WANAWAKE NI WACHACHE MBINGUNI USHUHUDA WA DADA FABIOLA

  Рет қаралды 65,757

SHUHUDA ZA KWELI

SHUHUDA ZA KWELI

Күн бұрын

Пікірлер: 139
@catenzoka2003
@catenzoka2003 Жыл бұрын
Huu ujumbe ni Wa kweli Na si mara ya Kwanza kuletewa si wanadamu .yesu tusaidie wamama wengi tumepotea tukijiona kwamba tko Katika njia sahihi.asante dada .
@imeldanyarotsa3636
@imeldanyarotsa3636 11 ай бұрын
aki Mungu anisaidie mimi kama mwanamke nimepungukiwa kwa ajili ya dhambi nyingi☺,thanks for the testimony it has thought me something
@fediskalume4712
@fediskalume4712 Жыл бұрын
Mungu nisamehe kwa maovu yangu yoto niliyo fanya, nauniajalie neema.😭😭
@annakwaso6263
@annakwaso6263 Жыл бұрын
Ww unayepinga maono angalia sana na uombe rehema,hyu alikuwa ktk roho na mkristo yeyote aliyempokea Yesu yeye ni roho,Munguni roho nae amwabudie inampasa kumwabudu ktk rohona kweli,.Nawatumishi baadhi walikuwa wakichukuliwa ktk roho na kuandika kwenye bibilia,mfano nalikuwa ktk roho nikaona,na hyu aliona ktk roho.Tofauti na hapo itakuwa ni roho ya mpinga kristo inayopinga haya maono.
@bukurubahati958
@bukurubahati958 Жыл бұрын
Asante sana kwa ujumbe huu, ubarikiwe mjakazi wa baba aliye juu
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Kuhusu wanaweke wachache mbinguni n kwel kabsaa coz wanawake hatupend kuacha mapambo umbea uzush Asiraa .vitu vidgovdgo ndo vtafanya wanawake weng tukose mbingu😢.YESU tusaidie pale tunaposikia NENO lako tulifanyie Kaz n cyo kusikiliza tu.
@neematvonline8134
@neematvonline8134 Жыл бұрын
Amen
@mariahmnjeja3524
@mariahmnjeja3524 Жыл бұрын
Maandiko yanasema hivi tutakuwa na mwili mmoja kwaiyo hatujajua ni kiume au kike
@Ziondaudi
@Ziondaudi Жыл бұрын
Amen🙏
@milkambithe4622
@milkambithe4622 Жыл бұрын
Mbinguni hakuna jinsia watu wote ni jinsia Moja
@kitajumanne414
@kitajumanne414 Жыл бұрын
Haleluya mbinguni
@JasinthaAlex
@JasinthaAlex 8 ай бұрын
Mungu nisaidie na unitie nguvu katika Kila Hali,za tabu na raha nisije nikakutenda dhambi na kuukosa urithi wa uzima wa milele,Baki nami🙏🙏
@bernadetteshukuru9154
@bernadetteshukuru9154 Жыл бұрын
Amen aliye towa mimba na aliye shiriki wote wana pashwa kuomba musamaha mbele ya Mungu asante kwa ulizo
@gracengugi-tx1tt
@gracengugi-tx1tt Жыл бұрын
Hapo kweli maana yote hayo tulitenda kwa kupotoshwa....mungu tuhurumie😭
@MossesLeokadia-xf7yf
@MossesLeokadia-xf7yf Жыл бұрын
Ehe mungu tusaidie sana wanawake mudamwingine tunajiona tukosaw kumbetumepoea katika ufalme wambinguni
@jeanefelix70
@jeanefelix70 Жыл бұрын
Ujumbe huu ni wa huongo watu someni neno ili musipotezwe, Yesu alituombea kwa Baba atutakase kwa ile kweli neno la Mungu ndilo kweli. akuna mtu anaekwenda mbinguni sote tunamsubiri Yesu atupeleke kwa Baba.
@elizabethmoses3975
@elizabethmoses3975 Жыл бұрын
Ukweli
@EdwinMbwilo-fj6bf
@EdwinMbwilo-fj6bf Жыл бұрын
Ni matamshi tu kwa lugha nyepesi alionyeshwa Mbinguni ndo maana tunaita maono.
@RoseMary-sw2ec
@RoseMary-sw2ec Жыл бұрын
Mung akusamehe san ndug yesu anakupenda ndugu tubu nawe utauona ufalme wa mung mbingun huingii kw neema bal ni kuacha yte mabaya na kufany mapenz ya mung ubarikiwe sana 🙏🙏
@rugumisapastory9669
@rugumisapastory9669 Жыл бұрын
Ubarikiwe Kwa kazi nzuri ya Mungu
@anastasiagilbert4165
@anastasiagilbert4165 Жыл бұрын
Amen sana 🙏 ❤
@VIJANAWAYESU12
@VIJANAWAYESU12 Жыл бұрын
Amen BWANA wamajeshi atusaidiye
@beatricegitonga9364
@beatricegitonga9364 Жыл бұрын
Amen amen utukufu kwa yesu
@DenisCasey-kh8ub
@DenisCasey-kh8ub Жыл бұрын
Amen asante Bwana wetu Yesu Kristo kwaku tuandalia mazuri sisi wanaowako tuliyo duniani tujalie tuweze shinda hii dunia hii ya muovu chetani tushushie malaika zako wapate kuongoza🙏
@FARAJIFADHILI-v6x
@FARAJIFADHILI-v6x 9 ай бұрын
Mungu nisamehee kwa maovu yangu mm ninakili kuwa ni mwenye zambi ninaomba rehema kwako mungu wangu
@catherinemakokha1400
@catherinemakokha1400 Жыл бұрын
Amen tumeipokea huo ujumbe.
@nyashangondya3660
@nyashangondya3660 Жыл бұрын
Mungu atusaidie kanisan tupo wengi mbinguni tupo wachache mungu atusaidie
@tulizorukundo9458
@tulizorukundo9458 Жыл бұрын
Amen God bless you
@godfreyshayo5833
@godfreyshayo5833 Жыл бұрын
Amin❤
@wambimbwelo5141
@wambimbwelo5141 9 ай бұрын
Siku tukienda huko mbinguni ndio itajulikana idadi ya walioenda kwa sasa watu bado wanokoka na wendine wanajitakasa hatuwezi kupata idadi kabla mwisho haujafika wapendwa wangu tusiogope ila kila mtu aokoke na kuzishika amri za Mungu
@GraceEdward-p5d
@GraceEdward-p5d 11 ай бұрын
Mungu. Akurinde. Naakutunze
@suzanne9517
@suzanne9517 Жыл бұрын
Asante sana kwa ujumbe mtumishi
@IssaKoloba
@IssaKoloba 4 ай бұрын
Mungu niurumie
@RosetteMaarachi
@RosetteMaarachi 4 ай бұрын
Mungu samehe zambi zangu 🙏😭😭🙏🙏
@giselemapendo-7427
@giselemapendo-7427 Жыл бұрын
Kinacho nifanya kuskiliza hushuuda wako unatupa na maandiko ya biblia nakusoma ..mungu akubariki dada yangu endelea nakutupa hushuuda unatufanya kuwokoka nakuacha mabayaaa
@janeraphael5430
@janeraphael5430 Жыл бұрын
Tubu, dhambi zako haijalishi umetoa mimba mungu nimwingi warehema simwepesi, wahasira hivyo utasamehewa
@paskaliasuwi
@paskaliasuwi Жыл бұрын
Amina🙏
@MohammedtakiBhalloo-w3q
@MohammedtakiBhalloo-w3q 10 ай бұрын
nimekuenda bule amen balikiwe
@NeemaKatabi-tz5hs
@NeemaKatabi-tz5hs Жыл бұрын
Sikubari shuhuda hii, kwani sasa hakuna mtu ambae Mungu anaweza kumpeleka mbinguni lamda kwà ulimwengu wa Roho. Na wote walio lala usingizi wa mauti wanasubili ujio wapili wa yesu kristo ,
@lightness2640
@lightness2640 Жыл бұрын
Kama huamini haupo kwenye safar y kwenda mbinguni wew n mpinga kristo,huijui Dunia wala mbingu. Soma neno utaelewa ushuhuda huu😢 22:22
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 10 ай бұрын
Nakupa pole
@KelvinSinkamba-xi7ql
@KelvinSinkamba-xi7ql 9 ай бұрын
Nduguyangu kwann huamina
@linetmbevi6806
@linetmbevi6806 Жыл бұрын
Amen mungu atudaidie
@paskaliasuwi
@paskaliasuwi Жыл бұрын
Enyi watu wa dunia mtamwamini nani bc.?kila mtu mwamuona muongo.mnataka nn bc enyi kizazi Cha nyoka kilichopotoka zaidi ya dodoma.?bc subirieni atakuja mwenyewe na huo mda mtakuwa mmechelewa.barikiwa sana dada🙏🙏
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 Жыл бұрын
Amen Asante dadangu zidi kubarikiwa
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Amina asantee
@nellydeborah943
@nellydeborah943 Жыл бұрын
Amen ,be blessed
@lydiabenjaminmgalula6189
@lydiabenjaminmgalula6189 5 ай бұрын
Mungu atuhurumie sana kwakweli wanawake tumetekwa😔
@massawegetrude2322
@massawegetrude2322 Жыл бұрын
amin❤️❤️❤️❤️
@monicambetwa9301
@monicambetwa9301 Жыл бұрын
Amina Barikiwa Sana
@moseskulola6913
@moseskulola6913 Жыл бұрын
Hata Mimi nilikuwa najiuliza hii swali .lasma wanawake wawe wachache Sana binguni..sanabu ya mambo Yao..sio kama Mimi ninakamilika
@JeffsonIvan-xx5jr
@JeffsonIvan-xx5jr Жыл бұрын
Mungu atusaidie
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 Жыл бұрын
Ameen ❤
@JuliethMagele
@JuliethMagele 6 ай бұрын
Wewe unaepinga maono Mungu akusaidie kama we unaona niuongo basi
@mwanyulatz
@mwanyulatz Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kazi ya Mungu Yesu kristo akubariki sana
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Amen Asante
@lightness2640
@lightness2640 Жыл бұрын
mtu ambae haelewi hushuhuda huu hamjui mungu Wala halijui neno l mungu wakristo somen neno l mungu .mnamkataa mungu je nani mnamwamini?
@nyashangondya3660
@nyashangondya3660 Жыл бұрын
Kanisan wanaume wachache mbinguni wapo wengi ee mungu tuinue tupe wepes
@PillyMasaka-dw5zc
@PillyMasaka-dw5zc Жыл бұрын
Mungu tunaomba rehema zako
@MagdalineMuthoni-p3h
@MagdalineMuthoni-p3h 4 ай бұрын
❤❤
@BaziraElie
@BaziraElie 9 ай бұрын
Mungu ni mwema siku zote kutuibia siri
@yohanakllaizer276
@yohanakllaizer276 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki Sana
@christind655
@christind655 Жыл бұрын
Amen and amen 🙏🙏🙏
@MadamOrida
@MadamOrida 7 ай бұрын
😢😢mungu nisaidie
@RehemaEvarist
@RehemaEvarist 6 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@MecksonPeresi
@MecksonPeresi Жыл бұрын
Mbinguni hakuna mwanamke wala mwanaume sisi some ni mabibi Alusii
@AgnesKalinga-if3uf
@AgnesKalinga-if3uf Жыл бұрын
Ubarikiwe Fabi
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
Amen ujumbe tumepokea
@odenciojulioarvai9869
@odenciojulioarvai9869 Жыл бұрын
Amén🙏
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Amen
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Amina asantee
@BerylSeer1
@BerylSeer1 Жыл бұрын
Mbona msieke watangazaji wawe wawili, wa kike na wakiume
@annakwaso6263
@annakwaso6263 Жыл бұрын
Wanawake wivu ndo KBS,MTU haweziuliza jinsi umefanikiwa ili umwinue.lkn utasikia kakusema kakusengenya na wivu uzaa mauti,kaini alimwua ndugu take kwa kupitia wivu.
@WityJustine-mp7rd
@WityJustine-mp7rd Жыл бұрын
Eee BWANA YESU utusaidie watoto wako
@Veronicahngute
@Veronicahngute Жыл бұрын
Nisamehe lakini kile na jua ni akuna mwana ume ama mtoto ama mwanamke wote wanafanana lakini sijui
@Mamas-06k
@Mamas-06k Жыл бұрын
Matendo ya uovi na dhambi za mtu pia zitafanana, wacheni kijidanganya mioyo yenu hiyo ni kubadilishwa miili Kwa wako tenda mema,bali kama ulitenda uovo jehanamu inakuhusu yeyote yule
@wambimbwelo5141
@wambimbwelo5141 9 ай бұрын
Mbinguni hakuna mwanamke wala mwanamke utajuaje kama huyu ni mwanake au huyu ni mwanaume ?
@bobp6720
@bobp6720 Жыл бұрын
Uongo uongo uongo ujinga na ujinga na ujinga na upumbavu, kwanza unatakiwa kujua maandiko yanasemaje, anasema aliona roho je kwa mjibu wa maandiko Mbiguni kutakuwa na roho? Au kutakuwa na watu hapo mtu ananukuu kitabu cha ufunuo akaongeza na yakwe kidogo ili mmwamini
@DOREENKIBONA-e7q
@DOREENKIBONA-e7q Жыл бұрын
Dada naomba niongoze salatatoba naitwa dorini naomba uniongoze salayatoba na uniombee
@toshanyiti2154
@toshanyiti2154 14 күн бұрын
TAYARI AU BADO?
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
Amen ❤
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Blessed my lovely sister kwa testimony of evening❤
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Amina asantee
@Mitama49
@Mitama49 9 ай бұрын
Mmmmh acha uongo wewe..sabato ni siku gani
@YESUNIBWANA84
@YESUNIBWANA84 Жыл бұрын
Amen 🙏 🙏
@abdalahsuleman2791
@abdalahsuleman2791 Жыл бұрын
Uongo wa Asilimia 100
@njiaya6833
@njiaya6833 Жыл бұрын
mbinguni akuna kuoa wala kuolewa hama kuoana je jinsia hizo zatoka wapi enyi mafarisoyo wa uhaba wa neno ?
@AnithaRiwa
@AnithaRiwa Жыл бұрын
Hivyo kutakuwa hamna wanawake
@BIBLE-STORIES-KISWAHILI
@BIBLE-STORIES-KISWAHILI Жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤
@IbrahimMatofali
@IbrahimMatofali Жыл бұрын
Amina sana
@joycekimorgo5239
@joycekimorgo5239 Жыл бұрын
Roho mtakatifu tuelekeze sisi wamama
@queenWitynes
@queenWitynes Жыл бұрын
Mh niuongo😂😂😂
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 10 ай бұрын
Pole
@GabrielejWilliam
@GabrielejWilliam Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@AyubuYussuph
@AyubuYussuph 6 ай бұрын
Usiache kutuombea na sisi wakosefu
@agnessshole
@agnessshole Жыл бұрын
Doto za kuzama katika maji.
@MagdalineMuthoni-p3h
@MagdalineMuthoni-p3h 4 ай бұрын
😂😂
@denismokaya5725
@denismokaya5725 Жыл бұрын
Nobody who knows the secrets of heaven and heaven there's no genda so don't lie people with fun things read your Bible well
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Makafiri hawaendi peponi
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 6 ай бұрын
Wewe utakwenda
@NeemaKatabi-tz5hs
@NeemaKatabi-tz5hs Жыл бұрын
Hakuna ukweli wowote hapo, jindae kwa ujio wa yes kwa mala yapili , maana hakuna mwanadamu aliko mbinguni hadi atakapo kuja bwana wa mavuno kuitenga ngano na magugu
@DamianPango-xn5wz
@DamianPango-xn5wz Жыл бұрын
Usipende kuhukumu kaa kimya ni dhambi ajuae ukweli ni mungu wa mbinguni pekeeee
@RoseMary-sw2ec
@RoseMary-sw2ec Жыл бұрын
Jidanganye ndugu mbngun huingii kw neema huingii ukiwa mchafu tubu nawe utauona ufalme wa mbngun...hat yesu akirud atakuja kupepeta magugu na ngano kwhyo tujiwek tayr barikiwa 🙏
@btsanime6138
@btsanime6138 7 ай бұрын
Cv
@josephkate3664
@josephkate3664 Жыл бұрын
ASANTE KWA USHUHUDA NIMEBAINI BADO SIPO KATIKATI NJIA SAHIHI
@neemamaganga9774
@neemamaganga9774 Жыл бұрын
Biblia inasema tukifika mbinguni tutabadishwa miili yetu, tutakuwa kama malaika, kutakuwa hakuna kuoa wala kuolewa na mambo yote ya duniani tutayaacha huku.tutakuwa tukisifu na kuabudu. Sasa mimi sijaelewa kama tutaweza kutambua huyu ni mwanaume au mwanamke. Mimi bado sijaelewa
@EdwinMbwilo-fj6bf
@EdwinMbwilo-fj6bf Жыл бұрын
Tutajulikana kwa vazi. Mfano aliyekuwa mwanaume duniani vazi lake lina mkanda mmoja kiunoni Na aliyekuwa mwanamke duniani vazi lake lina mikanda miwili.
@HildaPaul-hm4jk
@HildaPaul-hm4jk Жыл бұрын
Mapambo yatatughalimu
@barakapeter6327
@barakapeter6327 Жыл бұрын
Mtu aliyetoa mimba na mtu aliyeshikiri kutoa mimba atafanya nn ili awe salama ?
@susanmuiruri5246
@susanmuiruri5246 Жыл бұрын
Ni kujitakasa na kujitolea dhabihu ya maombi
@DamianPango-xn5wz
@DamianPango-xn5wz Жыл бұрын
Ukiomba toba ya kweli usijihukum tena upo huru mungu husamehe na kusahau
@salimuismaily693
@salimuismaily693 Жыл бұрын
KUHUSU WANAWAKE KUWA WACHACHE NI KWELI
@osmaannchimwanga8792
@osmaannchimwanga8792 Жыл бұрын
Naomba nifahamishwe,maana ninachanganyikiwa nikisikia kila shuhuda za walioenda Mbinguni wanakuta watu motoni au mbinguni.Kinachonichanganya ni kwamba,miili yetu tukifainazikwa kaburini na kuoza,sasa ni miili gani tena inayopatikana motoni ikiungua na mbinguni ikiburudika?
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Kuna miili ya duniani na miili ya milele
@elishavenance1348
@elishavenance1348 Жыл бұрын
Mwana damu amegawanyika sehemu mbili ,mwili na rohon, ambapo nafisi yake ndiyo uhalisia wa mwanadamu hivyo nafsi ambayo ndo wewe bada ya kufa nafsi hufaa mwili mpya ama kwa ajili ya hukumu au kwenda mbinguni
@SteveNyombo
@SteveNyombo Жыл бұрын
Iyi nehema na ipenda sana ,mungu Léo amefanya nehema iyi ya kwenda kuzimu na mbinguni ,kurudi Ku twambia mambo ilioko
@AjunaRugimbana-ff9xz
@AjunaRugimbana-ff9xz Жыл бұрын
Roho yako ndoinaenda mbinguni na mwili ndounao oza
@simasimon9917
@simasimon9917 Жыл бұрын
Mungu akiwa amekusudia kufundisha lazima uwaone tu Mkumbuke tajiri na baba ibrahimu
@christinaisanguisangu2974
@christinaisanguisangu2974 Жыл бұрын
Nisaidieni wapendwa hivi uasherati ndo upoje
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Muasherati ni mtu anayefanya ngono Ikiwa bado hayuko kwenye ndoa, na mzinzi ni mtu anayefanya ngono na mtu mwingine ambaye sio mume au mke wake wakati yupo kwenye ndoa
@esthermbilinyi3452
@esthermbilinyi3452 Жыл бұрын
Umebadili uasherati ni yule mwenye ndoa ila achepuka, Uzinzi ni wale wafanyao tendo la ndoa kabla ya ndoa ...... Uasherati ni kwa wanandoa,
@DamianPango-xn5wz
@DamianPango-xn5wz Жыл бұрын
Real, tofauti kati ya uzinzi na uasherati ni nin?
@namisisiboe7256
@namisisiboe7256 Жыл бұрын
Thank u Lord for your voice. Father Lord forgive all my deeds,help me to your Way. Amem
@abigaelnelima8504
@abigaelnelima8504 Жыл бұрын
Amen
@BalisimakiShija-mg8wm
@BalisimakiShija-mg8wm Жыл бұрын
Aman sana dada
@BalisimakiShija-mg8wm
@BalisimakiShija-mg8wm Жыл бұрын
Amn
@emillyzeeh1173
@emillyzeeh1173 Жыл бұрын
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@ETCN.CHURCH.
@ETCN.CHURCH. Жыл бұрын
Amen
@NeemaZabron-d5y
@NeemaZabron-d5y Жыл бұрын
Amen
@slamafamily5720
@slamafamily5720 Жыл бұрын
Amen
@JuliasRanga-dd8zn
@JuliasRanga-dd8zn Жыл бұрын
Amen
@SimeonMalando
@SimeonMalando Жыл бұрын
Amen
@PeninahMwendwa
@PeninahMwendwa Жыл бұрын
Amen
@rozlysara-cy8qi
@rozlysara-cy8qi Жыл бұрын
amen
@DenisCasey-kh8ub
@DenisCasey-kh8ub Жыл бұрын
Amen
PART 2 SIRI YA KUNYAKULIWA UJUMBE KWA BWANA YESU USHUHUDA WA DADA GRACIA
15:09
MNAPELEKA WAPI KANISA LA MUNGU ?
56:16
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 2,1 М.
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
Ushuhuda wote(Part1-9)Apostle Zizi aliyekuwa ameolewa na jini mtu
6:30:54
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 497 М.
PART 4 MAMBO YA KUTISHA WAKATI PARAPANDA ITAKAPOLIA USHUHUDA WA GRACIA
25:17
KWANINI UNAPOOMBA, VITA VINAONGEZEKA? - Innocent Morris
59:27
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 43 М.
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 354 М.
PART 1 TABIA ZITAKAZOKUFANYA USHINDWE KUNYAKULIWA USHUHUDA WA AUGUSTO
13:44
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН