PART21:MWENYEKITI WA WACHAWI TZ SHEKHE ALIEOKOKA/NILIUA MKE NA KUISHI NAE TENA/UCHAWI NIMESOMA

  Рет қаралды 13,995

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 91
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 3 жыл бұрын
Afu msisahau konde Boy katoa ngoma huko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@rosepallangyo1352
@rosepallangyo1352 Жыл бұрын
Kwa wajinga apakuchi
@erickouma
@erickouma 3 жыл бұрын
Shekhe anajua sana kusimulia kiswahili safi. Ila asisahau kuelezea jinsi alivyookoka maana nilishawahi kumsikiliza akishuhudia sehemu, inasisimua sana
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 3 жыл бұрын
Oyoooooo kelele moja kwa davister 🤟🤟🤟
@lifezest6274
@lifezest6274 3 жыл бұрын
Nashangaa alivo na memory huyu mtumishi, msimuliaji mahiri sana. Mfano wa zabron, magere, danny na chessa. Mnyeshani andika kitabu kitauza sana.
@josephmungai544
@josephmungai544 3 жыл бұрын
Kwa kweli na kitabu kinaweza sisimua zaidi
@berthamghanga1093
@berthamghanga1093 3 жыл бұрын
Eti kama unaenda Kampala twende,katoka kiulaini mwenyewe,kaja kukutana na kimbembe cha kamanda😂😂😂
@aliceshemengole3300
@aliceshemengole3300 3 жыл бұрын
Ç
@harerimanadaniel7202
@harerimanadaniel7202 2 жыл бұрын
Uyu jama kumbe sio wakawaida Mungu kwer anaweza.
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Wewe ndo master mwenyewe munyashaniiii
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 3 жыл бұрын
Very good history 👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻
@straightkonect1613
@straightkonect1613 3 жыл бұрын
Shekhe yupo vizuri ila DAVISTA jamaa wa BAKORA ZA KIMKAKATI na MABINTI WA KIMATAIFA wenye shape za KIBANTU umrudishe aje tujue amefikia wapi kama vipi jamaa asaidiwe yule jamaa Jembe
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@straightkonect1613
@straightkonect1613 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 umeonae😂
@straightkonect1613
@straightkonect1613 3 жыл бұрын
@@sweetie6934 eeh yani alikua akiwashughulikia kisawasawa tena heri atumie dawa kuliko kishirikina😂
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@straightkonect1613 nimeona🤣🤣🤣
@florencerose859
@florencerose859 3 жыл бұрын
Ujanja ilikusaidia sana🙏
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Kuzaliwa pwani tu ni ujanja tosha
@florencerose859
@florencerose859 3 жыл бұрын
@@heritier5119 kwueli kabisa
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 3 жыл бұрын
Davi movie inaendelea kunoga. Natumai episode inayofuata itakuja leo. Shukurani 🙏!
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Hujamba wngu❤❤❤❤❤
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 3 жыл бұрын
@@FFL-X1D salama. Futari hujanialika leo eti! 🤔
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@Fm-MornStar2014 🤣🤣🤣🤣 kesho wngu❤❤
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 3 жыл бұрын
@@FFL-X1D sawasawa kpnz! 😘 Ulale salama😘
@yustakipenya6231
@yustakipenya6231 3 жыл бұрын
Usimwachilie huyu aende tutajifunza mengi
@RamaTraceur
@RamaTraceur 3 жыл бұрын
Tunajifunza mengi sana kupitia Davistar Mata.. background music punguza kidogo sauti ni kubwa..Unafanya kazi nzuri sana.
@husseinhamisi4828
@husseinhamisi4828 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana jamaa ajuwa sana
@johnosoro6033
@johnosoro6033 3 жыл бұрын
Davistar mwendelee vivyo hivyo mlipo nami nipo tuko kwenye bas moja story nzuri sana tunafuatililia taratibu
@aishaally8811
@aishaally8811 3 жыл бұрын
Duh huyu jamaa kumbe na yeye anafatilianga moves za kikorea kama mimi
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 жыл бұрын
Pamoja dav ulipo nami nipo 🙏🇹🇿💪🙏💪
@musicworldwide2625
@musicworldwide2625 Жыл бұрын
2023
@winmassawe4966
@winmassawe4966 3 жыл бұрын
Uwongo mwingne mgumu Sana Yan mhmh amejitahd Sana kumbuka mji wa wa2
@fbfabien4709
@fbfabien4709 3 жыл бұрын
Jitaidi kutupa part mbili mbili Jitaidi sana
@fbfabien4709
@fbfabien4709 3 жыл бұрын
Ujitaidi tafadhari sana tuna wasikiliza hapa marekani
@johanesthobias8742
@johanesthobias8742 3 жыл бұрын
Hapa nawapa tuzo zausimuliaji 1)Mnyishani 2)Zabroni 3)Mzee wabakora zamikakati 4)Jimmy 5)Musa chesa.
@erastonyaga875
@erastonyaga875 3 жыл бұрын
Ya jimmy inaitwaje
@johanesthobias8742
@johanesthobias8742 3 жыл бұрын
Yele mzee mwanajeshi wa Samwel Do
@Oneofhiskind123
@Oneofhiskind123 3 жыл бұрын
Hii episode ya 21 ni 🔥
@josephmungai544
@josephmungai544 3 жыл бұрын
Alafu Kaka Davistar muulize lile jambo la siku 7 za wiki na miungu yake. Tafadhali
@marcolucas2160
@marcolucas2160 3 жыл бұрын
A trick: you can watch series on Kaldrostream. Me and my gf have been using them for watching loads of movies recently.
@musapeyton3050
@musapeyton3050 3 жыл бұрын
@Marco Lucas Yea, I've been watching on KaldroStream for months myself :D
@thewomanofsteel3970
@thewomanofsteel3970 3 жыл бұрын
Pamoja sana Dav 🌟 Mata
@juliusmushi6428
@juliusmushi6428 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mjanja sanaaa kwenye ujana wake
@aishabeka5562
@aishabeka5562 3 жыл бұрын
Sanaaaa🤣🤣
@berthamghanga1093
@berthamghanga1093 3 жыл бұрын
Sura yake inaonyesha tuu mjanja mjanja.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Pia anaonekana kama kijana
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
wa kwanzaa🤣🤣💃💃🇪🇭🇪🇭
@johanesthobias8742
@johanesthobias8742 3 жыл бұрын
Tunasubilia mwendelezo Davista
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Mnyeshaaani Kama mnyeshaniiii
@bensonryoba5968
@bensonryoba5968 3 жыл бұрын
Mr dm ongoza spidi ya kuturushia vipande
@athumanmakale8221
@athumanmakale8221 3 жыл бұрын
Kweli jamaa kapitia misukosuko ya Maisha. Huna budi kumashukuru Mola mlezi kwa kukuvusha katika kila hali.
@erickmasumbuko3841
@erickmasumbuko3841 3 жыл бұрын
Leo namie wa 6
@goddwynngereza4520
@goddwynngereza4520 3 жыл бұрын
Mnyeshani, Kwanini usingekuwa unaenda huko ikulu No2 na kurudi Hotelini kichawi kuliko kuteseka muda mrefu namna hiyo na safari yenye misukosuko kibao?
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@goddwynngereza4520 kabisaa
@renifridagaston9890
@renifridagaston9890 3 жыл бұрын
hatari lakini salama Mr Fact
@jumajumashabansadiki1390
@jumajumashabansadiki1390 3 жыл бұрын
Nice
@renifridagaston9890
@renifridagaston9890 3 жыл бұрын
wa kwanza
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Mnyeshani ii hoyee kifaaa
@maureenmwende3515
@maureenmwende3515 3 жыл бұрын
Aki 🧬🧬🧬
@salumulesso6355
@salumulesso6355 3 жыл бұрын
Ht mm natumai episode ijayo itakuja leoleo,jitahid davista Mr facts
@geraldrobert1801
@geraldrobert1801 3 жыл бұрын
Mnyeshaniiiii 😂😂😂 Uliingia kwenye 18 za wazee wa kazi 😂😂😂😂
@aliceshemengole3300
@aliceshemengole3300 3 жыл бұрын
Ni kama movie hakika nimejifunza
@harididiuchile9468
@harididiuchile9468 3 жыл бұрын
Kamawaida namba moja
@hamisimtemi3803
@hamisimtemi3803 3 жыл бұрын
jamn tuheshimiane yaan watu muko speed sana
@ryhislamminamuonamsengetu9111
@ryhislamminamuonamsengetu9111 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 3 жыл бұрын
Umepitia majangq
@ramadhanmunde8805
@ramadhanmunde8805 3 жыл бұрын
Dv ungekuwa unatupia ata vipande 5 sio 2 kila siku
@masoudkatiba1484
@masoudkatiba1484 3 жыл бұрын
Deadly game
@ethanuk9437
@ethanuk9437 3 жыл бұрын
Embe kwenye mchongoma...kampala hiyoo
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
E.africa nzima Mtanzania ukimpa tu nafasi ya kujieleza ni lazima ukae lazima akupange.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo
@kefasoneliakimumkeyembo1804
@kefasoneliakimumkeyembo1804 3 жыл бұрын
Davistar hadi muda namalizia kipande hiki nilikuwa nimeshatokwa na jasho! du, sina usemi.
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 жыл бұрын
Story nzuri 🙏
@agnesmwaizinga5401
@agnesmwaizinga5401 3 жыл бұрын
Munyeshani enzi hizo alikua muongo anadanganya mpaka police 😅😅😅
@agnesmwaizinga5401
@agnesmwaizinga5401 3 жыл бұрын
Munyeshani enzi hizo alikua muongo anadanganya mpaka police 😅😅😅
@makame3524
@makame3524 3 жыл бұрын
Et sasa wa ni nini kwani nimekuambia nimi nataka mwanamke😅
@tututz100
@tututz100 3 жыл бұрын
KUISHI
@marykibwana9413
@marykibwana9413 3 жыл бұрын
1997 boda zilikuwa zimeanza kweli?
@thomasrodriguez7684
@thomasrodriguez7684 2 жыл бұрын
Mimi najiuliza nacm zilikua zimeanza kweli? Maana anasema alipewa namba ya mustafa na akampgia cm uko Juba Sudan. Je 1997 simu zilikuwepo?
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 3 жыл бұрын
Wa 10 imeisha hiyo
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 жыл бұрын
Hii ndio kuponea kwenye tundu la simba
@fahadjinni5845
@fahadjinni5845 3 жыл бұрын
Wa kwanza mbwa nyie
@josephmungai544
@josephmungai544 3 жыл бұрын
🤣Unaujinga wewe
@aishabeka5562
@aishabeka5562 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣fala kweli wewe
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
😂😂😂
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Bonge la movie
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
Story inazidi kunoga
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 3 жыл бұрын
ila kumb wafanya biashar za madaw ni wajanja sana et puma hotel wakat haipo, hyo logic iko technic san hahahahahaaaa
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 37 МЛН
A Scientific Explanation of the Christmas Star
16:00
Answers in Genesis
Рет қаралды 88 М.
How Scientists Solved the Mystery of a 300-Year-Old Megaquake
13:31
Ustaz Ibnu Rijal :: Konflik Syria, Falsafah Barat, Aristotle & al-Ghazali
1:07:54