Aisee! Nimeupenda mjadala jinsi ulivyo kuwa na mazungumzo yenye upana wa kimitizamo na kifikra, safi kwa fact tupu mlizo zizungumza.
@professamuddy54074 жыл бұрын
Wazee wa kazi! Hongereni sanaaa
@francisrogears5284 жыл бұрын
Hawa ndio wabunge wenye msimamo nchini Tanzania na wengine kama hawa wapo ila waoga ,mungu akubaliki sugu,mungu akubaliki msigwa,na lema jasiri kama simba safi uishi malaika wakulinde
@peacemuzaliwa25634 жыл бұрын
Francis Rogears
@frankmailu9434 жыл бұрын
Asante sana waheshimiwa Msijari huk kijijin nachukua kata mbele ya mjenga madaraja ubungo
@davidkaguru95114 жыл бұрын
Nawapenda sana
@issamusa4284 жыл бұрын
Uchache wenu ndio ushindi, hata manabii walishinda wakiwa katika kundi dogo,
@mcjogopah85134 жыл бұрын
Hawa ndio injini ya serekali bila hawa inamaana ccm tungeishi kwa ndiondio ndio bora hawa wawepo ili wamsaidie mzalendo namba1 JPM
@menikojohn27824 жыл бұрын
Wanamsaada gani na wakati wanapinga kila kitu, hamna kitu kizuri hata kimoja kwao......
@karolikisaka89914 жыл бұрын
@@menikojohn2782 kupunga kwao ndo maana wakikosekana bungeni spika analia kutwa Kwa sababu chadema Ni dira ya taifa Bila chadema hakuna aliyekuwa anajua wizi na ufisadi kwenye madini Tundu lissu ndiye muasisi wa kuwaeleza watanzania kuwa nchi inspires Tuache poyoyo tutafuta fact
@edwardgafachu89324 жыл бұрын
@@menikojohn2782 bila kupingwa huoni mbali
@jedidahbintidaudi82414 жыл бұрын
safi kabisa....opposition ni muhimu mno ktk nchi...dah ila ccm nao kupitia mlango wa nyuma ili hawa wa-compromise sio vizuri..Magufuli hatakiwi kuogopa yeye ni kuskiiza na kutekeleza yalio muhimu na kuacha asioona
@bernardoleonard73314 жыл бұрын
Mwanadam ili upate maendeleo lazma upingwe
@hijakisoro53764 жыл бұрын
Mimi mwenyewe ccm lakini hivi vichwa tuwaombee sana
@linkreuben58044 жыл бұрын
Mamneno mengi vitendo hakuna. Mnadhambi ninyi, Watanzania wameamka, tunataka watu wenye uchungu na nchi! Chadema ishuke kuzimu katika Jina la Yesu. Ameni!
@rahimuhabibu21294 жыл бұрын
Big up
@meryjohn71204 жыл бұрын
Jamani nawapenda sana chadema oyeeee
@nhobolasilasi18714 жыл бұрын
Pamoja saaaanaaaa makamandaaaaaaa nawaombea kwa mola mshide kwa kishindo ujaguzi ujao
@jafarisospeter87433 жыл бұрын
Mjadala wenu uko vizur sana nimeupenda sana na ninataman mrudi tena bungen maaana nyie ndo mlikuwa kioo cha waatanzania
@lucasmasai23034 жыл бұрын
I love you guy's
@alfeoubamba53884 жыл бұрын
Majamaa ni magenious sanaa asee
@ibrahimrukundo30644 жыл бұрын
Lema iko katika haki.
@polepolemgentz57844 жыл бұрын
Mungu awapewepes vyongoz wetu
@silvestermfipa41334 жыл бұрын
If opposition is strong like this team I believe our government must change
@mrukerewe21004 жыл бұрын
Mazungumzo haya ni mazuri sana but nex time yasiye ya upande mmoja tu tafuteni watu wengine yani chama kingine kuleta mawazo mapya ila hivi mnajidanganya tu
@mcjogopah85134 жыл бұрын
Hongereni sana
@topotachilemba91964 жыл бұрын
When Men talks big up
@franciscomasungulwa35754 жыл бұрын
Is this english????
@charlesolomi95144 жыл бұрын
Alieuloga upinzani siku hizi haendi mbinguni 😅😅😅😅😅😅
@alphoncekikolola73214 жыл бұрын
Kijiwe nongwa😂😂
@Anitajoseph7924 жыл бұрын
Hahahahahahahah
@anithaisraely58084 жыл бұрын
Hahahahaa kijiwe nongwa
@kumekuchaonlinetv4 жыл бұрын
You are the dying horses,you can fool all the people for sometimes but you can not all the people for the all time-it's too late kamandas!
@kumekuchaonlinetv4 жыл бұрын
The Tanzanians of nowadays are more intelligent than those of 2015,just say goodbye to the Bunge house-it's your last time to step in there!
@masungajp14 жыл бұрын
Sugu ana bahati. Angegombea na Mimi BARIADI asingepata.
@nehemiaisakwisa86044 жыл бұрын
Hata mbeya hapati ni suala la muda tu
@emmanueleliya62254 жыл бұрын
Mgewapa kahawa hapo. Bunge comedian Tv
@nawawisaalim71734 жыл бұрын
Hawa jamaa nawakubali sana ni hatar mno mungu awarudishe bungeni
@samwelsaja47084 жыл бұрын
Nakubar san wanaharakat
@goodluckngaiza63184 жыл бұрын
Big up akili nyingi
@erickchitumbi13084 жыл бұрын
Unaifananisha Tz na waasisi wa u.s.a.kweli watz tutulie wakati wa uchaguzi.haya ndiyo matunda ya kuwapa uongozi vijana wasio na historia nzuri ya nchi yao ilikotoka,ilipo na inapokwenda.
Chadema ni mpango wa mungu. Nakubali makamanda wangu
@gervasinjawi16394 жыл бұрын
Mungu wa kuzima nasio wambingu na nchi,
@revocatusemmanuel98804 жыл бұрын
Chama cha wauni
@kariankeirelionka35494 жыл бұрын
Safi IQ zenu kubwa sana, misimamo yenu imewapa dira watu
@linazuber11984 жыл бұрын
Muko sawa
@mohammedjuma67364 жыл бұрын
😂😂😂😂mbona wanjitekenya wenyewe na wanacheka wenyewe
@mashirimathias60064 жыл бұрын
Mwajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe
@BCRazY53974 жыл бұрын
Ita fika time utajuta na yako maneno Chadema ndo vichwa tz✌🏻✌🏻
@leonelleo44254 жыл бұрын
@@BCRazY5397 jina ulilojipa linakufaa kabisa..kama unaona hao majamaa ni vichwa,basi ufahamu wako utakuwa mdogo sana.
@travismichael51904 жыл бұрын
Hahaha 🤣🤣🤪🤪
@menikojohn27824 жыл бұрын
@@leonelleo4425 Angalia jina la unayejibizana nae, najua hutajiangaisha tena...
@mcnjovu35254 жыл бұрын
Kusema kweli nyie majita nawakubari sana na ninajickia furaha sana kuwepo kwenu bungeni sugu kura yangu hukosi rahisi wangu wa mbeya
@hassankasigwa4774 жыл бұрын
Ila msigwa ni mnafiki Atari sana
@samwelsengati13693 жыл бұрын
Thibitisha
@BarakaWaya4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hawajamaa wanajitekenya na wanacheka wenyewe
@masungajp14 жыл бұрын
Lena Ni boya.
@Yaredimakule4 жыл бұрын
Kijiwe mbele ya kamera
@onesmojustice23484 жыл бұрын
Hivi maisha walionayo wasouth unaweza kusema Mandela aliwasaidia chochote bado wako utumwani tena mbaya zaidi . ni kweli kwa Mandela alipambana na nia ilikuwa south iwe huru ila hakufanikisha ilo maana alikutana na mabeberu hatari ndio maana south iko vile mpaka Leo . kwa hiyo kama mnataka kuleta mabadiliko leteni hoja za kwenu sio hao wazungu wakandamizaji
@adamally87914 жыл бұрын
Hawa jamaa vitoi hawa, naona wanapiga soga 😏😏😏
@nyanda4274 жыл бұрын
Kwa vichekesho vingine kama hivi usisahau kuwatafuta hawa nyumbu
@mr.lawimagupa39144 жыл бұрын
Nyie vp AYO!, upuuzi kama huu hauna aja ya kutupostia, mnachafua tu chanel
@mr.lawimagupa39144 жыл бұрын
Ilo kwanza liliwauza Antivirus wenzie leo linaongea pumba gan apo!?
@lightnesselirehema14644 жыл бұрын
Watu muombe sana chadema warudi bungeni maana bila wao bunge litakuwa si bunge. Mimi sio mwanachadema lakini nathamini mchango wao bungeni.
@allymatata2134 жыл бұрын
Hawana mchango wowote , Zaidi ya matumbo yao
@butondodavid21054 жыл бұрын
Uko sasa hh kabisa mm cna chama ilakwamaendeleo ya nch upinzan unanafac yake
@fundisalum25294 жыл бұрын
Walevi wa tamaa hamuwezi lolote mshukuru siasa imewainua kimaisha
@jagnamohamed62984 жыл бұрын
Sasa ndio nini mbona utumbo mtupu🤔🤔🤔🤔
@shebbybongo5674 жыл бұрын
Utofauti uliokuwepo ni kuwa watu wanachanganya mada, rais ni mmoja tu muheshimiwa magufuri, tunampenda sana maana hayumbishwi na anasimamia anachokiamini, lakini hapa wanaongelea ubunge sio urais, hivi katika bunge nani wakumuondoa sugu mbeya? Na bungeni akisimama sugu ushawahi kusikia utopolo kama ally kesi au mligwa,
@hktztv65194 жыл бұрын
JINSI YA KUDOWNLOAND VIDEOS NA AUDIO KZbin KIURAHISI KABISA 👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/rX_cqoxsjtZ_nKs
@petermatonya68904 жыл бұрын
Sawa makamanda wangu nawakubali sana, Chadema juuuuuuuu
@khatibumwalimu5914 жыл бұрын
Juu ya nini? Bati? Wajinga tu hawa na wewe pia
@osianamwaiteleke49134 жыл бұрын
Mnaweza mkawa ndo mwisho wenu kuonekana kwenye tv za bunge wote kwa umoja wenu
@damianmakala29134 жыл бұрын
Hiii Bongo Movie
@witneskilinda50344 жыл бұрын
CHADEMA binafsi ninawakubali sana kwa sera zenu na km uchaguzi ukiwa huru na haki ccm wanajua 100% hawatachomoka! wao wanatoa vitisho msipoichagua ccm hatuleti maji, msipoichagua ccm hatuleti umeme!! vitisho badala ya kutoa sera zitakazo washawishi wananchi ili tuwachague
@mohamedmnjeja32714 жыл бұрын
Lema upo vzur
@prosperjuma9054 жыл бұрын
Tulitegemea kila mmoja hapo angesema alipanga nini na amefanya nini jimbon kwake.
@Kukuvillagepoultrysolutions4 жыл бұрын
Sasa mlivyokaa lockdown nini mmebadilisha ktk taifa nyie vichwa maji vitatu
@nikolaussiima66594 жыл бұрын
Jamani msiogope wanachadema
@Itarusii4 жыл бұрын
Siasa zetu bado za kiwango cha chini sana. Itatuchukuwa miaka mingi sana. Mifano mingine ina ukakasi. Hoja za msingi zikijengwa, kukawa na mwelekeo, watu wataelewa. Lakini bado.
@michaelsiweya65004 жыл бұрын
Mmmh.. Sikutegemea hata siku moja kama Tanzania tutakuwa na reli ya kisasa.. Daa. JpM anatisha aisee
@sadikidaudi12234 жыл бұрын
Kitu mlichonifurahisha hapo ni mlipokubali kuwa Korona haipo maana sijaona Barakoa😀😂😁😁
@hassankasigwa4774 жыл бұрын
😂😂😂 Wasakatonge mtaeleweka tu ikifika October
@lucassabida7894 жыл бұрын
Nani hasaki tonge
@ramadhanimackanja96124 жыл бұрын
Mnajidanganya
@petermanda42414 жыл бұрын
Sijaona point wanayozungumza zaidi ni wanalinda maslahi yao binafc najuta kutumia mb zangu bure kura yang kwenu mwiko c,c m daima Mr magufuli kura yang suti diwani c c,m mbunge c,cm rais ccm Magufuli jembe
@mimirobin43314 жыл бұрын
Tatizo lenu mnamchokoza wenyewe Magufuli baada ya kutuambia mtafanya nn ambacho Magufuli hajafanya
@victormneney82364 жыл бұрын
Nilitegemea useme CCM imegundua ufisadi mkubwa katika halmashauri wanazo simamamia wapinzani kodi za watz shida siyo chama ni mfumo
@fishing_story.4 жыл бұрын
@@victormneney8236 ingekuwa unaweza ku like zaid ya mara moja ninge kupa 100
@ridhiwankupaza10724 жыл бұрын
Tumia akili kufikilia shule huna ww
@mimirobin43314 жыл бұрын
@@ridhiwankupaza1072 😂😂😂sawa msomi kila la heri
@simonlulenga70624 жыл бұрын
Chadema Bwana! Unajuaje utateuliwa na chama chako? Ndiyo maana CCM tunawaambia watanzania ukweli; kwamba chadema ni madikiteta sana? Wewe fikiria mtu mmoja kabla ya vikao vya uteuzi anajitangaza anauhakika atashinda, kikao gani kimekuteuwa kama so udikiteta tu?
@agustinoezekiel3674 жыл бұрын
MUNGU mwenyewe hupenda saana kuwainua watu wenye hekima kupata kuongoza jambo Fulani.hivyo basi, mwenye hekima hawezi kua na majikambo wala kua na mabezo kwa mwenzie.
@kulwangelela69604 жыл бұрын
Shida watu wanaacha fanizao kwenda kubwatuka, hapo vmekaa kama vipgadebe vihuni
@agustinoezekiel3674 жыл бұрын
Mtu anayelewa madaraka ujinga humuingia
@nurukapoja77594 жыл бұрын
Miaka mia kwenu wapi suguu
@johannesmaloda82094 жыл бұрын
anaosema hamrudi ni nani hao?
@masoudkipara50534 жыл бұрын
Nyie chawa wa mwamba mnaongea nn😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 huku nje ya box hamna chenu ngoja muone
@samwelsengati13693 жыл бұрын
Mbona nawe ni chawa wa jiwe
@habau_jr17554 жыл бұрын
Raha ya hawa jamaa..wanajiuliza na kujijibu mwenyewe hahahah
@Commentsplus4 жыл бұрын
Sugu kasimamie Hotel ushafeli
@bahatiteti95994 жыл бұрын
Kafeli wapi?
@kingdomembassychannel86604 жыл бұрын
Nimewapenda bureee
@linazuber11984 жыл бұрын
Hawa ndio wanasiasa bora tanzania
@juliascherehani23304 жыл бұрын
mbona mnapresh San mwaka huu ndy Mwisho wenu
@chayogasperi97834 жыл бұрын
Hahahahahahahah Julius come down .
@wallenmgode42084 жыл бұрын
Safi
@emmydzoo87294 жыл бұрын
Nyie igizeni tu, kwakarine hii yamagufuki hauwezi kumsaidia raisi inje ya chama tawala utakuwa jizi tu , utatetea wezi tu ukiwa mpinzani
@leiyolaisanunwaki29754 жыл бұрын
Makanda ipo sw
@IbrahimuLikolinji-ly2tp7 ай бұрын
Leo nimekuja kuisikiliza hii baada ya msigwa kuhamia ccm
Wana uhakika wa viinua mgongo vya 200,000,000 a piece ata wakishindwa ubunge. Ndo mana wana mbwembwe. Magu wa laki moja moja.
@twalibolomy61024 жыл бұрын
Wape lak moja moja a piece.
@fadhilishefungo81114 жыл бұрын
Wewe usijidanganye Arusha tumekuchoka bungeni hurudi tafuta kazi yako kufanya
@victorjames37304 жыл бұрын
Tume huru vipi waheshomiwa?
@fredrickipembe62774 жыл бұрын
Sio siri nyinyi ni viongozi wazuri sana ni wajisiri mimi binafsi nawapenda sana.ila anaewaponza niyule mzee mbowe kwa mambo yake ya.ubinafsi sungu peter lema oyes
@zachariamaige17094 жыл бұрын
Ninyi ni vilaza,
@kisusudaniel65834 жыл бұрын
Nimeamua kukoment Mara nyingi coz inaniuma Sana kuona vijana mnajiorganize kuzungumza vitu ambavyo ni immaterial kwa watanzania, mnazungumzia juu ya kununuliwa kwenu, eti bashiru alinipigia simu, are you serious guys? Mnaonesha ni jinsi gani CCM ina wadrive, na mnadhihirisha kuwa wabunge wa chama chenu ni wakununuliwa, Kuna Mambo ya msingi na yenye tija kwa taifa kuyazungumza, mtafuteni Hussain bashe awafundishe siasa
@bharwanimohsin4 жыл бұрын
Hizo mijadala zote haziwezi kusaidia chochote, CCM bado ina nguvu sana na wanachama wapo wengi sana. #JPM 2020#CCM2020
@saadali46474 жыл бұрын
Dah kwakweli magufuli kiboko kawafanya hawa jamaa wanahaha ile mbaya ama washajua hawarudi tena kula posho ya bure
@sammotv69204 жыл бұрын
Kataeni mishahara piganieni hakii mnajifanya hamna shida na helaa number njaa tuu
@gracegrace62004 жыл бұрын
Nyinyi tuambiane sera zenu ni zipi? Watanzania wanataka sera hawataki ujinga wenu za kutorosha madini. Nyinyi hamuwezi kuipeleka nchi hii popote zaidi ya wizi. MAGUFULI hamumuwezi huyu ni chuma. Mtabaki kuongea utumbo tu. Nyinyi mko kwenye siasa kwaajiri ya matumbo yenu tu.
@godlistenmlanga15214 жыл бұрын
Lema amesema je hapo,ni bora hawkushinda urais sababu wengi wao ni wala rushwa na wenye tamaa ya mali??? ila HUO NDIO UKWELI HALIS ASANTE KWA KUUKUBAL
@gervasinjawi16394 жыл бұрын
Wagonjwa wanajipa moyo kwa maneno ya kuota kajenga nyumba angani, wahuni hao mizuka imewapanda kwa bangi za chooni
@revocatusemmanuel98804 жыл бұрын
Ahahaha umenifurahisha sana bro
@Kiramostoretz.shop.4 жыл бұрын
Maskini
@kulwangelela69604 жыл бұрын
Hatakama wtoto mtudanganye hvyo tuu, tafteni jingne mtudanganye kama ccm imefanya vzuri angalau hats kidogo muicfu, muwepamoja muijenge nchiyetu ikae vzuri, namkitaka kikizaidi mumchinje mbowe age kinyama halafu muwekepo na picha ya mh laisi ilimkatangaze vizuri kiki kwawamezenu ulaya hill mnalounda halipo na nidogo sana kwetu, kubwa lakolona limeshindwa lenuhlo litaweza?
@allymatata2134 жыл бұрын
Hamna lolote washenzi tu ninyi
@kengyswim-tv6094 жыл бұрын
I think Kama wabunge wanaotegemewa kwenye taifa. Hawakupaswa kugomea bunge ila wange peleka hoja ya usalama on this pandemic. So unagomea bunge seem muhimu sana kwataifa letu dnm..!! On my side walio kwenda bungeni walikuwa right sana kuliko waliogoma. Kwakuhofia nakujisaau kuwa wao nikina nani.....!!!
@malelabmalela50164 жыл бұрын
jaman
@kasimulau21464 жыл бұрын
KAMA MSEMAYO NI KWELI MBONA HAMJAWAHI KUGAWA HIYO MISHAHARA MNAYOIBEZA?