Mungu Atusaidie naitaji msaada wake kristo Bwana wetu,ushuuda nii mzuri Mubgu awe msaada wetu,Mungu Awabariki sana
@papilumona1896 Жыл бұрын
asante kwa ushuuda muzuri
@queenesther2639 Жыл бұрын
Duh ushuhuda mzuri wenye mafundisho magumu itabidi niurudie rudie Hadi niuelewe zaidi maana una mafundisho makuu na muhimu sana
@maryandason1815 Жыл бұрын
Amen blessed my lovely sister.the power of testimony inafundsha tuwalee watoto katka njia iwapasayo ktka KRISTO YESU....shetan atanii at kidgo Wala Hana mchezo n kupoteza watoto wa MUNGU kwenda jehanam😢
@shuhudazakweli3406 Жыл бұрын
Amen
@endtimes9850 Жыл бұрын
Hizi Shuhuda Hunibariki sana. Mbarikiwe Sana Nyote Manaotenga Muda Wenu Kuziandaa. Kazi yenu sio ndogo
@shuhudazakweli3406 Жыл бұрын
Amen
@vumiliawambula1716 Жыл бұрын
Amina Amina Sana mtumishi wa Mungu
@vumiliawambula1716 Жыл бұрын
Ee Bwana Yesu tupe neema yako bila wewe atuwezi
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Ameen
@carolinederi5690 Жыл бұрын
Amen nmejifunza kumilikisha Yesu uzao wa tumbo langu atawale na kuomba wakat wote bila kukoma 🙌
@shalomkubali4884 Жыл бұрын
Asante saana kwa ushuhuda huu
@livinhillary9804 Жыл бұрын
AMEN
@YESUNIBWANA84 Жыл бұрын
🤲🤲🤲🙏🙏🙏🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️ Ee BWANA YESU NISAIDIE NIKUPENDEZE ZAIDI NA MWISHO WANGU UWE WA KUKUPENDEZA ZAID😢😢😢AMEN AMEN 🙏 🙌
@gracelauzi9746 Жыл бұрын
Asante kwa ujumbe ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo Amina