Tumekusooma wangu usjaar tuko pamooja mie kama mie nimepata elimu kubwa saana kupitia kipindi hiiki MashaAllah
@hellencerson54763 жыл бұрын
Una faa uweke no: yako hapo uwashe kutaja na kiswahili juu mimi nilisema nitakua na saida kidogo change na wesa. Mimi sio mutanzania mimi ni mu kenya mwenye ameichi Europe miaka na miaka kwa hivio mimi sijui kiswahili sana. I love your show
@kisjohn34353 жыл бұрын
Ni kweli saport ni muhimu sana kwa ndugu yetu davistar
@upendoluv71973 жыл бұрын
binafsi nimekuelewa Sana Davista kiukweli unajitoa mno mnoo,na kweli kupitia vipindi vyako tunajifunza mengi na kuyajua mengi mazito.. Jamani tusimvunje Moyo kijana wetu tujitoe tu tusiwe tuna Kazi ya kulalamika unachelewesha story Ni tunaboa..mi naamini katika kutoa sanaa
@mikarubisha33313 жыл бұрын
Nakubaliii sana Mr DM...."Kuna ng'ombe hapo!!!" Ila story iendelee😄
@pilikhamis29243 жыл бұрын
Davis hongera mungu akuzidishie uko makini sana
@shammxtv56083 жыл бұрын
Ucjar Mungu ypo atakucmamia atakupa wtu watakusaidia mywangu 👏💖
@jotafungo46223 жыл бұрын
Ni kweli kabisa gharama ni kubwa kuendesha vipindi vyako
@allymtamilwa63213 жыл бұрын
Usichoke davistar mungu atakusaidia INSHAALLAH
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Kuweka ahadi bila kuitekeleza ni kujiwekea mizigo.ahadi ni deni na deni razima ulilipe. Ukiona mambo hayako sawa ndugu acha kuweka ahadi. Itakubana ukishatoka dunian.
@achsahcharles67283 жыл бұрын
Dah mnisaidie mwenzenu hii story nashindwa kufuata maana hata dada hakujitambulisha vizuri wala sioni mtiririko 😣😣Davista hii story umeturusha rusha ka popcorn ila ndo ivo hatukulipi so tunashukuru kwa unachotupatia
@mikarubisha33313 жыл бұрын
Hahaha akumbukwe Ngalambe boy...the founder of " Manjegeka"..nmefurahi sna ulivoitamka iyo... A hope waja tumekuelewa support lazima ije mkuu, Mungu wetu sote!!
We Davistar achakula vi zawadi utakula sumu, kwani hujuwi kama iyo Chanel yako inatowa siri za mashetani na wachawi.
@bakarikayugwa32953 жыл бұрын
Kumbe ndomaana Wang,ang,ana na matangazo ya corona kumbe wanalipwa ila we ndo mwanetu jeesh piga kazi kaka hii ni elimu mitaani tupi elimu kaka
@bakari-si1pw3 жыл бұрын
Yeah one love
@tanzaniabestchoice85483 жыл бұрын
😉😀🤣🤣🤣🤩eti Kuna ng'ombe davista bwana
@vaghoghontweki98273 жыл бұрын
Pamoja #MTUMAKINI Nkweli kabisa unayoyasema 🙏
@samjosh123 жыл бұрын
Usichanganye habari, ushauri andaa kipindi maalum kwa ajili ya kueleza changamoto zinazohusu kazi yako, ila vizuri kuacha shuhuda ziendelee bila kuchanganya habari.
@DavistarMataMediaDM3 жыл бұрын
Ninachokifanya nakijua kuliko wewe!na ukitaka nikupe sababu nitakupa,acha kujifanya unajua kutoa kasoro huku kasoro zako zinakasoro,unatoa ushauri wakati ushauri wako bado unahitaji ushauri.Lengo la kuweka message hii katikati ya shuhuda ni kuwa kila mmoja ataitazama hiyo shuhuda kwahiyo atapata hiyo message maana lazima ataikuta katikati lakini nikiweka hii video peke yake watu wasiopenda kusupport na watu wa hovyo kama wewe hamtaangalia.Maana wewe pamoja na yote niliyoongea humo kwenye video kuhusu kuomba support wewe badala ya hata kunitimia moyo kwa kuweka comment nzuri ila umeanza kutafuta kasoro tu na kumbe kasoro zako zenyewe hazina msingi
@idanysedrc12003 жыл бұрын
Hutoweza kuangalia bana nibora alipotoa hii kitu ndan ya huo ushuhuda heshim taaluma za watu!!
@HakunaMatata_20243 жыл бұрын
Umeeleweka mkuu wangu
@miriamngosha68563 жыл бұрын
Mungu nipe kumbukumbu nikipata pesa niwe nawakumbuka kwa chochote kitu
@philipoluzege32003 жыл бұрын
Babu alikuwa hatali😁😁
@dallasabinchar51283 жыл бұрын
Number 1
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Hongera
@petersume27803 жыл бұрын
Davista kwa nn usi set channel yako option ya PREMIUM
@amosjblack96143 жыл бұрын
Ungeweka namba ya mpesa hapo kwa screen
@DavistarMataMediaDM3 жыл бұрын
Namba yangu kila mara naitaja na wote wanaofatilia namba vipindi vyangu namba yangu wanaijua!
@amosjblack96143 жыл бұрын
Sawa
@eishstoner66923 жыл бұрын
Davista apo umetulia mapoz flani ivi 🙌🏾
@nelsonpatricioestanislaus71443 жыл бұрын
Pamoja sana Dvst. 🇲🇿
@suleimaniyasri21663 жыл бұрын
Kama dawaa miakaa Mingii hakutufilimbaa ulembee...
@misapinamiswi57513 жыл бұрын
Mpesa no pliz...
@DavistarMataMediaDM3 жыл бұрын
0743053804 DOTTO MATALUMA
@shizaarfred40593 жыл бұрын
Wadau wa Mr dm hebu nisaidieni hiv huyu mtu anapata mda wakulinda NDOA kweli ?😀😀 Maana si kwahizo root aki usije tuletea ushuhuda ss wanazengo kama wahun washa fanya yao kumbuka na ndoa bwana 😀😀😀👌
@DavistarMataMediaDM3 жыл бұрын
😄😄
@fidodido95783 жыл бұрын
daaah tupo njee ya nchi Ila mambo sio ki vile na haya mambo ya kufungiwa ndani aka colona ndio Inakuwq utata sema MUNGU akijalia tutachangia ...tunaelimika Sana na kufunguka kwenye mambo ambayo hatukuyajuwa lakini kupitia kipindi chako tunaelimika Sana kaka mkubwa
@masoudkatiba14843 жыл бұрын
Jamaa manjegeka🤣🤣🤣🤣
@charlesb.mwaipeta84153 жыл бұрын
mzee wa DM Umeanza kuota mapembe, yaani tutume gari hahahahaaaaa
@DavistarMataMediaDM3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 ndio aisee
@charlesb.mwaipeta84153 жыл бұрын
@@DavistarMataMediaDM ni heshima kubwa kwangu umenipatia baada ya kureply comment yangu. Asante sana mzee wa DM. Mimi pia naahidi kuchangia chochote ntakachokua nacho kusupoti huduma yako. Thank you
@swahibjack95333 жыл бұрын
Mchungaji Dan anaendeleaje?
@theblackandrew41193 жыл бұрын
Davista Watu share story pia kwenye group mbali mbali
@upendoluv71973 жыл бұрын
Davista kujimwambafai eti hata gari😀😀🤣
@DavistarMataMediaDM3 жыл бұрын
😎😎😎
@deelissa27463 жыл бұрын
Bas davistar usitucheleweshee episode ingine
@chazgunda58233 жыл бұрын
Mzeee unasafili sana angalia shem asije akakuchoma moto
@DavistarMataMediaDM3 жыл бұрын
😄😄😄 kwa kweli ndugu yangu
@azizahamisi73493 жыл бұрын
😂😂😂😂 acha ni furai mie
@margaretachieng98873 жыл бұрын
Davis ni saidie ume sema ukweli
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
Davistar umeamua kuturingishia chocolate?. Leo nimekuwa wa 33
@glorialaizer94503 жыл бұрын
Si utani davista nakuja next month ntakupataje nikikuletea zawadi 🤦♀️
@mercylynmasila12583 жыл бұрын
Boss nitumie DM please
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
santa dav
@godlovem71393 жыл бұрын
Davista lete story acha mahubiri
@DavistarMataMediaDM3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@tututz1003 жыл бұрын
ANAYEISHI NA
@pammymoraamoraa67023 жыл бұрын
Davistar share kidogo na dada anameza tu mate nawewe wameza kitu🤷🏽♀️🤷🏽♀️sharing is good ohh mostly when your eating anything snacks or ,,,,
@DavistarMataMediaDM3 жыл бұрын
Hapo alikuwa nayo nilimpa ila angekuwa anakula huku anaongea ungechukua maana asingeongea vizuri nafikiri unajua mfano wewe ukiwa unakula halafu huku unaongea unakuwa huongei vizuri!
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
Me nipo Oman nikija nakuletea kitu chochote
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
🙌🙌
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
Huyu kweli shetan mana hayo manywele ni mitindo ya mashetani hasa
@matridalule56143 жыл бұрын
😂😂😂😂
@happyfihavango41513 жыл бұрын
Wapi pasta dani?
@DavistarMataMediaDM3 жыл бұрын
Yupo atarudi muda sio mrefu
@mercylynmasila12583 жыл бұрын
Ukwli tunasitahili kuchagia hiki kipidi
@nolaskodreckkarinyotroni64753 жыл бұрын
Dafista ninacho kuomba usiache ipo siku
@nolaskodreckkarinyotroni64753 жыл бұрын
Ninacho tamani nikipata hela nikuone tu
@matridalule56143 жыл бұрын
Chanel yako inaumbua wachawi watakupa sumu ufe usile tena kakaangu mtu akutumie pesa ama vitu tu