USHUHUDA WOTE(Part1-9)Aliyekuwa Chifu wa Wageregere kabila la kichawi

  Рет қаралды 221,555

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 306
@rachaelkabro7893
@rachaelkabro7893 Жыл бұрын
Asante yesu kwa ukombozi na pia kwa kunifanya niusikie ushunda huu nimejivunza mengi,mlinde mtumishi wako yesu nakuomba
@jumongjr5837
@jumongjr5837 4 күн бұрын
Asante Eeeh Yesu Wangu ntakukili wewe Leo na Siku Zote za maisha yangu🙏🙏🙏🙏
@peacesirajudin589
@peacesirajudin589 Жыл бұрын
Yaaan jmn dunia hii ina mambo mengi sn ktk ulimwengu usionekanwa kw macho y nyama n damu, eeeh Bwana Yesu Kristo nirehemu mimi Peace usiniache ktk ufalme wako, hakika hapa duniani yote ni ubatili mtupu n dunia itapita n mambo yake lkn neno litacmama, Yesu Kristo nisaidie nikuishie n kuyafanya mapenzi yako👏🤲🏽🙏
@linahmhoya1641
@linahmhoya1641 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana,nimejengwa sana na shuhuda za Mtumishi wa Mungu, Asante sana promover TV
@martindamas8192
@martindamas8192 Жыл бұрын
Alooooo!! Kama naota vile,, hivi kumbe haya mambo yako hiviiiii nakupenda Yesu ❤
@ebenezerwilliam3781
@ebenezerwilliam3781 Ай бұрын
Ushuhuda huu umenijenga kiimani , pia natamani kukutana naye anielezi mambo mengi sana ili yanijenge katika maisha yangu 😊😊😊 ,ninapenda ❤❤❤ sana Ushuhuda wake. Amen 🙏 🙏 🙏
@UmwizaAlbertine
@UmwizaAlbertine Жыл бұрын
❤Asante bwana akubariki tunakupenda saana
@peterthadeo2375
@peterthadeo2375 4 ай бұрын
Nakubali kwa jina la yes kristo ,pia damu ya YESU kristo inifunike Amina nawengine pia
@rachelkamaze
@rachelkamaze 10 ай бұрын
Amina najivunia kuwa na YESU
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 Жыл бұрын
Yesu Kristo wangu nakupenda sana
@jacquejoey4121
@jacquejoey4121 4 ай бұрын
Namshukuru mungu kwa kunileta mali hapa from listening to erica,james,gabriel and now this! God indeed doesn't want us to perish in our sinful ways but wants us to come into repentance ezekiel 18:23 dear viewers the time is limited let us all give our lives to Jesus.
@sialema8500
@sialema8500 2 ай бұрын
I would love to listen to Erica and Gabriel. Is the James you are referring to the one from Uganda? James Kawalya? If yes, then that's another very powerful testimony. GLORY TO GOD, MIGHTY WARRIOR & GREAT IN BATTLE.
@jacquejoey4121
@jacquejoey4121 15 күн бұрын
To God be the glory
@annacharles2842
@annacharles2842 2 жыл бұрын
Ushuhuda ni mrefu na upo vizuri mtumishi wa Mungu anajieleza vizuri kwakweli. Mungu akikuwezesha tena jactan upate muda mwingine na mtumishi inaonyesha ana mambo mengi ya kutufundisha. Mungu akubariki Jactan kazi yako si bure Mungu akukumbuke AMEN
@PROMOVERTVLive
@PROMOVERTVLive 2 жыл бұрын
Amen
@enockbk
@enockbk 2 жыл бұрын
@@PROMOVERTVLive Hu usuhuda ukosawa kabisa kuwa ukitengeneza ndefu hivyio 👍👍👍👍
@charleshaule5304
@charleshaule5304 2 жыл бұрын
Asante kwa kumfunua shetani na kumtukuza Mungu
@heben3618
@heben3618 2 жыл бұрын
Kumbe Gwajima anawaokoa misukule Mungu ambariki alipo
@akilimatoto8171
@akilimatoto8171 2 жыл бұрын
Gwajima ni MTUMISHI piya, TUMUSIFU YESU KRISTO
@annaamosy8737
@annaamosy8737 Жыл бұрын
Na watu walikua wanasema anatengeneza ushuhuda wa misukule shetani mjinga sana
@romwaldkabwebwe6747
@romwaldkabwebwe6747 Ай бұрын
Haya mambo ya misikule tulikuwa hatuyaamini ndio maana Ilikuwa ngumu kumuelewa
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 жыл бұрын
Mimi sijui nifanyeje, HATA MUNGU anikutanishe na mtumishi huyu wa MUNGU. Amefafanua MENGI tusiyoyajua. Promover TV. Nimetumia mb zangu mara zote kwa kumjjfunza MUNGU kwa mapana zaidi. Asante BABA.
@Ndutiyefidele-l5h
@Ndutiyefidele-l5h 3 ай бұрын
Bwana yesuapewe sifa kwaneemayako namapenziako unatuokowa Amen
@gospelmissionarytv1212
@gospelmissionarytv1212 2 жыл бұрын
Ohh Jesus i cover this Channel and all watching by Blood of Jesus Christ in Jesus Mighty Name
@perrywanjiru2754
@perrywanjiru2754 2 жыл бұрын
Amen
@preciouslissahparis1352
@preciouslissahparis1352 2 жыл бұрын
Baba Askofu GWAJIMA,Endelea kusimama imara,wasiokuelewa watakuelewa tuu.Uzuri Yesu anakuelewa zaidi
@jackswat
@jackswat Жыл бұрын
Amen, nimejifunza mambo mengi niliyokuwa siyajui - nimeongezeka kitu kikubwa ktk imani. Mungu akubariki sana mtumwa wa Bwana.
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Ай бұрын
Mungu ameamua kutufunia ynayoendelwa kuzimu,Glory to God
@annangowi5517
@annangowi5517 Жыл бұрын
Kwa ushuhuda huu wa Pastor Katekela Yesu ameniponya na mimi
@mercykasandi4258
@mercykasandi4258 10 күн бұрын
This was powerful amen 🙏 🙌 👏 ❤️
@EliasCosmas-qp6gn
@EliasCosmas-qp6gn 11 күн бұрын
Assnte bwana yesu kristo mpaka sasa unanipigania❤promover tv❤😢🙏
@hetabelimishinga8713
@hetabelimishinga8713 8 ай бұрын
❤ Asante YESU nimejifunza 🙏
@Culturetv12
@Culturetv12 2 жыл бұрын
Asanteni sana mutumishi wa Mungu , nime fata ushuhuda wote kutoka Congo DRC
@akilimatoto8171
@akilimatoto8171 2 жыл бұрын
Na Mimi piya Niko Drc, MUNGU ATUBARIKI
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Mungu atusaidie tuendelee kukaa na BWANA YESU
@rtp9010
@rtp9010 2 жыл бұрын
Duuuu!! Atukuzwe sana Mungu kwa ajili ya ushuhuda huu
@StevenMirindi
@StevenMirindi 2 жыл бұрын
Moses Kulola mzee wangu nilikuwa nakupenda Sana , ile Mungu awabariki Sana watumishi wa Mungu.
@AgnesAgness-gv9dn
@AgnesAgness-gv9dn 7 ай бұрын
Mungu akulinde mtumixhi was mungu
@preciouslissahparis1352
@preciouslissahparis1352 2 жыл бұрын
Mwl mwakasege,songeni mbele mi nakuelewa sana
@shadrachkamyori9911
@shadrachkamyori9911 3 ай бұрын
Asiyejua nguvu ya wachawi atakupinga. Lakini wasipokusikia itakula kwao. Ubarikiwe sana mtumishi wa Erohim
@rachaelmwangala8824
@rachaelmwangala8824 Жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 mungu ni mwema,nashukuru kwa kukuokoa pastor na pia huu ujumbe umewaokoa wengi❤❤nimetamani kukutana na huyu mchungaji Ana kwa Ana,japo niko kenya lakini nina imano one day mungu atatukutanisha
@emmanuelnyamai8970
@emmanuelnyamai8970 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Daaah Hongra kwa ushindi Ila naumia sana na watu wanaomkana Yesu kuhamia upande mwingine kisa Mali tu inauma sana
@georgemungai3813
@georgemungai3813 Жыл бұрын
Yesu kristo ni Mfalme juu ya wote
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 2 жыл бұрын
Wakristo tuamkeeeee katika Jina la YESU KRISTO
@MarcoGwangway
@MarcoGwangway 2 ай бұрын
Mtumishi Mwenyezi Mungu akubariki Sana na hongera Kwa kuchagua jina la yes
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 2 жыл бұрын
Naibariki hii chaneli kwa jina la Bwana Yesu
@PROMOVERTVLive
@PROMOVERTVLive 2 жыл бұрын
Amen
@isaacklema6461
@isaacklema6461 2 жыл бұрын
@@PROMOVERTVLive naomba No ya mtumishi hyu naitaji maombi jacktan.
@MargretWangui-w8z
@MargretWangui-w8z Жыл бұрын
Amen 🙏
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Mtumishi ubalikiwa,sana ktk jina la YESU,ktk kutuinjilisha shuhudia za wokovu,
@ErnestNkeshimana-y7k
@ErnestNkeshimana-y7k 8 ай бұрын
Thanks God bless you
@JaneStephen-pi3ob
@JaneStephen-pi3ob 4 ай бұрын
Damu ya yesu inatosha kila kitu, mungu alikushindania
@sheriazetu
@sheriazetu 29 күн бұрын
Asante ubarikiwe sanaa
@dafrosasimon0074
@dafrosasimon0074 2 жыл бұрын
Jactan mtu wa Mungu ,huu ushuhuda mzur Sana ,alafu umeunganisha part zote imekuwa rahis kuangalia hata km masaa Mengi,nashauri na shuhuda zingine uwe unaunganisha hivhi
@PROMOVERTVLive
@PROMOVERTVLive 2 жыл бұрын
Amen
@Oneofhiskind123
@Oneofhiskind123 2 жыл бұрын
Ulivyo Taja shehe myeshani hakika ushuhuda wako ni wa kweli maaana ushuhuda wa myeshani alielezea jinsi alivyo kuwa mwalimu wa kufundisha uchawi chuo kimoja kilichopo dar na ulivyosema alikuwa mwalimu wako upo sahihi ubarikiwe sana mchungaji kwa ushuhuda wako
@puritykibe3099
@puritykibe3099 2 жыл бұрын
Kumbe alikuwa anaongelelea Mnyeshani. They should join hands in ministry aki, it would be very effective and powerful 🙏🏾
@Oneofhiskind123
@Oneofhiskind123 2 жыл бұрын
@@puritykibe3099 Indeed
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 жыл бұрын
Hata huyo huo wa kanumba amemtaja George kuna clip ya George akieleza kifo cha kanumba na jinsi mkewe alimuokoa
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
MUNGU wangu tusaidie wanao saidia kanisa lako na familia zetu 😭😭😭 MUNGU tusaidie wanao 😭😭 uwiiiiii BWANA YESU wewe una weza tusaidie tushindie tufike mbinguni.
@fetykhassimu4775
@fetykhassimu4775 2 жыл бұрын
Ameni. Bwana okoa
@justinianrubandwa7957
@justinianrubandwa7957 2 жыл бұрын
Bwana YESU KRISTO atukuzwe kupitia ushuhuda huu na wote mliohusika kuuwasilisha kwetu mbarikiwe saaaana, Amina.
@isaiahmwasonzwe2486
@isaiahmwasonzwe2486 2 жыл бұрын
Asante mtumishi tumejifunza sana
@BrainesDastan
@BrainesDastan 11 күн бұрын
Hakika jina la yesu ni jina lilobarikiwa damu ya yesu itufunike tuombe kwa roho na kweli
@WillbroadWillson
@WillbroadWillson Жыл бұрын
Baba mchungaji unaushuuda wahajabu Sana naomba mungu akusaidie utufundishe waumini wako na MUNGU AKUBALIKI🎉🙏
@rusimackems9820
@rusimackems9820 2 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa ushuhuda, tuko pamoja nakufatilia sana promover Tv.
@leunidahmbaye7745
@leunidahmbaye7745 Ай бұрын
Ata namimi pia natamani sana
@christinaalexander1213
@christinaalexander1213 2 жыл бұрын
Natamani niendelee kumsikiliza.Barikiwa mtumishi wa Bwana.
@victoriaremmy3772
@victoriaremmy3772 2 жыл бұрын
Mungu akubarik sana mtumishi wa Mungu kiukwel nimejifuza ktu.
@leticiajames2177
@leticiajames2177 Жыл бұрын
Mungu ni mwema Kila wakati. Asante Yesu Kwa kunichagua🙏
@mbonicosmas5984
@mbonicosmas5984 2 жыл бұрын
Mungu akujalie hekima zaidi mtumishi wake. Tunafunuliwa Sana.
@AlexMichael-le4mp
@AlexMichael-le4mp Жыл бұрын
Amina
@bentanabwire5692
@bentanabwire5692 11 ай бұрын
Asante yesu kwa kutufunulia siri nyingI kupitiya kwa watumishi wako ili tuweze kuwa na Imani. Pastor mungu ndiye alikuwachiliya Wende huko kuzimu ili uweze kutuletea siri za kule ata wewe kuenda kule, ni mungu tu hakuna anajua akili za yesu kristo ata lucifer mwenyewe hajui. That's why God tricked them by sending you there lakini wenyewe hawakujua. Thanks to Jesus for all these secrets.
@phiniaskoruba1723
@phiniaskoruba1723 Ай бұрын
God bless you
@mpandawiliam5390
@mpandawiliam5390 2 жыл бұрын
Asanteni watumishi kwa kutupatia vitu vya thamani, mbarikiwe sana tuko pamoja.
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Amen it's done.asante YESU nmefatilia mpka mwisho.barikiwen wote promover tv..pmoja n kaka jacktan baraka za MUNGU ziwe juu yako.
@perrywanjiru2754
@perrywanjiru2754 2 жыл бұрын
Glory to God Mungu wetu nimukuu hakuna neno asilo.liweza nawalio wake atawakomboa wote katika jina la Yesu ...Mungu azindi kukuzingila kwa damu ya Yesu,na kila mtazamaji anaona huu ushuhunda Mungu atuzingile kwa damu ya Yesu sisi na family zetu ,,🙏
@teresiawaceera3046
@teresiawaceera3046 2 жыл бұрын
Jina la Yesu Lina nguvu
@thomasgervas5883
@thomasgervas5883 Жыл бұрын
Asante Sana Nimekuelewa Nashukuru Sana
@davidjasony8525
@davidjasony8525 2 жыл бұрын
Ushuhuda mzuri mno kwel mbarikiwe nyote ila ikiwezekana mtafute tena
@nancymumbua8825
@nancymumbua8825 2 жыл бұрын
Naomba sana mchungaji aelezee sana kwa undani juu ya ndoto..
@fezakabala6589
@fezakabala6589 2 жыл бұрын
Ubarikiwe saana baba
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Hallelujah jamani walokole tuendelee kumtumaini mungu wetu wa Bwana Yesu christo , tunaogopewa sanaaa ushuhuda imenifanya nitembee kwa kujiachia sasa saidi dah mungu ni mwaminifu mtumishi wa BWANA UBARIKIWE SANAAAA
@Esthermordecai
@Esthermordecai 10 ай бұрын
Kila siku tukiamka asubui ni vema kufuta maagano yoyote yaliyofanyika katika ndoto tukijua ama atujui,ni vema haya maneno yaambatane na maombi yetu ya kila siku,tutakuwa salama.🙏
@anesienzohabonimana4920
@anesienzohabonimana4920 10 ай бұрын
Bwana Yesu Christo jina lako litukuzwe milele na milele
@jessemach4459
@jessemach4459 2 жыл бұрын
This brother has a very sharp mind no wonder satan targeted him.Thankyou Jesus you saved him.all Glory to God
@gloryemwirigi7640
@gloryemwirigi7640 Жыл бұрын
kweli kabisa
@pastorobert
@pastorobert Жыл бұрын
Hallelujah!
@Esthermordecai
@Esthermordecai 10 ай бұрын
Very true,he is very smart,but the holy spirit of God is also working through him.🙏
@pimapacha520
@pimapacha520 Жыл бұрын
God is good
@tamarali8325
@tamarali8325 2 жыл бұрын
Wow Jacktan Barikiwa sana. Mtumishi wa Mungu Akubariki sana. Please Jacktan Mungu akikusaidia. Translate the this message. Nimeona shuhuda nyingi sana but this one is tuu much
@adammgendela357
@adammgendela357 2 жыл бұрын
Iko vizuri
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@adammgendela357 Mengi ameyaweka Wazi,Na asiyeelewa hapa Basi Bado kuna Nguvu inamfuatilia
@Kadzokatanaiha
@Kadzokatanaiha 2 жыл бұрын
KADZO KATANA IHA .Niko Saudi mchungaji mungu akubariki niushuhuda wakuinua sana naomba uendelee tuzidi kujua jinsi tutakavyo jiandaa kwakumngojea bwana
@Esthermordecai
@Esthermordecai 10 ай бұрын
Omary wa omary yupo, Mwenyezi Mungu ambariki sana,nyinyi wote mumekuwa wa baraka kwetu.Damu ya Yesu Kristo iwafunike.🙏❤️
@julithamwangamilo2563
@julithamwangamilo2563 2 жыл бұрын
God is sooo good, great to learn this
@subilamwamkinga6796
@subilamwamkinga6796 2 жыл бұрын
Hongera kwa ushindi, mtumishi wa Mungu, aise nimejifunza sana
@TumainiNgajilo
@TumainiNgajilo Жыл бұрын
Nakupenda katika kristo yesu Yesu akutunze
@fidemikaeli8145
@fidemikaeli8145 2 жыл бұрын
Amina barikiwa mchungaji
@mwendwa_m
@mwendwa_m 5 ай бұрын
Nimebarikiwa Sana hapa Nairobi. Asanteni Sana. Mungu awabariki
@samiahjmlimanzilla9354
@samiahjmlimanzilla9354 Ай бұрын
Mbona hii elimu pana sana aiseee
@AnthonyEdward-z7t
@AnthonyEdward-z7t 5 күн бұрын
asante mungu kwakunivusha mwaka 2024 adi 2025
@perrywanjiru2754
@perrywanjiru2754 2 жыл бұрын
Asante Mungu kwa kutuzingila katika nchi hizi za warabuni maana hizi majina zinatajwa huku huwa zinatanjwa sana na kujibu hizo salamu zao...nakuomba Mungu uzindi kutuzingila kwa damu ya Yesu siku zote🙏
@AgnesCalvin-eq8jj
@AgnesCalvin-eq8jj 8 ай бұрын
Jina la yesu lidumu milele daima
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Dah wachawi wanamambo mengi lakini mengi yao mateso na uchafu jamaniiiii sifa na utukufu kwa Mungu alie hai, BWANA YESU ANAOKOA JAMANIIIII 😊 AMAN
@thomascharlesmagidinga6252
@thomascharlesmagidinga6252 2 жыл бұрын
Mungu tutetee
@phiniaskoruba1723
@phiniaskoruba1723 Ай бұрын
God g ive you Long Life pastor 😅❤
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 жыл бұрын
HONGERA SANA BABA. LKN kuna WATU wa MUNGU ambao wanatumia HIVYO visaidizi mf maji CHUMVI mafuta nk na wewe unasema si SAHIHI. Sasa huoni kama NAO unawapinga wenzako na umesema hutaki kulumbana na watumishi wa MUNGU? Kwamba yesu ndiye amewapa MAONO ya kutumia vitu hivyo na vinatoa UPONYAJI na MIUJIZA ambayo ni dhahiri kabisa. MUNGU aijua hatma yako mtumishi wa MUNGU.
@AnnaLadsilaus
@AnnaLadsilaus Жыл бұрын
Mi nmeokoka upya tena
@florencekasambula6497
@florencekasambula6497 5 ай бұрын
😂
@veronicalunenke2255
@veronicalunenke2255 Жыл бұрын
MUNGU akutunze mtumishi
@GraciousMichelleFrancen
@GraciousMichelleFrancen 10 ай бұрын
dah this is a great testmony
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 жыл бұрын
Turidhike na hali ZETU na tuzidinkumpinga shetani, NDO msingi BORA na MUNGU AZIDI KUKUPA AFYA NJEMA mtumishi wa MUNGU mafundisho na shuhuda ZAKO ni MFANO wa KUIGWA na watu WOTE wenye kumjua MUNGU muda wowote. Mungunhakutuumba maskini, yy ni msaada na YESU NI BWANA WA BWANA. HALELUYA.
@jescapoul8001
@jescapoul8001 3 күн бұрын
Ulisomewa mashtaka ambayo yesu kristo alishayaondoa kwa damu yake ulitakiwa useme kweli ya kristo
@pastorypancras4454
@pastorypancras4454 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atutie nguvu tuishi katika uwokovu wa kweri
@sabrinalazaro950
@sabrinalazaro950 2 жыл бұрын
Nice
@daniellmuttema8816
@daniellmuttema8816 5 ай бұрын
allah shetani kabsa. mohamud alijuwa nabii wa uongo mkubwa sana.. Walaaniwe kwa jina Yesu. Naomba Mungu aokoe waislam
@phiniaskoruba1723
@phiniaskoruba1723 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ god forever
@sophiasije5861
@sophiasije5861 5 ай бұрын
The very last lesson kwenye huu ushuhuda ni maneno ambayo wazazi tunatamkia watoto. Baba alisema nina kukabidhi kwa shetani na kweli shetani alitake advantage ya hili neno... Wazaz tuwe makini sana maneno yetu yanaumba
@franciswafula4521
@franciswafula4521 Жыл бұрын
nimeelewa, usilamu ni uchawi
@chrismunyasia6532
@chrismunyasia6532 Жыл бұрын
Insightful for warfare
@Reginajohnson-1988
@Reginajohnson-1988 11 күн бұрын
Zaburi 133 1 Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja. 2 Ni kama mafuta mazuri kichwani, Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake. 3 Kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni. Maana ndiko BWANA alikoamuru baraka, Naam, uzima hata milele. Amen
@joycehamis4925
@joycehamis4925 Жыл бұрын
Nataman kufanya kitu kwako
@chrismunyasia6532
@chrismunyasia6532 Жыл бұрын
Insightful
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Ushuhuda wote(Part1-9)Apostle Zizi aliyekuwa ameolewa na jini mtu
6:30:54
JESUS (Swahili: Kenya) 🎬
2:01:45
Jesus Film
Рет қаралды 3,9 МЛН
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 491 М.
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 181 М.
JINSI YA KUJUA MAKANISA YENYE IMANI POTOVU NA MCH. ABIUD MISHOL
1:42:52
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 11 М.
MAMBO YA AJABU USIYOYAJUA AMBAYO YATATOKEA HIVI KARIBUNI | ASKOFU GWAJIMA
56:45
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 108 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН