PART14:VIJANA WALIOZAMIA MELI NA KUTUPWA KATIKATI YA BAHARI//NIMEUA WENGI/MAITI/JANGILI MUASI MSITUN

  Рет қаралды 8,488

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 75
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 3 жыл бұрын
David tunaomba no ya raster Huyu jamaa angesoma lugha utaliy utampa maisha Sana ....
@josphatmwai1994
@josphatmwai1994 3 жыл бұрын
Davista Mimi nimetokea Nairobi Kenya na kufuatilia Sana kiswahili cha pendeza
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 3 жыл бұрын
Mwanangu davi naona unaendelea na story ya mzee mwenzio. Ni story nzuri sana watu wanapitia mambo mengi sana.
@athumanmakale8221
@athumanmakale8221 3 жыл бұрын
Nimeipenda story kweli kuna Mambo ya ziada nimeongeza katika maarifa ya mazingira.
@سلامهالنهدي
@سلامهالنهدي 3 жыл бұрын
Nii kweli kbs ufikapo ugenini lzm uwapime jee wenyeji wameridhiya uwepo wako au wenu utangoja jibu.namuunga mkono
@obillaezra6205
@obillaezra6205 3 жыл бұрын
Mumbi in English Called Bucorvus ni hatari sana” Jamaa yupo vizuri sana
@hilarymungure8590
@hilarymungure8590 3 жыл бұрын
Sio vultures
@is-hakayussuf9981
@is-hakayussuf9981 3 жыл бұрын
*Acha na mimi nicomment eheee mzee mwenzangu unatakiwa uwelewe ivyo*
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 жыл бұрын
Pamoja dav endelea kutuelimisha 🙏🇹🇿🔥🔥
@lailasaid6089
@lailasaid6089 3 жыл бұрын
kaka yupo vizuri sn nice story
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 жыл бұрын
Story nzuri sana ✨
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 жыл бұрын
Jamaa kuna vitu anavjua kiasili sana huyu angekuwa na elimu ya wanyama ya shulen ingekuwa hazina kubwa kwa taifa
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 3 жыл бұрын
Jamaa anasimlia kwa kuchekesha! Duuuuhhh hadi raha!
@mkuurditv4227
@mkuurditv4227 3 жыл бұрын
Davista nakuona kwa Latino umekuwa mpole ata ujanja wa kuulza maswali umekuishia Hao ndio mabaharia lazima wakutulize tuu, hahaha
@badymsuya6093
@badymsuya6093 3 жыл бұрын
Hahahahaha Davistar Kawa mpole mpaka nazuga na simu😂😂😂
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@denizamahongo8557
@denizamahongo8557 3 жыл бұрын
Najifunza na mambo mengine tena, story nzuri sana.
@rubensokoine6647
@rubensokoine6647 Жыл бұрын
Ila Mimi kutokana na maisha aliyo pita uyo jamaa ninge mshauri ampe yesu maisha kwasababu paka hapo alipo fika kweli kabisa mungu ana makusudi naye ya utumishi Kama wenzake walikufa yeye ndoamepona hakika mtukuze mungu Sana davi mfikishie ujumbe huo nawe uta barikiwa san
@wahidasalum780
@wahidasalum780 2 жыл бұрын
Davistar mbona huna mizuka na stori bana wakat stori nzuri sanaaa mzalendo jamaaa huyo au mzawa wa bongo huyo namkubal sana
@elizanzula8375
@elizanzula8375 3 жыл бұрын
Bado tuko msituni mnaona bana lakini tunasonga tu na kunywa mikojo ya tembo mnaona bana tuko karibu kufika nyumbani sasa mnaona bana msichoke bana nyama zipooo eeeh banaaa....
@سلطانالقحطاني-ظ3ع
@سلطانالقحطاني-ظ3ع 3 жыл бұрын
toeni storybook devi na uyu journalist iseei yupo poa
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 3 жыл бұрын
Ctor ni nzur kwakwwli.
@shabanmwambogo7424
@shabanmwambogo7424 3 жыл бұрын
No 2
@davidochieng7055
@davidochieng7055 3 жыл бұрын
Kijiwe chetu
@theblackandrew4119
@theblackandrew4119 3 жыл бұрын
Tai anafanyaga maamuzi magumu sana ni kweli kila kitu isipokuwa anafanyaga maamuzi magumu akifika miaka 40 ili aishi miaka 30 mbele.Anakaa miezi 5 na sio sita ila ni kweli anakaa milimani na mapangoni... Jamaa yupo deep sama
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Afadhali Davistar atingishe mguu maana story haishi Leo 😀😀😀
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
😂
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
🤣🤣
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
No 3
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Latino angeajiriwa askari game
@zefamange7281
@zefamange7281 3 жыл бұрын
Oyaaa simulia story YAKO, acha kufundisha
@MarcoPolo-ol2lz
@MarcoPolo-ol2lz 3 жыл бұрын
Unampangia we nani?
@wahidasalum780
@wahidasalum780 2 жыл бұрын
😂😂😂
@Laila-lz4ij
@Laila-lz4ij 3 жыл бұрын
No. 1 Leo ❤️
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Pamoja Sana latino
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 жыл бұрын
Koboko na swila ni kama benz na bajaji koboko ni benz kwani hachezewi na akikasilika hatoki mtu ana speed na anasumu kali Sana lakini swila yeye hulisha mate na hun'gata lakini sumuyake hua sio kali Sana
@ramadhangona9085
@ramadhangona9085 3 жыл бұрын
Nimewahi leo nipeni na mimi🤣🤣🤣🤣🤣 wale wa kwangu njoooni hapa
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Ndio tushafika
@ramadhangona9085
@ramadhangona9085 3 жыл бұрын
@@somoeawadh7774 Safi Sana tuenjoy story
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Tushafkaa💃💃
@ramadhangona9085
@ramadhangona9085 3 жыл бұрын
@@FFL-X1D mbona kachelewa wangu.....karibu
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@ramadhangona9085 eee napka wngu
@deadcrush
@deadcrush 3 жыл бұрын
Wanyamapori. Twende tukanywe kahawa.
@martinipetro9338
@martinipetro9338 3 жыл бұрын
Jamaa anaacha story yake anafafanuaa vingine lete story zako igo tunajua
@theunseen.believe5672
@theunseen.believe5672 3 жыл бұрын
Yuko tu sawa,anawapa watu elimu ya ziada
@florencerose859
@florencerose859 3 жыл бұрын
Eeheee ni mimi hapa nimefika mzima mzima
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Wa kwanzaaa 🤣🤣💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 3 жыл бұрын
Hongera wangu 🤩😘😘
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@philipoluzege3200 Asante wngu😘😘😘😘
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@philipoluzege3200 umeshndaje😘😘❤❤❤
@hilarymungure8590
@hilarymungure8590 3 жыл бұрын
Hii story n tam ehh
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Wanachekecha hahaha
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Umeona eeee
@mkuurditv4227
@mkuurditv4227 3 жыл бұрын
leo nimewai nimekuwa wa 9000
@Kaankaraz
@Kaankaraz 3 жыл бұрын
Kata hizo stori za porini alete stori ya safar yake ya durban watu tunataka kuzamia South Africa
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
😳😳😳😳😳😳
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
We kama hutaki kusikiliza potea kwanza afu urudi baada ya wiki moja utakuta imeshaanza.
@Kaankaraz
@Kaankaraz 3 жыл бұрын
@@tatuhongeranurushaus485 duh haya bna
@wahidasalum780
@wahidasalum780 2 жыл бұрын
@@Kaankaraz 😂😂😂😂😂 kwahiyo we tulia tuu umeona banaa unatakiwa uelewe hivyoo mzee mwenzangu 😂😂😂😂😂
@revinaabela4281
@revinaabela4281 3 жыл бұрын
Dih
@tututz100
@tututz100 3 жыл бұрын
google
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Haya shem wenu wa nyama huyu
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Hahaha
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
Na wanamadude hao Kama harmo 😂😂😂🍆
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
@@Teacher_01 😀😀😀
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 29 МЛН
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
THE ART OF SURVIVAL , FIRST ZOOM WITH BIG PLAYER
3:55:00
Nabil Aqwa
Рет қаралды 2,6 М.
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 29 МЛН