PART 3: AGIZO LA MAGUFULI KWA MFANYABIASHARA MWENYE MGOGORO NA TRA LIMEFIKIA HAPA...

  Рет қаралды 189,606

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

PART 3: AGIZO LA MAGUFULI KWA MFANYABIASHARA MWENYE MGOGORO NA TRA LIMEFIKIA HAPA...
GLOBAL TV imefunga safari mpaka eneo la biashara la Kariakoo na kufika dukani kwa mfanyabiashara maarufu eneo hilo anayetambulika zaidi kwa jina la RAMADHAN HAMISSI NTUNZWE, au Babu Rama, ambaye mwaka 2016 aliingia katika mgogoro na mamlaka ya mapato nchini (TRA) ambao ulishatolewa maamuzi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwa mara ya kwanza na baadae Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli nae akaingilia kati na kutoa maamuzi ya mwisho kuwa alipwe fidia, lakini agizo hilo Ramadhani amedai halijatelekezwa hadi leo....
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com
HABARI MPYA DAILY: bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 386
@faridmnyamike556
@faridmnyamike556 4 ай бұрын
Ramadhani Hamisi Ntunzwe, Allahuma Ghifirllahu Warahmahu Waskanhu Filjanna, MwenyeziMungu atakulipa haki yako duniani na kesho akhera Mzee wangu.
@rashidabasi7940
@rashidabasi7940 4 жыл бұрын
MALIPO YA TRA NI SYSTEM.. WALITAKA WAKUMALIZE USINGEENDA NA JAMAA YAKO
@sadamramadhan2754
@sadamramadhan2754 4 жыл бұрын
Isingekuwa TRA nadhan Watanzania kwa wakati huu tungekua tunaisha vzr kama Dubai, au libia ya Kipindi cha Gadaf.
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 жыл бұрын
Ewe mwenyezi mungu ,mwingi wa huruma.mja wako huyu msaiidie Allah mjuzi hujawahi shindwa.yaani huo niuonevu,Nahilo ni deni mwenyezi mungu awaazibu mnanyanyasa kwa jasho lake.mungu awallani
@mkubhimkubhi
@mkubhimkubhi 4 жыл бұрын
Hii nchi inaonekana ni ya watu wachache. Kwa kusema hivi kuna baadhi ya watu watasema ni kuwa huu ni uchonganishi na uvunjaji amani. Lakini si kweli na ni kawaida kwa baadhi ya watu hawa kusema hivi kwa kuwa hawajui vipi wakibiliane na ukweli. Na kuthibitisha hili kuwa hii nchi ni ya kundi fulani la watu wachache fuatilia sakata hili kwa kumhoji Kamishina je wale watu waliolianzisha sakata hili la kumata mali za mfanya biashara huyu walichukuliwa hatua gani. Na kwa nini hawajafikisha Mahakamani kujibu tuhuma za kuipatia serikali hasara na kutowajibika ipasavyo katika kazi zao. Nyie vyombo vya habari ulizeni maswali ya msingi na sio maswali ya mepesi na ya kipuuzi kama hilo swali ulilllo muuliza kwamba labda walimwona yeye ni mkali sana na ndio maana wakaogopa kuja kuzungumza naye. (Sorry, with that such question, you sound not smart guy)
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 4 жыл бұрын
Pole sana Baba. Mheshimiwa Rais uko wapi? Huyo baba anasumbuka kiasi hiki kwanini?...
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 4 жыл бұрын
HUYU anawakilisha WATU WENGI wanaoangaishwa na TRA NA kuteswa na maafisa wa TRA.
@maijajumbe8957
@maijajumbe8957 4 жыл бұрын
Mungu anawaona mjue mpeni haki yake
@abhambomihambo6754
@abhambomihambo6754 4 жыл бұрын
Hapa ndio namuelewa muheshimiwa rais km kuna kila sababu za kutumbua hata kila siku mpka watu wakae sawa na kuendana na kauli mbiu ya Hapa kazi tuu....yaani hata hawaogopi Executive order na hawasomi saa za nyakati km wakati wa ubabaishaji umekwisha na Magufuli kashatuamsha watanzania wengi,kwa hiyo tumbua huyo ndio walewale,miaka 20 na wako wa wengi wa aina hiyo fukuza wote hao lao moja na ndio chanzo cha sabotage mpka anatumbuliwa kamishna mkuu lazima ufumue mfumo mzima wa watendaji na kuanza upya
@aikamosha5644
@aikamosha5644 4 жыл бұрын
Hivi mzee baba uko wp? Naomba nitumbulie hawa watu,wanafanya mzaha kwa hii issue, fanya yako Uncle magu msaidie mnyonge alipwe haki zake,nakuaminia sn Uncle magu.
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 4 жыл бұрын
Wanaoangamizwa sema hivyo
@dowhatyourepassionateoftra1668
@dowhatyourepassionateoftra1668 4 жыл бұрын
Kuna muda kama 1995 wameshawahi kumtoa baba Yangu Milioni 2 kisa tu ni chuki za watu. Kuna muda Mtumishi amesoma anaumia kuona mfanyabiashara hata hajamaliza la saba anawazidi Hela. Mana wasomi wengi wanajiamini kuwa kusoma ndo watakuwa juu kimaisha Kumbe hawajui kuwa wanajiingiza katika kifungo cha maisha cha mshahara kinawadanganya
@AliOmar-bx2oz
@AliOmar-bx2oz 4 жыл бұрын
Hapo serekali ya magufuli inapofeli lakini vitu vingine poa. Pengine magufuli hajui Kama watu wanakomolewa na kuonewa na TRA.
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 4 жыл бұрын
TRA wafukuzwe kazi wote, halafu iundwe upya na waipe a new name. Hili jina limeshachafuka mno.
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 4 жыл бұрын
Hii kesi ni ya mheshimiwa Rais,tunamuomba aende nae chemba aongee nae kama anavyoongea na wale jamaa wa kukamata ndege zetu,mwite mpatie Bilioni moja au hata milioni mia nane muombe yaishe maana ulishatoa amri kwa hiyo swala liko kwako mkuu.
@saudambinga3832
@saudambinga3832 4 жыл бұрын
Pole Sana, inabidi Rais wetu mtetezi wa wanyonge aliingilie tena Jambo hilo
@frankminga9307
@frankminga9307 4 жыл бұрын
MAGUFULI MAGUFULI WHERE ARE YOU,KUNA NINI HAPO NINA UHAKIKA HAYA YOTE UMEYASIKIA HEBU MALIZA HILO
@festokomba5404
@festokomba5404 4 жыл бұрын
Ndugu Mkuu kagawa madaraka mwacheni watajua tuu
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 4 жыл бұрын
Huyu ni genius, apewe haki zake
@alfredmasandele3006
@alfredmasandele3006 4 жыл бұрын
Mpeni hakiyake huu ni uonezi
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 жыл бұрын
Mungu akulinde wana nia mbaya juu yko kwa uwezo wa Mungu watashindwa
@ashaally6993
@ashaally6993 4 жыл бұрын
Mashaallah nakupendea akili yako mungu aliokupa kaka...usichoke kupigania haki yako na mungu atakusimamia ....madhalimu hao wanakula moto huku duniani bado akhera wataenda kujibu!!!
@EStyle-xf1cb
@EStyle-xf1cb 4 жыл бұрын
Hapo umenena vizuri sana Asha.
@jwisetv4833
@jwisetv4833 4 жыл бұрын
Hi
@jwisetv4833
@jwisetv4833 4 жыл бұрын
Umenifurahisha asha wazo zuri
@hindumaganga8667
@hindumaganga8667 4 жыл бұрын
Hilo ni la Saba la wahenga ni noma hicho ni kichwa
@reubenelias8057
@reubenelias8057 4 жыл бұрын
asha ni check in 07646543268
@davidmadudu8859
@davidmadudu8859 4 жыл бұрын
Sasa mfanyabiasha mkubwa kama huyu anafanyiwa hayo yani mpaka rais ashatoa tamko bado haitekelezwi mfano sisi wafanyabiasha wadogo zaid kweli tutatendewa haki dah kweli rais bado anakazi majipu mengi mpaka atachoka kuyaminya
@georgekimboka6218
@georgekimboka6218 4 жыл бұрын
Watu wa TRA kuweni makini na hili jambo viongozi wetu wa TRA kuweni makini sana jambo dogo sana hili mnachafua taswira Zuri ya TRA tufunike kombe haraka twende mbele
@mozasaid3869
@mozasaid3869 4 жыл бұрын
Pole sana bwana Ramadhani Ntunzwe ! Haki ya mtu haipotei! Ingawa itachelewa! Hatari sana!! Wanazidi kumletea zengwe kila siku!!
@thaubannaftal7265
@thaubannaftal7265 4 жыл бұрын
Hii nchi ya ajabu sana rais keshatoa maagizo hayajatekelezwa hata moja na rais yuko kimya.
@mrdeniskomba2596
@mrdeniskomba2596 4 жыл бұрын
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.... Magifuli/Majaliwa nauhakika taarifa wanazo pengine wanalitungia sheria. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Tuendelee kuvuta subra. Inauma sana kwa ofisi ya mashetani TRA.
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 4 ай бұрын
Yaani kk yangu kila siku nakusihi watakuua selikali ya nchi hii ngumu Sana mimi nimeinua mikono na hata kula yangu anaijua mungu kwakua bado una mtaji achana nao
@AliOmar-bx2oz
@AliOmar-bx2oz 4 жыл бұрын
TRA hawataki mtu msafi kama huyu wanataka watu wanaotoa rushwa.
@mandegoro9322
@mandegoro9322 4 жыл бұрын
Mm nakushauri kuwa badala ya waandishi was habari na mivutana na TRA wakati walikunyanyasa hali iliyopelekea mhe.. Rais akaagiza wakurejeshee mzigo wako pamoja na kukufidia, Mwandikie mhe. Rais Magufuli barua ya wazi kuwa bado suala lako bado lina mivutano na linapelekea kuathiri biashara yako na kutishia usalama wa maisha yako na unaomba aingilie kati.
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 4 жыл бұрын
Rais waziri mkuu simumusahidie huyu Baba mbona wanampiga umasiki jamani
@alijuma1189
@alijuma1189 4 жыл бұрын
Sasa hao t r a wanaona taabu gani kumlipa pesa zake
@johnsonlweyemam7944
@johnsonlweyemam7944 4 ай бұрын
HII NCHI NI NGUMU SANA ..KUMBE NDO MAANA JPM ALIKUWA ANAWATUMBUA HAPO HAPO WATENDAJ WAZEMBE
@greengenerationtv9012
@greengenerationtv9012 4 жыл бұрын
Yan TRA wanakela sanaaa tena sana kuna madudu Mengi sanaaa Sema baba semaaaa
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 4 жыл бұрын
BABU SEA NA PAPIKOCHA nandio itakuwa kama vile kesi haina kichwa wala miguu gonga like kama unaamini kunafigisu kama mfano wa kesi ya babu seaaaaaa
@BMx-zj3lz
@BMx-zj3lz 4 жыл бұрын
Wapo watumishi wengine na wakuu wa idara wanatumia nyadhifa zao kunyanyasa wengine, hapo wanamtishia ningekuwa rais nafukuza wote.
@bahatimnanka4848
@bahatimnanka4848 4 жыл бұрын
Pole sana mzee M/MUNGU abariki kazi ya mikono yako
@cyprianokassase8293
@cyprianokassase8293 4 жыл бұрын
Nashangaa sana hadi sasa imekuwa ni comedy. Angalia wasije wakakuua. Jipe moyo nadhani wakubwa wamesikia
@amanimyolo1478
@amanimyolo1478 4 ай бұрын
Wote mlioshiriki kumuua ntunzwe Ramadhan mungu hatowaacha Salama
@barakamaendeleo5202
@barakamaendeleo5202 4 жыл бұрын
Sijaelewa ni kwa nn wnamzungusha hivi huyu mfanyabiashara inaashiria hata alowaweka kwenye hizo nafasi hawamweshimu kabisa maana wamepuuza agizo la rais mkuu tumbua hawa hawafai kabisa
@ziadisalim495
@ziadisalim495 4 жыл бұрын
Pole sana mzee hakiyako utaipata endelea kupigania mungu yupamoja nawe
@msafiriandrea3523
@msafiriandrea3523 4 жыл бұрын
Onesha kuwa sina hatia ee Mungu utetee kisa changu dhidi ya watu wabaya uniokoe na watu waongo na waovo.
@abburakkaan5694
@abburakkaan5694 4 жыл бұрын
Tatizo magufuli anawaogopa TRA sifahamu kwa nini!!
@mafinamaizez2514
@mafinamaizez2514 4 жыл бұрын
Mungu atasimama nawe kaka yangu haki ya mtu haipotei
@angelkileo7851
@angelkileo7851 4 жыл бұрын
Mzee kaza uzi mpaka kieleweke wamezoea unyanyasaji aoo
@natashafuture8263
@natashafuture8263 4 жыл бұрын
Mzee anaongea kwa uchungu adi roho inaniuma siwamlipe haki yake jamani mbona wanamsumbua sana
@blesslory7653
@blesslory7653 4 жыл бұрын
Hili linamaanisha maagzo yte kwe ziara ya rais hayatekelezwi
@Juls7ur
@Juls7ur 4 жыл бұрын
hii kesi sio kwamba viongozi hawa jui huyu jamaa ana lalamika kwenye vyombo vya habari, bali hawawezi au hawataki kumsaidia. pengine hakuna pesa.
@hamisyasinwapi9122
@hamisyasinwapi9122 4 жыл бұрын
Nchi za afrika na viongoz wao shenzi sana.ndio maana huwa tunauwana kwasababu ya visasi km hv.
@doljaston7807
@doljaston7807 4 жыл бұрын
Unaweza kununua uchawi kwa sababu TRa
@mdroman6547
@mdroman6547 4 жыл бұрын
Rasi wetu mpendwa tunaomba msimamia huyu kaka apate haki yake
@glorymushi7397
@glorymushi7397 4 жыл бұрын
Pole kaka Mungu hawezi kukuacha atakupambania tu
@hakikahoman615
@hakikahoman615 4 жыл бұрын
baba waendee kigoma kwanza maana mbona wanatingisha kibirit .awa mbwa
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 4 жыл бұрын
pole sana, magufuri lais wawanyonge jmn muokoe uyo baba amepata tabu sana
@ahmadkazema1055
@ahmadkazema1055 4 ай бұрын
Pole sana mzee wangu,.kila kitu kina mwanzo na mwisho,haki ya mtu huwa haipotei..pole kwa kupotezewa mda wako,pamoja na adha zote zilizowapata wana familia yako..
@jumaigoti8638
@jumaigoti8638 4 жыл бұрын
Sio tra serekali wana jenda kwako kaka shituka.kama tra wanazalau amri ya raised kuna mini?
@muonambali
@muonambali 4 жыл бұрын
Hii nchi ina uozo kila mahali. This is a BIG shame. Where is the rule of law!?. Pole sana mzee kwa haya madudu unayopitia.
@farajibugi9924
@farajibugi9924 4 жыл бұрын
Mzee wangu Kama unahitaji haki yako nenda haraka kwa wazuri mkuu au rais ndio ukawaulize hao wakuu kuwa pesa yako utapata au vp lakn hao jamaa huwez pata haki yako watakuuwa mzee
@mastajabudekula4828
@mastajabudekula4828 4 жыл бұрын
Tunzwe baba uwe makini awa watu TRA wanamupango wakukuuwa
@devisgosbert1623
@devisgosbert1623 4 жыл бұрын
mtu wa kigoma sio rahisi kumuua mzee watu wazito hawa
@trybatinemahenge9358
@trybatinemahenge9358 4 жыл бұрын
Rais mwenye dhamana huon
@magrethmbawata1269
@magrethmbawata1269 Жыл бұрын
Mwambie mungu asimame juu ya hakiyako kama ni mkristo funga siku unazoweza kwamaombi utaona majibu bro.amen
@mwaminilikane2281
@mwaminilikane2281 4 жыл бұрын
Mungu yu upande wako amini nasi wote tunaofuatilia sakata. Inshaalah haki ya mtu haipotei bure.
@jamalsalim8693
@jamalsalim8693 4 жыл бұрын
Ww ni kamanda Ramadhani
@mastajabudekula4828
@mastajabudekula4828 4 жыл бұрын
Ili jambo lina onesha wazi kuwa kwamana TRA wote wanafahamu ili tatizo TRA wote niwafisadi
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 жыл бұрын
Wababaishaji wananataka wampe makashikashi akate tamaa nayeye anaakiri hawamuwezi.mambwa hayo watanzania wa 1990siyo wa Leo wanaakiri na wamesoma.
@lindamorio1111
@lindamorio1111 4 жыл бұрын
Tunakuombea Mungu Azidi kukulinda, maana hao wahuni wanaonekana kukufanyia mipango mibaya kila kukicha. Mungu Akuwekee jeshi kubwa la Malaika mahali popote. Hadi wakupe haki yako. - Endelea kusema na kutangaza huo uhalifu. - Andika notes, kila kitu. - Nenda na kinasa sauti ili ukitoka usisahau chochote na kila aliesema ajulikane wazi na njama zao. Muheshimiwa Rais, tafadhali msikilize huyu mnyonge.
@BonifaceSambo-ze6jh
@BonifaceSambo-ze6jh Жыл бұрын
Aahaaaa digrii na ma PHD yamefumaniwa na STD VII au darasa saba.
@weremamwita9740
@weremamwita9740 4 жыл бұрын
Yaani TRA bado kuna uchafu mwingi mno, ilipaswa hata kamishina mkuu awajibike kuingilia hili. hivi hakuana viongozi huko? tokeni tuwatambue nia zenu!
@krispinkomba4606
@krispinkomba4606 4 жыл бұрын
TRA acheni upumbavu!!!! Kuna wasomi mmepelekwa huko lkn mnatuharibia wafanyabiashara kwa tamaa ndogondogo za wafanyakazi wa TRA ,,, Sheria ziko wazi aliyeomba rushwa afukuzwe kazi mlipeni huyu pesa zake"**" yaan nngekuwa mm ndo Mzee Magu nawabomoa TRA tokea mkurugenz mkuu mpk wa kufagia hapo makao makuu** yaan mpka jengo mnalotumia
@janethjackson1257
@janethjackson1257 4 жыл бұрын
Mh Rais tunaomba uje tena jamani bado haki aijapatikana kwa mtu huyu Tunaomba,sana,sana
@aminamaulidi1788
@aminamaulidi1788 4 жыл бұрын
Pole sn Baba yng haki yk utaipata kwa mung lakin malipo hp hp
@hawangeu2465
@hawangeu2465 4 жыл бұрын
Ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya tatu TRA whatch out, this is ridiculous
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 4 ай бұрын
Hii sio T.R.A...Tunayoijua hili ni genge la vibaka kupitia mgongo wa serikali
@evancemwaitubi6382
@evancemwaitubi6382 4 жыл бұрын
Ukitaka kuonja machungu ya nchi hii fanya km unataka kufanikiwa weee, na ukitaka kuonja matunda yake kuwa masikini mpaka unakufa.
@idrisasimba368
@idrisasimba368 4 жыл бұрын
YAANI AFISA WA TRA WANAPENDA RUSHWA USIPO WAPARUSHWA NDIO WANAKUDIDIMIZA HADI WAKUFILISI YAANI HUYU MZEE ANGEWAPA RUSHWA 2016 HUU MGOGORO USINGEKUWEPO .WAMLIPE FIDIDIA ZAKE TATIZO LA MGOGORO HUU LIISHE ASANTE SANA MH RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUTETEA HAKI ZA WANYONGE
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 4 жыл бұрын
Inasikitisha saaana kuona amri ya Raisi bado haijafanyika. Hii inaonyesha kuwa wafanya biashara woote wanaonewa sana na Serikali haijali kitu.
@shd12m55
@shd12m55 4 ай бұрын
Huyu jamaa hajapata haki yake mpaka mwaka huu 2024 ameamua kujiua dah eehh mwenyezi mungu hawa watumishi wengine hawa
@justamarydawson6908
@justamarydawson6908 4 жыл бұрын
Jamani rais wetu mbona humsaidi huyu mfanyabiashara wevwe ndiye pekee tumaumia tunaomba mumsaidie raisi wetu
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 4 жыл бұрын
Nenda mahakamani ndio utapata haki labda. Inaelekea hakuna maelewano tena hata maneno ya Raisi hawakufatilia.
@peterkailembo4101
@peterkailembo4101 4 жыл бұрын
Hii kesi ya huyu jamaa itaondoka na kundi la watu, Rais anawasikilizia wanalimalizaje hili swala wenyewe tuvute subira ya hii episode
@juliuskabalika5212
@juliuskabalika5212 4 жыл бұрын
Enzi zile, bwana alijifanya kama haoni,...
@petersume2780
@petersume2780 4 жыл бұрын
Hii ni aibu sana kwa TRA
@revmckenzie1503
@revmckenzie1503 4 жыл бұрын
Nchi ya Wagaratia wasio kuwa na Akili
@jacobmigera2626
@jacobmigera2626 4 жыл бұрын
Dunia Majanga hayato kwisha; hivi tamko la Mh; Magufuli kuhusu huyu ndugu lili kuwa fake; mbona anaendelea kusumbuliwa; Ndugu Kasimu Majariwax2; Mnalijua swala hili ''Please!! Let' this issue come to an end; mpaka auwawe Na watu wasio julikana ndo mtashituka?? We are watching you gays; Haki itendeke
@evansm8802
@evansm8802 4 жыл бұрын
Kwani wanapinga uamuzi wa raisi ,na kwanini raisi yupo kimya au waziri mkuu.
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 4 жыл бұрын
MUNGU YUPO UMESHINDA BABA YANGU
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 4 жыл бұрын
RAIS magufuri yupo wapi
@kokudo8389
@kokudo8389 4 жыл бұрын
Chato
@sss3s867
@sss3s867 4 жыл бұрын
Kalala mbele. Ngoja aamke
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 4 жыл бұрын
Kakudo😸😸💏😸😸😸
@mashachaney2048
@mashachaney2048 Жыл бұрын
Huyu Mwanaume amebeba maumivuuu jamaniii..Khaaa.Mungu wangu dah!!!.. Kila nikiangalia Natokwa machoziii tu.Hasa akisema hasara za Dada na mke wake...
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Hii issue ilifika kwa rais kupitia waziri mkuu ...... Je ramadhani umeshindwa hata kumuona waziri mkuu na kumwambia mlipofikia .... ?
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 4 жыл бұрын
Hapo ujue wana unda kesi ili deni life iwe ngoma droo usikie tuna kudai 🤣🤣 wana jua hazipo rekodi za miaka ya nyuma na huwez kua nazo we nenda dodoma kaombe kukutana na waziri mkuu mbona simple tu wakaa kuongea na viombo vya habari tu
@queenhusna5322
@queenhusna5322 4 жыл бұрын
Ila kwa sasaivi litaisha tu in shaallah
@uswegemwakajinga4218
@uswegemwakajinga4218 4 жыл бұрын
Mtafute mh Raisi kwa Mara nyingine umjurishe kwamba haujaripwa hela yako had Leo wakati yeye alikwisha kutoa sauti ulipwe hela pole sana mtanzania mwenzetu uliyemzalendo na kwa nchi yako na wenye roho mbaya wakiendelea kukuvunja moyo mungu akusimamie upate haki yako
@greengenerationtv9012
@greengenerationtv9012 4 жыл бұрын
TRA kwa huyu jamaa mmechemka atawatia aibu na kuwachafua jitahidini mmalizane nae......!!!
@cleofasladislaus2177
@cleofasladislaus2177 4 жыл бұрын
Huyu mzee htari sana akili yake inawaza mbali sanaaaaa👉👉👉👉👉👉
@winterkasela9033
@winterkasela9033 4 жыл бұрын
Mzee ni darasa la saba lakini anafaa kufanya kazi ofisi ya raisi
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 4 жыл бұрын
Nenda Ramadan kwa Raisi Magufuli usiogope nenda officini kwake au kwa waziri mkuu Majaliwa in sha Allah watakusikiliza
@EddazariaMsulwa
@EddazariaMsulwa 4 жыл бұрын
Mzee ana akili nyingi sana anajua anacho zungumza na kuhoji
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Sema waandishi wanaofatilia hili swala naona pia hawako competent kwenye maswali ya msingi
@idrisaallysalum9447
@idrisaallysalum9447 4 жыл бұрын
Nafikiri SERIKALINI Kuna tatizo kubwa, inakuwaje habari mbaya dhidi ya TRA zinatajwa lakini Serikali IPO kimya tu?....TRA Kuna matatizo mengi makubwa kwanini Serikali kuu IPO kimya tu?
@BonifaceSambo-ze6jh
@BonifaceSambo-ze6jh Жыл бұрын
Kwanza walifanya makosa kufungua duka bila kujua wewe unalipaje kodi,wakati wewe umechangia mapato makubwa serikalini.
@bakarymadua7198
@bakarymadua7198 4 жыл бұрын
Plz Tanzania a jamani Rais uko wap nchiii inaymbishwaaa na we unaona tunajengajeee hiii nchi jmn Tanzania ye2
@innocentbugomola549
@innocentbugomola549 3 жыл бұрын
Ao TRA wangepakiwa ndan kwa masaa kazaa ili Wakitoka watoe majbu saii asilimia Kubwa TRA wamepga Sana pesa coz waTanzania wengi atujui sheria Tkitishiwa kwenda police Tu Tunaogopa kufatiria haki zetu tunasema Bora yaishe kumbe Umeumizwa dah!!
@user-tz9ic7jn4j
@user-tz9ic7jn4j 4 жыл бұрын
Pol sana Baba Mungu yupo
@sirajibakari8150
@sirajibakari8150 4 жыл бұрын
Magufuli aliwatuma hawa jamaa wa TRI wamfirisi huju mzee ila mungu yupo
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 4 жыл бұрын
Una uhakika mzee ?
@jeepwrangler8753
@jeepwrangler8753 4 жыл бұрын
@Machage Machage mpumbavu wewe , Huna akili , magufuli huyo mbwa ndo anahusika na huu ushenzi
@samirnaty8774
@samirnaty8774 4 жыл бұрын
Mungu muekee rehma huyu kaka katika utaftaj wa mali zake
@jacklineraymond6487
@jacklineraymond6487 4 жыл бұрын
Be careful na hao.
@samirnaty8774
@samirnaty8774 4 жыл бұрын
@@jacklineraymond6487 kwa kumuombea katka utaftaj wake au?
@mariuscyprian1235
@mariuscyprian1235 4 жыл бұрын
Yaani hii issue kila anaeisika amekaa kimya Sasa Mkurugenzi Mkuu zigo lako inabidi ulitatue
@robbygmaka6914
@robbygmaka6914 Жыл бұрын
Majambazi wenye zamana ndo wanajificha kwa kivuli cha serikali yetu kwa kujita TRA
@idrisaallysalum9447
@idrisaallysalum9447 4 жыл бұрын
Global Publishers Hamjui taaluma yenu, inatakiwa "ku-balance" story kwa kwenda upande wa pili...
@husseinmbago399
@husseinmbago399 4 жыл бұрын
Wamesema wataenda na upande ule hawawezi kutoa zote hapo
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 4 жыл бұрын
mbona kuna medi waliwahoji watu wa TRA inabidi uitafute uangalie.
@thaubannaftal7265
@thaubannaftal7265 4 жыл бұрын
Nashangazwa na mambo mawili,LA kwanza ina maana mheshimiwa rais hajaona hizi clip,LA pili kumbe hata maagizo yke yote hajatekelezwa,hili ni jambo la kushangaza hawa maafisa wa TRA hiki kiburi wanakitoa wapi.
@juniorrevokatus3717
@juniorrevokatus3717 4 жыл бұрын
Pole sana Mungu ata kupambana nia,😫😫😫
@nikhatkhan8362
@nikhatkhan8362 4 жыл бұрын
Bora nenda kwa Waziri mkuu maana TRA ni wezi wanakula hela ila Magufuli hyo hayaoni
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 7 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
HIVI NDIVYO RAIS MAGUFULI ALIVYOWATUMBUA WAFANYAKAZI WA 3 WA TRA
4:21
Mwananchi Digital
Рет қаралды 38 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН