Sisi tunawaombea kwa MMungu sana Allah atupe Viongizi mlokinai kama nyie taabu kuwapata na Allah atakujaalieni ukweli na uadilifu
@hudhud20224 жыл бұрын
Kweli kabisa wakati mwengine Rais hayumo lakini kwa nini hakemei ananyamaza kimnya
@hudhud20224 жыл бұрын
Kweli kabisa kuna watu wana ujinga sana maana kama musiba anaingea pumba Serikali kimnya kwasababu wanamtuma wao
@hudhud20224 жыл бұрын
YAARABIY tusalitishe na Viongozi wenye kheri kama Hawa Allahuma Ammin
@amanicarlos31324 жыл бұрын
Tatzo watu ambao wamezoea kuongopewa na kuibiwa hawawezi kukubali mawazo mbadala ya kuwatoa ktk hilo ombwe. Waheshimiwa wenye kukubali kujifunza na kubadilika tunawakubali sana, endeleeni kubuni mbinu za kuujulisha umma ktk haki na demokrasia ya kweli. Mungu awabariki sana, mh. Msingwa, lema na heche heshima kwenu wazee!!
@helencyprian60444 жыл бұрын
Sanaaa
@yohanaelisha85034 жыл бұрын
Me nawaelewa sana wanyabi bali na kumpenda sana mh rais ila siwez kuubeza mchango wenu katka taifa letu wanaowaona hamna llte katk nchi tumwombe mungu 2020 bungen kuwe tu na wabunge wa ccm watawakumbukeni
@esthermadata9664 жыл бұрын
Chadema naipenda sana tena sanaaaaaaa
@vlogvlog85224 жыл бұрын
Wow so nice na msigwa una maswali sasa apo mmekaaa majembe wote lema baba nakuona heche ana fafanuwa kwa utulivu sasa naomba mungu msigwa na lema wasijisahau wakajiona wako bungeni wakaaza kulipuka maana hawa jamaaa wanalipukaga bwaaaaa nawapenda
@franaelisumari51084 жыл бұрын
Naipenda sana Tanzania, Mungu awe nasi katika maisha ya kila siku.Tupendaneni na tufanye mambo yetu kwa haki.Kila mmoja ana kitu cha kuisaidia Tanzania ndiyo maana Mungu kamfanya azaliwe hapa Tz,Changamoto inakuja tuu namna ya kuchanganya karama watu walizonazo kwa kuogopa au kuona utaonekana wewe hasa ukiwa wewe ndiye mwenye mamlaka but kufanya hivyo ni kuangamiza taiga na wewe mwenyewe maana sote tuu viungo vya mwili mmoja,mwingine jicho,pua,sikio,mguu,mkono,figo,moyo,ini,....kila mmoja kwa nafasi yake kuukamilisha mwili/Taifa hivyo tunahitajiana sana.
@nicotv41624 жыл бұрын
Mdaharo wenu ni mzuri ila basically mjadala huu hautoki kuzungumzia maisha nje ya box la siasa naona mnazungumzia siasa tu na siasa amabazo zinajikita kiatack serikali na chama tawala,, nilifikir hoja zijikite kwenye kuleta namna ya kuiletea maendelea ya kiuchumi, kiutawala, kisiasa ,kiutamanuni,, pili msigwa uko vizuri kujenga hoja ila wajibuje wanajibu tofauti na swali nafikir wajibuji walikuja na mawazo yao tofauti na maswali, nafikir mjadala huu ungekuwa kati ya mbunge na academicians kuliko wabunge kwa wabunge kwa kuwa wababunge wanamihemuko,, wanajibu tofaouti kabisa na scope ya swali,
@ramadhanimahongole87644 жыл бұрын
BIG UP SANA VIONGOZI WETU MKO BORA SANA...KULIKO HATA WABUNGE WENGINE WACHUMIA TUMBO
@zawadjose54404 жыл бұрын
True,ukiwa na positivity unakuwa adui
@makarabekaboboya77664 жыл бұрын
Akili nyingi zimekutana , nawakubali sana keep it up.
@janethbija74574 жыл бұрын
Mungu awatangulie
@naftalimurage57264 жыл бұрын
Good job guys. Just keep it up. Things will work out at the right time.
@doubledoubleg72124 жыл бұрын
Vijana wa ccm hawawezi kuelewa wakipewa buku saba 7,000/ wanaishia kutukana mtandaoni sisi wenye akili tunajua mnachosema wajinga watowaelewa
Ila tuache utani hawa wabunge kwa ccm wanalala macho nampongeza sana ayotv kwa hii plani lazima ingaliwe na watu wengi hata wapiga makofi tupo nao tunaangalia wote✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@januarymbunda84724 жыл бұрын
Aina ya Watanzania wengi wanakatisha tamaa
@olivabutoyi4344 жыл бұрын
Mungu awalinde viongozi wetu. As you said " ukweli". When you stand for the truth, heaven is backing you hata kama dunia nzima ikukatae! Truth is the only way to all! Yesu alisimama peke yake , it wasn't easy, we all know yet He stood for the truth and He was elevated to the highest position of God's glory. Keep it up Makamanda, hata ukibaki mwenyewe kwenye kweli, jua ya kuwa " you are the majority ". Africa hatupendi ukweli, inasikitisha kwa sababu the only thing which sets people free ni " kweli". Martin Luther King stood for the truth, Mandela stood for the truth, Rosa Park stood for the truth and all the other others ambao leo hii we are celebrating them. Thank you for not thinking of our kids and grandchildren badala ya msosi wa leo.
very good, some pioneer said " an educated people discuss facts, but foolish once discuss people". Thanks very much
@dozertiger93524 жыл бұрын
👏🏻👏🏻
@bishopmosesmagadula75724 жыл бұрын
Goood discation mjadala mzuri
@johnwenceslausmmbaga39174 жыл бұрын
Safii Sana Viongozi wetu mawazo haya ni Mazuri Sanaa lazima tuisaidie Nchi hakuna Jinsi
@ernestngalu35334 жыл бұрын
Wengi wetu huwa hatusikilizi kinachoongelewa bali tunajaji nan anaonge
@witneskilinda50344 жыл бұрын
umeongea kitu kongore
@williamkeita15194 жыл бұрын
Point
@dullahdullah54994 жыл бұрын
Mmesomeka
@diksondaniel74904 жыл бұрын
Hiki ni kipindi kigumu zaidi kwenu kuwahi kupitia ktk medani ya siasa lkn bado mko imara. Iko siku vizazi vijavyo vitawaenzi kwa haya. Time will tell.
@nashonmajiwa964 жыл бұрын
Great thinkers
@emmanueljames77754 жыл бұрын
Big up sana.., ukweli lazima ukalie kiti chake haijalish nani kausema..,
@peterkyelela60234 жыл бұрын
Safii sana waheshimiwa
@MOJAZAIDI.4 жыл бұрын
VICHWA VIMEKUTANA
@mwangosialexander62724 жыл бұрын
Tafuta kushauri!!! Naushauri mzuri ! Unaanza kusifu kwa hatua tuliyoifikia !! Ndipo utoe Mawazo mapya ya kutupeleka mahali! HAIWEZEKANI KuPINGA Kila kitu!!! Semeni mazuri pia !! Rais wetu mpendwa anayo ndoto ,maono ya Tanzania !!! Karibu tunafika!!!big Magufuri !!! Kelele za chura!!
@michaelsembizi8744 жыл бұрын
Hekima mliokuwa nayo Mungu awazidishie, natamani na ninawaombea mrudi tena bungeni. In additional naomba muboreshe kwa kumkaribisha Prof, Lwaitama
@jtheophil54994 жыл бұрын
Bye byeer.tunataka damu mpya ,sura mpya na mawazo mapya..tupokezane vijiti.inatosha sasa.Asanteni kwa uongozi wenu kwa kipindi ambacho tulikuwa nanyi..Msiwe wabinafsi watumeni wadogo zenu pia wawajibike kulitumikia taifa lao.Yatosha.
@jackobpeter73664 жыл бұрын
I like your discussion
@mswanawamswana31294 жыл бұрын
Magufuli is the Giant Brain! ili nchi iende lazima abadili mtazamo. Nyie mlikuwa mnaandamana tuu ili watu wasifanye kazi na nchi isitawalike. Sasa yote yamekomeshwa na Biggest Brain ever in Africa and Tanzania. Nyie sio kabisa... Angalieni historia zenu na ya mzee Magufuli ndipo mtakapojua kuwa mnacheza tyuuuu.
@kahugentobi97344 жыл бұрын
Dah! Nimeipenda hii style
@masoudali26314 жыл бұрын
Naona mumeanza vikao vya majungu, umbea na mipasho badala ya Corona kweli Magufuli kiboko wa siasa na maendeleo. Magufuli tunataka utawale miaka 20 mengine wazidi kupoteana
@johnsaningo2264 жыл бұрын
masoud ali unataka wewe na nani?..... Sema nataka boya ww
@nicotv41624 жыл бұрын
Hoja ya mindset mbona rais anajitahid kututoa kutoka kwenye mindset ya western altitudes kwenda kwenye our own altitudes
@herimallya33854 жыл бұрын
Ndio kitu ambacho hawa mangiri hawaelewi.
@herimallya33854 жыл бұрын
Ukiwaamnia kuna kitu kinaitwa African Renaissance..hawarakuelewa hawa..walnawazaga tuu kuibia chama
@alvinsafi27334 жыл бұрын
Siasa ni uongo. .Na wana siasa wengi waongo... Tatizo watanzania wengi hatujui politic na hatuna critical thinking pia wengi wetu ni wavivu wa kufikiria na hatupendi kufikiria tunataka tu Majibu bila kuumiza kichwa...utakuta Mtoto wako anakuchallenge kwa maswali unaanza kumwambia we mshenzi usiniulize maswali ya kipumbavu mimi..instead of helping ur kid to think and critisize things tunaanza kupaniki na kuwachapa na kuwafukuza 'Eti toka hapa pumbavu..U know the brain ya mtoto inajenga upumbavu kweli..sababu hana selfconfidence anajiona mpumbavu au mjinga hana maana ktk familia au jamii as he get older. Hii tabia inatupelekea hata tukiwa shuleni unarudi home unamuuliza mzee wako baba nini maana ya hii au kile unaanza kusema kwani shuleni mwalimu wako hakukufundisha! Yani na kupeleka shule kumbe natupa pesa zangu 🤔🤔 kuna baadhi ya wazazi hawataki hata kujua mtoto kasoma nni kajifunza nini kakutana na challenge zipi. Hatuwapimi maarifa watoto zetu.. na hatuwapi nafasi ya kuuliza ili kujua brain capacity ya mtoto sasa unakuta hata katika political Arena au sheria za nchi wengi hawazijui . Katiba ya nchi hawajui, bungeni hawatupajui, ukimuuliza mtoto leo nani anatunga sheria za nchi hajui...now huko kwa wenzetu nchi zilizoendelea watoto wao wanajua kila kitu..kuanzia Sheria mpk mtu ngapi wake wanajua .sababu wamejengewa hio misingi toka utotoni kudadisi,kuuliza,kutaka kujua na kujua zaidi. Wanaona na wanaelekezwa kwa vitendo. Sasa sisi waswahili utakuta mtu hasikilizi wala hataki kusikiliza au kudadisi au kuhoji wala kutaka kujua..Akili zimedumaa kazi Umbea na Kutaka kujua Leo Diamond kalala na nani au Harmonize katembea na nani we are very good on that. But not in Politics ,Economics or Technics FIELD..so sad nashukuru kuna watu kama hawa wanao fikiri na sio kufikiriwa na mtu mwengine .. Mr yes sir no sir.. tutumieni simu zetu za kisasa kujua mambo na kudadisi mambo ya kidunia .Sayansi technologia hata kidini.sio kuangalia ujinga and end of this century we aint gain nothing but foolishness..Tujifunze kusikiliza na ku hoji sio kucomment ujinga jus becos nataka ku comment nipe like zako hapa aint that Stupid? 🤔🤔 Man we need to wake dat Sleeping brain up... Siasa ni Tricky we need to be very carefull when we vote or choosing a leader shit not a game ya'll tuta baki kuwa wajinga always choose wisely nani awe kiongozi wako..im getting old..Damn...Happy eid mubarak 😎😎 kesho jumapili tukutane Cocobeach Haha corona party that Nigga is wack ..
@apostlejoachimeliya60894 жыл бұрын
Good attempt....msigeuke
@divamrembo87884 жыл бұрын
UJINGA WA WATANZANIA ndio mtaji wa CCM.
@petroleopard7074 жыл бұрын
kweli ndugu
@aminielyohana30523 жыл бұрын
Kweli kabisa
@nicopalangyo43714 жыл бұрын
mambano hayawezekani kibinadamu lakini kwa mungu yote yawezekana ikiwa tumeamini na tumeendelea kuwa waamninifu. Lema big-up. James 1:1-5 ndo tafsiri ya hoja hiyo ipo kwenye bibilia.
@micahmaster70464 жыл бұрын
Nawashauri watanzania tuwe watu wa kufikir sana sio kutukana siasa ni timing so tuweni makini
@deogratiasmassawe45434 жыл бұрын
True
@frankjekela35094 жыл бұрын
Ubunifu huo ni mzuri sana ninaomba muwe mnafanya hivi mara kwa Mara kwani Bungeni huwa mnapewa muda mdogo sana kiasi cha kuwa tunakosa ile radha na hata muda mdogo mnaopewa huwa unapunguzwa sana na mara Taarifa mara Mwongozo Sasa ubunifu Huu utafanya mtuambie vizuri haki zetu nina Imani tutafunguka kupitia ninyi Binafsi nawakubali kupita maelezo hasa huyu John Heche
@mathiasmatumbi56354 жыл бұрын
Yaani ukisoma coment za watu humu ndo utaamini watanzania walio wengi ni wavivu wa kufikilia na wana low capacity of thinking,,,,,hawa wabunge wanaongea fact, bado kuna wajinga wanatukana na kukejeri
@doubledoubleg72124 жыл бұрын
Kumbe na ww umeona yaani wamejazana mtandaoni kuandika comment za kishabiki kisa pesa wanayolipwa na yule mjinga wa mkoa pale
@shukhuranpetro57964 жыл бұрын
Wasakatonge
@johariismail26464 жыл бұрын
Umeongea point ndugu. Wtnz walio wengi wanaona haiwahusu. Ila siku vitu vikiwakuta watajua haki maana yake nini.
@dozertiger93524 жыл бұрын
Sijui kwnn watu hawafunguki Akili wanabakia kukejeli upuuzi tu
@herimallya33854 жыл бұрын
Point gani wanaongea..wakuda wote...
@nunguseni29714 жыл бұрын
Ujumbe uko sawa
@johnmosha82854 жыл бұрын
Mpo vzur
@nessa48994 жыл бұрын
Mimi kila nikimuangalia heche natamani kutoa machozi ya damu Mungu aendelee kumtia nguvu. Namkumbuka mdogo wake alivyo kufa kikatili, Tundu lissu,mawazo, Ben Saanane, akwilina, Daudi mwangosi na wengine wengi CCM inajiwekea CV mbaya kupoteza watu kwa manufaa ya vyeo vyao.
@ibrahimbakary24644 жыл бұрын
Mmeuwana wenyewe na mnatekana wenyewe kwa mtafuruku wa ndani kwa ndani
@robertlinuma60514 жыл бұрын
Nimeipenda hii ,chadema n chama Makin
@fabiankilato66494 жыл бұрын
Safi sana.
@tumainitumaini87404 жыл бұрын
Good job
@charlesnoafekwalipibayaali26624 жыл бұрын
Yani mnahangaika sana na mtahangaika sana kumjadili Mh Magufuli in direct hilo ndio tatizo kubwa nalo liona mnahangaika sana. Magufuli sio levo yenu kabisa kabisa hivi kweli watu kama ninyi mpewe nchi jamani tuache utani sijui ingekuwaje. Yani leo mnausifia utawala uliopita kweli? akuna asiejuwa ulifanya mazuri ila makosa yalikuwa mengi nyie mashahidi ndio maana yule mtoto mdogo wenu kwa yule mzee alimtukana bungeni kumwambia mzee wake eti dhaifu ule ulikuwa ukosevu wa adabu na je yule mzee angetaka kumuonyesha sio dhaifu ingekuwaje?. Hapo mnachojaribu kufanya ni kutuonyesha kwamba ninyi mna akili kuliko watu wengine mnakumbuka shuka wakati kumekucha poleni sana utam wa ubunge hapo ndio mwisho
@willylazarusmwaigwisya43064 жыл бұрын
Hawajamtaja magufuli walamagufuli hanakosa kwanayoongea pres Magufuli anajaribu kuthink critically kwa ajili ya taifa lakini wanao mzunguka ni wachumia tumbo hawataki kugonganisha mawazo yao na ya mheshimiwa ili kupata kitu Bora kwenye implementation wanaitikia kama mapambio kama vile hawakai vikao vya ndani na rais
@frankminga93074 жыл бұрын
Safi sana makamanda tuendelee kusonga mbele pamoja na Michael yote tunayopigwa
@johnmatete37264 жыл бұрын
Heche ni generous.
@alphoncekagezi49504 жыл бұрын
Mtu makini na mtulivu akipata kusikia majadriano ya Waheshimiwa hawa Lazima agunduwe yafuatayo 1-Uwezo wao hawakustahiki kujiingiza kwenye siasa na kutafuta madraka . 2-Ukiwasikiliza kwa makini utaona wanafaa kuwa wanaharakati au watafiti wa maswala ya kijamii,utawala na haki nk. Ushauri wangu na mtazamo wangu wajitenge na siasa ili nguvu na uwezo wao wa kusaidia mashirika ya kiutafiti yalioko duniani yawatumie huko huko kuonyesha umahili wao ila kwenye siasa wakiamua kuingia wawe sehemu ya selikali wasio against na selikali uwezo wao wakiutumia huko utaonekana
@johnsonmarick454 жыл бұрын
Respect to you brothers
@soudybrown14944 жыл бұрын
Nawaona wazee wa kamati kuu kamati ndogo ambao hamkatwi posho mamae maisha haya
@herimallya33854 жыл бұрын
Makamanda poleni sana,kwa siasa ambazo mmezionyesha utawala huu,itakua ni raisi kwa tembo kupanda juu ya mti kuliko nyie kurudi bungeni...Lema mbunge wangu wa Arusha una Changamoto kubwa sana.
@TheLugiko4 жыл бұрын
Good idea. Mijadala kama hii imepotea katika taifa hili.
@franciskishabi16174 жыл бұрын
Walizuia mihadhara,Sasa wapigeni kwa media,Akiri kubwa hiyo.
@doubledoubleg72124 жыл бұрын
Ccm matumbo ya kuhara leo lazima wahalishe sana kwa hizi nondo
@jumasamwel12274 жыл бұрын
nawakubali sana watetezi wetu tutafanikisha tu
@subirapaul81274 жыл бұрын
Msigwa we endelea kurefer wazungu sisi tuna mrefer Mzee wetu rais wetu ambae Leo anauthubutu Wa kusema mabeberu aseeeee!!! Magu chapa kazi baba
@raphaelsamwel26404 жыл бұрын
Ujinga mtupu! Awaseme kwa hoja gani?? Wakati anawaomba pesa na msaada wa kodi!! Mnalishwa matango pori eti mabeberu si muwe mnawataja hao beberu na akina nani??
@subirapaul81274 жыл бұрын
Mr Raphael ukituliza kichwa utajua Tanzania tumetoka wapi na tunaelekea wapi relax best you will enjoy show ya Mzee magu utamwelewe tyu!
@bakarimlely.68924 жыл бұрын
Nawakubali sana makamanda mungu atawalinda mwakan mnarudi
@herimallya33854 жыл бұрын
Makamanda wa kikosi gani?ama cha ujambazi
@evancemosha78624 жыл бұрын
kazi njema kwani kwa kufanya hivyo tunapata elimu na ufahamu hasa sisi ambao tuko mikoani. hongerene sana. mijadala kama hii kwa wabunge wote na wa vyama vyote ingefanyika ingetusaidia ss wananchi kufanya maamuzi mazuri ktk uchaguzi kwani tungekuwa tumepima uwezo wao
@esthermadata9664 жыл бұрын
Safi sana makamanda wetu
@cosmaskikuba13694 жыл бұрын
Big brains
@raphaelsamwel26404 жыл бұрын
Serikali ya zanzibar ni CCM tupu! Haya tuambieni kuna maajabu gani?? Ccm ndo kikwazo kwa nchi hii!!
@juliusmpinda89634 жыл бұрын
Afadhali msigwa ametuonyesha njia kuwa chadema ni waongo. Kinana kumbe walimtukana kwa makusudi bila shake ndo sera za chama. Ukisema ukweli ndani ya champ unatimuliwa.
@@juliusmpinda8963 ila ccm wao niwa kweli ama!!!!!!???
@kelvinmbena57964 жыл бұрын
Nimependa mfumo mnaotumia
@mashambomcharokitua56234 жыл бұрын
Sio sawa kama Msigwa anaposema Kiongozi ni reflexion ya Jamii,ni mkumbushe Mh.mfumo wetu wa kupata viongozi unauadilifu kiasi gani?mpaka tuuamini kwamba Kiongozi huyu amepata nafasi hii kihalali
@iddykanani33114 жыл бұрын
Sio mchezo kabisa. Tungekua na wabunge hata 50 tu kama hawa aha ha haaaa
@norascomulenzi2224 жыл бұрын
Wote awarudi bungeni December
@mzeewakazi35234 жыл бұрын
Waongo wezi wakadamizaji wa nchi yetu wanaangalia matumbo yao umeme rufiji oyeeeeeee
@jengatech_tanzania4 жыл бұрын
Please subscribe kwenye KZbin channel yetu ya &BEYOND DESIGNS kwa kutumia link hii kzbin.info/door/VeouPvCNyen967_BKrHhLQ ujipatie ramani na ideas za #nyumbanafuu Tanzania na design mbalimbali mfano nyumba, taasisi za elimu, na dini, na afya maeneo ya biashara malls na hotels, sheli na mengine mengi, za kisasa na bei nafuu.
@williammkudejr36924 жыл бұрын
Heche msigwa lema 2020 mkatafute kz za kufanya bungeni mtakusikia kwny TV twende na magufuli
@magellasaid284 жыл бұрын
Mmmmmmh mimi napata shida sana kuwaelewa hawa na ninawachukia sana kwa unafki wao! Hivi huu ulikua ni wkt wa hawa majuha kukaa na kuzungumza haya? Wte hawa ni wabunge wa M4C nani asiejua hali ilivyo ndani ya chama chao? Kwanini muda huu wasiutumie kuweka sawa mambo ndani ya chama? Popote panapofuka moshi huwa pana moto usiniambie hiki kinachotoea sasa kwa wabunge kutoka ndani ya chama mambo ni shwari!
@richardkaula55204 жыл бұрын
sijaona hoja ya msingi zaidi ya usakatonge
@waynealex24914 жыл бұрын
Kanyee
@elitegeneration16134 жыл бұрын
Msigwa anaweza sana kuongoza majadiriano
@MKWAVINYIKA4 жыл бұрын
Tunaita viongozi kama nyinyi hakika wananchi ambao walio wachagu hawakufanya makosa uwezowenu nimkubwa na maono yenu ni mema sana kwamustakabali wa maendeleo ya taifa hili.
@nessa48994 жыл бұрын
Kwakweli makonda anachafua serikali sana na magufuli atakuja kujuta Siku moja kwa sasa anaona anachofanya ni sawa ila ipo siku.yaani yeye ni kama president. L
@norascomulenzi2224 жыл бұрын
Unaelewa unachoandika??? Makonda anafanya yake na wabunge wafanye yao kwa wananchi wao majimboni kwao wangeonekana wa maana wangeongelea majimboni kwa wananchi wao
@herimallya33854 жыл бұрын
Unarumia fikra za hao makamanda mchwara hapo..ku mushambulia Makonda...tambua tuu Makonda yule ni akili za hao makamanda hapo wote.
@bishopmosesmagadula75724 жыл бұрын
Positive thinking..
@edwardlutema60064 жыл бұрын
Mataper ya siasa yamekutana mmewanyanyasa sana wabunge wa viti maalum mnawalazimisha mapenz mnawanyang'ana na pesa zao kwa razima kila mwezi Tsh 1560000 kama ni kweli mraaniwe wote mlio fanya matendo hayo na raana ziwapate hapahapa duniani
@fredreckmwakalinga34754 жыл бұрын
Majuha toa hoja
@gibogoghati4404 жыл бұрын
Ww hujielew
@dutchsafari75624 жыл бұрын
Chadema mlikua vizuri miaka iliyopita na mkafanikiwa kuitikisa kidogo CCM lakini kwa sasa mji tafakari Kuna mahali mnakosea upinzani ni mzuri lakini kwa sera,utulivu,nidhamu na misimamo inayoeleweka kinachofanyika sasa hv nikucheka na kujitekenya wenyewe rudini mjipange mtafute namna ya kuwashawishi wananchi wafikirie kuwapa nchini laasivyo naliona anguko lenu kubwaaaa tena sio kidogo kubwaa
@nicotv41624 жыл бұрын
Msingwa una generate vizur motion (motion mover) ila contributors hawaelewi scope ya motion ,,academicians wanaweza kuelewa hapo,, hawa hawapo kuzungumzia how we can develop our country ,,wao wanajaribu kukosoa tu kwa namna fulani,, tulitaka mdaharo uwe wa kiacademicians zaid hoja za namna ya kujenga uchumi.utamaduni,siasa,elimu,technolojia,na mambo mengine,, ila kwa hapo kilichotawala ni chuki dhidi ya serikali , nawashauri mdaharo huo ungekuwa kati ya mbunge msingwa na wataalamu, professionals ,msingwa anajitahidi kuufanya mdaharo kuwa wa kiacademicians kwa kurejea some views kutoka kwa great thinkers ,
@kinglabanziku91004 жыл бұрын
Nawakukubali xn majembe nawaombea mludi tena bugeni
@1981402064 жыл бұрын
labda kuwe na bunge la chadema pekeeee
@joycemagessa3504 жыл бұрын
Watu wamekuwa waoga nana.Mpaka watumishi wengine wmekuwa kama wanachanganyikiwa kutokana na woga wanakuwa wanaongea ujinga kabisa.wapo wachache wanasimama na kweli na hiyo kweli itatuweka huru
@jubilatemanase90504 жыл бұрын
Serikali ya ccm hawapendi challenge kabisa,sijui kwa nn!!!
@kibonaamenye68784 жыл бұрын
Ukiwasikiliza kwa umakini unaweza sema wakweli,. mbona mliamliwa na mbowe kutokwenda bungeni bila ruhusa ya wananchi wenu ama wapiga kura wenu. Kiongozi bora ni yule anaye wapa tumaini la kweli wananchi wake na kuwaunganisha pamoja katika jamii moja.. Dawa yenu inakuja kilakitu mtasemea ukweli mbowe amezingua sana kutumia mali za chama kama zake.. Mnatudanganya hazikuchangwa mlienda kukopa na habari tunayo
@farhatfatma124 жыл бұрын
Nakubaliana na Lema hata mambo mengine raisi hajui yanayoendelea. Akili kubwa ya raisi Magufuli haiwezi kukerwa na kicheko cha Idrisa. Lakini wapambe ndio imekua shida utawala huu. Raisi wetu yuko mahiri kwa uchepe.
@margarethsaramaki39664 жыл бұрын
Mimi siko chama chochote kile ila napenda Chadema kwa msimamo wao, watu. Inapaswa kuangalia future ya next generation itakuwaje?
@jf-jb3lx4 жыл бұрын
Waje wabunge wanaokatwa posho na mishahara sio nyie ambao hamkatwi .nyie mnasupport tu
@norascomulenzi2224 жыл бұрын
Wote hawa watoto wa mwenyekiti awakatwi 10% ya salary yao
@bukheribukheri7984 жыл бұрын
Wasubiri haohao hawa achana nao
@godfrey_894 жыл бұрын
Hawa jamaa wanaakili Sana.... Point tupu..
@alexmnane71224 жыл бұрын
Nizipi kama walizonazo kujihoji na kujibu wnyewe mjadala ungekuwa mzri kam wangemualika jua liKali na silinde kom,waitara,moleli, na wengine kama hao mjadala ungekuwa mzr mnasemaje hapo?
@gabrielernestmsacky78964 жыл бұрын
Pamoja sana
@kinglabanziku91004 жыл бұрын
Heche hata Mimi siugi mkono ccm hata siku moja hata wakiolewa wengi nitabaki chadema
@hilujuma48694 жыл бұрын
Nawakubali sana hawa jamaa
@margarethsaramaki39664 жыл бұрын
Tatizo la wa TZ baadhi yao ni kutukana tu mitandaoni, kwani ninyi mnaotukana na kusema hovyo hamna wazazi au mjomba au dada au kaka nk. Shame on you unayetukana!!!
@davidcurtis85564 жыл бұрын
Nenda tweeter uone raisi wa Nchi na aliepigiwa kura na Watanzania anavyo kejeliwa kwa aina zote mpaka kuna mtu mmoja anajiita chadema imefikia anamuita Rais kopo hapo imekaaje?
@davidcurtis85564 жыл бұрын
Huyu msigwa ni mchungaji lakini ni mwanasiasa anaijua vzr makatazo ya imani yake usiseme uongo na usimtusi mkuu wako, je sijuzi aliomba msamaha tena baada ya kufunguliwa kesi na kuambiwa atoe ushahidi hana ushahidi kumbe alimezeshwa tu maneno ya uongo, hivyo wao ndio chanzo hasa cha maneno machafu kwa wananchi maana sasa Tanzania hakuna siasa tena ni ushabiki kama team za mpira.
@rachidkidugo11274 жыл бұрын
Watanzania tunaishi vizuri maendereo tunayaona
@machagodfrey75184 жыл бұрын
HIKI NI CHUO CHA SIASA CHAPAKAZI MAKAMANDA
@masagashushuda20604 жыл бұрын
Wanna hoja lakini tumetengenezwa kuamini mwisho wa uchaguzi moja ni mwanzo wa nyingine, ni hivyo kila wakati ni kuwaza uchaguzi tu, ila Kama uwezo wetu wa kuhoji hatutumii vizuri na kwa kila tunaloambiwa na viongozi ni lazima tutakuwa watu wa ovyo sisi au vizazi vyetu. Viongozi wakijua hatuhoji watatulusha matango. Hata Kama unaunga mkono hoja jiridhishe Kama ipo sawa. Amani ni tunda la Hali, biblia inasema.
@petersanagaya29164 жыл бұрын
Makamanda gani walikimbia vita, hawa makanjanja tu
@narsiskimario60734 жыл бұрын
@@petersanagaya2916 hahahaaa
@ukk97984 жыл бұрын
TATIZO BADO HAMJAGUNDUA WHY? WATANZANIA WAMEBADILI UPEPO. MAMBO ANAYOYAFANYA MAGUFULI NDIYO YALE MLIYOKUWA MKIYADAI SIKU ZOTE, SASA MBONA MNAPINGA KILA KITU.
@kilimbasaidi12984 жыл бұрын
Bado hujafikiria vizuri
@norascomulenzi2224 жыл бұрын
Amjielewi Fanya kazi za wananchi wenu ,mnataka umaalufu kupitia kwa MAKONDA na ukweli ni kwamba nyote watatu kuna sababu Amrudi bungeni,labda mmoja tu akijitaidi msigwa na heche sijui kama mtarudi
Guys I like ur debate is kind of wake-up call tusichukiane coz of mawazo tofauti than kuyatatua and came out with solutions
@norascomulenzi2224 жыл бұрын
Wamjibu mwita waitara kwanza juu ya tuuma za kiuni kwenye chama chao
@loner_wolf4 жыл бұрын
I don't know where these people get all those ideas of wanting to be rulers over people . Hawa wanafiki sana , hapo matumbo tu ndio Yanahitaji mzigo yasitepete
@pantaleokulaya21124 жыл бұрын
Nyerere aliyatabiri haya. Makelele yatakuwa mengi lakini haitakiwi kuangalia nyuma bali mbele kwa mbele. Sasa hawa wenzetu wanakuja na staili ingine ya kupamba lugha ili waonekane wanayoyaongea ni ya maana kumbe ni upuuzi mtupu. Uchaguzi 2020 hamtoboi.
@curiositygenius92074 жыл бұрын
Hongereni makamanda
@emmanuelnimbasa17544 жыл бұрын
Ni kweli kwamba tutalipa gharama kubwa na tayari tunalipa kwa ajili ya demokrasia ya kweli, lakini ni kwamba mambo mazuri yanatokea pagumu na siku zote wanaostahimili magumu ni wachache sana. Naungana nanyi ktk mapambano hata kama ninabaki mmoja. Tusonge mbele.
@franciskishabi16174 жыл бұрын
Hapa ccm lazima watafutane,maana .fikra zao ni ndogo sn.