Part_2 USHUHUDA WA ALIYETOLEWA KAFARA NA BOSS WAKE AKAFA NA AKAZIKWA

  Рет қаралды 34,356

PROMOVER TV

PROMOVER TV

4 жыл бұрын

#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 88
@latefalatefa5594
@latefalatefa5594 4 жыл бұрын
Wekaka nyota yako inang'aa sana ndiomaana shetan kakushindwa wemtumikie Mungu kwabidii god blees you
@gracesamson4339
@gracesamson4339 4 жыл бұрын
MUNGU anakupenda sana mtumikie siku zote za maisha yako,Amina
@user-il1bv6vs9q
@user-il1bv6vs9q 4 жыл бұрын
The yoke is broken The chains are broken By the powerful mighty name Jesus Amen .
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Amen
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Hakika Mungu wetu hashindwi endelea kumtegemea
@dorisk3863
@dorisk3863 4 жыл бұрын
ananikumbusha nilikuwa nitolewe kafara, wala sikufa.. Mungu ni mkuu alinionyesha hata kabla ya yote na yaliotokea ni makubwa... na nikawa katika maombi na saa hii waliokuwa wakinitoa kafara wamekufa msururu maana Mungu wangu ni moto hulao.. Ni ujisalimishe ama uangamie.
@betweljackson9770
@betweljackson9770 4 жыл бұрын
Mungu akamwambia yule tajiri, hata wakiletewa akina Eliya watasema ni mizuka, huko duniani kuna manabii na mitume wawasikilize hao, NAONA WENGI WAKIKEJELI, MUNGU AWASAIDIE
@adamfundikira8063
@adamfundikira8063 3 жыл бұрын
Ni kweli Mimi mwenyewe Nina kitabu changu kinaitwa wengi watatamani kuingia lakini hawataweza ni ushuhuda wa kweli
@mercynjeri6581
@mercynjeri6581 4 жыл бұрын
Na watch from Kenya show iko poa
@florencemueni1183
@florencemueni1183 2 жыл бұрын
God bless u....mambo haya yanafunua akili na kufungua watu macho kweli life is spiritual
@josephinewluis8871
@josephinewluis8871 4 жыл бұрын
I waited and waited for this episode..God bless🙏
@titinmbega4128
@titinmbega4128 4 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi Kwa kutuletea ushuhuda huu
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 4 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu... sasa uokoke kikweli kweli
@maryammaryam5789
@maryammaryam5789 4 жыл бұрын
Pole kaka yng mungu a endelea kukupa nguvu anakupenda part 3 jacktan tunaomba
@protassilayo4200
@protassilayo4200 Жыл бұрын
Ukweli mtupu sometimes watu wanahudumiwa na majini hospitalini bila kujua kwahyo ni kujifunika Kwa damu ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliyehai Kila ufanyacho na uendapo.
@masogangemasogange7835
@masogangemasogange7835 4 жыл бұрын
Good job my brother :may the might God bless you 'we love u .
@user-il1bv6vs9q
@user-il1bv6vs9q 4 жыл бұрын
I plead the blood of Jesus on u Spiritually and physical in Jesus mighty name Amen . Be delivered from ur past expirance in Jesus mighty name Amen Blood of Jesus Blood of Jesus Blood Jesus
@sarahogama9540
@sarahogama9540 4 жыл бұрын
Yaani nashangaa kuna mtu bado anapinga hii story ya kichawi na niukweli kabisa Tanzania uchawi ndio ngome yao,,,,,tena hao wanaopinga bado niwatanzania tu ,,,badala ya kumuombea mwenzenu Mungu amlinde nyie mnadaisha ety ni habari ya kutungwa ,,washenzi kabisa !!!!
@cupcakesanddounuts6555
@cupcakesanddounuts6555 4 жыл бұрын
Yesu ni Bwana wa mabwana mfalme wa wafalme
@issachege5606
@issachege5606 Жыл бұрын
Love promover tv educating people 😍
@mtumishiDanny
@mtumishiDanny 4 жыл бұрын
Ushuhuda mzito asante Jaktan
@tymlesshodari1010
@tymlesshodari1010 4 жыл бұрын
Istanbul is in Turkey waaa God is great
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 2 жыл бұрын
Amen God bless U brother nothing is impossible to God 🙏 from Australia 2021 god 🙏
@ngassajuliusmussachallya9034
@ngassajuliusmussachallya9034 4 жыл бұрын
Nimepata kitu hapo Ubarikiwe
@samsonnzisabira768
@samsonnzisabira768 4 жыл бұрын
Kaka Jacktan,tupe part3 tunaisubiri kwa hamu!!
@mohbear5654
@mohbear5654 4 жыл бұрын
Talented story teller
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Shukran
@deelissa2746
@deelissa2746 4 жыл бұрын
Kwenye chakula hapo ndio wamenishinda tabia majini kumbe nao wanakula binabam mmmh dah
@upendoamos5194
@upendoamos5194 4 жыл бұрын
Usimwache Yesu ndugu angu
@chumachadollar5917
@chumachadollar5917 4 жыл бұрын
Duh inatisha kweli kweli🙆‍♀️
@Mika-hu1yr
@Mika-hu1yr 2 жыл бұрын
Huu ushuhuda una maswali mbona, ila sijasema sio wa kweli
@mussamabruki2072
@mussamabruki2072 4 жыл бұрын
Very interesting indeed
@benjaminernest8593
@benjaminernest8593 4 жыл бұрын
Pole sana!
@isayanyingi6622
@isayanyingi6622 2 жыл бұрын
Ushuhuda wa Pastor Amiel katekela unaendelea?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Ndio
@fadhilngimilanga1828
@fadhilngimilanga1828 4 жыл бұрын
Hiyo lugha mbona kama kichina
@rashidalshaid445
@rashidalshaid445 4 жыл бұрын
Unanikumbusha hadithi za alfu lele ulela.
@sarahogama9540
@sarahogama9540 4 жыл бұрын
Yaani uaribu bundles zako kuja kucoment mavi hapa koz mnajijua hizo ndio tabia za kwenu heee!!!,, Yesu ni dawa ndugu upo!!!!
@jennjaja1586
@jennjaja1586 4 жыл бұрын
Wow first time watching it live
@carolinekagwiria8447
@carolinekagwiria8447 4 жыл бұрын
Hiyio sio kichina jamen
@kimcash3079
@kimcash3079 2 жыл бұрын
Barikiwa
@fatumamohamed8203
@fatumamohamed8203 4 жыл бұрын
URONGO + UKWELI NI DHAMBI
@mackynicky5832
@mackynicky5832 4 жыл бұрын
Duuuu! Hiyo team Jesus😋😋😋
@fei3668
@fei3668 4 жыл бұрын
tunashukuru kwa simulizi ila leo ndugu jackatn tumeonaa😂
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Kwakweli tumeona😀😀😀😀😀😀😀😀
@achsahcharles6728
@achsahcharles6728 4 жыл бұрын
😂😂mmeona nini na mimi nione
@monicayohana5937
@monicayohana5937 Жыл бұрын
Nyinyi watu mna tudanya instar mbu nimjimkuu wa uturuki sàsa acheni uongo
@aishasalum2963
@aishasalum2963 4 жыл бұрын
Pole sana
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 4 жыл бұрын
Hii lugha ni ya kichina
@sarahogama9540
@sarahogama9540 4 жыл бұрын
Very very sad Hadi naogopa watanzania sasa ,,,uchawi tu ndio umetawala heeeeee!!!!!
@manfredherman2898
@manfredherman2898 4 жыл бұрын
Tunashukulu kwa simuliz kipande cha tatu ni baada ya mda gan
@abcdg1995
@abcdg1995 3 жыл бұрын
New Subbed
@kallyleenmaina6692
@kallyleenmaina6692 4 жыл бұрын
Ooh Jesus christ have mercy
@yushuaissa467
@yushuaissa467 3 жыл бұрын
Nina swali. Mbona hizi mauzauza hazi fanyiki Nairobi - Kenya?🤨
@magnusmichael7052
@magnusmichael7052 3 жыл бұрын
Kwa sababu hujui yanayofanyika
@paskalimoshi7364
@paskalimoshi7364 4 жыл бұрын
mmm
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Uliondolewa kumbukumbu sasa je inakuajekuaje tena unaweza kuelezea mambo yote yaliyo patakutokea baada ya kutolewa kumbukumbu
@stellamtenga24
@stellamtenga24 4 жыл бұрын
Naomba kumuliza huyu kijana, je hivi ni kweli kuna majini wazuri wasio zuru na wabaya wanao zuru? Asante
@truth7796
@truth7796 3 жыл бұрын
Majini wote ni familia na watumwa wa Shetani,
@alicekarimi6168
@alicekarimi6168 4 жыл бұрын
Jesus christ only savior and lord.
@muaminhakizimana1671
@muaminhakizimana1671 4 жыл бұрын
Pt 3 plz
@fatumamohamed8203
@fatumamohamed8203 4 жыл бұрын
Wewe umesema watu wa huko walikua weupe kama Waarabu,, Mbona Unasema waliongea Kinyamwezi? 🙄🤔🤔
@lauraclara8716
@lauraclara8716 4 жыл бұрын
Yeye ndo alibadilishwa but c watu wote
@lauraclara8716
@lauraclara8716 4 жыл бұрын
Yeye ndo alibadilishwa but c watu wote
@lissapoul5227
@lissapoul5227 4 жыл бұрын
Kwani haujui kuna waharabu wa Tabora
@achsahcharles6728
@achsahcharles6728 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🤭
@sarahogama9540
@sarahogama9540 4 жыл бұрын
Samahani dada labda nikumbushe tu shetani ana njia nyingi za kujibadilisha kma vile tu majini hujigeuza na kuwa maruhani kwenu nyie waislamu
@ednamaggy6188
@ednamaggy6188 4 жыл бұрын
Nawatch kutoka dubai
@tantinemwemendi8790
@tantinemwemendi8790 3 жыл бұрын
Dunia inamengi kweli
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 4 жыл бұрын
Ww bado hujapelekwa kuzim ss hasaiv ukirud ndoutapelekwa kwel
@fredrickaman4289
@fredrickaman4289 4 жыл бұрын
😪😪😪
@BerylSeer1
@BerylSeer1 4 жыл бұрын
Aiii Weee unaongea mambo mingi nkt....... Muache aendelee unaboo nkt
@aonicamligo9531
@aonicamligo9531 4 жыл бұрын
Muendelezo
@gasperjohnson3388
@gasperjohnson3388 4 жыл бұрын
Mh hatari
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 4 жыл бұрын
Ana mpango gani Hadi sasa Nasibu kufufua kesi yake ya madai ?
@dotosalim5090
@dotosalim5090 4 жыл бұрын
Ataogopa kaka
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 4 жыл бұрын
Na wewe umeamini ni kweli?
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 4 жыл бұрын
Waafrika bhana! Kwa kuamini vitu bila kuvichanganua na kuhoji ukweli, hamjambo. Kwenye Komenti naona wengi mmeamini ni hadithi ya kweli. Ukimfanyia utafiti na kufuatilia historia yake huyu utagundua uwongo wote tu. Aidha ukimwambia arudie hio stori atairudia kwa kusahau baadhi ya vipengele. Jiulizeni kwanini hizi stori hazipo kwa wazungu, au hata huku kwetu, zipo kwa baadhi ya watu na makabila, kwani nyama zao ndio msosi wa majini na wachawi? N-way, I've enjoyed the narration. Thanks bro.
@kikimshanga4181
@kikimshanga4181 4 жыл бұрын
FM Morn Star acha unafiki.
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Ni vyenye hayajawai kutokea so mshukuru Mungu na usiombe kukutana hata na jini
@emmanuelonesmo4885
@emmanuelonesmo4885 3 жыл бұрын
Shetani kaingia ndani yako sasa anataka kutupotosha tusiamini... We now know you dimon very well.. We are no longer slave to any system that your planing to do to human beings... We are not a🔋🔋to gave energy to you dimons
@happyperson3016
@happyperson3016 3 жыл бұрын
Ni ya uwongo kaka nilitafuta huyo Mchungaji aliyedai alimuombea baada ya kuskiza hii story kumbe ni tapeli tuu..watu waache kumchezea mola
@graceshayo1347
@graceshayo1347 2 жыл бұрын
@@happyperson3016 sas atapeli nn Kwan anaposimulia unampa hela achen ujinga kma hutaki kusikiliz Kwan umelazimishwa kusikiliza
@betweljackson9770
@betweljackson9770 4 жыл бұрын
Mungu akamwambia yule tajiri, hata wakiletewa akina Eliya watasema ni mizuka, huko duniani kuna manabii na mitume wawasikilize hao, NAONA WENGI WAKIKEJELI, MUNGU AWASAIDIE
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 4 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 44 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
Rayvanny Ft Zuchu - I Miss You (Official Music Video)
6:41
Rayvanny
Рет қаралды 30 МЛН
NGUVU YA KUZIFUNGUA KAMBA ZA MAUTI MCHUNGAJI AMIEL KATEKELA
49:17
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 21 #maombi
1:19:53