Happy Birthday our hero of democracy and rule of in Tanzania! May the Lord’s favour follow you all the days of your life
@hamisimuhunzi791612 күн бұрын
Happy Birthday Tundu Lissu our next President 2025
@marysichinsambwe770812 күн бұрын
Happy birthday Lissu 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@justinemaingu146011 күн бұрын
Happy birthday mh Lisu nakuelewa sana yani Ulipo Tupo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@hellenngwilla55011 күн бұрын
Happy birthday Lissu Mungu akujalie maisha marefu
@erickmkwera278411 күн бұрын
Happy birthday King of democracy 🎉🎉🎉❤
@VictaDaudi-r9r11 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤hbd 2 you m/kt ,,,tund antpc lisu 💥
@MariamDilla11 күн бұрын
Akili kubwa Ina hojiwa Asante MUNGU KUTUPA Mh Tundu A LISSU
@RomanMwinyi12 күн бұрын
Lisuuuuuuiuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@alenminja44511 күн бұрын
Happy birthday Tundu lisu
@Hussenskinyangaa11 күн бұрын
Lissu wakizinguwa pinduka tuko pamoja lissu ❤❤❤❤❤❤❤the first
@ommaromary331211 күн бұрын
HBD kamanda Allah akulinde na kila hila ovu
@mashaurikihute336911 күн бұрын
Happy Lissu
@mwili_wa_ndoto_yangu11 күн бұрын
Happy Birthday Mzee Lisu
@safiyaalharthy638211 күн бұрын
Happy birthday, Mr. Tund Lisu 🎉
@abdalahasuman874011 күн бұрын
Ongereni bongo fm kwa mahojiano mazuri yenye utulivu sio kama wale waredio ile
@faustinebahenobi341211 күн бұрын
🎉Happy Birthday Tundu lissu
@KessySalum12 күн бұрын
Naku kubali sana mzee wangu mimi kijana wako
@alphoncehanura325511 күн бұрын
Our Tza Martin Luther King....born 20th Jan as Mh ..TA.Lissu. God bless you.
@Peterchipemba12 күн бұрын
Lissu ni nabii na mtume alie tumwa na mungu kulikomboa taifa hili
@yusuphkichawele100912 күн бұрын
Kesho ni mwenyekiti Lissu ✌️✌️✌️
@MkumboMartin11 күн бұрын
Lisu ni mpango wa Mungu jamani
@edwindavid703712 күн бұрын
Leo mmeuliza maswali ya msingi Sana.
@leonardramiye820711 күн бұрын
Mwamba imara huu hapa
@juliasmtundu44212 күн бұрын
Mnyika kigaila johni yai Msijiangalie nyinyi angalieni mawazo ya WATU Wana taka Nini mkibaki na huyo mwamba.mutabaki peke yenu MBOWE apumuzike LISU ni muda sahihi na muda sahihi
@simonsadala238611 күн бұрын
Wewe ni mwenda wazim kama TUNDULISU nakuhakikishia leo huenda ndo ikiwa mwisho wa kuitwa makamo mwenyekiti achague kukimbia chama au kuitwa mkunja ngumi kama wewe
@HomelandStreet12 күн бұрын
Lisu ana akili sana tena sana
@yustodonald977211 күн бұрын
Happy birthday legend
@hamisimuhunzi791612 күн бұрын
Steven Wasira hana uwezo wa kupambana na chadema kwani ndio walioimaliza carrer yake ya ubunge jimbo la Bunda
@yustodonald977211 күн бұрын
Wakizingua jipindue tupo tunakusaport
@lutufyojason259811 күн бұрын
Naunga mkono kaka
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp12 күн бұрын
kwa mtu yeyote mwenye afya nzuri ya akili akimsikiliza lisu akihojiwa na anavyo jibu maswali utagundua jambo,huyu jamaa ana akili nyingi sana.
@AnaniaIsaya-z9g11 күн бұрын
MIMI LISSU AKIFANYIWA UNYAMA KWENYE UCHAGUZI SIJI JIHANGAISHI TENA NA MAMBO YA SIASA
@amanimasue320611 күн бұрын
Happy birthday
@christophermalango143311 күн бұрын
Wandishi wa nchi hii ni tatizo sana hayo mnayo mhoji bwana Lisu kwa nini msihoji watawala
@EliasMwakibete-s7q12 күн бұрын
Uko vizr kamanda nakukubali
@nzurisanatv228511 күн бұрын
Happy birthday my birthday mate sir
@Hussenskinyangaa11 күн бұрын
Mboe akipita chadema inapaska kama safina😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@abuubaya761412 күн бұрын
MBOWE NI TAPELI WA KAWAIDA SANA
@simonmwasile437712 күн бұрын
Definitely true
@GraceDeo-g1n11 күн бұрын
Mbowe ni ccm b
@oscarmbilinyi671911 күн бұрын
Brodher lisu we kichwa mbowe apumzike,
@peteragustino345011 күн бұрын
Mbowe akiwa mwenyekiti ndio najitoa chadema kabisa
@faustinebahenobi341211 күн бұрын
Ukosahihi
@adonisalfred899611 күн бұрын
Sasa mbwa kama wewe ata ukitoka Huna athari
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp12 күн бұрын
zawadi ya taifa la Tanzania.
@godfreykahabi196412 күн бұрын
My president Lissu
@MkumboMartin11 күн бұрын
Lisu ninamwelewa sana kiukweli
@malackedson770612 күн бұрын
Lisu juu
@SulePonda12 күн бұрын
Mbowe ni chawa wa CCM
@ThomasMwadia11 күн бұрын
Chumaaaaaa....
@adonisalfred899611 күн бұрын
Nguvu za kumhoji lissu mnazo Ila kuwahoji wenye madaraka hamna kitu
@MariamDilla11 күн бұрын
Watanzania wengi pia tunakuunga mkono Mh. Tundu A Lissu na Mh. John Heche
@PhilipoMwita-b2x11 күн бұрын
Naona MLINZI kajibanza ahhhh😂
@xaixaiobrigado484611 күн бұрын
Lambert,kwamba CDM wanashurutisha? Yaani katiba mpya tZ ww unataka wakaombe kanisani?
@reubenmobe929412 күн бұрын
Tunakuombea sana mungu akubaliki
@PapaaMashana12 күн бұрын
Mwenyekiti lisu makam heche hakiamugu nimemaliza naitakuahivo pokeeni zawadi yangu yawimbo mzuliwavideo uko yutubu nimegalamika zaidi yalakisaba kuaandaa audio navideo kwaajiliyaupendo wangu kwamiamba hii lisu heche
@AnastasiusKiyonga11 күн бұрын
Msamiati mpya; unkwepabo!
@AgustaZaile12 күн бұрын
Mbowe ni tapeli la kimataifa
@shukurumwagisa693112 күн бұрын
Hakuna kulala kamanda
@rukasifanderi-jg4li12 күн бұрын
My president lissu
@davidalbert693411 күн бұрын
kuna njemba imesimama serious sana hapo pembeni
@rukasifanderi-jg4li12 күн бұрын
Mbona hamna saut
@saimonisichimata855911 күн бұрын
lissu ni mkweli
@kassimdiscover773011 күн бұрын
Nimependa aliposema Hana jipya,huo ndio ukweli yule mzeee hakuna kipya cjajua kwann amewekwa katika Ile nafasi
@abuuzunayrah527512 күн бұрын
Sauti
@nabilsaid804611 күн бұрын
Nani aliskiliza ile ya cloud glass zilaanguka ma leo tena imevunjika tena 28.23
@VincentNyondo-rg1iz12 күн бұрын
Sautiiiii
@Kenes-l7j12 күн бұрын
Sauti haipo
@Jesusisable-t7q12 күн бұрын
Mbona hmna sauti sasa tunaangalia nini
@philipomushi476612 күн бұрын
Mm sipendi Lisu anavyo mwataki sana mwenyekiti angejikita kwenye sera zake na mipango yake.Alafu chadema ni chama Cha upinzani tuuu na mabadiliko ya nchi yanawezekana bila upinzani maana naanza kukosa Imani nao.
@mathiaszakaria705212 күн бұрын
Ww hujielewi kama umeshiba mbaazi kalale mambo ya upinzani hayakuhusu
@farhiyaibrahim205312 күн бұрын
Si anaulizwa maswali?
@MicahGhloloj-bs4cy12 күн бұрын
Shida Ni mushi na wewe unatetea kabila lako timu mbowe ko tulia dawa ikuingie
@simonmwasile437712 күн бұрын
Usimpangie cha kufanya, Punguza upambaf kidoogo
@dopplereffect715412 күн бұрын
sauti
@dopplereffect715412 күн бұрын
mnafeli sana
@paulwebb724212 күн бұрын
Kuanzia dk ya 47:43 hatusikii chochote,Kindly repost the video tumcklze vzr mgombea
@davidalbert693411 күн бұрын
fix your camera, alot of shaking
@CAPYBARA-r6w12 күн бұрын
chezea siasa😂😂
@abrahamboniphas838312 күн бұрын
Saut
@johnlugaila12 күн бұрын
Sauti mbona kimya
@Ibrahimkitela12 күн бұрын
Huishiwi sababu, kesho utajuta kuijua siasa
@rukasifanderi-jg4li12 күн бұрын
saut hamna 😂🤣😂😅
@CAPYBARA-r6w12 күн бұрын
saut vp iyo
@neliusgosbertbaguma869312 күн бұрын
Awe mwenyekiti na majeraha yake, atageuza siasa akibatana na watanzania wenye imani
@gordfreyemmanuel407712 күн бұрын
Ssuti Amna jamani
@neliusgosbertbaguma869312 күн бұрын
Ndio sauti imedukuliwa au?
@gdafa76612 күн бұрын
Tundu unachanganyikiwa
@asacconlinemedia534312 күн бұрын
Kuna uwezekano mkubwa wewe ndo umechanganyikiwa, umeshindwa kujitambua tu
@mwilemshani23612 күн бұрын
Sauti hakuna ni kwa sababu ya ujasusi
@lucasmaganga886112 күн бұрын
Sauti ya Mwandishi anayehoji kwanini sauti haisikiki vizuri kila wakati kuna shida gani??
@jovitusiinnocent753412 күн бұрын
Wewe lipuuzu kweli wewe umekuwa mungu ukosei mbn mnakivuluga chama kisa madalaka pumbafu zako ety police police bila usalama ungekuwa unaojiwa hapo kwa amani pumbafu zako
@andrewkitema983812 күн бұрын
Matusi hayapiti kura wewe kama hupendi Lissu kapige kura ya kumkataa au kama wewe sio mpiga kura basi washawishi wapiga kura kwa hoja wasimpigie sio kutukana.
@Nyanda50612 күн бұрын
Alipigwa risasi ndani ya usalama .
@harounmaarufu324112 күн бұрын
Acha ujinga pumbavu mwenyewe.unaleta tabia za kihaya
@asacconlinemedia534312 күн бұрын
Matusi ni dalili ya matatizo ya afya ya akili.
@najimsuleiman369012 күн бұрын
We ndo mpumbavu sasa kuhojiwa hapo Police wanasaidia nini wao pia Wamekuwa Mungu??
@dopplereffect715412 күн бұрын
sauuti ttafadhali
@kashinjejoseph746312 күн бұрын
Sauti imekata, lekebisheni sauti
@adoniasgidion462612 күн бұрын
Mbona sauti imekata
@dopplereffect715412 күн бұрын
Hamsikiki
@CAPYBARA-r6w12 күн бұрын
wametoa waya
@AmaniMalunda12 күн бұрын
Amsikiki
@rukasifanderi-jg4li12 күн бұрын
mbona mumekata sauti
@niwaelifadhili12 күн бұрын
Sauti haisikiki
@rukasifanderi-jg4li12 күн бұрын
Mboe asitafu bhana na yeye
@LiberatusMahinja11 күн бұрын
Unkwepable nimsamiati mpya wakingereza
@sebastianmwantuge559711 күн бұрын
Utashangaa linaingizwa kwenye kamusi kama neno jipya
@Robat-kh2rs12 күн бұрын
Hakuna saut
@dopplereffect715412 күн бұрын
Viideo haiina sauti
@gordfreyemmanuel407712 күн бұрын
Viongozi
@simonsadala238611 күн бұрын
Kindly ukimuona huyu jamaaa wenye akili wanajua tu amekaa ki mchongo mchongo tunakutakia safari njema huko uendako Ubelgiji
@ThomasMwadia11 күн бұрын
Acha unafiki
@1stladyafrica40211 күн бұрын
Jinga wewe
@simonsadala238611 күн бұрын
@1stladyafrica402 Mimi au wewe ndo mjinga kusoma hujui na picha huoni nawambia Lissu Leo ndo mwisho wake umewadia
@Chrishenryson-beats11 күн бұрын
Mngeenda na keki maduanz nyie
@ibrahimmohamed199412 күн бұрын
Hawa jamaa wapo so unprofessional kwenye equipment zao.
@KopiscoIsaya11 күн бұрын
Hacha kupotosha wewe haupo mioyoni mwa wapiga kura kabisa, kwahiyo usijipe kua utashinda,, wewe subiri MATOKEO yoyote naunatakiwa kuyakubali.hacha propaganda.