Ushuhuda wa Askofu Afred Robert Mwakitalima Mzee wa Imani wa TAG kuhushu Maisha yake ya Utumishi
Пікірлер: 8
@rev.musabalalarogersmusabalala18 күн бұрын
Nimewakumbuka wote TAG Jerusalem Singida Mungu awatunze na Wachungaji wote, Mungu akutunze Mch. Mwakitalima mzee wetu
@bernadoadriano92223 күн бұрын
Nimewapenda NYTV, Ahsanteni sana kwa kazi yenu nzuri MUNGU wa MWAKITALIMA na awe MUNGU wa Watakatifu wote wa SINGIDA
@warchie312713 күн бұрын
Nimefurahi sana kumuona na kumsikia Mchungaji wangu mzee Mwakitalima. Nimefanya nae kazi kwa sehemu nikiwa chuo cha uhasibu mwaka 1984-5. Nakumbuka nilikwenda vijijini lkn kwa baiskeli. Huko Nimekula ugali wa mtama kwa mara ya kwanza. Kumbukumbu nzuri sana hii.Mungu akubariki sana mzee wangu wa imani.
@stephanoedward576320 күн бұрын
Mungu ambariki huyu Mchungaji wangu.
@robertshillary863624 күн бұрын
Mungu Ambariki Mzee Huyu baba yangu wa Kiroho. Alinifundisha mengi. Huyu ndiye Mwanzilishi wa TAG Mkoa wa Singida.
@nytv847223 күн бұрын
asanteni tunayapokea Maombi yako mtumishi kwa mikono miwili
@gilijacob378724 күн бұрын
Hongera sana hakika kazi yako sio bure kwa Mungu sisi wajukuu zako wa Imani tunajivunia Sana kukujua wewe na kuipambania kazi yake katika mazingira magumu👏🙏🏻
@efridamgooh23 күн бұрын
Baba yangu wa Kiroho japo hawez kunikumbuka NAKUMBUKA SANA HUDUMA YAKE,MABALOZI NA WAVUNAJI BARIKIWA SANA BABA 2:02