PART 2: "MKE NA WATOTO WANGU 2 WAMEHUKUMIWA KUNYONGWA" - DAKTARI AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA...

  Рет қаралды 9,942

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

PART 2: "MKE NA WATOTO WANGU 2 WAMEHUKUMIWA KUNYONGWA" - DAKTARI AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA...
Yapo baadhi ya mambo, ambayo kwa hakika yanasikitisha mno! Mkasa wa Dk. Bilal Miromo na familia yake, ni miongoni mwa mambo yanayosikitisha mno! Bado analia, moyo wake unavuja damu, hajui nini itakuwa hatima ya maisha yake na familia yake hapa duniani.
Kilio chake kinatokana na mke wake, Hadija Thadeus Shio na wanaye wawili, Ibrahim Abubakar na Salma Abubakar kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama Kuu Kanda ya Moshi huku mwanaye mwingine, Abdulrazack Miromo akihukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja.
Hukumu hiyo inatokana na kesi namba 57 ya mwaka 2019 ambapo watuhumiwa wote wamekutwa na hatia ya kumuua Titus Sebastian Kimaro, aliyekuwa Mjumbe wa Nyumba Kumi katika Kijiji cha Ngirini, Kibosho Kirima, Moshi mkoani Kilimanjaro, tukio linalodaiwa kutendeka April 28, 2019.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 85
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Allah akufanyiwepesi Akupe subra kwa hayo yote ni mtihani tu Allah yupo watatoka lnshaallah polesanaa
@salhaali9284
@salhaali9284 2 жыл бұрын
Hii story haitizamiki unajikuta unalia tu inaskitisha kwa kweli Allah atakuhukumia
@jimjam4148
@jimjam4148 2 жыл бұрын
Uyu Mzee amenigusa sana YARABI anaona kilio chako na haki yako utapata tu. amin amin YARABI amin.
@salhaali9284
@salhaali9284 2 жыл бұрын
Amin yarrab
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Amyn yarabiaalamyn
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu, Fanya huruma kwa mja wako🤲
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
Pole sana baba Mungu ipo siku atakufuta machozi yako inasikitisha sana,Mungu awapumzishe kwa amani MZALENDO wetu SHUJAA wetu JPM 😭😭😭😭🙏🙏
@sharifajuma9945
@sharifajuma9945 2 жыл бұрын
Pole baba yangu ila haki ya mtu aipotei mungu anaona kilio chako kama alivyosimama na kina shadrak meshak na aberdneg ni mungu huyo huyo atasimama na familia yako kama wakina daud walivyotumbukizwa kwenye tundu la simba ni mungu uyo uyo atabatilish iyo hukumu pole sana baba yangu
@sofiemwita1836
@sofiemwita1836 2 жыл бұрын
Pole sana baba yangu wala usijari mungu yupo kwa kila jambo pia mimi nilipitia hayo yote lakini mungu alinisandia nakupa moyo mungu atakusandia pia wewe muombe sana mungu yote yaishe am sorry dandy
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
😭😭😭tunaomba mawasiliano yake nimchangie chochote
@cocorita8367
@cocorita8367 2 жыл бұрын
Haki itendeke jamani serikali yetu iko wapi?
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 жыл бұрын
Mwenye Enzi Mungu ata kulipia hapa duniani kabla ya akhera kwa uwezo wake yaarab, hatuna la kusema isipo kuwa hasbiya Allah wani'mal wakiil
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 жыл бұрын
Mwenye Enzi Mungu ata kulipa mzee kwa wema wako kwa kumsadia binadamu mwenzako kumpa sehemu na kum hifadhi. Allah ata kulipa mema hapa duniani na kesho akhera allahumma ameen yaarab
@safiayussuf9308
@safiayussuf9308 Жыл бұрын
Allah atakufanyia wepesi. Inshallah kwa uwezo wke Allah na Rehma zke. Dadangu Samia atalizigatia hili. Na haki itapatikana Ameen yarbllamn. Masikini dr😭😭😭
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 2 жыл бұрын
Pole Sana baba angu Mungu akutilie wepes kwenye kipind iki
@mwanakhatib5825
@mwanakhatib5825 2 жыл бұрын
Nenda kweye tiv ya maxmam tv utapata msaada kuko baba yangu
@edinabenedictorlukonjebene9335
@edinabenedictorlukonjebene9335 Жыл бұрын
Mungu akulipie
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Baba kalia huyu Mungu msaidie,ni ngumu kuyabeba maumivu haya,pole Dr.
@ivonasangawe7185
@ivonasangawe7185 2 жыл бұрын
Pole sana baba mungu atakutendea amini
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Jamaaniii kilio cha MTU MZIMA jmn mambo hayo acha, Mungu akusaidie akufanyie wepesi adhabu nyie waja yatosha uko Moshi au Arusha, Mungu awaongoze viongozi wamtazame upyaaa
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
Pole sana Allah yupo hatafanya haki yake jamani tutafika wapi
@agnesmgaya8577
@agnesmgaya8577 2 жыл бұрын
Pole sana bb angu ila mungu yupo atakusaidia mwamin yy
@zainakuzenza759
@zainakuzenza759 2 жыл бұрын
Pole ndg yangu wanadam tumuogope Mungu tukumbuke duniani tunapita kuna siku ya hukumu jamani ardhi ndio itaksyotubana hadi maxiwa tulionyonya kwa mama zetu yatoke vipi ikiwa unshukumu kwa ghilba unadhulumu unatesa watu wanadamu mrudieni Mungu ndio mmiliki wa dunia hii pole Dr Allah yu pamoja nawe atakulipia mtegemee na umuombe kila wakati
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 2 жыл бұрын
Allah atakufanyia wepesi mzee wangu dhulma haidumu na haki itafanyika
@healthcomoditysikika9545
@healthcomoditysikika9545 2 жыл бұрын
Machosi ya huyu Baba Mungu atayafuta na waliosababishba hili watalipia kwa gharama kubwa sana
@sharifamhina3200
@sharifamhina3200 Жыл бұрын
Eee mungu ww ndy kilakitu nakuomba mola wangu kwa unyenyekevu wangu woote nilionao yalabi msaidie huyu baba fanya miujiza apate furaha km binaadam wako wengine
@MizeKombeSuleiman-id1rp
@MizeKombeSuleiman-id1rp Жыл бұрын
Mm nikichwa kigumu lkn nimelia ewe mungu wangu msaidie mja wako uyu
@shihana_kiba4997
@shihana_kiba4997 2 жыл бұрын
Huyu Baba asaidiwe jamni😭😭😭😭
@MizeKombeSuleiman-id1rp
@MizeKombeSuleiman-id1rp Жыл бұрын
Laa thaqnaq rehma thullah😢 usikate tamaa babangu uko kwenye rehma ya mwenyezimungu
@roselambert6700
@roselambert6700 2 жыл бұрын
Pole sana Mungu akupe faraja mzee
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 2 жыл бұрын
Polesana mzee
@dotosalim5090
@dotosalim5090 2 жыл бұрын
Pole baba mungu yupo
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 жыл бұрын
Mama,Mama,MAMA,MAAM,SAMIA nchii hiiii Mama kua makini Saana twakupenda sana Mama Jitahidi Mama,
@selinapius7607
@selinapius7607 Жыл бұрын
Pole baba
@ziadaomeri6058
@ziadaomeri6058 2 жыл бұрын
Pole sana baba mungu yupo nawe
@merryabiaza711
@merryabiaza711 2 жыл бұрын
Duuuh imenibini tu ni comment pole Sana baba mungu atakusimamia haki itatendeka
@mudricksalehe2589
@mudricksalehe2589 2 жыл бұрын
Jamani mwenyezi mungu hatakuongoza baba Rip magufuri
@sarapianmatiku5689
@sarapianmatiku5689 2 жыл бұрын
Madaktari wenzake waliofanya naye kazi wapo wapi angalau wapitishe mchango kumsaidia huyu mtaalam mstaafu au chama cha madaktari hawaoni daktari mwenzao akiteseka kea Kilio hicho
@kadigatanzaniya4792
@kadigatanzaniya4792 2 жыл бұрын
Pole sana baba yangu
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 2 жыл бұрын
Vp huyu baba Dr anaishi hivi kunan kati hapa
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 жыл бұрын
Eti hata mm nashindw elewa .alishindw hata kujenga
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Mtoto washamtiamawazo sijui atakuwaje namuonea huruma hi Dunia mtihani jamani. Mwenye uwezo a mchukue huyu mtoto jamani
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 2 жыл бұрын
It's sad. Huyu baba anatia uchungu
@YusuphMarcOgaga
@YusuphMarcOgaga 4 ай бұрын
Hii story ukiisikiliza kwa huruma unaweza kudhan maelezo yote anayotoa mzee ni yakweli .....mashaka yangu ni kwamba kifo cha huyo mjumbe kilitokana na nn
@TeamKRX
@TeamKRX 2 жыл бұрын
Sabaya kaachiwa kaweka vilema watu daaa haki iko jina tu Tanzania
@sagilododomamedelipeter1893
@sagilododomamedelipeter1893 2 жыл бұрын
Kaka yangu alifungwa jela toka mwaka 2000 alipewa kesi ya bunduki kisa pesa yake mwenyewe alikutwa na mil.2 stendi moro. Akiwa na miaka 20 police wakampa kesi akaenda jela miaka 30 ametoka jela kwa msamahaa wa rais mama samia 2021 mwezi 12 ametoka na miaka 41 ametumikia 21 miaka police sitakuja kumuamini mpaka nakufa haki ipo mbinguni.
@aishambise6529
@aishambise6529 2 жыл бұрын
Mama samia plz angalia machozi y huyuu mzee Aki itendeke Usikae kimya wewe n mama unajua uchungu Wa machoz yalivyo 🇰🇪
@bahatihassan5413
@bahatihassan5413 2 жыл бұрын
Huyu mzee anweza kufa kwa presha pole sn baba unapitia magum inatia huruma
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 2 жыл бұрын
Jamani Dr. Mwenye PhD???kulikoni Tz???
@gillbertmapesa179
@gillbertmapesa179 2 жыл бұрын
Eee Mungu Wangu kama Kuna watu wenye shida basi hawa ndiyo wa kuwakumbuka sisi utatukumbukaga huko mbele wakumbukuke hawa Kwanza baba 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@hertafabian7261
@hertafabian7261 2 жыл бұрын
Nikweli jaman
@ynyynyyny
@ynyynyyny 2 жыл бұрын
Viongozi mnamasikio? Mmeliona hili? Em tendeni haki jamani
@rukyahassansuleiman5977
@rukyahassansuleiman5977 2 жыл бұрын
😭😭😭 jmn baba kaniumiza uyuu analia kwa uchungu na maumivu makali ndani ya moyo wk allah ndo mwamuzi
@selemanisalumabdu8667
@selemanisalumabdu8667 2 жыл бұрын
Huyu mzee naiyomba serikali ilipitie upya file yke
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 2 жыл бұрын
Pole sana Dr
@farhatomar78
@farhatomar78 2 жыл бұрын
Inshaallah. Mungu kwa uwezo wake na rehma zake mtashinda tuuuu
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 2 жыл бұрын
Afrika bwana mstafu anakuwa masikini kha
@mouwanahamisi8216
@mouwanahamisi8216 2 жыл бұрын
Dunia hii jmn mnatuonea wanyonge jmn baba mtu mzm analia IV kwel mung atahukum Kwa qadar zake😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@aminamodi8927
@aminamodi8927 2 жыл бұрын
Hivi kweli haki ya mtu yapotea hivi wazili wa mambo ya ndani yupo wapi jamani hii KWELI ndiyo TZ tunayoijua? ALLAH MJALIE KIUMBE WAKO
@godsgiftgreat4752
@godsgiftgreat4752 2 жыл бұрын
Mama Samia musaidie huyo Baba. Wewe ni mama mwenye huruma.
@gillbertmapesa179
@gillbertmapesa179 2 жыл бұрын
Najaa uchungu moyoni mwangu nikiwaza juu ya watu wanaotesa wengine kiasi hiki
@mtz5582
@mtz5582 4 ай бұрын
Kuna yeyote anajua hali ya DK to date!!!
@mayaltv9441
@mayaltv9441 2 жыл бұрын
Bongo nyoso kuna watu mtakufa midomo wazi
@stukiaally4690
@stukiaally4690 2 жыл бұрын
Wachaga kwa mali hapanaaaa Unamuangamiza ndugu na watoto kisa ardhi, mnamuhukumu mtu bila kufata haki kisa pesa Mnasahau Ardhini tutarudi na tunahesabiwa hatua tu sehemu ya kulazwa na tutabanwa na ardhi hadi tuchanganyike na udogo. Wewe ulietoa hukumu unasahau tukifa hakuna kitachotufaa si pesa wala mali bali matendo yetu mema ndio yatatuokoa na hukumu ya mola
@aldeamasuki6196
@aldeamasuki6196 2 жыл бұрын
Wachaga shikamoo jamani
@fauziatumbo8221
@fauziatumbo8221 Жыл бұрын
Mama Samia tenda haki
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Жыл бұрын
Majaji kueni makini. Mnapohukum wengiwao. Awana atia yoyote
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 жыл бұрын
Ina maana penshen yake haingii
@alphoncealexander8536
@alphoncealexander8536 4 ай бұрын
Huyu mzee alisaidiwa au
@Mlj_2023
@Mlj_2023 Ай бұрын
Namba zake zipo wapi?
@safiayussuf9308
@safiayussuf9308 Жыл бұрын
Masikini dr Hana hata chakula? Hata pakukaa? 😭😭😭
@happymrema6728
@happymrema6728 2 жыл бұрын
Sasa Kam alikuwa dactar
@rachelmikey5493
@rachelmikey5493 2 жыл бұрын
Daa jamen
@emanueluroki6160
@emanueluroki6160 2 жыл бұрын
mnachekewa kutuma mwendelezo wa report siku 3 nzima
@robertmalima3111
@robertmalima3111 2 жыл бұрын
Weka namba yake tumchangie na pia km kuna mwanasheria yupo bas ajitokeze amsaidie huyu baba jaamaan
@everlyneurima4407
@everlyneurima4407 2 жыл бұрын
Issue Kama hii tangu imeripotiwa watu wa Haki za binadamu wangekuwa wameshaenda huko mahakamani na kujua utimilifu wa hiyo hukumu na kumsaidia huyu Babu wa watu kukata rufaa. Hii ni rushwa walizopewa polisi na wafanyakazi wa mahakama Kwa ujumla. UBAMBIKIZAJI Kama kawaida tu
@rachelmliwa9830
@rachelmliwa9830 2 жыл бұрын
Hadi baba anasema anaye jua ni Mungu nawachukia Sana wanafiki hapa duniani sikupend we rafiki mnafiki fala nyie
@nellytsuma7519
@nellytsuma7519 2 жыл бұрын
😭😭
@ostakiambilinyi1270
@ostakiambilinyi1270 2 жыл бұрын
Jamani mtu mzima kulia sio mchezo serikali ipo wapi rlp magu
@aldeamasuki6196
@aldeamasuki6196 2 жыл бұрын
Mkimwona huyu baba mliomfanyia hivi mnajisikiaje hamwoni kama mnachuma zambi mkikidai mnajua dini
@lusajomwakalinga5813
@lusajomwakalinga5813 2 жыл бұрын
PhD ya udaktari ?
@lucywairimu4188
@lucywairimu4188 2 жыл бұрын
Mimi niko kenya naomba number ya huyu baba nimtumie chochote pliz.
@nanaathman6721
@nanaathman6721 2 жыл бұрын
Hata mimi nataka number ya huyo baba nimsaidiye kitu japo kidogo anaumiya sakini
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 2 жыл бұрын
Maguful angekuwepo ungeonekana tu sjh sasa hiv kwakwel
@ostakiambilinyi1270
@ostakiambilinyi1270 2 жыл бұрын
Jamani mtu mzima kulia sio mchezo serikali ipo wapi rlp magu
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 41 МЛН
What happens to your brain when you burn out?
1:29
The Economist
Рет қаралды 24 М.
Ukweli kuhusu mwanamke aliyedaiwa kufa kisha kufufuka DSM
9:24
Millard Ayo
Рет қаралды 51 М.
What Is Narcissistic Personality Disorder?
7:33
Phil in the Blanks
Рет қаралды 816 М.
HEKAHEKA: Mwanaume amuoa mwanaume mwenzie bila kujua Mtwara
17:56
DR BILALI ANALIA MKE NA WATOTO WAHUKUMIWA KUNYONGWA BILA HATIA (PART 1)
31:15
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /35/ #love
33:24
BabaJoan
Рет қаралды 36 М.
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН