Mtumishi anahadithia vizuri sana ...asante Mr fact uko juu davista mungu akubariki
@nurudaud39932 жыл бұрын
Yes let's go 🚶♀️ 👏 thanks Mr davistar
@mwangazakanganga81102 жыл бұрын
Keep the good work kaka davista 👏👏👏 This is your ministry 💪
@benedictogasper9977 Жыл бұрын
rihgt
@crocodilemasala79562 жыл бұрын
Huyo mwanafunzi mwenzako alikuja na kalamu kuiba nyota yako.
@edithaeugeni96952 жыл бұрын
Dahiii hyo baba ni baba yangu kabsaa hadii leo tunapitya hayo Maisha ukienda home na suruwalii utapigwa mpaka ukome
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Baba yako hatari sana
@husseingabo54972 жыл бұрын
Pamoja sana
@heritier51192 жыл бұрын
Hapo ndipo uharibifu ulipoanza huyo wa Bank inatakiwa akulipe
@peterbaton525110 ай бұрын
Ameni 🙏🙏
@godibi56452 жыл бұрын
Story nzuri sana 🙏🏽🙏🏽
@husnaseph94762 жыл бұрын
Jaman kama unajiamini hujapitiwa na pepo lakuto comment ebu tuwemojawao tuache comment 200 hivi na like juu
@shadyabdallah72472 жыл бұрын
Dah naikumbuka hiyo vua iliuwa sana
@mathiascharles4712 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@kikoadventures69332 жыл бұрын
Dingi Mjeda, mtoto Jambazi hahahaaa
@michaelchenya80912 жыл бұрын
Nimeipenda story
@lastbornsaadah76322 жыл бұрын
😄😄😄😄nacheka sio kwa ubaya baba alikuwa kiboko
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Alikuwaje
@heritier51192 жыл бұрын
Ndio madhara ya mizimu ilileta laana zote
@michaelchenya80912 жыл бұрын
Mussa chessa ni ndugu yake au
@aaronjustin72352 жыл бұрын
Kesho na nunua bunduki.
@jesusislord91902 жыл бұрын
kwenye shida hakuna kisicholiwa
@lazarojohn9154 Жыл бұрын
Sitoli ninyigi sana hatasielewi nisikilizeip
@noeldaudi5902 жыл бұрын
Wewe acha ushamba Kila Mara maswali Kama huwezi acha Hizi ni sifa Umeadithiwa pembeni lakini bado una maswali Unaharibu??????????
@husseingabo54972 жыл бұрын
Kwan ukikubali ni kilevi shida Iko wapi nyie endeleen kunywa hizo pombe zenu mkidanganywa et ni damu yesu hakuna andiko sehem yeyote linaloonyesha yesu aliwahi kunywa nvinyo au divai nyinyi mnafanya hivyo mmetoa wapi au ndio ele yesu anasema mwaniabudu bule kwasababu mnafuata maamrisho yaliomafundisho ya binadamu mnatakiwa mjitathimini
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Kwani tukienda motoni utaenda wewe tukichomwa huku wewe inakuhusu?
@noeldaudi5902 жыл бұрын
Komenti maana yake Unatakakujua tunaonaje?? Sasa vipi Basi sikiliza peke yako Maana tunatumia pesa kuangalia Stori Kama ndefu ni ndefu tu
@bakari-si1pw2 жыл бұрын
Kaka jambazi karibu tusikie
@salma-fc4xc2 жыл бұрын
@@bintalmasi2393 kabisa
@honestema2 жыл бұрын
Huyo kachanganya mpanda Kuna wasukuma kibao na ndo wanao piga magoti ni wasukuma wafipa hawapigi magoti na ni utamaduni wao mwanaume akisalimiana na mwanamke lazma apigiwe goti kwa maana ya kupewa heshima
@jesusislord91902 жыл бұрын
unaakili kweli Mimi ni mfipa wa..kasanga..sumbawanga huwezi kumpa mtu mkubwa maji umesimama.. kama hujui kitu uliza
@honestema2 жыл бұрын
@@jesusislord9190 basi isiwe ugomvi tufanye mi nmekutana na wasukuma sijakutana na wafipa basi.🙌
@jesusislord91902 жыл бұрын
@@honestema ndio ungeuliza
@nantaembanusurupia56742 жыл бұрын
Wafipa pia hupiga magoti@Emmanuel Thomas
@honestema2 жыл бұрын
@@nantaembanusurupia5674 mi nmekaa mpanda pale sijaona mfipa akipiga goti akiwa anasalimia ni wasukuma tu ndo nmewaona wakipiga goti mpaka nkawauliza wazee wa pale wakaniambia hao sio wasukuma ndo maana hawapigi goti
@danieljoseph16102 жыл бұрын
Anafanana na Mussa chessa, Ukute walikuwaga kikosi kimoja!