Huyu jamaa anaakili sana, sema mda ukifika tutamuelewa tu, he is very talented man, the thinking capability is very higher, hongera wakwetu, haiwezi kupita siku sijakufatilia
@aishahemedi84527 ай бұрын
He has all the qualities of a true leader
@lucykristensen71457 ай бұрын
Asante Mh. MAKONDA kwa kumsaidia Rais wetu mpendwa Mama Samia na kutetea haki za Watanzania wanyonge na kusimamia haki za wanyonge. Mwenyezi Mungu akubariki sana akupe maisha marefu.
@felixkamkala33037 ай бұрын
Nimekuangalia Mkuu Makonda karibu mara 20 sichoki kukuangalia Kijana mwenzangu tulio zaliwa miaka ya 1982 seemu yoyote kama umepewa Majukumu ya kulisaidia nchi fanya kama Makonda safi kabisa
@beatricekatunzi37217 ай бұрын
Hongera Mh Ta Makonda..Mungu zaidi kukuinua..Damu ya Yesu ikufunike
@jedidahbintidaudi82417 ай бұрын
Mh Mkuu wa Mkoa-Arusha tunaomba ktk shuguhuli za kutetea haki siku moja basi nendaga magerezani ukakutane na wafungwa na kesi zao kiongozi wangu. Asante
@AngelSunta-c6j7 ай бұрын
Siku hz namfatilia makonda kuliko bunge. Baba ana hekima huyu❤❤❤
@AishaOman-k6f7 ай бұрын
Umeonaeee
@giftluyana13907 ай бұрын
Mungu skubariki. Na. Kukulinda. Paul. Makonda
@frednyangwechi7747 ай бұрын
Rc uko vizuri mno naona huyu ni Magu kwa njia nyingine
@jamalkishangu6 ай бұрын
Magu amekufa mwili ila fikra zake zitaendelezwa.
@ernestmbago8485 ай бұрын
Kiukweli mh. Makonda mungu akubariki sana kwa kuitetea tanzania hii inakuletea ubaya kwa baadhi ya viongozi ambao sio waminifu
@Lundege_Hips7 ай бұрын
Nipo Zanzibar ila kila nikingia ktk KZbin nataman sana nimuone makonda anaongea kitu ni role model wangu
@shekinahrwabyo81507 ай бұрын
God bless you Mr Makonda. Imenifundisha kusikiliza Kwanza...ndipo utoe majibu
@PetersmjeniMjeniАй бұрын
Goooood mkuu wa mkoa kazi nzuri sana nakukubari sana kiongozi wangu nakuombea kwa mwenyezi Munguuishi maisha malefu na udumu kwenye uongozi wa juu zaidi uwezo wako ni mkubwa sana
@Lundege_Hips7 ай бұрын
Hzi clip nimezirudia zaid ya mara 3 sichoki kumsikiliza
@muzzoonlinetv74467 ай бұрын
Kazi nzuri Makonda tunahitaji wakuu wamikoa kama hawa angalau 10 tutasogea mbele
@Lundege_Hips7 ай бұрын
Wakuu wa mikoa wengine wapo wapo tu kimihemko
@MrTop-wj7no7 ай бұрын
Daah huyu MAKONDA naona Tanzania itafikia mahali tutafanya maandamano tukiomba awe RAISI 😂😂😂
@PaulinaNyanzalashija7 ай бұрын
Mhe Makonda mwanangu upo saaafi sanasana Mungu atakugania na damu ya yesu itakufunika
@hezronsanga51977 ай бұрын
Mungu akubariki sana Makonda
@joycemwango9437 ай бұрын
I am a Kenyan,,,lkn hongera Kwa kusikiliza kero za wanyonge 🙏
@sss3s8677 ай бұрын
yaani makonda ukasomee sheria zaidi ili hao watu wako wasijewakakuroga wakakuingiza kwenye shimo. kwa sababubwashafanya madudu ya hovyo na waanaangalia njia ya wao kupona. wataennda mahakamani
@IbrahimSandagila7 ай бұрын
We want that kind of leadership ❤❤
@abdallahmmary85917 ай бұрын
Makonda nadhani unachikiwa kwakuwa nmkweli na ukweli ni ibada natumaini kwakua upo sahihi kwa kutojiingiza kwenye Kwenye mitego ya rushwa ni utakuwambali mno mashaalah
@jokhamohammed9767 ай бұрын
Hongera sanaaa mh makonda M/mungu akurinde Kila atua unayo piga🤲
@GodTimbaland7 ай бұрын
Mwamba baba keagani. Mungu akupe cheo cha uraisi mwaka 2030
@majaliwaslayomajaliwaslayo7 ай бұрын
Hawa wakuu wa mkoa wengeni mlio baki igeni kwa makonda anacho kifanya arusha makonda kila akipita sehemu anaacha pengo na pengo lake halisibiki na kitu chochote 🤝
@tanzaniantraveller7 ай бұрын
Mr Paul ana ujasiri, hekima na busara ya Hali ya juu sana, pia ana utu, akili na utambuzi wa haraka sana kiasi kwamba hata akikosea unajuwa ni bahati mbaya. Namuamini sana na kupitia yeye nchi itafika mbali sana. Ma RC wengine, igeni mfano wa huyu mtu.
@peninashungu66337 ай бұрын
Kuna mda ata unataman. Makonda afanye kazi ata weeked❤😂Mungu akulinde je miko mingine ikoje, iyo sura ya mkurungez tu kama mla watu haya mambo ndo vile unakuta mfanya biashara ameuliwa masikin au katupwa mtoni kumbe mambo ndo hayo
@marugumsira46957 ай бұрын
Geniuses Makonda!!!!!
@NiyongabireEgide-h4g6 ай бұрын
I'm not from Tanzania but I'm very proud of this leader 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 i wish this guy he would be a president not only tanzania i hope whole africa we will enjoy his present 🎉🎉🎉🎉
@user-rt5fb8kw9b7 ай бұрын
Mhe makonda hongera saana, hakuna ubishi kuwa uongozi unajua, mkurugenzi amekosea kwa km nyingi saaana, amekosa ile professionalism, hawezezekani kabisa mkurugenzi kuita vyombo vya habari na kutoa siri za mteja( mfanyabiashara) amekosa KYC-Know Your Customer, mfanyabiashara ana washindani wake, ana wadau wengine anafanya nao biashara, hakuna ubishi mkurugezi alikuwa na lengo la kumchafua mfanyabiashara ambaye ni mlipa kodi! Pia alishindwa kujua anapoongea anaongea kwa niaba ya ofisi na siye yeye! Very unethical kwa mkurugenzi kumchafua mfanyabiashara bila evidence!!
@MAGIDACHIMIJA7 ай бұрын
Bora kumsikiliza Makonda kuliko bunge
@silasjonathan19527 ай бұрын
Hili naungana na wewe 100% wakuu wote wakuu wengine wachukue mfano kwako
@stanslauschacha28337 ай бұрын
Ni bahati mbaya kwamba, mfumo wa kutunuku watu vyeo vya heshima kama vile Doctorate umekaa kisiasa zaidi kuliko uhalisia. Hakika Makonda angekuwa Rais angekuwa ameishatunukiwa hicho cheo cha heshima; ila kwa sababu ni Mkuu wa Mkoa hakuna anayeweza kuona umuhimu wake. Ila kiuhalisia, bila kumng'unya maneno, Makonda anastahili kutambulika na kutunukiwa cheo cha juu cha heshima. Mb zangu zinaisha kwa kuangalia Utendaji kazi wa Makonda, na sichoki kumfuatilia. Hakika kama hili Taifa lingepata watendaji kama hawa, umaskini usingekuwepo; uonevu usingekuwepo! Mungu aendelee kukutunza, wewe ni mfano wa kuigwa!
@jeremiahmollel55837 ай бұрын
Hongera sana mkuu
@thomaskiponda60797 ай бұрын
MAKONDA MTU WA MAANA KABISA❤❤❤❤❤❤😂❤❤
@MwanaishaShattry7 ай бұрын
Makonda nimekuzaa mie weye unapenda haki. Mungu akulinde na akuhifadhi katika haki.
@mpanderashidi20787 ай бұрын
Pga Kaz kiongoz nakuona Cku moja ukiwa rais wa Nchi
@mansulkassim95097 ай бұрын
KIONGOZI WANGU BORA ZAIDI TANZANIA nakuomba uwe mkuu wa mkoa wa MOROGORO
Wahasibu wa tanesco nao waizi sana. Wanajenga majumba kwa pesa za wananchi😢😢
@deniskaguo46987 ай бұрын
Ahhaha broo cc tunakopa tu usiumie ukituna tunaishi kwenye yumba kali tunamadeni balaaa
@masalakulwa76017 ай бұрын
@@deniskaguo4698ukute unajimwambafai hapa kumbe kapuku balaa..mhasibu hawezi jitapa hivyo
@sss3s8677 ай бұрын
Aiseebwee acha tu. mtejabanatakabumeme anaambiwa atafute mkandarasibwa nje. yaani unapitishwq chobingo ili gharama zipande wale nje kwa nje
@totonata53847 ай бұрын
@@deniskaguo4698 Aaah wapi? Matumizi makubwa mshahara mdogo. Natamani mawaziri wote wangekua kama Dr Slaa na Makonda
@abdulymaeda26977 ай бұрын
Kaka store kipa tanesco wao pia wanapiga mbya wanashusha mijengo 2@@deniskaguo4698
@EstherJeremiah-o9n2 ай бұрын
Kazi nzuri sana kaka yangu makonda
@marcondokeji89827 ай бұрын
Ubarikiwe Sana Mkuu wa mkoa wanadamu wasipokupenda especially wale wanyanyasaji, wema na Mungu mpenda haki atakuvisha taji la utukufu wake.
@SaimonKisegenya7 ай бұрын
Mh Makonda unaweza Mungu akuongoze
@mustapherpandu64756 ай бұрын
Tokea nianze kufuatilia kazi anazofanya makonda kwenye mikutano yake nimetokea kuwa mfuatiliaji sana kiasi kwamba ss hiv naijua vizur sana serikal kuanzia chini mpaka juu jamaa yupo vizur sana anaijua kazi yake ..big up
@shadyaomary7 ай бұрын
Makonda mungu akulinde
@hbdina7 ай бұрын
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Tanzania tuna watu wenye vichwa vibovu utashangaa Halmashauri nyingine zina madudu ya aina gani!!!
@petrobukerebe2157 ай бұрын
Huyu ndo mkuu wa mkoa ninaemfahamu sasa mimi, wow❤❤❤
@hillshipping51177 ай бұрын
MashaAllah, kaka uko vizuri mm nakupataje ?nina jambo langu tumedhulumiwa mpaka leo tuko maskini na mkwe wangu mhhh mtihani wallah
@josephgnzunda56317 ай бұрын
Uko vizuri tunakuombea from mbeya
@AnnaAntony-k5p6 ай бұрын
Kwa mara yangu ya kwanza nmekuwa nafuatitilia daaah.MUNGU AKUBARIK MUHESHIMIWA MAKONDA
@josephmagori46127 ай бұрын
Huyu mkurugenzi aliwahi kulaumiwa akiwa Serengeti Kama mkurugenzi ila akabebwa na rais magufuri Lisa aliyemshitaki alikuwa mbunge wa chadema marwa ryoba na alizomewa na ccm Sasa leo maneno ya marwa ryoba yanaonekana Leo kuwa huyo ni mpigaji mzuri
@Mery-f5p8c7 ай бұрын
Tena alimtaja kwa Herufi kubwa.. TUNAMKURUGENZI MWIIIZIII !!
@GetuliBasso7 ай бұрын
U kijana sana Makonda natamani uje kuwa Raisi muda ukifika. Unawatetea wanyonge.Hongera baba.
@TM-zs3rm7 ай бұрын
Hawezi kuwa Raisi sababu uongozi wake hauna mipaka na haifuati katiba.
@benardpeter35627 ай бұрын
Hongera sana Mkuu wa Mkoa Mungu akulinde
@MtessaAlly-rd4hf7 ай бұрын
Big up sana mh makonda.. Baraka nyingi sana kwako
@SaadaZubery7 ай бұрын
Mama samia mungu akulinde kwa ku leta makondo tena kwenye system nadhani wananchi wanatamaviongozi wa namna hii
@dengeman48147 ай бұрын
Panapo uhai namtabilia huyu makonda kuwa rais wa nchi hii
@furahinimanya77006 ай бұрын
From Arusha!! Mzaliwa the real face, the real mind!! And you talking all your mind!!!! Do I go on
@alexnyigo88647 ай бұрын
Mungu akulindee makonda
@LusajoEduward5 ай бұрын
Munguwamajeshi yupo
@fulloflife77 ай бұрын
RC Makonda 👍that is called Maturity.
@rosetreffert41797 ай бұрын
Very Talent makonda ❤❤❤❤
@sr.elizabethmbuligwe55407 ай бұрын
Babaangu hongera kwa kazii kubwa naomba namba yako baba ninashida
@valenakomba76867 ай бұрын
TUNAKUFUNIKA KWA DAMU YA YESU. NDIMI ZA MOTOZA ROHO MTAJATIFU ZIKUZUNGUKE BAYA LISIKUPATE KABISA.
@HagaisangaSanga7 ай бұрын
Noma hapa kazi tuu
@nurdinmuro6 ай бұрын
Mkuu wa mkoa safi sana nakutamani ungekuja Kilmanjaro kwa mwaka mmoja
@PiusKombole7 ай бұрын
bro makonda nakuombea kwake m/mungu akupe afya njema pamoja na familia yako.ili uwe katika utulivu na busara kumkwamua anae nyanyasika na hawa viongozi wanopenda maslahi yao nakujisahau yakwamba wao ni watumishi wa serekali na sio binafsi yao wawajibishe ipasavyo bila kupepesa macho wakazie sana kwa tabia zao chafu.mungu akupe uwezo zaidi kulitumikia taifa letu la Tanzania.kongole sana bro makonda.
@isaacktweve37737 ай бұрын
Hayo mapete aliyovaa Mkurugenzi huenda ndo yanamcontrol.
@muddymuzungu43577 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@beatricekatunzi37217 ай бұрын
😂😂😂😂😢😢😢😊😊
@WinnieMbwiga6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@jamessimba7497 ай бұрын
Tukibagiliwa kuwa sisi weusi hatuna akili tunaandamana .kumbe kuna kenge wanatuponza .hivi hiz halmashauri mmerogwa na nani
@geraldleger57937 ай бұрын
Hawajalogwa , ni wezi tu kama wzi wengine.
@riazshaikh85777 ай бұрын
Mwaraabu mbona kajishika kichwa, kama vile mama yangu kazi hamna, 😂yumo nini?
@stanleychambulikasi7 ай бұрын
Aksante Daniel wa kizazi cha sasa Bwana akufunike na utukifu wake
@teddygabriel56627 ай бұрын
Upo vzr baba kian
@HappyAsajile7 ай бұрын
Kila siku naamka naogopa usije ukatenguliea kwa unachokifanya, nakuombea kwakwel mung akueke arush ata miak mowil tu
@MCNgakungaJunior7 ай бұрын
Mnae huyo mpaka uchaguzi upite.Bila shaka baada ya hapo atakuwa wizarani.
@marcoeliakimu21417 ай бұрын
Kazi nzuri sana, viongozi kama hawa tuwapate Africa
@feliciarfrancis23887 ай бұрын
Chuma ( Paul Christian Makonda) Mungu akulinde
@joycemwango9437 ай бұрын
Hongera mh,, MAKONDA
@elias.e.urassa7 ай бұрын
Tz kuna watu wanachekesha,Sana hasa wakurugenzi sector nyingi sana. Yaani ni Sawa umtume mtu Osha vyombo alfu akapike =kuongeza matumizi ya vyombo vichafu aliyekutuma kutatuma aje kutowa matatizo yako na aliyokutuma.
@agnesmogere4137 ай бұрын
Siku ya nwizi ni arobaini,mungu akulinde sana kiongozi hongera sana role model kwa viongozi wote .
Napoangalia taarifa zako unafanyakazi nzr makonda upo vizuri nawapongeza sana wana Arusha
@thomastemu33327 ай бұрын
Ndiyooo mafisadi wote wakae nje 😢
@alibilashaka30037 ай бұрын
Mm Ni mkenya but napenda uongozi wa makonda ama kweli amezaliwa Kua kiongozi
@kurumwagodfrey70527 ай бұрын
Kuna watu wengne hawana hata chembe ya uongozi kama unahitaji ni nini maana ya kiongozi difinition yake ni Paul christian makonda
@lucasalbertomseti15787 ай бұрын
Huyu jamaa kumpa mkoa tu ni matumizi mabaya ya akili kubwa huyu mwamba alitakiwa kuwa level ya waziri akatatue changamoto za watanzania
@a4afrika7 ай бұрын
PM
@mtahogarashid84886 ай бұрын
Aisee nikikucheki Mh.Makonda nikama Magu karudi kazini naiona sauti ya ukali kukemea madudu ya Nchi.
@kilonzokallage61597 ай бұрын
Arusha mtazitolea rushwa sehemu yoyote yenye tundu
@daniellinus9717 ай бұрын
Well done
@ivankadaudi81617 ай бұрын
Namuomba mungu siku moja akulete mbeya❤
@hiramnjeru64577 ай бұрын
Tumekukubali %%
@faithjonathan38452 ай бұрын
Makonda nilimchukia sana akiwa Dar. Ila nahisi Dar nao walokuwa wanamdanya asifanye kazi maana huku matapeli wengi watakuwa walimpotosha. Ila tangu jamaa kaingia Arusha namkubali sana aisee na Mungu anisamehe kwa kumchukulia visivyo huko nyuma
@mohamedkhalil94947 ай бұрын
When the hunter become hunted 😅😅
@MrTop-wj7no7 ай бұрын
😂😂😂😂daah
@francisdeomassawe63077 ай бұрын
Makonda ni kiongozi bora.
@EdenAChoir7 ай бұрын
mheshimiwa makonda system pia inahitaji watu waadilifu
@Lundege_Hips7 ай бұрын
Makonda ni mtu na nusu
@ahadibuge52467 ай бұрын
Good Job RC.
@hamidabarraball31627 ай бұрын
Makonda hapo unaongea uongo mbona ulitaka kumtapeli GSM NYUMBA?
@deniskaguo46987 ай бұрын
Raisi wng wa badae
@prosperjohn20477 ай бұрын
MUNGU akulinde sana Makonda, na nakuomba muambie mama amtimue huyu Mkurugenzi
@NuhuMtamike5 ай бұрын
Pamoja sana
@MtegekiKaijage7 ай бұрын
Mkurugenzi kama huyu ndo anaongoza almashauri kama hii jamani. Mtu ambaye hawezi kureason hata kwenye issue serious inayoleta mapato ya kuendesha nchi. Uwa nasema utaratibu wa kuwapata wakuu wa wilaya, wakurugenzi, makatibu tawala, na wakuu wa mikoa hapa nchini uangaliwe upya