🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏ujumbe/Elimu nzito sana barikiwa Mwalimu.Asante kwa kunielimisha kiroho.
@roidaalphonceyou22272 жыл бұрын
🙏🙏🙏ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU aliye hai
@saharaboxingteam4237 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@kinangamakoye13842 жыл бұрын
Safii sana
@julianamadoshi24552 жыл бұрын
asante mtumishi wa Mungu
@chrispinsinkala34202 жыл бұрын
Asante
@trophywilson72112 жыл бұрын
tungekushauri usipende kutumia simu kutoa NENO la MUNGU,SI NZURI
@trophywilson72112 жыл бұрын
HAYO WENZAKO HAWAELEWI WALISHAPANDIKIZWA MUNGU HAZALIWI
@myself41282 жыл бұрын
Elimu nzito mno Heavy weight
@davidjasony85252 жыл бұрын
Kaka nakufatiliaga siku zote ila ninalo swali,watu wengi wanajiua kwa sababu wanaamini mtu akifa anakuwa udongo tu wala hakuna mahali anapokwenda naomba uliweke sawa hili ikikupendeza watu wengi wanapotea naona nateseka sasa hadi huruma nimefanya tafiti kabisa wanaishi wanaamini wao ni kama kuku,mbuzi au majani yanayokauka naomba saidia kuondoa hili
@japhetthabit94282 жыл бұрын
Mtu sio mwili, mtu ni roho na mtu hafi kinachokufa ni mwili. Mwanzo 1:26 Kinachokuwa udongo ni mwili baada ya mtu kufa roho yake inaenda mahali pa mapunziko au pa mateso,kulingana na matendo yake duniani ukifa katika kristo tunasema amepumzika siku ya mwisho atakapofufuliwa atapewa mwilini mwingine usioweza kuaribika Yohana 4:24 1wakorintho 15:51-53
@monicabh16682 жыл бұрын
@@japhetthabit9428 Amen 🙏 mwili hufa but roho haifi .