Pole na kazi mzee wa DM. Ila maswali ni mengi mpaka mtiririko wa story unapotea. Maswali yapungue maana saivi kama ameruka pakubwa sana
@bakarikayugwa32953 жыл бұрын
Huyu dada anaelezea vizuri na stori nzuri Sana na inatufundisha tue na Imani na tuasaidie watu
@fredrickmwanjwango44383 жыл бұрын
Shetan ni mjanja sana wengi amewafanyia vitu vya kijanja sana huyo dada anaitaji msaada wa Kiroho wa Yesu kristo
@nolascochaule93423 жыл бұрын
Acha maswali dav sta, unatuboaaa
@fasanitztiri53713 жыл бұрын
Dada ana mzim wa mtakatifu🙏 Amen
@dawhiteschola88473 жыл бұрын
Huyu anatakiwa afanyiwe maombi Sana maana Mungu wetu hafungamani na u ganga maana alipikwa akanywa damu ya kondooo hivyo hayo ni maroho ya mizimwi
@joycekariuki463 жыл бұрын
Pale mbele akiwa mdogo kasema alichemshwa kwa chungu Kisha badae akaanza kuona maoni anayosema, mungu hajichanganyi na vitu kama hivyo vya kuchemshwa, John 7:17) ephesians 6:21)
@maryfeddy27983 жыл бұрын
Kweli, alichopata ni roho au malaika wa utambuzi (divination) ambaye ni roho ya Antichrist and Catholicism.
@nolascochaule93423 жыл бұрын
Masimuluzi mengiii mnaharibu story
@normanmhina84033 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Baba unaomba ushauri mpaka kwa wachawi? 🤣🤣🤣🤣
@furahahappiness1103 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Davista sio sawa
@azizahamisi73493 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂aki ww kiboko
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
Dada Huwa anatokewa na maruhani Wa Oz hivyo alivyo describe ndio hao tu, sio malaika😁
@ledyamatar35273 жыл бұрын
Number 1💯💯
@valentinanduku87183 жыл бұрын
Story nzuri
@upendoluv71973 жыл бұрын
Majini Hadi wakristo wapoo Kama hamjui na wanaijua vizuri tu hyo bilble
@margaretachieng98873 жыл бұрын
Story nzuri Sana ✨
@kelvinwalter34353 жыл бұрын
Nomar kweli
@rehemambito79893 жыл бұрын
Daa uko vizuri
@bakari-si1pw3 жыл бұрын
dah noma sana
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
Dada yupo vzr san
@kahindiwanje903 жыл бұрын
Smart sana
@tahirnephessalum36782 жыл бұрын
story Kali ila mmeiharibu imekosa mtitiriko mzuri
@deofred15173 жыл бұрын
Pamoja mr
@kamgomoli36503 жыл бұрын
Kuhusu huyo Malaika anaemtokea mwenye mabawa ni malaika wa giza kwani nguvu hiyo imemjia baada ya zindiko la mganga.Shetani anaweza kujigeuza na kuwa katika namna ya nuru km Malaika wa Mungu. Usipokuwa makini unaweza dhani umetokewa na Malaika wa Mungu.Hilo ni pepo lililojivika vazi la kondoo.
@florencendatila91833 жыл бұрын
Exactly
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
true
@sultanaswaleh78133 жыл бұрын
Kweli kabisa huyo ni sheitwani
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Alhandulillah w kwanzaaaaa🤣🤣💃💃💃💃🇪🇭🇪🇭
@ayushsaeed10513 жыл бұрын
❤️🌹🍰
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hongera💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@ayushsaeed1051 ❤❤❤❤❤❤❤❤
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@ayushsaeed1051 Asante kipenzi ❤❤ za masku😘😘
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@pilimusa7770 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
@mercykariithi79193 жыл бұрын
Hiyo dada ana familiar spirits asome acts 16
@achsahcharles67283 жыл бұрын
Davista nimekuhama...bora kwa Shebi maana hii story mpaka hapa mnaelewana we na dada tu, wengine hatuelewi mnatoka wapi mnaenda wapi, we unauliza maswali based on story mliyoongea na ulivoelewa, sisi hatuwaelewi
@philipoluzege32003 жыл бұрын
Hiii story 💥💥💥💥💯
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Glassskin_co.3 жыл бұрын
Huyo ni jini sio malaika. Bibilia inasema; The spirit of God comes in a small still voice.' sio drama unless kunavita vikali kama vya Daniel pia inasema watakuja watakaojivalia ngozi ya kondoo na kumbe ndani ni mbwa mwitu. Shetani anauwezo wakukuconvince yeye ni malaika
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
story tamu ee
@samwelimtambala9390 Жыл бұрын
Kaka nina shida yakuongea nawewe unitumie namba za what's app
@edwardmbonika51027 ай бұрын
Nyie mnaojidai mnaelewa kila kitu ohoo majinii ivii mnauwelewa kila mtu analidwa na mizimu ya kwako
Davister acha kushobokea mapepo huyo binti hana mawasiliana yatokayo kwa Mungu
@matukicmagere33313 жыл бұрын
Yes
@macamezunguzungu56973 жыл бұрын
Wa 20 huyu dada ni machachali kweli💪🇹🇿
@adbulmama50653 жыл бұрын
Huna imani kwa sababu yakwenda kwa mganga.kama kweri una imana baki na Allah mtegemeye Allah.Allah ni kila kitu usimshirikishe na kitu cocote
@sheikhabdallahiddi33503 жыл бұрын
huyu msichana anasema kweli. namsikiliza kwamakini sana .yule anae mtokea ni mfalme wa kijini na anaguvu nyingi sana kapewa na mungu na Huwa anaishi juu ya anga.majini Hawa wengi wanajua mambo mengi yasiri
@sheikhabdallahiddi33503 жыл бұрын
@@hassanmaulid2166 sio rahisi mtu kutokewa na malaika labda awe mcha mungu sana.majini ndio wako karibu sana nasisi wanadamu. wanachagua yote wamtakae wakajidhihirisha kwake
@sultanaswaleh78133 жыл бұрын
Huyo ni sheitwani.ndio ana waka moto.malaika hawaki moto.malaika ana kuwa na NURU
@esthermgonja44753 жыл бұрын
Doh
@kenyanniggar3573 жыл бұрын
Gumbaru-mashomo ya watu wazima hapa kwetu
@hussenimussa30123 жыл бұрын
Shetani ananjia nyingi mungu hana vi2 vyaina hiyo
@kalssambaboo99323 жыл бұрын
Sana
@deadcrush3 жыл бұрын
Indian shirt
@Mpakauseme3 жыл бұрын
malaika kuwa namabawa au kutokuwa namabawa hiyo aifahamiki sawa sawa ,
@joycesycherlwy38353 жыл бұрын
Davista mrudishe kwenye hio story ya Kwanza atuambie mtiriko wa story
@danielsteven54403 жыл бұрын
Ww Dada una hatar Sana ntafute haraka
@kenyanniggar3573 жыл бұрын
huyu dada kaolewa? natafuta mke mimi mwenye maono hivi
@geraldrobert18013 жыл бұрын
We kwenu mkubwa wewe, tafsiri yake ni kwamba, huyo Dada ana ulinzi ambao hautokani na Mungu.
@philipoluzege32003 жыл бұрын
Davstar unajua kuwavuta🤣🤣
@rehemambito79893 жыл бұрын
Davistar malaika wako na mabawa,Angle Gabriel yuko na wings 600
@nickjustin20233 жыл бұрын
Mhhhhh!..umemuonaaa😅😅🙌
@mickeytv36913 жыл бұрын
We real men born boxing day (26/12......
@jotafungo46223 жыл бұрын
Sawa
@leonardmayunganyamfanka96233 жыл бұрын
Matangazo yanakuwa meng xan
@oellyomondi Жыл бұрын
Ukisoma Biblia malaika wana mabawa,malaika wawili wanao sunguka agano la Mungu katika hekalu.Malaika wa Mungu ambao hawakuasi na Lusifa ni watakatifu hawapendi mazingira ya uovu.Dada huyu anatembeya na malaika wa Mungu
@tifababynchimbi84543 жыл бұрын
Ni jini huyo Wala sio malaika
@neemanyasary71043 жыл бұрын
Km ni mambo ya Mungu kwann afiche uso wake???
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Huyo ni John hakuna siku nuru na ngiza huambatana
@lisaamosi72972 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣umenikumbusha mambo jini John
@neelamsuleimani49563 жыл бұрын
Malaika anambawa daivister..ht vitabu vinaxemaaa...vya diniii ila yule atakuwa ibilix Mana katokana na nguvu za gizaaa
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Nilikuwanayo iyo ali ya hiisia. Nakumbuka cku moja nilikuwa na mzee mmoja tunaongea ..nikajiwa na hisia ya kuwa kuna mtu atapita muda c mrefu anamtu asieonekana kwa macho ya kawaida yuko nae.. .nilimuambia yule mzee na mkaka alipita nikamuonyesha. Akasema nitafte dawa ya kuzuwia iyo ali sabbu badae itaniletea shida. Mtoto wa kike sio vizur ctaweza kustahimili machungu at nikiwa nagojwa nikajua kuwa hatopona..tangu cku iyo iyo ali imepungua sana.
@thumnathumna59463 жыл бұрын
@@hassanmaulid2166 Mi uwa namuambia Mungu tu na naamini ndie anaewanyima nguvu ya kunitawala.
@thumnathumna59463 жыл бұрын
@@hassanmaulid2166 ni miaka mingi ningekuwa mfuatiliaji ningetawaliwa ad sasa.kwa sasa akuna tatzo linalonisumbua kama mwanzo.
@thumnathumna59463 жыл бұрын
@@hassanmaulid2166 45
@athumanijumanne46853 жыл бұрын
Ok
@naimaamy61703 жыл бұрын
huyo mwenye mabawa ni jini na anakuja kwa kujifanya malaika kucheza na dini ya kikristo wanapenda kuchezea dini na kupotosha watu
@mariajili63193 жыл бұрын
Huyo sio malaika, ni mizimu yake mwelewesheni hasi zani ni malaika
@geraldrobert18013 жыл бұрын
Davista, Mtu akishafanyiwa tambiko la kimila, na imani yake ikabaki katika hilo tambiko, mtu huyo anapoteza uwezo wakuwailiana na Mungu, kwahiyo anachokiona sio Malaika wa Mungu, ni Malaika wa Giza, (washetani)
@oellyomondi Жыл бұрын
Ezekiel chapter 1 and 10 and also Isaiah chapter 6 talks of Seraphim and Cherubims these are arch angels who have wings I advise this lady to come to Christ by repenting and confessing her past deeds to Christ Jesus and I guarantee that Jesus will reveal to her the purpose of His ministry for her pls do not castigate her
@kamgomoli36503 жыл бұрын
Mimi pia nina hiyo karama ya kuona matukio ya mbele.Hasa kifo,au mechi za mpira. Sijawahi tambikwa au kupewadawa zozote za kimila.
@charlesb.mwaipeta84153 жыл бұрын
Itumie hiyo karama kubet 😂
@leaherasto9292 жыл бұрын
@@charlesb.mwaipeta8415 😄
@dallasabinchar51283 жыл бұрын
Namtaka sana uyu dada kwanini ujamuuliza number yake ya simu?
@fatmamucha44193 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@dallasabinchar51283 жыл бұрын
@@fatmamucha4419 i really love this lady please help me to meet her I'm feeling like she is my soulmate haki ya Mungu
@evalineawary36043 жыл бұрын
Jaman dav maika wapo went mabawa na wengine hawan vp wewe
@asiamussa37803 жыл бұрын
Kila saa nilikua nachungulia
@normanmhina84033 жыл бұрын
Huyo mtoto mbona mkali hvyo, tumeona shavu tu au ndio maana umemfunika!? 😂😂😂😂
@kalssambaboo99323 жыл бұрын
Embu tuambie corona na chanjo bhana
@selemanali50533 жыл бұрын
Ulienda kutafuta nini kwa mganga wakati kila tatizo unasaidiwa
@cocotz18923 жыл бұрын
Wakwanza
@dorcaskarago28763 жыл бұрын
Kama uyo mtu amemkataza kwenda kwa mganga na kumwambia asome bible atakuwa ni malaika Pia Mungu alitaka kukuponya na yule mganga kwa sababu ulikuwa mtoto tu mana Mashetani hayakuambii wende kanisani
@dorcaskarago28763 жыл бұрын
Mahali popote kunako tajwa jina la Yesu christ shetani hakupi nafasi.
@fredrickmwanjwango44383 жыл бұрын
Shetan anakupeleka kanisan tu na anajua bible anakulekeza ata maandiko ya bible isipokuwa ni mdanganyifu na anakuchangany na unaweza ukasema ni Mungu muumba mbingu na nchi. huyo ni malaika wa giza shetan anajigeuza atakavyoo daa huyo dada anaitaji msaada wa kusaidiwa wa kiroho
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
Hayo yote ni majini na mazimwi hakuna malaika anaekujia au kumuona kwanza malaika ni mkubwa kuliko dunia ukubwa wake
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@ikabako2454 🤣🤣🤣🤣🤣
@philipoluzege32003 жыл бұрын
@@pilimusa7770 😁😁😁😁
@oscarkibate19133 жыл бұрын
Malaika na uganga wapi na wapi. Wakati unapofanyiwa matambiko unakuwa unakabidhiwa kwa mizimu. Huyo ni Roho wa giza tu anayekuja kwa muonekano wa kiumbe kama malaika.
@tututz1003 жыл бұрын
DADA MWENYE MAJA
@dallasabinchar51283 жыл бұрын
Maneno ya anza baada ya kuchemsha kwenye chungu cha zindiko si biblia
@Glassskin_co.3 жыл бұрын
🇰🇪
@igurusitv65533 жыл бұрын
Story nzuri lakini davista unaiharibu, unaenda mbele mala nyuma haina mtiririko