PART 1 Muungano wa Zanzibar na Tanganyika Wadadisiwa Mombasa, Kenya. 26/10/2021

  Рет қаралды 7,326

Rashid Adiy

Rashid Adiy

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@misscoast3174
@misscoast3174 2 жыл бұрын
Hakuna lenye mwanzo liso na mwisho ... Hatuko mbali na mwisho InnshaAllah Allah akupe nguvu bwana Rashid na wenzako 🤲aamin
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 2 жыл бұрын
HATUTAKI MUUNGANO NA TUNATAKA MWAMBASA YETU IREJEE UHURUWETU UMEKALIWA MATAKONI MWA WATANGANYIKA MAADUWI LAKINI SASA WENYE KUWEKA SAWA NI SAMIYA NA MWINYI SASAIVI WAUTOWE UHURU WA ZANZNZIBARI KWENYEW MATAKOYAO NA WAZANZIBARI WAFAIDI UHURUWAO💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@mwigaali1942
@mwigaali1942 2 жыл бұрын
Hatuutakiiiiiiiiiiiiiiiii mileleee..
@solomonadams6337
@solomonadams6337 2 жыл бұрын
Asalaam Alaikum Warahmatullah Wabarakatu?Waambie wazinjibar wanahitajiiii nchiii yaoohh
@rashidadiy1282
@rashidadiy1282 2 жыл бұрын
Sawa sawa tunataka nchi yetu
@shahidmaftouh1141
@shahidmaftouh1141 2 жыл бұрын
Amin usiamini ,zanzibar iko salaam kwani serikali 3 zinakuja ,huyo kizakazi Samia ,anaye tawala
@shahidmaftouh1141
@shahidmaftouh1141 2 жыл бұрын
Huyo kijakazi Samia ndiye atayeweza kuikomboa zanzibar Islands itakua history, bila ya hata toni moja la damu, Allah kampeleka Samia kutawala tanganyika, ( kuna jambo hapo) bisubra
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 2 жыл бұрын
@@shahidmaftouh1141 nakuunga mkono ALLAH amemuweka kwenye kiti Awe Rais Samia suluhu hasan ili atukomboe ZANZIBAR huru
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 2 жыл бұрын
Ewe m/mungu tunakuomba watu Kama Hawa wanaoipigania znz huru watie nguvu na afya wafikie malengo yao
@rehemamost444
@rehemamost444 2 жыл бұрын
Alipigania karume sio wewe
@saidabdala4980
@saidabdala4980 2 жыл бұрын
Amin
@Samsungjprime-ww9ve
@Samsungjprime-ww9ve Жыл бұрын
Tanaka ule mchezo wa kiswahili Tanganyika na znz mutuingizie kwenye you Tube
@salimmohammed8617
@salimmohammed8617 2 жыл бұрын
Tupo pamoja
@adiladil345
@adiladil345 2 жыл бұрын
Madete Tanganyika uchumi wenu ni Zanzibar ndo mwaogopa mungano kuvunjika
@warijalwabaswar3563
@warijalwabaswar3563 2 жыл бұрын
Kaka kweli au mnatafna pesa
@ZuenaSharifu
@ZuenaSharifu 2 ай бұрын
Tanganyika ni mgomba ambao unaelekea kuanguka na mwega wake ni Zanzibar mukiundosha watanguka 😂
@abuubakalmtangenange4389
@abuubakalmtangenange4389 2 жыл бұрын
Utafika mwisho wake in Sha Allah japo mtanganyika ila nipo pamoja na ndugu zangu wazanzibar
@omarynassor6313
@omarynassor6313 2 жыл бұрын
Yap
@aminakunja277
@aminakunja277 2 жыл бұрын
Sasa si wawaruhusu wajitegemee tu kwani Tanganyika wa nafeli wapi waache bwana
@allysuleiman6022
@allysuleiman6022 2 жыл бұрын
Yani mmi ningelikuwa nauwezo hawa watanganyika ningewafunga wote tena gontadamu hawafai hata kuongoza kuku mashoga wakubwa hao majizi tu na maongo humjui muislm wala mkristo wote wababaishaji tu
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 2 жыл бұрын
Taqbiiiiiiiiiiiiiiir
@jumakhalid5554
@jumakhalid5554 2 жыл бұрын
Semakweli baba hatuutaki
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 2 жыл бұрын
Sovereignty State
@rehemamost444
@rehemamost444 2 жыл бұрын
Uchonganishi Tu udini unakusumbua!
@khamisamour8511
@khamisamour8511 2 жыл бұрын
Ubaguzi us I we ubaguzi as wazanzibari tumeshamuelewa
@maryamhassan7148
@maryamhassan7148 2 жыл бұрын
Mhhh
@perisiverympwenku139
@perisiverympwenku139 2 жыл бұрын
Non sense hamjielewi. magaid,
@saidabdala4980
@saidabdala4980 2 жыл бұрын
Umekosa malezi
@abdulmalikaudreykaipa4007
@abdulmalikaudreykaipa4007 2 жыл бұрын
Muungano unawapa nafas waislam yakuzunguka Tanzania yote kutangaza uislam tena huru lakn nyie ubaguz utawatesa, kwann mnakuwa na roho mbaya za ubaguzi, mtume aliziunganisha inchi nyingi dunian (muungano) nyie mnajisifu na kuzalikwa kwa waislam nafs zanu afadhali za nguruwe
@omarsuleiman4855
@omarsuleiman4855 2 жыл бұрын
Hatutaki sisi watu wa zanzibar kila kila mtu angoze nchi yake mukitaka kungani siuganeni na Uganda huko kwani lazima mungane na zanzibar
@madetetv6576
@madetetv6576 2 жыл бұрын
@@omarsuleiman4855 ndo tulisha ungana sasa halafu ww ulikuwa hujazaliwa so sio sahihi wewe kumwambia mamako kwanini alizaa na babako kwanini asingezaa na babake Juma ni radhi hiyo
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 жыл бұрын
Abdul,soma historia ya Zanzibar kabla na baada ya muungano. Huo uislamu unaotaja ndio moja ya sababu iliyo changia mapinduzi.
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
Uislamu ulikuepo Tanganyika kabla ya Muungano.
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 2 жыл бұрын
Usitumie lugha ya wingi sema ww
@princematumbo
@princematumbo 2 жыл бұрын
Mbona mnasema uongo?!! Huyo anae hoji Sio mtu Wa Mombasa, Kiswahili cha huko huko kwenu.Na ndio maana amejificha,ni nyinyi Kwa nyinyi mwahojiana.semeni ukweli
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 2 жыл бұрын
Huyu ni wamombasa amuhoji unajua km mombasa ilikua makao makuu ya zanzibar
HUKUMU YA KESI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR YATOLEWA
3:38
Reject Waqf Amendment Bill - Dr Zakir Naik
9:27
Dr Zakir Naik
Рет қаралды 476
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 12 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 119 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 40 МЛН
Historia ya Wajerumani Zanzibar
4:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 9 М.
Mshike Elimu By Fortune Shimanyi - Sekondari ya Wasichana Collegine,
3:53
Sekondari ya Wasichana Collegine
Рет қаралды 5 М.
Zanzibar: Haki ya Uhuru na Utaifa wake. Na. Rashid Adiy
29:09
Rashid Adiy
Рет қаралды 2 М.
MOMBASA NA ZANZIBAR NI NCHI ZAFANANA
19:13
MWAMBAO WA PWANI CHANNEL
Рет қаралды 634
MAKAMBAKO YA SASA VS MAKAMBAKO TUNAYOITARAJIA
13:36
Makambakotc
Рет қаралды 9 М.
SEKONDARI YA WASICHANA YA COLLEGINE (MAKAMBAKO-NJOMBE) - MSHIKE SANA ELIMU (By Fortune Shimanyi)
3:56
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 5 М.
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 12 МЛН