Kijana wa watu alipenda sana jamn Mapenzi ya kweli yapo aiseee! Watoto walipendana
@tonnytiem6823 жыл бұрын
😂😂 Daah dogo genius sana
@happyoshea3 жыл бұрын
Dah Yaani tuna tofautiana sana , me nikinywa energy hata nusu sipati usingizi hata siku 2 . Ningekunywa tano nisingelala mwezi mzima 😂
@martinmaryogo36763 жыл бұрын
hahahahahaahaaaaa kila mt ana dam yke,
@jacksonpeter74843 жыл бұрын
unavyo kunywa blue mimi ngoja niondoke we dada mbinguni utapasikia tu nimecheka kwa sauti utaki ushahidi😂😂😂😂
@benjaminkiteleke84583 жыл бұрын
Dada anasema , alipotapika akasema ahsante mungu mimba inaenda kutoka
@nyancheracaroline28783 жыл бұрын
😅😅😅😅😅🙆♀️
@mujwasteven4 ай бұрын
Davistar mkali wa mastory 💺📻 sijawahi kupitwa hata moja
@macamezungu70313 жыл бұрын
Pamoja saana Mr everything 🔥
@filbertnyoni89363 жыл бұрын
Binti nimempenda sana sababu anajua kuelezea sana yan namfatilia sana
@honestema3 жыл бұрын
Yaaani stori zako zoote huchoki kuskiliza wafundishe vijana bana wa timu yako namna ya kuhoji na kuskiliza mpaka mtazamaji anaenjoy kuskiliza na kujifunza piaaa
@Frida-w7n6 ай бұрын
Duuu hatr
@onekisstv84123 жыл бұрын
Tumetumia Sana tu
@mariamfritsi49433 жыл бұрын
Blue naikumbuka kweli enzi zetu ndio ilikuwa mng'arisho wa mashati yetu ya shule, usipoweka blue, unakuwa tofauti na wenzio wote wanakucheka. ee kweli miaka imekwenda. leo huyu dada kanikumbusha zilipendwa. 29.01.22.
@martinmaryogo36763 жыл бұрын
mmmmmmh huyo kijan mbn akuwa ana mamb mengi ivo
@ahmadabdallah66413 жыл бұрын
Safi
@josphatmwai19943 жыл бұрын
Kweli hata hapa Kenya blue ilikuwa davister
@rikekikonyo22653 жыл бұрын
Yani unakunywa blue 10 dah nyie mna hatari sana
@mwambakakudji62883 жыл бұрын
Sad story
@bakari-si1pw3 жыл бұрын
Sawa tuko pamoja
@ahmadabdallah66413 жыл бұрын
👍
@aprilking82503 жыл бұрын
Kwani tangu mwanzo uyo kijana alikuwa anajuwa kama atakufa
@monicasimpilu62573 жыл бұрын
Baba yake alimfanya msukule huyo
@kennah03m3 жыл бұрын
@Davistar mtafute ex imam ishmael said wa ex imam tv ana ushuhuda pia