Nashukru kwamba umesema ukweli juu ya ipi ni njia sahihi bila kuogopa , Mungu akubariki...
@kisurangusa5543 жыл бұрын
Shekhe nimekubali kwakweli umefunguliwa macho, Mungu wa Bwana Yesu akubariki,
@estatekisombola92513 жыл бұрын
Huwa nafurahi nikiona watu wanaongelea mambo ya Mungu ❤ Mungu awabariki nyote ❤🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇨🇩🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺
@ryhislamminamuonamsengetu91113 жыл бұрын
Bwanayesu asifiwe🤝
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Ameen🙏
@margaretachieng98873 жыл бұрын
Amen
@liliankemuma94753 жыл бұрын
Amen
@endtimes98502 жыл бұрын
Amen
@presenttruthloudcryforthel53383 жыл бұрын
Saafi kbsaa mnyeshani,, Bwana akuongoze na kukulinda
@sharonwalubengo76282 жыл бұрын
Mungu akuongezee neema uzidi kumjua yesu na akutumie uwavue wengi waje kwanke yesu ndo njia ukweli na uzima. Yesu anapenda sana waisilamu waje kwake.
@damarismbatia20293 жыл бұрын
na Musa na Haron walkua miaka mingi sana kabla ya Yesu
@jesusislord91903 жыл бұрын
Kusema huku sawa kule sio sawa ni mambo ya kibinaadam... ila. Kwa upande wangu nimemuona..MUNGU wazi kwahiyo siwezi.. kumlazimisha.. wala kumshawishi... akijifunuwa ataupokea wokovu.. mimi Quran na biblia na khadith... uislam.. navijua vizuri sana. Tunaweza kujuwa kuwa huyu yupo sawa kwa namna ya maisha yako... hakuna shekh hata mmoja... na aje .. mie nintafanya maombi mbele yake kama... hana jini.. na hatopanda..mie naweka nadhali vitu viko wazi .. ila watu tunamitazamo tofauti...MUNGU hana dini... ALLAH anayo Dini na anaswali anamswalia muhhamad... MUNGU mwenyewe ni kila kitu... hawezi kuwa na utamaduni
@abdimohamed39533 жыл бұрын
Joseph nahitaj mawasiliano yako please je naweza kuyapata Kwa njia gani
@robertchujagi8137 Жыл бұрын
Yesu ni njia na ukweli daima
@MzeeKigogo_6 ай бұрын
Amen mtumishi. Ubarikiwe
@jersonmpeka4984 Жыл бұрын
Mnyeshani anafundisha vizuri Sana Kama ujamuelewa uwezi kumuelewa Tena Mungu amtie nguvu
@SunguraShabani Жыл бұрын
Kumufuata Yesu Kristo kuna faida kubwa WAGALATIA 3 26 Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Yesu Kristo. 27 Maana nyinyi nyote mliobatizwa katika Kristo mmemvaa Kristo. 28 Hapana Myahudi wala Myunani, hapana mtumwa wala huru, hapana mtu mume wala mtu mke, maana nyinyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu. 29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi mmekuwa uzao wa Ibrahim, na warithi sawasawa na ahadi. Amen !!!
@Chrishenryson-beats3 жыл бұрын
Davista unazngua hii story nimefoward sana kupata mwendelezo wa story
@Priscachales-fi9ti Жыл бұрын
Aminaaàaaaa kwa Yesu raha sana.
@joycesycherlwy38353 жыл бұрын
Yaani huyu jamaa anasema Mambo ya kweli kuzingatia ameiexperience spiritual world he is very intelligent,kweli shetani huwa hamchukui mtu ambayo hana kitu
@jossyayielo75763 жыл бұрын
Asante🇰🇪🇰🇪
@abdulmhema3 жыл бұрын
Unaharibu Chanel muda si mrefu . Jitahidi kuepusha mijadala ya kidini Kaka!
@kisurangusa5543 жыл бұрын
Kwakweli nimekubali wewe ni mtumishi wa kweli, Mungu akubariki?
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Hehe
@vitussamwe23533 жыл бұрын
Good
@JosephKassim-k3p Жыл бұрын
MUNGU AMLINDE HUYU MWAMBA ANA MADINI Mzee safi sana huyu yaan ameniaminisha kuwa kristo ndio njia ya uzima Kuanzia leo ntakuwa najifunza biblia maana ni kitabu safi mno
@davidwambura59153 жыл бұрын
Nyoa ndevu mtumishi.
@rosepallangyo1352 Жыл бұрын
Daaa! Davista unaaibisha kweli mkristo hana dini amekirimiwa jina lipitalo maji a yote ambalo ni Yesu acha uongoo
@jerrymaskas58633 жыл бұрын
Wakutanishe kabisa... Itakuwa Safi sana
@macamezunguzungu56973 жыл бұрын
Dnii ni wema wako unayofanya kwa binadamu wenzako🙏💪🔥🇹🇿
@vaghoghontweki98273 жыл бұрын
😁😁,,,Tule injili kdg then tuendelee na safari🤝
@upendoluv71973 жыл бұрын
Mmmmh Munatuchanganya Sasa huu mjadala hauwezi kwishaaa imepigwa midahaloo weeee Ww Mf fact mtafute Shekh Mazinge atakujibu vzr
@jumajuma8313 жыл бұрын
Ubarikiwe
@andreamchome95412 жыл бұрын
Wakristo kuna kitu cha kujifunza sana kuwajali watu anaoanza kuokoka yaan wachanga kiroho yaan nimeuliza sana na waliookokawalichomfanyia huyu mtu kuna namna ya kutenda baada ya kuokoka ni rahisi kuwapoteza hawa watu kma hakuna upendo na kuja kudaiwa damu yao kwa walioshindwa kumsaidia huyu mtu
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Nikweli usemacho lakin kila mtu ana namna yake ya kuokoka mwingine anapitia mitihani kama ya huyu jamaa na haachi wokovu kuna muda Mungu au shetani anaweza kuwatia ugumu hao waliokoka kushindwa kumuhendo mtu ilitu aimarkie au kama mpango Wa shetani ili arudi nyuma lakin alieitwa na Mungu hawezi kuacha wokovu
@salumsamesame17413 жыл бұрын
JAMAA EMEFAFANUA VIZURI SANA KUHUSU UKRISTO, AMENIFUMBUA UFAHAMU
@phyillicenyambura55433 жыл бұрын
Yaani nakupenda bure mtumishi wa MUNGU shekh Omar natamani tukutane hata kama n dakika 10 tu
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Sheikh Omary imenifunza kweli
@abdulbasitsalim61333 жыл бұрын
Huwi mwilamu Kama unamkanusha nabii Issa. (Yesu)
@damarismbatia20293 жыл бұрын
uislamu imekuja zaidi ya miaka mia sita baada ya Yesu, mwenye akili asiulize jambo
@mishibaron50213 жыл бұрын
Umeongea hapo ubarikiwe
@damarismbatia20293 жыл бұрын
@@luluamin1388 exactly, 600yrs after Christ, kwa nini Allah akutambua ukweli mapema angoje iyo generation yote ipite, ama Allah akujua
@damarismbatia20293 жыл бұрын
@@luluamin1388 mitume waliokua kabla ya Yesu na mafarisayo hafi leo wanamungoja mesiah ambaye watamuona, allah hajui pia kama sisi
@damarismbatia20293 жыл бұрын
@@luluamin1388 hatumuabudu Mungu moja, utajua ikiwa very late, Yesu ni Bwana
@damarismbatia20293 жыл бұрын
@@luluamin1388 vipofu kama wewe walikosa kumtambua Yesu kwa sababu yao binafsi,
@jumamgonja11493 жыл бұрын
Huyu jamaa kichwa Sana....
@mariamndimbo88333 жыл бұрын
Nakukubali sana mjeshani
@leomponda82313 жыл бұрын
Shehe anaongea vizur sana shida IPO kwa huyo mwandishi was habar hajui kuuliza maswali hajaiva vizur anapoteza mtiririko mzur wa maelezo ya shehe
@erickngatunga23593 жыл бұрын
uko sawa kabisa
@Priscachales-fi9ti Жыл бұрын
Ukristo cyo dini ni imani
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Point
@agnesmwaizinga54013 жыл бұрын
Wapendwa mungu ni mmoja, mtu ashikile penye yuko, kuingiliana kidini hakufai please 🙏
@matanobaya76603 жыл бұрын
Waambie wewe @Agnes Mwaizinga 🇰🇪👏👏
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Hakuja ingiliwa dini hapa nikujuzana tu
@matanobaya76603 жыл бұрын
@@rosecruiz4348 anayo ongea siyo anapotosha, alikua mshirikina na mshirikina katika dini ameambiwa akifa hali ya kuwa hajatubu,makazi yake ni jahannam.✍️✍️✍️✍️ Huyu nimchawi, mganga UISLAM hauruhusu
@abbyadams86913 жыл бұрын
Ukristo sio dini kwani kabla ya kuja Yesu hakukuwa na Ukristo. Hata yesu mwenyewe hakusema alileta Ukristo. Ni mataifa ndo yaliwaita wanafunzi ya Yesu kuwa Wakristo. Yesu alileta habari njema, Vp hutaki habari njema?
@loycekasath16033 жыл бұрын
Davistar anaejua aliye sawa au la ni Mungu pekee, tuendelee na mjadala wetu,unaharibu mdogo wangu
@matanobaya76603 жыл бұрын
Naona leo ni mjadala 🙅😴😴😴😔😟😬😯😣😖😞😫
@dsgroup60933 жыл бұрын
Leo kuna kitu umenifumbua masikio yangu shehe omar
@ylosvijevana68153 жыл бұрын
zile jerojero jmn tumtumie mr aendelee kupata nguvu ya kuleta mafundisho
@margaretachieng98873 жыл бұрын
Story nzuri sana ✨
@margaretachieng98873 жыл бұрын
Safari ya bingu ni defu hina vikwaso mingi jiyani tutafute jiya ya kweda binguni🙏✨
@erickngatunga23593 жыл бұрын
@@margaretachieng9887 hahahaha!!
@babaagecentre29713 жыл бұрын
Nimeelewa
@songorerubeya38163 жыл бұрын
Davista maubiri yamekuwa mengi sana mpaka inaboa. Kama inawezekana mkutanishe na Kina Mazinge ili wawekane sawa. Nawenyewe walikuwa wakristo.
@michelleathumani4203 жыл бұрын
Kabisaa👏👏👏👏👏👏👏👏💃💃💃💃💃💃🎊🎊🎉🎉🥳🥳🥳🥳🥳
@abdulbasitsalim61333 жыл бұрын
Dini ni njia ya maisha
@jamessakaya62313 жыл бұрын
Ongea ukweli kaka wajue...maana hivi kujua ni ngumu na anaetaka kupinga basi..ajitokeze.
@selmaselma84523 жыл бұрын
Niliipenda hii story Lkn umeikosea saana quruan Na mtume wetu Mohd
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Huwo ndio ukweli wa mambo quran ni kitabu cha majin
@selmaselma84523 жыл бұрын
@@rosecruiz4348 Huwezi sema kitu hukijuwi Wala kukana kitabu change mwenzio, katafute Ukweli kisha zungumza
@mussakeston57682 жыл бұрын
Ulitaka kwenye uislam kusigiswe
@selmaselma84522 жыл бұрын
@@mussakeston5768 akasome Kwanza kisha ndio aseme Mimi siwezi zungumzia kitu chochote kama cna uhakika nacho Sasa kwenye dini ndio kabisaa
@madetetv65762 жыл бұрын
@@selmaselma8452 huyo Shekh kasoma Madrasa huyo
@justerelias62223 жыл бұрын
👏👏👏👏
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Asipende kutumia Simu kusoma Neno La Mungu,Mnapomuarika ajitahidi kuja Na Biblia
@kijahnikwelinyalinga17403 жыл бұрын
History au mjadala wadini umeishiwa story
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Haja ishiwa kuna vitu ulikua huvijui una. elimishwa
@andrewbigambo67213 жыл бұрын
Truth shall set you free.tusiongope kusikiliza imani zote tumeletewa.hats ukristo ni matendo mema sio kujisikia mkristo wakati ni mnafki.
@achsahcharles67283 жыл бұрын
Definition ya dini ni "way of life "!!! Muisrael yuko radhi kufa kuliko kuwa Mkristo, Davista, majibu unayoyatafuta hata Mnyeshani hana! Unatafuta tu kumchonganisha na Biblia imekataza mijadala ya hivi! Kama unataka ukweli ingia magotini muulize Mungu na si binadamu maana wote tunachoongea ni mitazamo yetu kulingana na tunachoamini, mazingira yetu, tulichosoma etc! Muombe Mungu majibu coz wote ni binadamu ambao ufahamu wetu Mungu ameulimit!
@michelleathumani4203 жыл бұрын
Safi sana
@abdulbasitsalim61333 жыл бұрын
Dini gani ulio iacha Wewe njia yako ya maisha ilikuwa Uganga uchawi na ushirikina. dini yako ilikuwa ni hio. Usijusingizie ulikuwa mwislamu. Ukumbuke story yako Ulisema mwenyewe uislamu ulibandikwa tu.
@makame35243 жыл бұрын
Wallah nimecheka 15:10 minutes
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
Jaman me naamin kuna dini moja ambayo ni Islamic naamin qur'an maana ni tukufu na sioni sababu za kuleta maswala ya dini hapa acheni bana😒😒
@francisjoseph10742 жыл бұрын
Uko uliko unapoteza wakti
@aboubakarhidad28863 жыл бұрын
mkutanishe na sheikh mazinge uyo kama anaweza kweli
@marthamaligo4583 жыл бұрын
👂👂🔥👂
@abbyadams86913 жыл бұрын
Oi oi oiiii Davistar tuandalie huo mpambano! Hapa ishu sio Udini bali ni kufundisha watu ili kila mtu afanye maamuzi sahihi. Ni ujinga mbaya kuamini kitu usichokijua.
@hamisiismail25773 жыл бұрын
Yn ww Davista uongei...lkn unaonekana unachoka sana kuliko waongeaji..mara maji mara cjui macopo ya Energy..khaa .
@gregoryalfred87482 жыл бұрын
😅😅🤣
@jesusislord91903 жыл бұрын
Mwambie shekh Yeremia 8;8.. imeandikwa hivi mwasemaje Sisi tuna akili na torati ya BWANA. Tunanayo pamoja nasi?? Lakini tazama kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo... kalamu ya uongo ya wasndishi waongo imeandika uongo juu ya torati...
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Mimi naona hapo ukristo na uisilamu ni moyo wako vile una mtumikia mungu ua mini mungu tu na yesu kristo aingie ndani yako utakua umeokoka
@damarismbatia20293 жыл бұрын
kwa wa Kristo njia ni moja ambaye ni Yesu Kristo ambaye hao wamemkata
@joachimmatondo86463 жыл бұрын
Kaka tunaomba muendelezo wa hii video...
@alindurya28523 жыл бұрын
Davista plz muambie Mnyesheni aache uongo wakujadili maswala ya dini na wala hana elimu yoyote Heri asimulie story yake yeye tu alivyo asi na kuua watu wengi
@jamessakaya62313 жыл бұрын
Uwo ndio ukweli... Sasa unachokataa nn.
@denizamahongo85573 жыл бұрын
Mambo safi
@costavalenci76993 жыл бұрын
Davi mbona kama umenyeshewa 🤣🤣😂😂🤣😂
@ryhislamminamuonamsengetu91113 жыл бұрын
Nimewai leo
@Teacher_013 жыл бұрын
*DAVISTA NAOMBA USISAHAU KUMUULIZA NINI ALICHOSOMA KUHUSU YESU MAANA ANASEMA KWENYE ELIMU ALIOISOMA KIPINDI AKIWA MCHAWI WALIMZUNGUMZIA KIUNDANI*
@jeniverstanley52829 ай бұрын
Msikilize vizur this guy anajua kuhusu Yesu sana
@seqtawa3 жыл бұрын
Uyo anayejita omary naisi qruwan aijuwi aendelee na mada nyingine
@michelleathumani4203 жыл бұрын
Kabisaa
@ismailbakhresaiin333 жыл бұрын
Napenda kuangalia iyi Chanel lakin kwambo ya dini apo mtakosea sn ushaur wabur kabla utajaanza kupungua umu
@oscarkibate19133 жыл бұрын
Mwaswali amboyo Vista unauliza yatamfanya Munyeshani aonekane mbaya kwa watu wengine. Ukitaka kujua mengi kuhusu dini fanya uchambuzi wako. Pia angalia David Wood, Sam Shamoun, Dan Gibson, Jay Smith wote Hawa wapo KZbin. Vista mchanga sana kwenye maswala ya dini.
@michelleathumani4203 жыл бұрын
Kabisaa. Yani umesema maneno mazuri comment zako zote
@erickngatunga23593 жыл бұрын
ndugu mwandishi huwezi kuuliza kama waislam wapo sawa au hawapo sawa!!! anaeweza kujibu hilo swali ni MUNGU pekee.
@martinipetro93383 жыл бұрын
Davsta unazingua story mnaacha mnaenda kwenye dini
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Davistar naomba namba ya omar munyashani plz
@jannyrose53673 жыл бұрын
Mimi sijapata Video inayofatilia 6 😭😭😭😭😭
@sharifuburuhani19696 ай бұрын
Tunaomba namba yako ili tukae MUNAQASHA Tafadhali
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
Koran si ya kuaminika hata kidogo. Hasira ruksa.
@joycesycherlwy38353 жыл бұрын
Naomba namba ya mnyeshani
@najimyahya79013 жыл бұрын
Naona jini kisirani kaingia kati 😀😂😂🤣🤣 15:14 minutes
@aboubakarhidad28863 жыл бұрын
ww ushirikina hujaacha bado
@ramayasly45843 жыл бұрын
Mie nawasalimu sana lakni hapo kwa huyo jamaa kuhusu mambo ya dini yataka ufahamu mkubwa sana kaka
@nghoneranestory21533 жыл бұрын
Davistar mm naona mambo ya dini ungeachana nayo bro twendelee na story unatuchelewesha tu
@presenttruthloudcryforthel53383 жыл бұрын
Hamtaki dini yenu ya uongo iguzwee😂😂
@crownprinceea24562 жыл бұрын
wapenda mambo ya kichawi
@mzanziforshow91493 жыл бұрын
Wewe Ni kuongo wapi mtume Muhammad SWW alisema kwambia bilbia ime punguza maneno
@estermosha19853 жыл бұрын
mbona story ya yule dada wa tarakea huiweki davista unazingua duh umekazania tu huyu sheikh
@pilimusa77703 жыл бұрын
Tumeingoja kweli
@estermosha19853 жыл бұрын
@@pilimusa7770 yani amekazania huyu sheikh
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@estermosha1985 hatari.
@conniemuthini2593 жыл бұрын
Hey, Muulize kuusu MALILA ndio tuelimike zaidi
@zolongOne6 ай бұрын
Hicho chuo ya Fal noor kipo mkoa gani?
@aboubakarhidad28863 жыл бұрын
devister uyu mshirikina ingelipendeza uka mkutanisha na sheikh mazinge asijitambe apo ana potosha jamii hana lolote muongo mkubwa uyo
@igurusitv65533 жыл бұрын
Huyo shekhe mazinge wako, ashawahi kukutana na hiki kichwa akakimbia🤣🤣🤣🤣🤣
@aboubakarhidad28863 жыл бұрын
@@igurusitv6553 ulimkutanisha nae ww au na wapi
@igurusitv65533 жыл бұрын
@@aboubakarhidad2886 usitoe povu bwana mdogo, KZbin si ipo tafuta
@يوسف-ح1ل9ن3 жыл бұрын
Kaka utatupunguza kwakweli udini usiupe nafasi acha mtu aongee matukio aliyopitia na sio kuhubiri
@shau782 жыл бұрын
mjadala wa nani yuko sawa hauna afya kabisa. nashauri tuachane nao. mimi natamani tumtangaze Kristo Yesu tu basi. biblia inasema AAMINIYE NA KUBATIZWA ATAOKOKA. So tumtangaze Kristo wanaotaka waokoke wamfuate Mwokozi. kubishana ni kutumia hekima za kawaida kumuongelea Kristo. sioni tija.
@shizaarfred40593 жыл бұрын
Yani tungebaki kujifunza tu kutoka kwawatoa story na s kubeza au kutukana s nzuri kila mtu abaki na imani yake maan hapa naona wengi wanamlaum mnyeshan ila mjue anacho kiongea ndio explains yake ila ww ubak na unacho kiamni wewe usimdhalau mwingine ww yakupasa usikilize na tujifunze nahakika kutoka kwao kunavingi utajifunza sina hakika kama unavijua vyote bado tuko darasan
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Nasubiri shehe Omari na huyo usthadi ni vipi mbona hakuna mregesho
@ramadhangona90853 жыл бұрын
Wakwaaanza tena....tuburudikeni
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hongera
@bonphacewambura82063 жыл бұрын
Story yak umeiyanza vzr Ila sas unazingua
@shoarimahege27553 жыл бұрын
davist unazingua unaanza mijadara ya dinitena?
@MikereMio3 жыл бұрын
Kwa nini waislamu dini yeni ikimurikwa mnakuwa na homa sasa au mnajua mnaishi kwenye glass house
@khadijamusa80843 жыл бұрын
Din iachen jaman
@ibrahimmohamedi44983 жыл бұрын
Omary angekutana na Latino kwenye bato ya dini
@pilimusa77703 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ingekuwa hatari
@jawadyrasheed68803 жыл бұрын
Hatareeeee snaaaa yan angleza hyu omar
@khadijaomari93443 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@musazabron30963 жыл бұрын
Ingependeza Sana maana Latino Ni noma Sana
@saadiaali56093 жыл бұрын
Bibilia imebadilishwa isa alipaa mbinguni kwaininyie wa bibilia munasima isa amafariki hapo davistar tunataka kina manzinge na huo ili watufafanulie vizuri
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Ndugu kama mpaka leo hujaokoka basi jua kuzimu ya Majini inakuhuhusu na ndio basi tena tumia akili yako ya kibinadamu usitumie nguvu ya Dini utakua unapotea huku unajiona Yesu ndo kila kitu na ndio msaada kwako
@pilimusa77703 жыл бұрын
Davistar huyu mtu kakuambia kasomea uchawi na kufundisha uganga wa kienyeji na kabadili dini kuwa mkristo, sasa mbona unamuuliza kuhusu uislam. Ungemuuliza mambo ya kichawi na kiganga kwa sababu ndiyo aliyosomea na kakwambia. Ukitaka uislam muulize muislam.
@salumsamesame17413 жыл бұрын
😁DAVISTA NI KWELI WAKUTANISHE OMARY NA HUYO SHEKH NI BONGE LA INTAVIEW AISEE
@jannyrose53673 жыл бұрын
Omar move on....never turn back
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Narudia story hii kwa kusikiliza upumbavu wa uislam wa sasa kuanzia ulaya mpaka Tanzania wengi ni wehu wakibanwa na maandiko point yao Biblia is corapted sasa nani alikorapti hawana majibu zaidi ya kubadilisha mada tena kiuongo zaidi
@ryhislamminamuonamsengetu91113 жыл бұрын
Hamjambo lkn
@dallasabinchar51283 жыл бұрын
Uyu mtu ongea nae kuhusu uchawi eko na elimu ya kichawi but about islam or Christianity this man need to learn because he hasn't elimu ya dini yote bili