nsengiyeragadhiofficial163 Жыл бұрын
May you be blessed by God. You work day and night. I thank you
@collytv8991 Жыл бұрын
Thank you so much for feeling the gap that has been there for so long be blessed all abundantly
@masomotv16952 ай бұрын
Imana ibakomeze ibahe ibiruta ibyo mwifuza muzabone abuzukuru Mububirigi nijuru tuzahurireyo mukomereze aho yesu abagure ni pasta masomo Gabriel
@michaelishara8329 Жыл бұрын
Mutalipwa na Mungu wetu kwa Kazi nzuri sana munayo fanya kupitiya nyimbo
@Yegotego Жыл бұрын
Ndabakundakuizindirimbo
@mosesmwangi9697 Жыл бұрын
Nasikiza nikiwa Congo Brazzaville,ready to go back home Kenya tomorrow
@ezekielmapunda27512 ай бұрын
Kuna waswahili brazzaville???
@kudakwashemichaeltagwireyi3944 Жыл бұрын
Anyone with the patience to translate the songs to English. This is fantastic and my tune. From Zimbabwe
@fridahkhavere277 Жыл бұрын
You want full translation?
@Sidneywhite-fv1db Жыл бұрын
You two are a blessing to many
@asendewaubweladewao1827 Жыл бұрын
Nimeguswa sana na nyimbo hizi Mungu awabariki sana kwakweli🙏🙏🙏
@danisakonga5440 Жыл бұрын
Eme kwanyimbo nzenu takatifu mumbalikiwe hasante sana
@theresemoutou3283 Жыл бұрын
Bravo, bravo, très belles chansons, que le Seigneur vous bénisse amen, amen, ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.