PART1: MKASA wa KWELI! BABA'AKE ATAKA KUMUUA -AJIKUTA MWILINI mwa CHATU AKIKIMBIA -ACHUKIA UZAO WAKE

  Рет қаралды 8,451

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@rosemarytheresia6885
@rosemarytheresia6885 Ай бұрын
Pole Sana Mama Mwenyezi Mungu akutie Nguvu upambane na roho iyo ishindwe ktk jina Yesu.
@dayana5513story
@dayana5513story Ай бұрын
Eeee Mungu niepushe na roho za kukataliwa
@zoey2635
@zoey2635 Ай бұрын
Hapa mama anahitaji kuheal kisaikolojia unaumiza pia watoto wako inabidi msameheane familia yako irudi muwe pamoja pole mama
@hadijahadija4699
@hadijahadija4699 Ай бұрын
Duuuuu.wallah.tunapiati.mengi.sana.mungu.atupe.subr
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 27 күн бұрын
Mwambie ajikubali hivyo hivyo nami nikama yy sipendwi nawatu ila mm ni mm na Mungu wangu hayo yote nili muachia yy
@HalimaMichael-x6x
@HalimaMichael-x6x Ай бұрын
Duuuh pole sana mama angu asante Mungu kwa kunipa baba bora anayenijali mie na watoto wangu maana kuna watu wanapitia matatizo wallah 😢😢
@frankkessy1260
@frankkessy1260 29 күн бұрын
hongera
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 Ай бұрын
Pole sana mamy mungu amsamehe baba yako akupe utulivu wa nafsi yako 😢😢😢😢😢
@HellenDana
@HellenDana 28 күн бұрын
Dada haufanikiwi coz ni mdomo wa babako alikulaani lkn njoo kwa Yesu uombewe na mtumishi wa Mungu wa kweli na kwa damu ya Yesu utatakaswa nakuwekwa huru
@hadijahadija4699
@hadijahadija4699 Ай бұрын
Lili.mungu.akuweke.
@ZainabJolie
@ZainabJolie Ай бұрын
Lili kajitahid kua msikivu tofauti na na ile kamuhoji yule mama afugwa kwa kumuuwa mmewe bahati mbaya . Hakumpa nafasi ya kujieleza zaidi
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official Ай бұрын
Ndo maana mimi huwa nawashauli watu kama unajua huyo mwanaume sio wandoto zako usijaribu kulala nae wana kupendana nae make unapojaribu kulala nae chochote kinaweza kutokea naulajutia maisha yako yote ukazaa na mtu ambae wala hukumpenda so afadhali vumilia upate mtu unaee mpenda hata ikirikea mimba hurojutia
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 Ай бұрын
Hii story imeni kumbusha mbali sana vile mamangu alikua akini tesa nakuni piga sana mpaka nika toka nyumbani nikiwa na 10 years nika enda kua chokora💔😭😭😭😭😭
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga Ай бұрын
Duuh pole sana ni mama ako wa kukuzaa kabisa
@SelestinaHamis-dw1gs
@SelestinaHamis-dw1gs Ай бұрын
Pole Sana pepo hilo lilimvaa
@AlphaJosephu
@AlphaJosephu Ай бұрын
Duuh pole
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 Ай бұрын
@@SalmaBinyaga asante ndio ni mama wakuni zaa
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 Ай бұрын
@@AlphaJosephu asante
@scholamwasi
@scholamwasi Ай бұрын
Kemea roho ya kukataliwa
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 9 күн бұрын
Shida niatima uliobeba lazima unakala yaunabii shetani uwahana wawinda sana iliufe kabulayahatima atayesu alikataliwa wewe wasamehe
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 27 күн бұрын
Mwambie ajikubali hivyo hivyo nami nikama yy sipendwi nawatu ila mm ni mm na Mungu wangu hayo yote nili muachia yy
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 32 МЛН
From Small To Giant 0%🍫 VS 100%🍫 #katebrush #shorts #gummy
00:19
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 4,7 МЛН
RIYAMA NA MUME WAKE WAFANYA YAO LIVE KWEUPE REDIONI TAZAMA.
16:49
TimesFMTZ
Рет қаралды 2,5 МЛН
DUNIA (Ep 24)
25:33
ASMA FILMS
Рет қаралды 197 М.
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 32 МЛН