(part.1)Dj,MURPHY,MSATI,JUMA KHAN LUFUFU,MACK,AFRO, NDIO HAWA APA.

  Рет қаралды 125,174

dax media

dax media

Жыл бұрын

Hi video inakufahamisha watafasiri wa filamu ambao wanaingiza sauti kwa lugha ya kiswahili
PART 2👇👇👇👇
• (part.2)DJ SPENCER, DJ...
THANKS FOR WATCHING PLEASE SUBSCRIBE🙏
‪@daxmedia9‬ ‪@daxmedia9‬ ‪@daxmedia9‬ ‪@daxmedia9‬
TAZAMA HISTORIA MBALIMBALI YA VITU&WATU👇👇 • #mfahamu.ngugiwa'thion...
• FAHAMU KISA NYUMA YA W...
• SIMULIZI YA KUSIKITISH...
• KOMBE LA DUNIA LILILO ...
• HISTORIA YA SOLOMON MK...
KWA BIASHARA & MATANGAZO👇👇
Email us:dreezydax@gmail.com
WhtasApp&☎️+225759599899
FOLLOW US ON 👇👇
instagram: / dau.dax_dreezy
Twitter: / daudax_dreezy
Tiktok:www.tiktok.com/dau.dax_dreezy
Fecebook: / daudaxdaktarimtangazaji
Cc by ig@dau.dax_dreezy
#djafro #djmurphy #daxmedia #daxnews #daxupdates #youtwatchingnow #djmsati #djjumakhan #lufufu

Пікірлер: 353
@daxmedia9
@daxmedia9 9 күн бұрын
Part 2 hii apakzbin.info/www/bejne/mXLWlJJmnK2tobM
@veronicadickson9742
@veronicadickson9742 Жыл бұрын
Timu Murphy gonga like
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@islamrashidpeter519
@islamrashidpeter519 Жыл бұрын
Hawamjui
@LindaChristine-zj6xu
@LindaChristine-zj6xu 2 ай бұрын
Murphy ❤
@samsonjfundy1896
@samsonjfundy1896 Жыл бұрын
Tulio pamoja na dj mack gonga like hapa
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@jacksonhaggai6771
@jacksonhaggai6771 Жыл бұрын
Maybe stie Mack
@xmaramoja362
@xmaramoja362 Жыл бұрын
Mwamba huyu hapa Dj mack hafai
@danielluxford
@danielluxford Жыл бұрын
Daniel
@zhynjurniour5138
@zhynjurniour5138 Жыл бұрын
Dj afro always will be the king .
@ashamsusa7617
@ashamsusa7617 Жыл бұрын
Jaman DJ Murphy Yuko vizur mnoo
@mjungatv8172
@mjungatv8172 Жыл бұрын
Dj Mack Dj Mack Dj Mack Juma Khan Juma Khan Juma Khan. Shkamoni San Ila Dj Mack we kisiki Sana jamaa anajua mnooo
@sabinibra3513
@sabinibra3513 Жыл бұрын
Nyinyi Dj Afro bana yule jamaa anajua bana, alaf yeye anatafsiri hawa wengne wanakusimulia, alaf dj Afro muwekee movie ya aina yoyote ile yeye anaitafsir na utaipenda
@lyricsnation001
@lyricsnation001 Жыл бұрын
Dj Afro should be at number 1
@ivyaguas2171
@ivyaguas2171 Жыл бұрын
Team Afro ❤️❤️
@apctvafrica1309
@apctvafrica1309 Жыл бұрын
Dj Afro should be the ONE Jeejey in East Africa uyo wanasema sijui Dj Rufufu ata sauti yake inagwara uyu hana sifa ya kuwa Dj
@braintonbirya7178
@braintonbirya7178 Жыл бұрын
Top ranking DJ AFRO AMIGOZ aka KIMODA... from KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥🔥
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@dobeman047
@dobeman047 Жыл бұрын
Respect Sana Murphy and mark dj
@sabinibra3513
@sabinibra3513 Жыл бұрын
Nyinyi Dj Afro bana yule jamaa anajua bana, alaf yeye anatafsiri hawa wengne wanakusimulia, alaf dj Afro muwekee movie ya aina yoyote ile yeye anaitafsir na utaipenda
@peninacharles9757
@peninacharles9757 Жыл бұрын
DJ MACK JAMAA NI MASHINE SANA
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@geofreylucas1877
@geofreylucas1877 Жыл бұрын
Kwa wazee wa dar ndo tunamuelewa hao wengine walikuwa Bado sana kitambo icho
@swaxflix3742
@swaxflix3742 Жыл бұрын
🔥
@silviaantony677
@silviaantony677 Жыл бұрын
Nampenda sana huyu dj
@sabinibra3513
@sabinibra3513 Жыл бұрын
Dj Afro ndio number 1, wanaukubali wote like hapa.
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
Umezaliwa juzi lazima umpe no 1 kwa sie wa enzi tuachie Marehem Lufufu Mkandara tuendelee kumkubali
@rbkthura8412
@rbkthura8412 Жыл бұрын
Afro number one
@sabinibra3513
@sabinibra3513 Жыл бұрын
@@Official83640😂 kaka Mimi Ni wa 91, huyo rufufu mkandala namjua vizur sana nimeangalia movies zake nyingi sana sijaishia nikaja kuwa mpenzi sana wa movies za dj mack na Juma Khan baadae akatokea huyo Dj Murphy wote nimeangalia movies zao kasoro Huyo Msati ndio cjui, na mimi nilianza kumfutilia Afro 2017 ndio mpk leo Mimi na Afro tu yan yuko tofaut sana na hao wengne
@sabinibra3513
@sabinibra3513 Жыл бұрын
@@Official83640 sasa sijui wewe umezaliwa miaka gan bro ?
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
@@sabinibra3513 Kumbe ndy maana nilijua wa wa 80 huko 91 tushaanza shule ya msingi ww ndy unazaliwa🤣🤣
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 Жыл бұрын
DJ Afro ndio kubwa lao wengine hao hata lugha hawajui
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@robincemusic646
@robincemusic646 Жыл бұрын
DJ afro is the man
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@ronald_terer
@ronald_terer Жыл бұрын
Dj Afro🇰🇪🔥
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@sabinibra3513
@sabinibra3513 Жыл бұрын
Nakuunga mkono Afro ni number 1 huyo ni moto wa kuotea mbali alafu huyo Jamaa yan muweke kwenye movie yoyote ile yeye anaifanya vzr
@petermwalongo7592
@petermwalongo7592 Жыл бұрын
Mapphy nakukubal sana hata kama move ni ya kawaida inakuw nzuri
@sabinibra3513
@sabinibra3513 Жыл бұрын
Nyinyi Dj Afro bana yule jamaa anajua bana, alaf yeye anatafsiri hawa wengne wanakusimulia, alaf dj Afro muwekee movie ya aina yoyote ile yeye anaitafsir na utaipenda
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 Жыл бұрын
Dj afro ndio baba lao dah anajua saaana🔥🔥🔥
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@swalloonpoint2306
@swalloonpoint2306 Жыл бұрын
Dj Mack achechee production ni mtu hatari when comes issue ya kutafsiri movies, acha kabisa.
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@apctvafrica1309
@apctvafrica1309 Жыл бұрын
Uyu amekuja kwa industry juzi tu, but ako sawa💐👌
@edwinelias8554
@edwinelias8554 Жыл бұрын
Achecheeeeee production Dj mark ndio baba lao
@sabinibra3513
@sabinibra3513 Жыл бұрын
Nyinyi Dj Afro bana yule jamaa anajua bana, alaf yeye anatafsiri hawa wengne wanakusimulia, alaf dj Afro muwekee movie ya aina yoyote ile yeye anaitafsir na utaipenda
@omarmussa2325
@omarmussa2325 Жыл бұрын
Dj mack katisha Sana 🔥🔥🔥
@fathiyamohamed7919
@fathiyamohamed7919 Жыл бұрын
Sura na sauti zao ni tofaut ila dj msati, Murphy, juma Khan na mack wako juu sana napenda movie zao yaan ata km movie mbya kwa hzi saut tu nakesha nazo🔥🔥🔥
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@isaacamani145
@isaacamani145 Жыл бұрын
Kote wapi na wapi lakin afro ekemodaaa aaaah edungania 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@adesmiler7259
@adesmiler7259 Жыл бұрын
Dj Afro 💓🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪
@actiontime3048
@actiontime3048 Жыл бұрын
Likes za dj Afro hpo wee
@abdulzackawami7780
@abdulzackawami7780 Жыл бұрын
Juma khan🇹🇿Dj Mack,Lufufu makandara..🙏🙏r.i.p Lufufu mkandara
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@user-es2zu2rr6s
@user-es2zu2rr6s Жыл бұрын
makin sana bro
@joelmagori6001
@joelmagori6001 Жыл бұрын
Dj Afro ndiye wakali wao
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@charlesathuman6228
@charlesathuman6228 Жыл бұрын
R.I.P Lufufu
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI PINDI ZITOKAPO
@swaxflix3742
@swaxflix3742 Жыл бұрын
nakubali
@mgenitsuma8141
@mgenitsuma8141 Жыл бұрын
Afro🥰
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@krzy6922
@krzy6922 Жыл бұрын
Kumbe huyu ndo afroo🤣
@richarddominick3172
@richarddominick3172 Жыл бұрын
Lufufu the GOAT
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@AmomakiniPro
@AmomakiniPro Жыл бұрын
nakubali
@mustakimukarimu5165
@mustakimukarimu5165 Жыл бұрын
Daaaaah dj afro amigos ndo habari ya mjini mzee baba ila ommy dj umemsahau
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@cityeldermedia23
@cityeldermedia23 Жыл бұрын
Hit Content 🙌
@bital240
@bital240 Жыл бұрын
DJ afro he is the father
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@brendashao2686
@brendashao2686 Жыл бұрын
DJ afro
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 Жыл бұрын
Lufufu umenikumbusha mbali sana, alitafasiri movie moja ya kinaijeria ya my love iliyochezwa na Ramsey Noah daa alijua kuniliza, Dj Murphy kwa movie za kikolea alinishika sanaaa
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@kefaluminas286
@kefaluminas286 Жыл бұрын
Hamna DJ wa kizazi hiki ana mvuto wa Afro amingos....licha ya kuwa Mimi in mkenya, lakini ukweli usemwe, na bado hatujampata mwanafilamu kama Kanumba ama msanii wa nyimbo kama simba wa tandale yaani Mondi.
@nkushiflix3734
@nkushiflix3734 Жыл бұрын
bro u Killin it day after day ,,,unyama Sana mwanang
@johnyagat973
@johnyagat973 Жыл бұрын
Anae makeki sensi ni afro sauti adi muonekano vinalingana wengine wote ukiacha mkandala nawashauri wabadilishane miili
@alansixbert4653
@alansixbert4653 Жыл бұрын
Kwanza anaongeaga fact. Sio eti subtitle inasema welcome, dj anasema Sina Hela ya chai😀😀😀
@moto-junior
@moto-junior Жыл бұрын
Wana DJ afro like hapa
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@mptheswagz5399
@mptheswagz5399 Жыл бұрын
Mwaambaaa uyu apa J Khan, chuma cha reli bila kumxahau Dj Mack, hexhima kwenu, By Mp The Swagz Artist From M Flaver Cloo.....
@malkiawafizi2394
@malkiawafizi2394 Жыл бұрын
daaa kumbe dj Murphy ni kijana hivyo afanani na sauti yake.nawapenda sana hote madj wangu.
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@davidbiseko511
@davidbiseko511 Жыл бұрын
Dj Mack yuko vizuri kuna madj wamevamia soko ni waongo sana
@pyzzocatto1829
@pyzzocatto1829 Жыл бұрын
Always lufufu atabakikua no 1
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@jamalmanzi5239
@jamalmanzi5239 Жыл бұрын
Na wala hafanani sauti na Dj Mack
@mussasahani6520
@mussasahani6520 Жыл бұрын
Mack mnyama sana
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@sabinibra3513
@sabinibra3513 Жыл бұрын
Nyinyi Dj Afro bana yule jamaa anajua bana, alaf yeye anatafsiri hawa wengne wanakusimulia, alaf dj Afro muwekee movie ya aina yoyote ile yeye anaitafsir na utaipenda
@apctvafrica1309
@apctvafrica1309 Жыл бұрын
@@sabinibra3513 Hapo sasa💥
@AaAa-vq5pu
@AaAa-vq5pu Жыл бұрын
Dj Msati na Murphy nawapendag sana. Msati kwenye Meri ashq ni noma sana. Murphy kwenye Korea dram nampendag sna
@ibrahtonny2510
@ibrahtonny2510 Жыл бұрын
Mtu wenye sauti ya kichawiii🙌🙌🤣 unajua sana kaka
@apctvafrica1309
@apctvafrica1309 Жыл бұрын
Rudi chuo, bro unaitaji masomo kiasi😏🙄
@bexy.
@bexy. Жыл бұрын
Lufufu dj Mack muphy juma Khan nawakubali sana
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@dobeman047
@dobeman047 Жыл бұрын
Ila kaka kwa wahid tulipigwa Sana ety
@pmall8867
@pmall8867 Жыл бұрын
Dj Mack movie za Ki zombi 😂😂
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU KAM BADO
@ngashypera3731
@ngashypera3731 Жыл бұрын
Unamfahamu ommy dj au babu dj wote hawa niwarushaa apoukimtoa dj afroo akunaa anaweza kuingia kwenye recod zakina ommy dj au babu dj niatari nanusu
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI....Asante kwa maoni yako tutafanyia kazi
@neltone
@neltone Жыл бұрын
Sio kumuiga,inspired
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@emmymajula5164
@emmymajula5164 Жыл бұрын
Dj msati anazingua sauti ndogo sana
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@vononlinetv6396
@vononlinetv6396 Жыл бұрын
Fj Afroo
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@user-yv2fc6gy2k
@user-yv2fc6gy2k 9 ай бұрын
Aaa wew achen utani jamn dj Murphy is the best
@badrudiniabdulkarim1059
@badrudiniabdulkarim1059 Жыл бұрын
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh rufufun Dj Mark sauti tofauti kabisaaaaaaaaaah wacha kutudanganya
@naurathsayd1107
@naurathsayd1107 Жыл бұрын
Nyie MUPHY anasauti bana yaan yupo vzr sauti imetulia movie za waingereza hata kama anadanganya lzm ukaeee muphy foreverrrr
@ashamsusa7617
@ashamsusa7617 Жыл бұрын
Jumakan Yuko vizur sana
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@fatumahassani6987
@fatumahassani6987 Жыл бұрын
Bhn bhn hunambii kitu kuhusu Dj Murphy na msati saut zao tu 😍😍😘
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@mpembeearaphaty6022
@mpembeearaphaty6022 Жыл бұрын
Dah ovyo sana brother... Jitahid kupresent
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI.....AHSANTE KWA MAONI YAKO TUTAFANYIA KAZI
@sophiamussa4319
@sophiamussa4319 Жыл бұрын
Kwangu ni Bora Zaid juma Khan, dj Mack na msati km unawakubali gonga like
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@latifaonesmo7629
@latifaonesmo7629 Жыл бұрын
Ktk wote ao wawili ndio nawakubali sana juma Khan na msati kiukweli picha za kiindi ataakama mbaya unaipeda
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@Andrewnchenge-il7ij
@Andrewnchenge-il7ij Жыл бұрын
Shukrani iendee familia ya juma Khan chikongwe...nakubar sana
@yussufomar5571
@yussufomar5571 Жыл бұрын
Hazifanani sauti ya j mashine na lufufu ni tofauti
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@asegaericktv
@asegaericktv Жыл бұрын
Hakuna anayemkaribia hata DJ afro
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@safichristine5179
@safichristine5179 Жыл бұрын
Dj msati baba la baba
@Evelin570
@Evelin570 Жыл бұрын
Umesahau Ally dj
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI....Ahsante kwa maoni yako tutafanyia kazi
@malmamussa7075
@malmamussa7075 Жыл бұрын
Unyama san kaka 😂
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
#yourwatchingnow
@ntanilanjema04
@ntanilanjema04 Жыл бұрын
Lufufu ndo wa kwanza , RIP Legend
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 Жыл бұрын
Jumakhan na dj marck
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@kefaluminas286
@kefaluminas286 Жыл бұрын
Afro diye guru....kimonda
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@user-rb6ob4no7z
@user-rb6ob4no7z Ай бұрын
dj mjukuu unaniangusha sema nakukubali
@lilchampion1960
@lilchampion1960 Жыл бұрын
Nimekubali
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@allyissa1174
@allyissa1174 Жыл бұрын
Tofautisheni Kati ya DJ MURPHY NA ALLY DJ THE KING HIMSELF HUYU ALLY DJ NDO HATAR SNAA
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@ashamsusa7617
@ashamsusa7617 Жыл бұрын
Mzee WA achee uwa nacheka sana
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Жыл бұрын
Mara ya kwanza kupandaaa ndeeegee
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU @hussein Konz KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@Baday_8
@Baday_8 Жыл бұрын
Umemsahau mmoja wa movie za kihind za zaman R.i.p TARIQ AZIZ 🥺💔🤍🕊
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI....Asante kwa maoni yako tutafanyia kazi kwenye story zetu zijazo
@suhailarashid8307
@suhailarashid8307 Жыл бұрын
Tariq kafa au
@kritophbazenga9361
@kritophbazenga9361 Жыл бұрын
Dj Afro ndiye 1
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@antaryomary6766
@antaryomary6766 Жыл бұрын
Oyo una mjua ommy Dj no1 tz Dj hawafanan na mwamba luffu LA bda kitale
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@leahsamson9354
@leahsamson9354 Жыл бұрын
LUFUFU MPAKA SASA HAKUNA MBADALA, WENGINE HOVYOOO!
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@titholutitu3016
@titholutitu3016 Жыл бұрын
Kuna m2 anaitwa Dj mjukuu ni kwer hyoo
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@islamrashidpeter519
@islamrashidpeter519 Жыл бұрын
Sijamsikia Ommy Dj
@poulndimila4588
@poulndimila4588 Жыл бұрын
Msati kweli amesota sana aliaza na kutudanganya mtaa moja wa kibaon singida
@johnyagat973
@johnyagat973 Жыл бұрын
Yan sio kama nilipokuwa nazaania
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI...AHSANTE KWA MAONI YAKO
@lewismuriithi3920
@lewismuriithi3920 2 ай бұрын
Dj Afro and dj mack fire
@lewismuriithi3920
@lewismuriithi3920 Жыл бұрын
DJ Afro and DJ Mack
@denisgitonga5410
@denisgitonga5410 Жыл бұрын
afro and mack
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@brunomassawe5245
@brunomassawe5245 Жыл бұрын
Lufufuuuuuuuuuuuuuu waveeeja
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@johnyagat973
@johnyagat973 Жыл бұрын
Murphy huwezi Amin ila kikolea ndio anauaga alipo amia India naona kapotea
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@SMTBLAND
@SMTBLAND Жыл бұрын
Dj Murphy the really voice
@suleimanmuhammed4655
@suleimanmuhammed4655 Жыл бұрын
Vipi kuhusu baba D
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@simulizizashafihzuberymush3350
@simulizizashafihzuberymush3350 Жыл бұрын
Hivi una mjua Ommy Dj
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@IbrahimJopham-z3b
@IbrahimJopham-z3b Ай бұрын
Dj Murphy big up
@dobeman047
@dobeman047 Жыл бұрын
🔥🔥🔥✌🏿💪🏿
@fredsonleonard9963
@fredsonleonard9963 Жыл бұрын
Mark Yuko juu sanaaa
@zungusela3071
@zungusela3071 Жыл бұрын
Nawakubali Sana awa ma dj ni Fireeeeee 🔥🔥🔥⛹️
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
KARIBU KATIKA CHANNEL USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA UPDATES MPYA KWA WAKATI
@shukulutumaini
@shukulutumaini Жыл бұрын
Dj afro gonga like
@wasilaahmad7913
@wasilaahmad7913 Жыл бұрын
Juma Khan na lufufu wanajua wanajua tena kuliko woooote
@doctormwalimjuma8040
@doctormwalimjuma8040 Жыл бұрын
Namba zenu
@daxmedia9
@daxmedia9 Жыл бұрын
chukua kwenye discription
@user-ml6sc9cq1h
@user-ml6sc9cq1h 6 күн бұрын
Dj afro the best🙌
@judithmashauri7017
@judithmashauri7017 Жыл бұрын
Bro make sure hufi bila kujengew sana ok!!😜
@emmymajula5164
@emmymajula5164 Жыл бұрын
Dj mack Yuko poa namuelewa juma Khan ndo kabisaaaaa
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 25 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 16 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН
TOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MKE || MISEMO YA KELVIN KHAN || DONTA TV
4:27
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
SHUHUDIA DULVAN ALIVYOTAKA KUKIMBIA STUDIO / KISA KIZIMA HIKI HAPA
6:01
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 25 МЛН