PART12:BINADAMU ALIEENDA MBINGUNI/PEPONI AKAONANA NA MUNGU NA AKAFIKA JEHANAMU AELEZA SAFARI NZIMA.

  Рет қаралды 3,318

Davistar Media

Davistar Media

Күн бұрын

Пікірлер: 181
@ntulikasunga3548
@ntulikasunga3548 3 жыл бұрын
Davistar unahubir vizur sana kakaangu Mungu akutunze tu
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 3 жыл бұрын
Huu ushuhuda unanigusa+wa Rwanda magere the way anavyoelezea lait tungemjua MUNGU wetu alivyo hakika Kwa shetani tusingeenda MUNGU awabariki sana Kwa kazi mzifanyazo naamini miongoni mwetu tunatoka katika maovu ya shetani nakuingia kwenye misingi MUNGU aipenndayo
@jeresigirya6248
@jeresigirya6248 3 жыл бұрын
😂 tunashushia na azam energy... Much appreciation bro🙏
@charlesmadata9318
@charlesmadata9318 3 жыл бұрын
Nimenda sana mafundisho yako inapendeza sana kutuweka katika imani ya kumutumikia Kristo Yesu
@lucianameena695
@lucianameena695 3 жыл бұрын
God bless you my dad prophet David Richard.
@brendajadevera9597
@brendajadevera9597 3 жыл бұрын
Thank u for enlightening us much about the angles, their names both from light an darkness. God bless u .
@myfairskintz
@myfairskintz 3 жыл бұрын
U bless me alot, keep it up man of God! God bless you mooore
@swaeleesalim1272
@swaeleesalim1272 3 жыл бұрын
DM UR SO FUNNY MACHO 3 INAKUZENGUA 🤣 ALAFU PROPHET LOVER BOY HUYO 😉
@angelbenjamin7326
@angelbenjamin7326 3 жыл бұрын
Nimepata somo zuri sana
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 3 жыл бұрын
Prophet niombee naona kuna roho inanizuia kuskliza hii hbr,,,😁😁😁😁,,,Mungu kakupendlea kweli unapga story hadi na malaika🙏🙏
@annamadraga1627
@annamadraga1627 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@seasonepisode3328
@seasonepisode3328 3 жыл бұрын
Eehhh kumbe ujui?malaika wapo kwa ajili yko ww apo. Ww unaweza kumuamuru malaika yyte yule na akafanya ila kupitia jina la Yesu tuu..mbona sodoma na gomorrah malaika walimtokea rutu kwa maumbile ya wanadamu. Mbona yohana alienda mbinguni soma ktk ufunuo..😀😀😀😀mkimjua uyu Mungu basi uwezi shangaa..ila uyu nabiii nae ni kina TB Joshua tuu ..manabii wa uongo..ila ata ww apo ukitaka kuwatumia malaika unaweza tena bureee na wapo kwa ajili yko...
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 3 жыл бұрын
@@khadijajuma7142 😜😜
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 3 жыл бұрын
@@seasonepisode3328 Sio kila mtu kapewa hiyo Karama,,,,na kumjua yupi kapewa ni ishu kidogo ndo maana wengi wanajificha humo,,,Lkn Mungu wetu ni mwaminifu atashulka na wote wanaocheza na utukufu wa jina lake🙏🙏
@princelb9423
@princelb9423 3 жыл бұрын
prophet umenisahidiya sana
@learnselfdefense765
@learnselfdefense765 3 жыл бұрын
Tatizo kizazi hiki kina Dini za kukaririshwa toka utotoni kwan alivyo kwambia sio lazima umwamini anachosema lkn ukitenda mema according to amri kumi za Mungu na kuabudu kwa imani yako ili usifie dhambin ni discussion tena.... Tatizo wengi wetu kinatusumbua UZINZI, Wizi, dhuluma, uuaji, uongo na kujisifia and ubora wa Dini yako bila kuendana na matendo yako ndo mnaona ugumu YAANI ILI UJIONE WEWE C MWENYE DHAMBI UNAKANA KILA KITU..... Sema kuhusu adhabu ya huko kuzimu kuna Dini fulani hivi imeelezea sema haiamini kuhusu no.2 nadhan coz ya kulelewa na Dini toka utotoni Dini Imekuwa kimazoea sio deep imani... AMINI MUNGU +MATENDO YAKO HATA KAMA UTAMWAMINI MTU
@emmaraphael5982
@emmaraphael5982 3 жыл бұрын
Ni kweli sis tumefichwa na mambo ya neema ila ya ajabu kila kukicha tunaviona pls pofect David tuombee kwa mungu atufungue atupe macho ya rohon
@emmaraphael5982
@emmaraphael5982 3 жыл бұрын
Mi DAVID naomba nione malaika hao pls naogopa san dhambi nahitaji nguvu ya mungu ndani yangu
@kakajoss2464
@kakajoss2464 3 жыл бұрын
DM hebu mwulize kwa nini hana mpango wa kufungua kanisa Kenya.
@brendajadevera9597
@brendajadevera9597 3 жыл бұрын
Naomba pia nami nitembelewa na malaika
@kdbmcee789
@kdbmcee789 3 жыл бұрын
Prophet anapenda kusema sijui kama unanielewa😂😂😂
@emmaraphael5982
@emmaraphael5982 3 жыл бұрын
Kwa sababu anataka tujue hiki kinachoongelewa kipo na anaendelea kuviona mi napenda na naamini anachoongea isee sijui hata ni kwa nini,,,tena naumia akitaja baazi ya matukio
@vellarose2596
@vellarose2596 3 жыл бұрын
Be blessed watu wa MUNGU
@suzansimon5296
@suzansimon5296 3 жыл бұрын
Mr.dm we mtaje tuu aposto shaur yko uje wakufungie upate chamoto😂😂
@richardmwingira5589
@richardmwingira5589 3 жыл бұрын
Mungu wetu ni tajiri so lazima na sisi tuwe matajiri
@zeuscus501
@zeuscus501 3 жыл бұрын
الْحَمْدُ لِلَّهِ فَاطِرِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ جَاعِلِ الْمَلَائِكَةِ رُسُلًا أُولِي أَجْنِحَةٍ مَّثْنَىٰ وَثُلَاثَ وَرُبَاعَ ۚ يَزِيدُ فِي الْخَلْقِ مَا يَشَاءُ ۚ إِنَّ اللَّهَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ (FAAT'IR - 1) Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na ardhi, aliye wafanya Malaika kuwa wajumbe wenye mbawa, mbili-mbili, na tatu- tatu, na nne-nne. Huzidisha katika kuumba apendavyo. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza juu ya kila kitu.
@mariamndimbo8833
@mariamndimbo8833 3 жыл бұрын
Davinsta husahau kuuliza bei 😂😂😂😂
@shukuruilomo768
@shukuruilomo768 3 жыл бұрын
Mm nakuelea sana
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Alhamdulillah w kwanzaaa🤣🤣💃💃🇪🇭🇪🇭
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Aysha kaaa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 umeshndaje wngu😘😘😘😘
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 salama sijuwi wewe kipenzi changu❤❤❤❤💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋🤗🤗🤗🤗🤗😍😍😍
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 Alhamdulillah 🤝🤝🤗🤗🤗❤❤❤
@davidmpulumba4039
@davidmpulumba4039 2 жыл бұрын
Mi kwakweli nikiona mtumishi wa mungu ni tajiri na mwingine pia ni maskini si shangai kwasababu wote ni wa mungu kama ilivo hata makanisani kuna waumini walioko matajiri na wengine ni maskini ila wameokoka lakini pia tukisoma Biblia mfalme DAUD ayubu sulemani walikuwa matajiri lakini pia eliya na lazaro walikuwa ni maskini lakini wote wali muabudu mungu kwaiyo mtumishi wa mungu kuwa tajiri siyo zambi
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
Mr Dm mkumbushe kuhusu masheikh walivyomuekea vikao wamuangamize kwamba anazuia njia zao
@fahadjinni5845
@fahadjinni5845 3 жыл бұрын
Lini hio???
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 3 жыл бұрын
Davista mpe muda jamaa asimulie mambo aliyoyaona. Acha mbwembwe nyingi zinazokatisha mtiririko wa stori ya msimulizi. Unajazia mno mambo mengine mengine. Acha nabii atiririke bwana. Achana na mambo ya vitu vitu vya kununua km mavazi, saa, magari, nk
@الوردالورد-ز4غ
@الوردالورد-ز4غ 3 жыл бұрын
Nakwambia anashobokea vitu vya nabii kweli
@fidelbarutwanayo4068
@fidelbarutwanayo4068 3 жыл бұрын
Davista ujue Dunia hii watu wamekuwa wakifanya maongezi na rusifer na wamekuwa akiwatumia kufanya vitu anafundisha technology has a wazungu ndio kazi zao
@sheikhabdallahiddi3350
@sheikhabdallahiddi3350 3 жыл бұрын
kwasisi waisilamu atuamini mtu anaweza kuonana na mungu akiwa hapa duniani. , davistar aiwezikani mtu kuonana na mungu ushahidi ni pale nabi Musa alipo mwambia mungu katika mlima Sinai ewe mungu nataka nikuone dhahiri mungu akamwambia Musa agalia juu ya mlima nitajidhirisha .alipo ataka kujidhirisha mlima ulisagika kukawa na mgurimo mikali Musa akazimia akuweza kumwona mungu.laki anaisikia sauti yake mungu. davistar huyu jama ni wa ajabi eti yeye kamwona mungu. jamani wahongo ni wengi
@kelvinndokole8367
@kelvinndokole8367 3 жыл бұрын
Kama kuna watu washawai kwenda kuzimu Nakuonana na shetani Live au Majin au wengine wakaaishi na majini au kuzaa nao hao Majin.....au kwneda baharin je Mungu hawez kufanya hivyo.......???????? Sikiliza vitabu hivyo Ni sehemu ndogo sana ya uhalisia wa Mungu ...Mungu Hana mipaka au ufahamu wako wakuto Amin haiwez mpangia Mungu kufanya anacho taka kufanya.....so kabla ya kubisha tumia akili ya kutofautisha Mungu na binadamu .......watu mnaamini Majin kuliko Mungu poooole
@kelvinndokole8367
@kelvinndokole8367 3 жыл бұрын
Kuna tofauti Kati ya Dini na UKWELI...kuwa mwepesi wakusikiliza na kutafakali kabla ya kutumia din kutoa hoja.....din ni iman ambayo wewe umezaliwa nayo maana Yake Ni msingi ulip jengwa kwa muda mlefu....haiwezekan wewe ufike miaka 30 ukaja ukaambiawa baba ako Alie kulea sio mzazi wako kwa siku moja tu....???? Huwez Amin kiaalaka bas hata mambo ya Imani kinacho kufanya ubishe Ni msingi ulip zaliwa nao umejijenga ndani ya moyo wako ..huku ukizani uko sawah kumbe roooh
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 3 жыл бұрын
Nadhani umwelewe msimulizi. Ni kweli hakuna mtu anaweza kuonana na Mungu kwa mwili huu wa nyama. Lakini msimulizi anaonesha kuwa ktk matukio yake yaliyo mengi yy huwa ktk roho, ktk Ulimwengu wa roho. Mwili wake wa nyama hubakia kitandani au ndani pindi anapokuwa ktk maono. Ni ktk huo mwili wa roho ndipo anabahatika kukutana na kuona yote hayo. Sema tu labda hatuna mazoea jinsi ukiwa ktk mwili wa roho hali inakuwaje. Wengi tumezoea kuwa ktk mwili wa nyama ndiyo twaona haiwezekani kuwa hivyo. Hata mfano wa Musa ilikuwa ni hivyo hivyo kuwa asingeweza kumuona Mungu akiwa ndani ya mwili wa nyama huu. Lakini kwa mwili wa kiroho na maono hayo anayotushirikisha ndugu yetu yafaa tumuelewe tu.
@johnwanuma7209
@johnwanuma7209 3 жыл бұрын
Bibilia haisemi mtu hawezi ona mungu, ila huwezi muona uso ukaishi, Musa alimuona, mugongo, wazee 70 WA islael walimuona mungu mlimani, Sinai, Isaiah alimuona mungu Isaiah,6:1, yohana katika ufunuo alimuona bwana,
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 3 жыл бұрын
@@johnwanuma7209 Nadhani iko hivyo. Itakuwa yawezekana kuona sehemu yake tu. Na siyo yy mzima mzima.
@jobmuchiri7514
@jobmuchiri7514 2 жыл бұрын
Davista hunichekesha sana
@florencerose859
@florencerose859 3 жыл бұрын
Hauwezi ingia kwua kanisa na kofia,atakukula sio poa lakini maji ni kawaida unatumia bali poyote
@imagepower3641
@imagepower3641 3 жыл бұрын
story nzuri sana
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Sana
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 sana
@jinyaminkuba1391
@jinyaminkuba1391 3 жыл бұрын
Nimewaerewa najifunza sana IRA tutawajuaje watumishi waongo
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Kama mtu anahubili KUHUSU kutubu dhambi na kuacha huyo Ni mtu wa MUNGU MAANA injili ya YESU NI KUTUBU dhambi na kuacha
@learnselfdefense765
@learnselfdefense765 3 жыл бұрын
NAONA SHETANI KAMA ALIVYOMWAMBIA JAMAA WATU KUWA ANAFANYA MANUVERS WATU AWATAMWAMINI. . TAYARI ISHAKUWA SHETANI KASHINDA TENA MUNGU ATUREHEMU
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 3 жыл бұрын
Mm hii story nimeogopaga kuskiliza nlivoona eti kaenda mbinguni mara 30 😢😢😢
@zakiarama9842
@zakiarama9842 3 жыл бұрын
Uwongo huo
@omanghomangh9098
@omanghomangh9098 3 жыл бұрын
Yan kufuru mpaka unatetemeka
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
@@omanghomangh9098 wallahi
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 3 жыл бұрын
Normally mwanadamu hawezi kwenda mbinguni ao Peponi bila kufa ingawa kuna wanadamu 2 walio kwenda bila kufa, Nabii Elia na Enoch maana hata Yesu alikufa akafufuka ndo kaenda
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Walio kalibu na MUNGU MBONA WANAONGEA NA MUNGU MUDA WOTE NA WANAONYESHWA MAMBO MENGI YA MUNGU NA YA shetani
@saidhamad533
@saidhamad533 3 жыл бұрын
Sasa mungu unasema haelezeki.ikiwa kuna wanaosema yesu ji mungu je yesu haelezeki?
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 3 жыл бұрын
Yesu sio Mungu, alizaliwa na mwanadamu ambae ni Mariam
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 3 жыл бұрын
Amina
@happymrema6728
@happymrema6728 3 жыл бұрын
Wewe Kaka
@serengetishipping2196
@serengetishipping2196 2 жыл бұрын
Hawa waongo wengine badi jamani
@bekaleonard8341
@bekaleonard8341 3 жыл бұрын
Ndio
@qelseykenya3933
@qelseykenya3933 3 жыл бұрын
Hapo kwa big G chewing gum NIMEWAHI katazwa kanisani
@Sarah-hl9lr
@Sarah-hl9lr 3 жыл бұрын
Nadhani ni ju ya ustaarabu tu
@qelseykenya3933
@qelseykenya3933 3 жыл бұрын
@@Sarah-hl9lr nilikasirika sana pia niliskia kuwa mtu anaweza kuwa anatafuna madawa ziharibu ibada
@Sarah-hl9lr
@Sarah-hl9lr 3 жыл бұрын
@@qelseykenya3933 sasa madawa c mtu atatafuna kisirisiri haha, ila kuna watu wao kila kitu wanakitafsiri kishirikana alafu hawana hekima yakukanya mtu ndo maana uyu prophet anasema wakristo wengi Sisi ni wanafki
@qelseykenya3933
@qelseykenya3933 3 жыл бұрын
@@Sarah-hl9lr true true I wish I saw how that woman alinitoa church sikurudi huko
@Sarah-hl9lr
@Sarah-hl9lr 3 жыл бұрын
@@qelseykenya3933 aky pole yani ulitolewa ... hawakufanya poa aky pole najua ulifeel vibaya saana msamee tu uombe Mungu akuoneshe church ingne uende ..... sasa ata kama ingekua ni dawa alafu akufukuze atakua amesaidia nn akufanya poa aky
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 3 жыл бұрын
Muulize je anaamini katika Mafuta ya upako?
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Ameongea KUHUSU Imani za uongo
@erickkyando1091
@erickkyando1091 3 жыл бұрын
Unazingua una maswali mengi ambayo hayana msingi unakatisha mahubiri
@zeuscus501
@zeuscus501 3 жыл бұрын
Fourth to reply 👏
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 жыл бұрын
Zuu niko number 1
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
pia mm w kwanzaaa😂😂💃💃
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hongera
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 muongo kaaa🤣🤣🤣🤣
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 umeona eee🤣🤣🤣🤣💃💃💃
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Ni KWELI kabisa nguvu za MUNGU Ni zile za KUMUTAFUTA MUNGU TU sio maigizo
@macamezungu7031
@macamezungu7031 3 жыл бұрын
Together 💯🔥
@berthamghanga1093
@berthamghanga1093 3 жыл бұрын
Yani Davistar mchimbi Sana, unaulizia hadi bei ya simu hatari😂😂😂😂😂
@kakajoss2464
@kakajoss2464 3 жыл бұрын
Hadi anamuonea wivu anatamani awe nabii kiwango hicho pia. Anatamani utajiri sana
@allanothuman2941
@allanothuman2941 3 жыл бұрын
je unaamin km huy ni nbiii
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
@@allanothuman2941 😉😉😀
@kakajoss2464
@kakajoss2464 3 жыл бұрын
@@khadijaomari9344 simulizi lake li wazi. Hawezi danganya.
@allanothuman2941
@allanothuman2941 3 жыл бұрын
@@khadijaomari9344 👏🥰😘😘
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 жыл бұрын
Together 💪🇹🇿🔥
@shubimwela4745
@shubimwela4745 3 жыл бұрын
Dah namwamini sana huyu Prophet, hila Davistar unaongea sana bana acha prophet atuelezee sasa wewe unachukua muda na bundle linaisha kwa story zako.
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 жыл бұрын
Pill musa ujatoka mbinguni dear
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@sweetie6934 😀😀😀😀😀
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hujambo best
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@sweetie6934 jirani hujambo
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@sweetie6934 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lazarojohn8080
@lazarojohn8080 3 жыл бұрын
Davistar hii stori niyakweli mimi namwamini sana huyu nabii
@meenalaza2839
@meenalaza2839 3 жыл бұрын
Kama movie yani
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisa yani
@happymrema6728
@happymrema6728 3 жыл бұрын
Unaongea vizur
@kamachohebrania4137
@kamachohebrania4137 3 жыл бұрын
Akaonana na nani?? 🤔🤔🤔🤔🤔🤦🏿‍♂️
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
na mungu. maraika. shetani.rusfa.nk😀😀😀😀
@kamachohebrania4137
@kamachohebrania4137 3 жыл бұрын
@@khadijaomari9344 🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭😩😩😩😩😩
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Umeongea vizuri MUNGU HATAFAKALIKI YY NI WA AJABU ILA YY HAPENDI DHAMBI
@msrj5764
@msrj5764 3 жыл бұрын
Wakwanza nipen likes zangu jamani
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hongera
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 3 жыл бұрын
Nabii gani huyu kavaa matakataka mkononi kama wahuni wengine tu.
@avierastevens5141
@avierastevens5141 3 жыл бұрын
Acha kutoa maneno yasiyokuwa na hekima kwa NABII wa BWANA utakuja kupigwa fimbo wewe
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
😀😀😀😉
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 3 жыл бұрын
@@avierastevens5141 Hakuna kitu kama hicho fumbua Macho.
@strongweakpriceactiontradi9761
@strongweakpriceactiontradi9761 3 жыл бұрын
We pray for you 🙏🙏☺️
@barakashamba5811
@barakashamba5811 3 жыл бұрын
Davistar uje umtafute mama mmoja wa Mbeya na yeye anaushuhuda mzito wa kwenda mbinguni na kuzimu, kama atakubali kufanya nae kipindi itakuwa Vizuri sana. Anaitwa Nyisake Chaula Andika "USHUHUDA WA NYISAKE CHAULA" humu KZbin taona namna alivyosimulia. Fanya kipindi nae utuletee pia. Asante
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Jamaa akienda tena Kwa Mungu mwambie ampe hi
@nxym2tired
@nxym2tired 3 жыл бұрын
😂😂😂
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Yani anakwenda kila siku dah
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
@@sweetie6934 ni ombi tu
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 mashaka sana
@ibrahimabdallah9430
@ibrahimabdallah9430 3 жыл бұрын
Tunamkata Latino bhn
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Latino imeisha
@serengetishipping2196
@serengetishipping2196 2 жыл бұрын
Uende peponi ??? Nyie watu msikubalibkudanganywa kama wajinga
@officialkamdudu
@officialkamdudu 3 жыл бұрын
mimi nachojua siku ya qiama tutafufuliwa wote na tutaenda viwanja vya hukumu na baada ya hukumu ndipo wa peponi wataenda peponi na wa motoni wataenda motoni. sasa unaposema tayari watu wameshaanza kutumikia adhabu zao motoni siku ya mwisho ina maana gani sasa ? acheni maigizo bhana…
@zeuscus501
@zeuscus501 3 жыл бұрын
Anazungumzia kuzimu ya duniani
@officialkamdudu
@officialkamdudu 3 жыл бұрын
@@blessedlovedandfavoured4129 halafu wakitoka kwenye mangojeo wanaenda wapi wakati tayari wako motoni?
@seasonepisode3328
@seasonepisode3328 3 жыл бұрын
@@officialkamdudu wapo ktk mateso moto bado..moto ataingizwa shetani na aho waliopo kuzimu..kuzimu ni sehemu ya shetani baada ya kulaaniwa. So ukifa saiz ktk maasi unàenda kuzimu kule ni mateso tuu mpaka Yesu akishuka ndipo mnaungana na shetani na wale majini woteee motoni moja kwa moja..
@seasonepisode3328
@seasonepisode3328 3 жыл бұрын
We unazani kwann wachawi wanaua?kuzimu ipo na yenye mateso mazito mateso tofauti ila moto bado..moto ni jehanamu nafas zenye zambi saiz zipo kuzimu kwa shetani. Ndo uko gamboshi si story kibao apa tunazisikiza. Uko kwa malikia baharini uko nako ni kuzimu uko ni mateso tuu ..msikikize zabroni utaelewa alisema gamboshi wapo watu walio kufa duniani miaka mingi kule wapo wanatumikishwa wengine wanazeekea uko...na siku ikifika siku Mungu alio andika ya kifo chako unakufa tena uko uko. Yan watu wengi wanauliwa na wachawi wanapelekwa kuzimu au wengine wanakufa kwa utajiri wa mali nao wanaenda kuzimu. Jehanamu badooo. Sisi binadamu kwa shetani na majini ni maadui so akikuchukua jua ndo umekwisha. Kibaya zaidi anawatumia ndugu zetu kuuwana wenyewe kwa wenyewe ila shetani ndie anae faidi. Anabeba roho yko na kuipeleka kuzimu. Siku ikifika motoni
@officialkamdudu
@officialkamdudu 3 жыл бұрын
@@seasonepisode3328 hizo zote ni story ambazo hazina uhakika 100% maana ni tofauti na imani za dini. sasa Shetani atakuchukuaje akakupe mateso wakati ulikua unamtumikia yeye? je kinyume cha hapo wengine wanaenda wapi? maana huwezi kusema 100% ya watu wanaokufa wanaenda huko mnakokusema nyinyi
@ryhislamminamuonamsengetu9111
@ryhislamminamuonamsengetu9111 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@lindazawadi732
@lindazawadi732 3 жыл бұрын
Davista you ask to much you just need to ask about God only
@esthermgonja4475
@esthermgonja4475 3 жыл бұрын
Doh hata sielewi. Mungu atusaidie jamani...ila kuna watu wanajua kutunga khaaa
@seasonepisode3328
@seasonepisode3328 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀balaaa..eti mwangi malaika anapo ongea 😀😀😀😀😀😀
@samsonmgonja4014
@samsonmgonja4014 3 жыл бұрын
Kivipi fafanua @esther
@learnselfdefense765
@learnselfdefense765 3 жыл бұрын
Ushatoa mimba wew😁😁😁😄
@georgeelnico4784
@georgeelnico4784 3 жыл бұрын
Halali Mungu aweke jehanam kama watu kuambiwa kote bado binadamu haamini watu wagumu
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 31 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 12 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 21 М.
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
KJV Audio Bible -  Isaiah
3:43:55
SermonIndex.net
Рет қаралды 1 МЛН