Mhe.Bungara Mungu akubariki na kukupa afya njema na maisha marefu na pia hongera kwa kuikubali hali yako ya mguu itakuongezea afya njema
@audaceleroi1370Күн бұрын
Charles, wekeni viti ambavyo vipo comfortable, maana hivyo vipo juu sana.
@GeorgeAkasha-zx2rjКүн бұрын
Bwege😂😂😂 ana vituko sana na anafurahisha sana, ila yote kwa yote namuombea heri sana katika maisha yake.
@lucaschisamalo2852Күн бұрын
Bwege aliumwa Sana sana mungu ashukuliwe Sana hata Leo uko mzima Asante mungu
@PhilkevinFelix20 сағат бұрын
Nimesikitika kutambua leo hii kwamba mdogo wangu Mheshimiwa Seleman Said Bungara almaaruf Bwege kuwa amekatwa mguu kwa kisukari. Kwa dhati ya moyo wangu ninampa pole sana Mheshimiwa Bwege. Mwenyezi Mungu akujalie akufanyie wepesi na akupatie njia m badala uweze kuendelea na harakati zako za maisha.
@RobertMpangile-k7j11 сағат бұрын
Waislaam wana imani sana
@assengamn5 сағат бұрын
Another good interview, congratulations sana,
@HamisiMatumlaКүн бұрын
I respect alot this man
@SinemaZaChina20 сағат бұрын
namkubari huyu muheshimiwa 🎉🎉
@nassorsubah310010 сағат бұрын
Yuko fresh sana mzee
@mchawimweusinjomo5533Күн бұрын
Uyu mzee kichwa sana
@ibrahimally5868Күн бұрын
Heshima kwako Bungara Bwege, mtu mzuri sana
@issayajumanne2710Күн бұрын
Once again, Charles upo kwenye daraja lako pekeako kaka
@GeorgeAkasha-zx2rjКүн бұрын
Bwege point kubwa sana anaongea facts and Logic.
@NicolasmoseretaКүн бұрын
Pole sana bwege Tunamiss sana hoja zako kuntu zenye maslah mapana kwa taifa
@peternyanda636017 сағат бұрын
Mungu akupe afya njema mzee wetu Bwege.
@mkushioriginalsillo5074Күн бұрын
Umesema ukweli wa Mungu kwamba wasiosoma hawategemee serekali kuendesha maisha yao
@abu-hasheem642221 сағат бұрын
hapa katupiga spana sana..............na ndiyo hapa lengo la elimu ya Afrika/Tanzania linapokufa............coz wasomi wengi ni waoga, kwa hiyo wanaingia katika uwizi wa kalamu na kupindisha mambo kwa manufaa ya puppets.
@benjaminmichael811Күн бұрын
21:55 "Tunafanya kazi kwa nguvu kama wasukuma vile" Bungala umenyoka sana
@fablucious3752Күн бұрын
Mwamba alifanya Bunge liwe tamu sana 🎉
@Lugiko-o2jКүн бұрын
Tunafanya kazi kama wasukuma vile😂 wasukuma Mungu awe nasi kwa maana asiyefanya kazi na asile
@SelemaniRamadhani-g8qКүн бұрын
MH BWEGE MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU WEWE NI KIUNGOZI UNAJUWA MAMBO MENGI NAKUPONGEZA AKILI YAKO YA UTAMBUZI NI KUBWA ALLAH BLESSED YOU
@aloycesamba998Күн бұрын
Huyu mwamba namkubali sana,we ulisikia wapi
@songombingo108Күн бұрын
Tunaanza upyaaaaaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂 (kwa sauti ya Bwege)
@azariajocktan6350Күн бұрын
Pole sanaaaa Mzee 😢
@johnmrindoko787522 сағат бұрын
Kutoka same Kilimanjaro mimi mbunge wangu ni bwege.
@kaundasutikaunda7769Күн бұрын
Mh Bwege , you're very intelligence. Mungu akubaliki sana.
@musa-v3fКүн бұрын
Mhe.Bungara Mungu akubariki na kukupa afya njema na maisha marefu na pia hongera kwa kuikubali hali yako ya mguu itakuongezea afya njema
@andrew29468Күн бұрын
Imani Yako imekuponya
@mchawimweusinjomo5533Күн бұрын
Interview ambayo haochoshi hongera mwandish weledi unao
@thadeusmahendeka446611 сағат бұрын
Mzee akili nyingi sanaa.
@slimmuhabesh2400Күн бұрын
Asante Charles
@MaryFlorence-t3m23 сағат бұрын
Bwege mung akulinde rudi tu bungen mimekumisi
@abdikhan6375Күн бұрын
Mwamba kabisa Mr Mwege
@decoderhealthusaКүн бұрын
Charles William ni master sana, msimfananishe na takataka yoyote.
@josephndambo3714Күн бұрын
WCB, Hakika mmepata mtangazaji mahiri saaaana sijapata kuona, huyu jamaa ana akili nyingi saaana
@TeophilBuildingКүн бұрын
Acha kutombwa akili uyo sio mtangazaji wa WCB Kima ww
@damianmcba9525Күн бұрын
@@TeophilBuildinghiyo ni Wasafi Media-- hapo ni habari tu,, Upande wa WCB ni kuhusu wasanii tu"" lkn yote ni kampuni moja iliogawana kazi""" Azam media na Azam football club pia aziingiliani japo tajiri ni mmoja,, huyo Charles ni mtangazaji wa WASAFI uhoni computer imewekwa newborn gani? Ni kweli sio WCB ila ni Wasafi Media. MKURUGENZI wa zote hizo ni Diamond platnum
@JosephJasson-fx6rqКүн бұрын
Brother uko vzr kwa huendeshaji wako wa vipindi
@johnmrindoko787522 сағат бұрын
Umekuja nahelaaah ,
@husseynomar9523Күн бұрын
Bwege ❤🎉🎉🎉
@decoderhealthusaКүн бұрын
42:15 Ashanipataaaaaaa
@ChristianLimo-k8tКүн бұрын
Ahaaa ongera bwege
@FrankworldwideTVКүн бұрын
Eti nakuskiliza uniambie bwege 😂😂😂
@issataslima9846Күн бұрын
hiii kwanin mmechelewa kuipandisha
@benjaminmichael811Күн бұрын
35:00 to 45:00 😢😢
@FrankworldwideTVКүн бұрын
Bwege ni mtu poa sana na hachoshi kumsikiliza
@kijaziwakijayo6833Күн бұрын
Chuma hicho... . Ukweli straight
@musa-v3fКүн бұрын
@Charles William inabidi uende Kilwa kwy hivyo vijiji vya hao wagombea walioshinda wa ACT-WAZ.. serikali ikakataa kuwaapisha tupate picha kamili
@tahirnephessalum36789 сағат бұрын
huyu jamaa hachoshi kumsikiliza
@JumaMartin-e4vКүн бұрын
Tunakuombea afya njema ili ugombee ubunge kilwa bado wanakuitaji na watanzania tunaitaji kukuona bungon
@Faridkhalid-z3pКүн бұрын
Uliskia wapi😂😂😂😂😂
@benjaminmichael811Күн бұрын
23:00 to 25:00 kuna hoja kubwa sana
@Dr.ForexTzКүн бұрын
Bwege😂😂😂
@rahifayussuf5210Күн бұрын
❤❤❤
@ProsperReuben-fg6uhКүн бұрын
Tunaaaanza upyaaaaa
@marthageorge5043Күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@salimmwabundu958Күн бұрын
😂😂😂Bwegeee
@mibafunnytz4036Күн бұрын
Hizi video mbona hazidownlodik asee
@SaraSara-i1lКүн бұрын
Bado unafaa sana
@ramseyhusseinkhamis8258Күн бұрын
Hivi nyie mpaka Leo hamjajua kama Lowasa alikua pandikizi la ccm tabu sana
@GeorgeAkasha-zx2rjКүн бұрын
Ushahidi unao?
@AndersonMokiwa-is5chКүн бұрын
Lisu bwege huyo hapo mchukue
@chezariboy21 сағат бұрын
Kweli hii ni hazina ipo mitaani ana AKILI chadema wamtumie pia huko aliko
@Isaacchama-d8jКүн бұрын
Bwege uwezo wake mkubwa sana. Huyu ni Super Natural Born Leader, mda mwingi wanaoitwa wasomi ndo wajinga arafu sio wajinga tu bali ni machawa ccm hakuna mwenye uwezo wakufikili kama bwege,