Mwili na Urembo hudanganya Lakini Mungu Yahweh habadiliki.
@omaryshafii506 жыл бұрын
Duh! Hatareee
@mariamfritsi97615 жыл бұрын
Pole sana.01.04.19.
@Mfunzo4 жыл бұрын
Kaka unaitua mioyo ya watu wengi sana kwa kiwango cha juu Bwana akupe kushinda katika mapambano yako ya kazi yako
@PromovertvTz4 жыл бұрын
Ameen
@AnethPeace3 жыл бұрын
Amen
@mariamfritsi97614 жыл бұрын
Pole sana,23.02.20.
@shemowino28435 жыл бұрын
Bibilia inasema wazi kua nyakati ya mwisho watu watakua na sikio na hawataona watakua na sikio hawatasikia,GOD blues you all Jesus is coming back!!
@millyaketchmkenya20095 жыл бұрын
Napendaga sana simulizi zako jactan msafiri uzidi kubarikiwa,napia usii badilishe uwoo wimbo wako,iyoo tune uwaa yanikumbusha mbali,BARAKA
@PromovertvTz5 жыл бұрын
Ameen
@neema_mollel6 жыл бұрын
Mmmmmn hakika mbinguni kuingia ni kazi c lelemama
@jasminlwande8116 жыл бұрын
Hivi ni kweli kabisa.miezi miwili iliyopita Mungu ametuma watumishi kutoka nje ya nchi kulio nya kanisa la Tz na hasa wachungaji.na Mungu ameahidi kuwaadhibu vikali kuanzia mwakani
@anneafrica9393 жыл бұрын
Bado nahusikiliza huu hushuhuda
@sisisisilia48986 жыл бұрын
Daaa ushuhuda mzuri sana pia tunaomba usichelewe muendelezo
@hebronsdaughter16614 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@salomeanganisye97933 жыл бұрын
Madhabahu uliyoenda Ni ya mashetani
@jasminlwande8116 жыл бұрын
mambo haya ni kweli kabisa yanaendelea makanisani
@elisantekwayu91674 жыл бұрын
Mungu mueza wayote
@jaysonmwangi65713 жыл бұрын
Mung u akubariki kwa mafunzo yako ya kutufungua macho
@lidyamangowi13403 жыл бұрын
Dah wachugaji acheni hayo mambo
@lucymrembolucy22946 жыл бұрын
Sio wote wengine huingia upadri kwa maslahi yao wakifika kule wanakuta mpaka uhitimu ili upate upadrisho mitigani unayopitishwa wengi wanakwama njiani na wanaaacha upadri kufuzu sio mchezo dadaa huyo siopadri pole uliza wenye familia za mapadri og au masister og upate ukweli .
@hassanrashid8182 Жыл бұрын
Watumishi ambao wanavaa mikufu kacha makacha mapete ya ajabu huwa siwaamini
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Wazazi wazuri Sana walirudisha mali
@neemahamis81606 жыл бұрын
Mmmh
@halimamgas64026 жыл бұрын
Nyie ajalazimisha kusikiliza yawezekana na nyiye nimawakala washetani mua che ashudiye alicho kiona
@sarahyvonne45804 жыл бұрын
I need u GOD
@leminakasindi92326 жыл бұрын
Jmn wa Kristo wakatoliki kwanza mapendo najua mkatoliki anajua kwann kanisa katoliki linapingwa vita na mathehebu mengine cha msingi simamia imani yako kama katka sala ya nasadiki na wakatoliki hatupigani ss bal Mungu anapigana nao hao imani ipo katka kanisa katoliki msitikisike tusome Neno tulijue Neno makanisa hayakupeleki mbinguni
@edigamwalongo19135 жыл бұрын
Lemina Kasindi s
@calvinleka47284 жыл бұрын
Hata mm nilikuwa kama ww lkn leo hii tiar nimeokoka baada ya kuitambua kweli
@vailethmtemekele13474 жыл бұрын
Daimaa
@jakelema63253 жыл бұрын
Nikuambie tu ndugu ukatoliki haukufikishi mbinguni wala dini yeyote ile,,,,bali ni wokovu wa kweli tu yaani kuokoka ktk kweli,,karibu kanisa la Yesu ni Bwana na Mwokozi wa mataifa yote utafundishwa bure bila ubaguzi asante
@neemamatemba79542 жыл бұрын
@@jakelema6325 Amen
@sarahsarah49196 жыл бұрын
Ndah. Tunaobeni. Mwendelezo
@leopoldtibyehabwa15666 жыл бұрын
Siangalii tena! Hiki kitu, ninachukia sana shuhuda za kitapeli, wengine mnakuwa na matatizo ya Familia zenu genetic hamtaki kukubali. Hata mikosi huwa inarithiwa kizazi na kizazi. Pia Padre huwa hawaoi, usituchabganyie mafaili.
@cathyjb43396 жыл бұрын
+Leopold Tibyehabwa si umeambiwa ameacha u-padre usichoelewa kipi?
@rosemabaua79646 жыл бұрын
nothing
@susynjambi5 жыл бұрын
Hizo shuhuda sinanijenga sana kiiroho
@tundalawokovu5 жыл бұрын
Susan Njambi amen
@el-gibbortv55646 жыл бұрын
Wewe acha!!!
@janetkahada52065 жыл бұрын
Jesus you are good all the time
@fei36686 жыл бұрын
Jaman nzur usichelewe tafadhari ku upload nyingine
@PromovertvTz6 жыл бұрын
Frida Mbilinyi Sawa.tafadhali Subscrib
@paschalpaul50225 жыл бұрын
du!
@aliceaudax86066 жыл бұрын
Thank jesus cause you know how i love you waache waafiki waendelee kuponda lkn siwezi kukuacha najua uliponitoa leo hii nisingekuwa hai lkn ni hai na nguvu tele
@angelochanga92114 жыл бұрын
YESU anaweza kabisa
@levinaabela69836 жыл бұрын
Aisee, nzuri ila usicheleweshe sana
@josephattryphord92695 жыл бұрын
swali hili ni kwa watumish.anaeleza alikuwa anaoneshwa na roho mtakatifu /Mungu,ni katika huduma gan alifanyiwA maombi ya ujazo wa roho mtakatifu
@nemangowi14186 жыл бұрын
Sio padre bhana Huyo alikuwa na mambo yake ndo maana hata upadre ulimshinda
@sarahsarah49196 жыл бұрын
Asate. Kwakutuletea. Ushuhunda. Huoo
@josiahkabirigi44636 жыл бұрын
Bible reference
@edinahandanje49446 жыл бұрын
Josiah Kabirigi h e page
@gospalflavour73046 жыл бұрын
niupumbavu wa hali yajuu kuhusisha anguko la dhambi ya mtu na anisa.komaeni akili.hata mashehe wanafanya mambo yaajabu tu tena wanafanyia sehem za msikiti. dhambi yamtu binafsi isichafue sehem ambazo watu wanaabudu mtalaaniwa msipokuwa makini. wala sitétei kanisa hilo la katoliki lakini naaribu kuwarekebisha
@jakelema63253 жыл бұрын
Kama hujui makanisa mengi sasa yamechacha,,,na mengine si ya Mungu kabisa,,,karibu kanisa la Yesu ni Bwana na Mwokozi wa mataifa yote
huyo roho aliyekuwa anamwonesha alimpokea wap na nan alimfanyia ujazo wa roho mtakatifu?iwen macho wateule unaweza ukajua unamsikiliza roho kumbe adui hayumo yesu humu ndan kwa hakika kabisa.ujumbe haujashiba neno moja,pil mtu huyu ni mchanga kiroho ukimsikiliza kwa makin hajui vitu vingi ndio maana anapwaya hana neno.tatu kashindwa kuzipambanua roho ,hakika yangu Yehova aishie hajamwonesha mambo haya .pole na kwa watumish walomsikiliza wakajua ni Yesu kasema .kuna mahala Yesu anapatikana si kila mahal mbona .alisema na roho ni madhabahu ipi alimpokea huyo roho.imeandikwa malaika wa giza hujigeuza na kujifanya malaika wa nuru .ukitazama kwa mbal ushuhuda huu utaona kama ni nuru ila si nuru kamili iwaangaziao watu.mwulizen mungu atawafundisha amen
@PromovertvTz5 жыл бұрын
Kwani roho mtakatifu huwa anapatikana wapi mpendwa!?maana unaeleza kanakwamba kuna mahali maalum pa kumpata
@neemamatemba79542 жыл бұрын
@@PromovertvTz bado hata mimi namshangaa na pia najiuliza kwani Mungu anamipaka ktk kufanya kazi yake Mungu anaweza akakufunulia jambo (akaruhusu jambo litikeee ulifahamu) Ili uweze kupata kujua mambo flani ambayo yatakusaidia au yatafanya Mungu atukuzwe pale tuu utakapoyaeleza kwa watu; Mungu yeye hana mipaka kama ya wanadamu yeye kama aliweza kumshika kuzimu na kumnyang'anya funguo za mamlaka anashindwaje na mwanadamu anawezaje kuweka mipaka juu ya utendaji wake Mungu??
@graceshayo57635 жыл бұрын
Ee Mungu wetu tusaidie watoto wako peke yetu hatuwez kbx dunian inamakubwa
@sodamohammed51356 жыл бұрын
Hawa wakristo hawataki kuamin sababu washazoea kudanganywa kuabudu masanam n binadam
@lutufyodixon99975 жыл бұрын
Kwahiyo wewe Ndiye uaminiye vitu vya ukweli? Tangu lini uislam una ukweli ndani yake?
@fetrishakaza14735 жыл бұрын
ww unayo muabudu jini amina
@sarahogama95404 жыл бұрын
Ww ulivyomuamini mohhammed jambazi mbakaji wa vitoto tuliza domo na ufuate ya kwako huko misikitini hapa sio kwa waislamu ,,,ala!!!
@jescalaurent62422 жыл бұрын
Pole usilo lijua sawasawa na usiku wa giza upo gizani wewe
@bwelelejohnjohn26966 жыл бұрын
Huyo siyo padri alikuwa mwanafunzi wa upadri
@revelianalphonce81156 жыл бұрын
huyo alikuwa siyo padri
@husenimareja19076 жыл бұрын
Huezi kuokoka dunian
@amosichacha56756 жыл бұрын
Huseni Mareja wewe wasema, kuokoka ni hapahapa duniani, baada ya kufa ni hukumu. Wapo watu kama wewe walisema hakuna kuokoka hapa duniani. Walipokufa wakajikuta hawana nafasi tena ya kuokoka walishachelewa. Walikuta walichokikataa duniani kwamba hakuna kuokoka ndvyo kilivyo. Wakabaki wanajuta kilio na kusaga meno, wanatamani warudi tena duniani waokoke nafasi hiyo haipo tena!