PART1:MAMA ALIETEMBEA NA MWANAE NA KUZAA KISHA KUCHUKULIWA MSUKULE NA SASA UWA ANARUDI NA KUMTOKEA

  Рет қаралды 11,808

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@ksamastrio6246
@ksamastrio6246 3 жыл бұрын
pamoja all the way from kenya mr facts mimi najifunza mambo mengi sana shukran
@josephmaganga1931
@josephmaganga1931 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣ngoja kwanza mbona unakua una rukaruka davistar bana🤣🤣🤣🤣nimecheka kwa sauti
@aminabhitalio8143
@aminabhitalio8143 3 жыл бұрын
Davi unaonekana unapenda ayo mambo🤣🤣
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 3 жыл бұрын
We dada mwongo! Uamue kutembea na mwanao au ndugu afu useme haujui kilicho tokea!
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 Жыл бұрын
Davistar bhana... Eti "Ngoja kwanza usiruke ruke kwanza"😂😂😂😂
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 3 жыл бұрын
ivi hii dunia kumbe iko bize mambo ni mengi sana na ya ajabu mungu atulinde jaman
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 3 жыл бұрын
Tukiachana na simulizi ya dada joyce bac na hii simulizi kali mno🙌🙌
@aggiephen
@aggiephen 3 жыл бұрын
Hiyo ya dada joyce inaitwaje
@temiadammaswali8045
@temiadammaswali8045 3 жыл бұрын
Hahaha haha kiwango gani nimeipenda hiyoo
@honestema
@honestema 3 жыл бұрын
Davistar kayakubali haya mapenzi mpaka kasema hayo mapenzi yalikuwa kiwango Cha juu sana🤗😀😅🙌
@temiadammaswali8045
@temiadammaswali8045 3 жыл бұрын
Eti kweli hayo yalikuwa mapenzi ya kiwango cha juu sanaaa😂
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 2 жыл бұрын
Mmmmmmh Dada anahuruma huyu alimpa aweke charge 🙆‍♀️🤭
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 Жыл бұрын
Daftari la mathe😂😂😂
@africandarling6925
@africandarling6925 3 жыл бұрын
Mkuje Huku mambo ni moto🔥🔥🔥
@salmasalma8203
@salmasalma8203 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 davistr broo tbsam hilo
@catherinejames6714
@catherinejames6714 Жыл бұрын
Part 2 please
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 3 жыл бұрын
Ngoja na mm nitFte kisu
@jameskuzwa8675
@jameskuzwa8675 3 жыл бұрын
Mr everything hapo pa kushikiana kisu ulikua unapatamani🤣🤣 watu wanavyokulana mzigo
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 3 жыл бұрын
Dah atari sana
@latifajabil1707
@latifajabil1707 3 жыл бұрын
Davista umekazia hapo alivyosema ikawa siku ya kwanza kukutana 😆😆 eti taratibu twende
@macamezungu7031
@macamezungu7031 3 жыл бұрын
Pamoja saana Mr everything 🔥💯
@shadyabdallah7247
@shadyabdallah7247 3 жыл бұрын
😂Ila davistar anampenda hy mambo
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 3 жыл бұрын
hahahahahaaaaaa yan hawa walikuwa wanajarbu maisha yao jmn
@ahmadabdallah6641
@ahmadabdallah6641 3 жыл бұрын
Safi sana
@husnaseph9476
@husnaseph9476 3 жыл бұрын
Davista baada ya kusikia tukafanya mapenzi kaanza kujiweka vizuri kwanza nimecheka jaman
@saadahiddy8789
@saadahiddy8789 3 жыл бұрын
Nimewahiiii
@dotosalim5090
@dotosalim5090 3 жыл бұрын
Wa 8
@hamisjangala6759
@hamisjangala6759 3 жыл бұрын
Davista kazingua ameshadindisha mbona anakunja 4
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 9 ай бұрын
Wewe ulikuwa nanyeje tu hunalolote
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 3 жыл бұрын
Blue nakumbuka nilifua shati lashule nikaiweka mbwa wetu ajikuja kunywa maji yale yenye blue alikua namimba iliharibika nayule mbwa hakuwahi kubeba tena ujauzito, hii nihatar niliiogopa sana
@ahmadabdallah6641
@ahmadabdallah6641 3 жыл бұрын
👍
@jamesmbogela4710
@jamesmbogela4710 3 жыл бұрын
😃😃😃 kwamba labda ni masumbuko
@happymchomvu6766
@happymchomvu6766 3 жыл бұрын
Nafuatiliaga story zako nyingi ila ndo naishia njian haya part two iko wapi jaman
@fabshad1979
@fabshad1979 3 жыл бұрын
Ndio nini mr fact mr hata mr upuuzi hivyo ndivyo mnavyo introduce program serious
@jeniphaledaschali4594
@jeniphaledaschali4594 3 жыл бұрын
Kwani we Davista unapenda jehanam kwann usihoji mambo yaufalme wamungu,nashuhuda zamungu
@fabshad1979
@fabshad1979 3 жыл бұрын
Mr facts 😡mr everything ??ndio nini sasa /
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Please Don't Watch This Emotional Movie If You Can't Control Yourself New Hit 2024
4:30:06
Trending Nollywood MoviesTV
Рет қаралды 1,6 МЛН