Wanafanan kabisaa ila hutu dada kamzidi zari kwa uzuri asee
@Kakwasi10 ай бұрын
Halafu yeye ni mnatural kila mahali
@rahmaoman47010 ай бұрын
Uyu dada anajielew sana Allah akujaliy kweny kaz zko na akutunze 🥰🥰
@kamanapomo702910 ай бұрын
Anajielew nn? hakuna checho te hapo, huyo kunamtu nyuma yake ukitaka kujua hilo sikiliza majib anayo yatoa kuhusu ndoa akitoka kwa mwaka kwa sababu tayar alijua anapo elekea
@allthingdranabeauty10 ай бұрын
Nampendaga huyu Dada Ni Queen kweli kam jina lake yuko very classy feminine yan huwa nawmanglia sana anatufundisha waweza kuvaa classy na ukapendeza mzuri bila kuonesha sana
@anisanassoro524610 ай бұрын
Inshallah mungu amsaidie huyo dada mie Huwa nampenda sana mungu amuongoze apate mume mwema nikiwa kama mzazi mungu akubariki kipenzi
@yousramutwale246310 ай бұрын
Wewe mzuri sana mwaka alikua mnyanyasaji uyo
@user-tt6jt8pz5m10 ай бұрын
Queen NAKUPENDA SANA. ULIPITIA MAGUMU❤❤SASA UNA LIFE YKO MUNGU AKUONGOZE. UR SO BEAUTIFUL
@omanqqwe4061Ай бұрын
Nakupenda sana dada
@elishaworkout6116Ай бұрын
Mungu akulinde malkia wang uish sana
@marryeliasmarryelias92898 ай бұрын
Nakupenda dear sister queen ❤❤
@MatildsChami10 ай бұрын
Kwakweli nakukubali sana na najifunza kupitia wew sana natamani nipate mawasiliano yako Mungu akulinde daima
@nahyialetomia928410 ай бұрын
Mama safi 🎉
@CalisternongiHaule-vk6ch10 ай бұрын
Kunabaadhi ya watu ukiachana nao katika maisha milango lazima ifunguke
@user-nd8gg4ig7m10 ай бұрын
❤❤❤❤❤natamani nikupe zawadi umenigusa mno
@iddymohammed189010 ай бұрын
milango ipi mzeee?? unadhani ni yeye hapo au unadanganya watu waachane na sehem sahihi walizopo waige kutoka kwemye ndoa waje warande mitaan... huyo ni mtu mzima saiv kutangaza mapensi mapaja nje haina maana na huo sio uhuru.. msikilize vizur yeye mwenyew anachoongea usipoteshe watu.. NDOA ni kitu cha heshima sana subiri uoe au uwe na mtoto aolewe then itokee aachike ndo utajua vzr pia kama huna cha kusema kaa kimy ni bora zaid kwako anasema hafikirii tena ndoa ila ana mahusiano ya kawaida, je wewe ungependa mwanao awe kweny ndoa au mahusiano ya kawaida?? SHIRIKISHA AKILI KABLA HUJANYANYUA ULIMI WAKO UKAJIFANYA UNA INSPIRE SANA
@matridamwandambo965610 ай бұрын
Kabisa mm nilikuwa na mpenz toka niachane nae 😊😊❤❤❤walah na enjoh
@monicaissah566210 ай бұрын
@@iddymohammed1890mmmh ayo simaoni yake
@malak-lz6kx10 ай бұрын
@@iddymohammed1890umeongea maneno mazito sna ila madada wa uko wnawaza uhuru wa kujitofikiria kuna kesho yke ndio hao
@ashamonamachicha865310 ай бұрын
Allah akulinde na kila unachopamba
@salimnassor321210 ай бұрын
what a germ huyu ni mwanamke ukisikia anavyojibu na alivyo muonekano kitabia anastahili heshima nimempenda sana
@berthamakortha83879 ай бұрын
Uyooo NIII original ❤🎉🎉
@berthamakortha83879 ай бұрын
Mimi nampendaaa yaaaan sisemiii NI mkweri. SANA.❤❤❤❤
@Kakwasi10 ай бұрын
Very beautiful mama
@user-ex6kk5jb4y8 ай бұрын
Love😂 U so much my dear unatia moyo sana ww dada ujui tu
@JeniferMassawe-lu3de10 ай бұрын
Mzuri sana
@Judy-dy4zt10 ай бұрын
Sana wanaume wanatuchakaza ingawa sio wote
@berthamakortha83879 ай бұрын
Mzuri SANAAAA Jamani khaaaa
@osodowilberforce232110 ай бұрын
Huyo mtangazaji hana adabu,mbona anamusogelea huyo dada kishenzi hivyo?Na hayo maswali yake mengi ovyo ovyo tuu.
@kombakomba792210 ай бұрын
Una damu ya nguo,in short unapendeza Sana.
@happynescostat742010 ай бұрын
Ongera dada!
@salamsabdullah-st9pt10 ай бұрын
Wow mom🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪
@berthamakortha83879 ай бұрын
Nyie WAACHENI USHAMBAAA. WASWAHILII WAKUBWA. UYO BINTI SIO MZEEE LOOOO NA NGUO AU MAVAZI AYANA UZEEEEE. SIO MKUBWA NA SIO MZEEEE DUUUU WABONGOOOOO
@glorianikiza394010 ай бұрын
❤🔥
@BabaBalingasi-hp6gd10 ай бұрын
Hivi kwelii hata kama amekuzidi umri una ubavu wa kumkata? Ni hatarii sana huyo
@marryeliasmarryelias92898 ай бұрын
Mungu akutunze wewe na wanao
@jojotz121010 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉😊
@user-zn3un8gs3d10 ай бұрын
Dada naomba mawasiliano nataka kununua nguo unazitangaza nipo huku Iringa
@lindahjoseph836010 ай бұрын
You look like mama tiffah
@rudiaeliakim217210 ай бұрын
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@Kakwasi10 ай бұрын
WAOH WAOH.
@fedhandunga593510 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@jacklineanthony51919 ай бұрын
Napenda majibu yako
@issazalala490710 ай бұрын
Umri ukienda isia zina pungua yupo Sawa
@glorianikiza394010 ай бұрын
Piga kazi dada uachane na ndoa kwa sasa
@user-ix9rn5yh4l2 ай бұрын
hakuna zaidi ya ushabiki wa kidini
@dorcaskarago287610 ай бұрын
Dr mwaka alimpuuzia mwanamke mwenye hekma na akili
@nassirsalim667910 ай бұрын
Ila dada mgumu kukubali uyu mm pia mmoja wapo narusha msg sana 😅😅😅
@bahiyaseleman583810 ай бұрын
😂😂😂😂
@welcometoeat16510 ай бұрын
Roja anajarb kutupa ndoano
@happypetro294810 ай бұрын
Kama dokta mwaka anammezea mate hapo
@MohonoMwita8 ай бұрын
Unatafuta kiki lakini huna jipya kama umeachana na mwaka kwanini bado unamoongelea mitandaoni huna akiri ila punguza maneno kwenye mitandao
@KhadijaAbdallah-kn3ii10 ай бұрын
Abaya zipo hadi za 30000 kwani.lazima za pesa ndefu mbona sie tunavaa na hatujachujika😅😅
Endeleeni kuvaa shida iko wapi kwani ye akivaa akitakacho we na familia yako pia vaeni hizo abaya
@khadjamhozya10 ай бұрын
Na picha ya hamo na zuchu imekukaje, harafu watangazaji wa mutanzania Ni mpenzi tu kuriko aanze na Swari la maana anaanza na mpenzi😂😂😂😂😂
@farida459510 ай бұрын
Mm nlipoona picha ya hamo ndio nmekuja kumbe hkuna kinachoendlea
@florencemeza654010 ай бұрын
Wasukuma wazuri jamani
@user-uo6bo3ph6g10 ай бұрын
😂😂😂😂hujawaona wengne ww,mdomo koma😝
@florencemeza654010 ай бұрын
@@user-uo6bo3ph6g huwajui wasukuma
@suzanlucas949310 ай бұрын
Tuko wazur mno
@MwandigaRuhobe-fm3it10 ай бұрын
Unaumbile la kapendeza bala
@SekelaJakson-ls7dd10 ай бұрын
Afu ni lika la zar uyu ila zar kujikana sasa
@zuheorsalim77598 ай бұрын
Ulikua unataka kuvua stara tu sio?? Uko huru sasa uhuru wa kishetwan
@JafariAbdallah-ot9gp10 ай бұрын
Dunia imechukua chake hapo
@KhadijaAbdallah-kn3ii10 ай бұрын
Huyu mwanamke ame change sana masikini roho yake alikuwa mtu mwenye kujistiri asaivi amekuwa upande wa shetani
@munirahassan596910 ай бұрын
Mkiritu uyu dada.
@zayanazayana535310 ай бұрын
Ni Wanaume Wajinga Wanasababisha hayo Mwanamke Anakubali Kusilimu Anakufata kwnye Dini yko Anakuzalia Watoto Jicho lke linakuangalia ww vp Aishi Matokeo yke Mwanamme wnyw Bilisi hana hata kimoja anachokift kwny Dini yke wl hana Mapenzi Wengi Wanard kwny Dini zao na Watoto wao kw sbb ya Ufisadi Wanaukuta
@happymarwa451710 ай бұрын
Utashangaa wewe unaingia motoni yeye peponi
@wardamohamood10 ай бұрын
Mungu mtu
@allthingdranabeauty10 ай бұрын
Mbona sioni ziwa hapo wala mguu wala uchi mbona kavaa kieshima sana mwenzio anafanya kazi watoto wapate kula
@user-us8gy5pz6w10 ай бұрын
Jamani mdada mzuri Mashallah alikuwa akivaa hijabu mwenyewe alipokuwa na Dr sasa kavua Mungu ajaalie wasuluhishe waendelee kuwa pamoja rudianeni jamani
@kazkaz194310 ай бұрын
Hata alipokua na dr mwaka alikua havai hijabu muda wote alikua anavaa akienda kwenye interviews ila muda mwingi alikua anavaa kichwa waz n jeans michaniko
@scholamodestus938610 ай бұрын
Ulikuwa humfatilii wewe wakati anaishi SA... Alikuwa anavaa vinjunga kinyamwez nouma
@masalakulwa760110 ай бұрын
Warudiane ili iweje
@happinesshezron663310 ай бұрын
Mwache aishi maisha yake ya furaha.
@anisanassoro524610 ай бұрын
Anatafuta mabwanaaa huyo Hana lolote kaishiwa na umri huo Hana aibu!!!!
@ahmedbashash367210 ай бұрын
Umalaya tu ndio uzeeni
@Kakwasi10 ай бұрын
Ni mzuri ni mrembo. Tena huyu sio muislamu tena
@mussakimaro558810 ай бұрын
Dr mwaka kaachia chombo kizuri alikua mshauri wa ndoa yule
@shaaden-10 ай бұрын
Ila dada usirudi kuva vile vinguo vifupi miguu yako hairuhusu😢
@masalakulwa760110 ай бұрын
Mbona anapendeza sana
@khadijajuma627110 ай бұрын
Anapendeza mnoo acha makasiriko t
@winnerlucas592410 ай бұрын
Miguu yake haipendezi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 weeeeeeeeee
@shaaden-10 ай бұрын
@@khadijajuma6271 acheni kumdanganya
@Kakwasi10 ай бұрын
Miguu kapewa na Mungu. Unataka aombe ingine wapi. Ukona miguu ya kumpa
@anisanassoro524610 ай бұрын
Hana lolote....
@abdulrahmanhussein871910 ай бұрын
Wewe unalo?
@wardamohamood10 ай бұрын
Kama wew tu
@winnerlucas592410 ай бұрын
Nyoooooo
@anisanassoro524610 ай бұрын
Namuonea huruma sna maskini Sasa amekua anajinadi mwili wake mpka no ya simu anatoa hakika amepotea mungu amuongoze alikua amestirika kwa mwkaa umri wake umeenda anajinadi huyo Hana lolote hata kama mzuri sio sawa anachokifanya ni uchafu mtupu!!!!anatafuta wanaume wenye pesa Hana lolote huyo....
@queenmollel673910 ай бұрын
Wewe nawe makasiriko tuuu, amesitirika wakati alikuwa ananyanyasika wewe kama umezoea mateso sio wote wanataka ,
@queenmollel673910 ай бұрын
Unamuonea huruma wewe kama nani, unadhani anatangaza biashara za sh mbili, za mamilioni acha ujinga maisha ni mtandao funguka
@glory.patrickkitigwa456410 ай бұрын
Vipi huwa mnadanga nae mbona unamzungumzia as if unamjua sana😅
@glotysadiki342510 ай бұрын
Acha makasiliko ww ndouna lolote
@wardamohamood10 ай бұрын
Nenda wew basi uko kwa mwaka mbona mnapenda kuingilia maisha ya watu
@florencemeza654010 ай бұрын
Mwaka alikuzeesha nahisi umeondoka na nyota yako maana siku hizi hasikiki
@antybabybintrashid233310 ай бұрын
Ata post Sion skuhizi😂
@florangido20210 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@mamboshepea888810 ай бұрын
Hataki tu malumbano baba wa watu kaamua kukaa kimya huo ndo uungwana...hongera Dr. Mwaka kwa kukaa kimya...
@HappyMakoga10 ай бұрын
Queen bado kijana hana utuuzima jamani bado sana nyie mnajua mtu mzima nyie