PART1:TAJIRI MCHAWI /NILITUMWA KUMPELEKA MSANII HUYU KUZIMU BAADA YA KUKATAA KUENDELEZA MASHARTI

  Рет қаралды 20,981

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Ай бұрын

Пікірлер: 91
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen Ай бұрын
Asante Sana kaka davistar kwakutukumbuka tulikua tumekumiss Sana sisi shabiki zako umetuletea story mpya🎉chukua maua yako mungu akubariki uendele kutupa story nzuri za kutufundisha🌹❤️
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM Ай бұрын
Amen ahsante tupo pamoja
@sophiebanga9533
@sophiebanga9533 Ай бұрын
Welcome back umenona saana mtu makini
@jumayusuph9609
@jumayusuph9609 Ай бұрын
​@@DavistarMataMediaDMasate sana tumekumic kaka mpka tumekonda ukipotea uwe unatuambia tusiwe na wasi wasi
@josephmulli37
@josephmulli37 Ай бұрын
​@@DavistarMataMediaDM28:04
@maureenmwende3515
@maureenmwende3515 28 күн бұрын
Davister hii Chanel izidi kupokewa na wengi ikona mafudisho mazuri
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 Ай бұрын
Mzee wa kazi anaonekana kuna mambo anapitia ambayo magumu sana kwasababu na hisi tangu anze ichi kipindi kunavitu vingi vibaya anavijuwa na pia na watu wanao fanya ivyo vitu vibaya pia anawajuwa kwahiyo watu wana muinda sana tumombeeni wadau
@LamaribamJumbe
@LamaribamJumbe 15 күн бұрын
Upo sahihi ndugu
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu Ай бұрын
Davista kanyong'onyea sana. I fell something bad had been going through him. Mungu akutie nguvu tuko pamoja.
@dianawilliam6443
@dianawilliam6443 12 күн бұрын
Hayupo sawa kbs kwa muonekano tuu
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Ай бұрын
Karibu sana Mtu makini ulitugaya ila ulipo tuacha hatujasogea tumekusubri kwa uaminifu mkubwa❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mwami_the_don_
@mwami_the_don_ Ай бұрын
Jamani tumchangieni davista tujiongeze kaaah mpak aseme wakat katutoa mbal na katoa sana matongo tongo juu ya hii dunia
@mwakilamwaki1718
@mwakilamwaki1718 Ай бұрын
Awake namba tumsapoti davista ata elfu 5 to kwa kazi nzuri anayo fanya
@paustephano
@paustephano Ай бұрын
Tunaanzia wap Sasa?
@paustephano
@paustephano Ай бұрын
Mnaonaje tukatengeneza group whatsup na tutume humu link anataka atajiunga na mwenyew davista awepo then tuanze michango hapo
@nancyfantasia1945
@nancyfantasia1945 Ай бұрын
Davista anapitiaga comment kwahyo aweke namba yke tumchangie
@LamaribamJumbe
@LamaribamJumbe 15 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@elochoyakobo7809
@elochoyakobo7809 Ай бұрын
Oya davistar piga kibao Huyo jamaaa,Mtu anahojiwa anacheua Cheua na kutafuna tafuna kama mbuzi haipendezi
@nalandayusuf641
@nalandayusuf641 Ай бұрын
karibu sana Davimastar kazi zako tuli kuwa tumesha zi kumbuka
@mundhirsalum21
@mundhirsalum21 Ай бұрын
Story nzuri ila msimuliaji ana semulia kama ana soma gazeti Kama huyu story yake inafika hadi part 5 achana nayo tuwekee mtu mwengine
@jovinmancomedytz
@jovinmancomedytz Ай бұрын
Mbona hawezikujielezea vizuri anatafunatafuna kama mbuzi tu yani anaboa sanaa
@phronimouslady1653
@phronimouslady1653 Ай бұрын
Kwakweliii he is boring 😂😂
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 27 күн бұрын
Kujieleza ni kipaji sana ndugu😅
@user-xw8om1qd1g
@user-xw8om1qd1g 17 күн бұрын
Kwani umelazimishwa kuangalia!?
@reisezone4574
@reisezone4574 Ай бұрын
DAVISTA Tunaomba utuambie wafuatiliaji wako tulio nje ya nchi nini kilikukuta mbona muda mrefu sana ulipotea tulipata wasiwasi tuambie
@judithpraisesmusic
@judithpraisesmusic Ай бұрын
We have missed davistar....welcome back I am so much blessed with your work and have known a lot spiritually
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
Mda mlefu kweli mdogo wangu devistar sijaingia kwenye program mungu Akuongoze vizuri Ameen
@onekisstv8412
@onekisstv8412 4 күн бұрын
Maisha yanaenda kasi sana nowadays davista kaokoka
@joymkenya2359
@joymkenya2359 Ай бұрын
Welcome back😊🎉from Kenya we love you TZ ❤
@rerisamba
@rerisamba Ай бұрын
Michawi .mnao turogea Davistar mshindwe kabisa katika jina la Yesu
@cheddarman8436
@cheddarman8436 Ай бұрын
Kiukweli Davistar anapitia changamoto, hii sura sio yake.
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Ай бұрын
Amen
@euphreshiaessendi2115
@euphreshiaessendi2115 24 күн бұрын
Wooooooow l had missed you aloooooooooot welcome back brother
@salngas902
@salngas902 Ай бұрын
Welcome back mr everything,,we missed you❤❤❤❤
@ambassadorkatemeambassador2840
@ambassadorkatemeambassador2840 Ай бұрын
Awali ya yote nipende kumshukuru Mungu, niokuona tena Mr Dm karibu
@JoyfulGod
@JoyfulGod Ай бұрын
Welcome back davistar mata we love you.🎉
@James-Jabari
@James-Jabari Ай бұрын
Mr. Facts great to see you brother.
@jkkim3848
@jkkim3848 Ай бұрын
Davister amerudi mtandao 💪🏾karibu tena
@mysskibe
@mysskibe Ай бұрын
Welcome back Davistar 😊😊 Hope you know you are appreciated by your online family, endelea kum expose shetani kabisa
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 Ай бұрын
welcome back mr davi...we missed u
@mgalulamatongo4079
@mgalulamatongo4079 Ай бұрын
Since 2019 nafatilia story zako..wlcm again ninja
@nancyfantasia1945
@nancyfantasia1945 Ай бұрын
Yaan bila davista nlikua naona ata youtube haina maana una nafasi katika mioyo yetu kwa kwel🎉🎉
@philipomponeja2457
@philipomponeja2457 Ай бұрын
Davistar kimya sana! najuwa unamambo mengi! so tulikumic karibu
@evancemoevt8597
@evancemoevt8597 Ай бұрын
Well come back Mr. facts!!!
@user-uc1tc7jf9q
@user-uc1tc7jf9q Ай бұрын
Mungu ni mwema nimefurai kukuona tena❤❤
@cyantess8423
@cyantess8423 Ай бұрын
glad your back
@athumanmakale8221
@athumanmakale8221 Ай бұрын
Binafsi nilikumiss sana Davista. Tuendeelee tulipoishia..
@patrickmaina5459
@patrickmaina5459 Ай бұрын
Welcome Mr Devistar 🤝
@user-op4ue1sm9x
@user-op4ue1sm9x Ай бұрын
Asante kwa kurudi hewani davista
@africanstears7755
@africanstears7755 Ай бұрын
Waongo awa....sio bukirigulu...ni ukiligulu na haipo kahama ipo misungwi
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 Ай бұрын
❤❤ Glad to see you...you're welcome....
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 Ай бұрын
2024
@sistymbombo1616
@sistymbombo1616 Ай бұрын
Kwanini anakula wakati wa mahojiano?
@user-ho2qk6oj3w
@user-ho2qk6oj3w Ай бұрын
Davister jaribu kutoa vipande hata vitatu kwa sku tuna hamu na hyo ctr.. Lkn utoaji wa kipande kmoja kwa siku hauridhish
@GodwillMasige
@GodwillMasige Ай бұрын
Mtumishi kupotea kwako kumenifanya hata cm kubwa nione aina maana aisee mungu akkumbe kwa yote ktk maish yak
@shashemuzyo4537
@shashemuzyo4537 Ай бұрын
Mzee ulipotea. Nikawa narudia story nilizokuwa tayar nimecheki..
@dozbilavipimocr7bilavipimo218
@dozbilavipimocr7bilavipimo218 Ай бұрын
Angela sana kaka🎉🎉🎉🎉😂❤
@davidbatista7882
@davidbatista7882 Ай бұрын
Wachawi walikupoteza kwa kutoa sir zaooo chezea wachawi nn duuu aiseee na hii inawezekana isiendelee tena
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 Ай бұрын
Kuna jama huko kwenu amefufuka mara 5 please can you check on her ,bring her story too nimeon afri lakini si yote
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Ай бұрын
Umepotea Sana davista
@MawaddaKhamis-zh3kc
@MawaddaKhamis-zh3kc Ай бұрын
Wa kwanza 🎉
@marryjoely8091
@marryjoely8091 Ай бұрын
Aaaah hatimaye ❤
@user-bd6nt4yq3m
@user-bd6nt4yq3m Ай бұрын
Mkuu unatukosea sana hatukupati
@user-nt4bl1hn9w
@user-nt4bl1hn9w Ай бұрын
Ngoja niskilize story kabla cja comment kitu🎉
@mustaphasegeja1712
@mustaphasegeja1712 Ай бұрын
Ha unashangaa mzazi kumlipia mahali kijana wake
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 Ай бұрын
Duh ulipoteaga sana mkuu
@happymrema7487
@happymrema7487 Ай бұрын
Bora umerud
@adamjonasi8078
@adamjonasi8078 Ай бұрын
Eeeeh afadhali aise maisha yalisha kuwa magumu alo 😅😅😅😅
@rachelmsekena603
@rachelmsekena603 Ай бұрын
Mpaka tuliwamiss kwakweli karibuni mjengoni
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM Ай бұрын
Ahsante
@donathamwangobe2776
@donathamwangobe2776 Ай бұрын
Davista Mungu akutunze akuepushe na mabaya
@davidbatista7882
@davidbatista7882 Ай бұрын
Aiseee jamaa wewe umerudi duuu simchezo
@davidbatista7882
@davidbatista7882 Ай бұрын
Umetoa sana siri za wachawi wakakupotezaaa daaa ukuonekana tena
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw Ай бұрын
Safi sana
@florencerose859
@florencerose859 Ай бұрын
Mr facts karibu tena 💃💃💃🇰🇪
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 Ай бұрын
davi karibu shinyanga hapa story zipo kibao
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 17 күн бұрын
I'm back
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 Ай бұрын
We jamaa ulitutupa sana saizi nipo sehemu ya 35 ya Wamayo aisee alijua kusimulia kama kitabu
@rerisamba
@rerisamba Ай бұрын
Msalimie baby wetu wamayo
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 Ай бұрын
Mzee wa nikaingiamo
@NajimaNichole-oz3zv
@NajimaNichole-oz3zv Ай бұрын
Anatafuna maneno au ndo uko gamboshi walikula nyama wa watu Na pumba za kuku ulimi mzito anaboa
@User92.invisible
@User92.invisible Ай бұрын
Twende mbele.
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 Ай бұрын
Nyingine saa ngap
@user-fo5ox5wq6l
@user-fo5ox5wq6l Ай бұрын
Wa 3
@aryanamendes8700
@aryanamendes8700 Ай бұрын
Ulikuwagaa wapi kaka
@jesusislord9190
@jesusislord9190 Ай бұрын
Sema nn? Dav fanya mazoezi
@Cossan-hp6un
@Cossan-hp6un Ай бұрын
❤❤🙏
@danielsteven5440
@danielsteven5440 Ай бұрын
Karb kaka
@user-nu3ud7ws9b
@user-nu3ud7ws9b Ай бұрын
Ndoa imeisha apa amaa
@chuchetresha
@chuchetresha Ай бұрын
Back once again 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@tututz100
@tututz100 Ай бұрын
J.B.B.1999
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 58 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 7 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 8 МЛН
NILIJIFANYA MSOMALI | NILITUMIKA NA WAZUNGU HATARI | SHULE ILINIOKOA
1:30:38
Official Dating Assistance
Рет қаралды 19 М.
Good job hero. #shorts #fyp
0:20
Gbeckett12
Рет қаралды 52 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
0:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 9 МЛН
Gymrat CAT is a CHEATER?! 🙀 #kitten #cat #cute #aicat
0:45
Stunning Cat Stories
Рет қаралды 17 МЛН
Rang Pi Liya Mama 😂 #shorts #tiktokvideo #funnyshorts #comedy #ytshorts
0:46
Sukhasan Ka Rahman Bhai
Рет қаралды 20 МЛН
我说我不是故意的,你们信吗
0:25
侠客红尘
Рет қаралды 25 МЛН
Good job hero. #shorts #fyp
0:20
Gbeckett12
Рет қаралды 52 МЛН