Kweli Mungu ana nguvu. Sitaogopa tena hata giza🙏 Amen. Thank you Davister for this story
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Unaogopa nini grace unatumia nguvu ya jina la Yesu kristo unawachana wachawi unawachana waganga unawachana marafiki zako wanaotumia nguvu za giza unatuma mishale ya moto kwa damu ya Yesu kristo wazarareti aliyehai
@husseingabo54972 жыл бұрын
@@highzacknnko9685 huyo ni muongo nyie vilaza
@heritier51192 жыл бұрын
Unapiga maombi ya kukata kichwa kuua kabisa
@graciexellari79052 жыл бұрын
@@heritier5119 Kama kuna maombi mi hufanya ya wachawi or devil worshippers ni wamjue Mungu. Some of them walichukuliwa wakiwa wachanga and didn't know God. Waombee instead wajue Mungu.
@heritier51192 жыл бұрын
@@graciexellari7905 Pia nakubaliana na hili wengi wakishaujua ukweli kwamba Mungu ni Mkuu kuliko shetani huwa wanarudi kwa Mungu. Thus pana mtu alisema wapo watu MUNGU kawafanya wachawi na majambazi nk Ili waje wamtumikie mbeleni.
@rithasimoni62122 жыл бұрын
kwa yesu Raha Sana Asante bwana yesu
@florencerose8592 жыл бұрын
Njoni kwa Yesu huku ndio Kuna amani hakuna mambo ya jini kabisa
@dodoted50332 жыл бұрын
Barikiwa sana Paul Hussein na davistar,Mungu awafinike kwa damu ya Yesu,chini ya uvuli wa mbawa zake mpate ulinzi daima. Asanteni kwa kunena iliyo kweli. Yehova ahimidiwe kwa jina la Yesu.❤
@jumasangya8709 Жыл бұрын
Good
@elinurujohn9752 жыл бұрын
Imani iongezeke sana kwa BWANA YESU AMINA
@cyantess84232 жыл бұрын
this testimony is increasing my faith in our lord jesus thank you davistar🙏
@marianaduncan63302 жыл бұрын
YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na hakuna Mungu mwingine zaidi ya yeye Utukufu na heshima ni Kwa BWANA YESU KRISTO milele na milele amini ukombolewe
@louisejeanne83062 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏Asante sana Bwana yesu kwa kutuokoa 😢ombeni lolote jina langu, Baba wa mbinguni atawapeni . Yesu ndie njia, na Kweli na uzima. Mtu haji kwa Baba Ila kwa njia ya mimi 😢😢🙏🙏🙏
@hellendiana6252 жыл бұрын
Ooook!,😆kumbe Allah ni shetani, Asante kwa ujumbe huwo
@kipchorngwonektiroto4573 ай бұрын
I love brother Paul so much. May God bless and lift him higher in Jesus Christ's name
@elizabethconstantino60562 жыл бұрын
Allah ni shetani, ila watu wanadhani ni Mungu, hakuna Mbingu kwawaabudu shetani, Yesu pekee ndio mlango wa kwenda mbinguni.
@justinendizeye7142 жыл бұрын
Bwana Yesu ni mfakme wa mbingu, Shalom 🙏🙏🙏🙏
@ernestkifwefwe21272 ай бұрын
Mtumishi wa Kristo, Mungu aliye hai Akubariki Sana Kwa shuhuda yenye kumtukuza Mungu aliye hai mwenye nguvu kuu kuliko Wakuu wa giza(shetani/Ibilisi).
@aprilking82502 жыл бұрын
Yesu amekusudia kuwaponya waislam wote wapate uzima
@kelvin_Songea20232 жыл бұрын
Amina
@violinenyakara50282 жыл бұрын
Yesu ndio njia ya uzima
@kelvin_Songea20232 жыл бұрын
Kweli kabisa
@joycemuhoja47292 жыл бұрын
Amen Mtumishi Yesu Anaweza Yote tuko pamoja nasubili Part 4
@rebound21792 жыл бұрын
Glory to the Living, real God, Jehovah ; and our Saviour Jesus Christ!👏👏👏👏👏
@NEEMASWEDI2 ай бұрын
Asante YESU, ni kweli bàba umesema ukweli mtupu ila wanadamu niwabishi, allah sio MUNGU, mda mrefu niliumiza kichwa changu na kutafakari usiku na mchana najiiuliza, siku moja nilikuwa nawaza moyoni mwangu, uku nikimuuliza MUNGU kwamba awa waisilamu na wakiristo wakiwaga kwenye miazara ya mashindano kati ya MUNGU wa wakirsto Yaani YESU kiiristo, na MUNGU wa waisilamu lakini katika mashindano hayo wanashinda sana waisilamu je ndio dini ya kweli nikawa namuuliza MUNGU hivyo, ili nisilimu niende nikawe muisilamu maana niliona ndio wanaoshinda kweye mashindano ya kufundishana MUNGU wa kweli. jamani naombeni muamini MUNGU anajibu maombi maana aliona nateseka sana kuwazia hili swala. nilisikia sauti ikiniambia ivi, mimi MUNGU, waisilamu wote wananiabudu mimi, lakini mimi sipo uko upande wao. kwakweli nliiogopa sana. nikamshukuru YESU kiristo yeye ni MUNGU njooni mumpokee YESU kiristo maana yeye ndie njia ya kwenda mbinguni. tulieni kwa YESU msiangaike wanadamu.
@roseodipo98682 жыл бұрын
Amen Yesu ni Bwana
@kizadorcas33215 ай бұрын
Amen Amen imani yangu imepanda viwango
@kelvinkatende38712 жыл бұрын
Nipo pale nasoma coment za waislam bwana yesu apewe sifa milele
@juliuskalama27462 жыл бұрын
😅😝😝😝mchokozi kweli wewe
@evelynekomba72162 жыл бұрын
Shetani ni muongooo
@kimsamespa84902 жыл бұрын
Wokuvu ni mzuri kweli Yani mpaka nguo walikupea licha ya kuwa uliwaroga
@rebeccamsami45802 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana,Amina
@nyamogafamily95492 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣tunafunga hadi Akili za wachawi kwa JINA LA YESU
@elizabethmuia98392 жыл бұрын
Kabisa Amen 🙏🙏
@peninahkariuki46792 жыл бұрын
Ameen 😊 🇰🇪
@drnow15282 жыл бұрын
Wakati wa kuokoka waislamu wote ni huu
@habibadaudi82422 жыл бұрын
Hata Kwa kamba
@helenalosi75382 жыл бұрын
Kweli yesu ni mshindi juu ya washindi🙏
@dominickimeu62192 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe.
@kelvin_Songea20232 жыл бұрын
Amina
@drnow15282 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe
@kelvin_Songea20232 жыл бұрын
Amina
@manirahofelix16932 жыл бұрын
Groly b to the Almighty Jehova!!!!
@koperawasona95517 ай бұрын
Iyo kweli waislam wote ni washirikina wote wana majini wote ni washerati
@rithasimoni62122 жыл бұрын
davistar unakuwa muoga bwana yesu Yuko pamoja nawe usiogope wacha ukweli usemwe
@elizabethmuia98392 жыл бұрын
Kwa hivyo Allah si Mungu, wooiiiii waislamu, njooni kwa yesu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@marianaduncan63302 жыл бұрын
allah ni shetani audanganyaye ulimwengu na kuwapeleka watu Motoni
@egospeltz94862 жыл бұрын
Fire, fire 🎈
@kassimjames63762 жыл бұрын
Huyo mzee taira sana hajui alisemalo.
@pericymnyamoga38592 жыл бұрын
Hajui asemalo bila watu kama wewe walimuua hivyohivyou wakiona hajui atendalo Mungu akusaidie ili ulijue asemalo
@evalynenyambaka10022 жыл бұрын
Jesus is lord ,hallelujah,
@Mpumaephrahim Жыл бұрын
Amina
@latifaonesmo76292 жыл бұрын
Duh kweli Dunia imejaa binaadamu wenye mtihani wenye kumkashifu mungu na kusema ndie shetani aya babaang ubarikiwe ila wakat ukuta itafika nakufahamika mungu ninani
@mussakilo49162 жыл бұрын
Wewe angalia na uchunge mdomo wako ucmtukane mwenyez mungu hakika ipo cku utajuta
@charlesmapunda59052 жыл бұрын
Wapi Mashekhe 😂😂😂😂
@juliuskalama27462 жыл бұрын
Allah sio Munguuuu
@mysskibe2 жыл бұрын
11:00 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 ukweli mtupu!
@rebound21792 жыл бұрын
Huyu former Shekhe ameeleza vizuri pale alizaliwa na kuishi, na hata kutaja aliyekuwa Imam wao pale kijijini mwao. Kama bado kuna mtu atakanusha yale huyu amesema, basi kweli sikio la kufa halisikii dawa😂😂😂😂😂
@khalidyasinkhalid59442 жыл бұрын
Kweli kabisa na vyeti vya uhitimu wa hivyo vyuo vyote alivyopita namwaka mwaka alohitimu kule Saudi Arabia kaonyesha. Itikia eeemeeeeen mpendwa.
@bishopmosesmagadula75722 жыл бұрын
Mtumishi NIMEKUPENDA SANA una LUGHA YA KUOKOA ROHO ya MOJA KWA MOJA sio kupindisha hoja uko SAWA..
@carenhilary80672 жыл бұрын
Haleluya
@chifuthedoni88892 жыл бұрын
Ngoja sasa utawaskliza wanavyo kuja juu, Ila kama kweli nyie sio washirikina mtulie hivo hivo!
@joycekaphevemba72152 жыл бұрын
@@jesuspower2390 true 🔥💯 wako hivyo
@husseingabo54972 жыл бұрын
@@jesuspower2390 comenti utofaut wake uko wapi huyo kasema kasoma na Osama chuo kukuu saudia na wakati Osama elimu yake yote kasomea marekani na kama unabisha ingia gugle ndio maana tuna mashaka huyo Osama ni Osama yupi aliosoma nae ? Kama sio muongo? Huo uongo wenu huko huko makanisani sio hapa jinga nyie
@honestema2 жыл бұрын
Kwanza mara kamweka mume wa mtu chini baadae anakwambia moto uliwaka sikuweza kufanya lolote,Sasa alimwekaje mtu chini? Yaani muongo utamjua mapema tuu🥴🤗
@samwelrobeth7763 Жыл бұрын
Yan hata akilkoka mazinge wao akayashudia haya watabisha tu na kusema Hamna elim iyo.yan Wana roho ya kubisha Yan mpinga kristo.tunawajua tu
@samwelrobeth7763 Жыл бұрын
@@husseingabo5497umeambiwa elim ya uchawi sio ya elim ya kidunia .
@f.alovely64192 жыл бұрын
Wakenya huku twafaidika na siri hizi za kiroho
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Safi Sana hakuna Kama YESU
@petermwaibofu32602 жыл бұрын
waislamu wanachanganyikiwa na UKRISTO pale inaposemwa kwenye maandiko kuwa YESU NI MUNGU, YESU NI MWANA WA MUNGU, hapo panawachanganya sana inawabidi wapate elimu ya kutosha katika eneo hilo ili kuwaweka sawa!
@bintalmasi23932 жыл бұрын
Elimu haitoshi, wanahitaji neema, ni kwa neema tu macho yetu hutiwa nuru kujia kweli.
@veronicahkhaikwa49292 жыл бұрын
Yesu Ni Mungu kwa sababu mtoto wa nyoka ni nyoka, mtoto wa paka ni paka, mtoto wa simba ni simba, mtoto wa mwanadamu ni mwanadamu, mtoto wa samaki ni samaki, Yesu ni mtoto wa Mungu muumba mbingu na dunia kwa hivo alikueko hata kabla ya dunia kuweko Yeye ni Mungu
@heritier51192 жыл бұрын
@@veronicahkhaikwa4929 hata binadamu ni mtoto wa Mungu na kaumbwa kwa mfano wa Mungu
@joshuatalu95962 жыл бұрын
Oooooo Yesu....
@crownprinceea24562 жыл бұрын
oyoooooo YESU
@flm15302 жыл бұрын
Part 4 please
@noeldaudi590 Жыл бұрын
Wewe sikiliza tu stori Usipende kuchonganisha
@noeldaudi590 Жыл бұрын
Punguza maswali Mwache mtu adisie anachojua Kila siku we mshamba wa Kila kitu alafu unasema watu Wana uliza mtu hawezi kuuliza wakati mtu anaadisia vizuri Achakuaribu kipindi kwa maswali Watu wengi wameacha kuangalia vipindi vyako Punguza kujua Kama utaki adisiwa pekeyako
@eishstoner66922 жыл бұрын
Davista nko sure ilo swali ulomuuliza hakulijibu ila n basi umeachana nalo
@rosepallangyo1352 Жыл бұрын
Wajaa jazba washaa anza matusi kiss Yesu ila lzm injili ihubiriwe watuwaokoke
@godlovem71392 жыл бұрын
Kusema waganga wa kishenzi anamaanisha Nini hapo inamaana Kuna waganga wasio wa kishenzi?
@petermwaibofu32602 жыл бұрын
Duh, kumbe mungu allah amelaaniwa! Ndiyo nimejua leo, lkn angetupa na mistari inayoonyesha kuwa mungu allah wa waislamu amelaaniwa hii ingekuwa somo zuri kwetu tunaojifunza kuliko kusema bila ya kuweka mistari inayoonyesha hivyo!
@habibadaudi82422 жыл бұрын
Kiukweli kaongea maneno mazito sn na angekua mkiristo wa kweli huwezi kusema maneno kama hayo Mimi ni mwislamu naipenda dini yangu kiukweli ime niuma
@JifunzeNenoLaMungu2 жыл бұрын
Amesema Allah ni shetani na shetani amelaaniwa
@JifunzeNenoLaMungu2 жыл бұрын
@@habibadaudi8242 Sasa huyu ndugu hajawai kukutana na nguvu za Mungu zinamlinda muislam.. ndio maana anashindwa kusema waislam Wana Mungu zaidi labda akutane nao kwenye uchawi wale waliobobea kwenye uovu nyie wengine ni Kama kenge kwenye msafara wa mamba hamjui kinachoendelea kiundani haswaa
@habibadaudi82422 жыл бұрын
@@JifunzeNenoLaMungu hamna lolote hata kwenye makanisa wapo waovu Tena wao ndo viongozi au umesahau wangapi tuna waskia humu wakisema kwahiyo hata Kwa Islamic wapo walo soma lakini wakafuata njia ya kichwawi wakaacha ya Allah dini ni safi Tena sn Ila watu ndo Wana hangaika
@habibadaudi82422 жыл бұрын
@@JifunzeNenoLaMungu kilamtu na Imani yake
@kithunguesther85512 жыл бұрын
Jesus is the Lord Amen
@shepherd1x842 жыл бұрын
I knew one day kiboko inakuja kwenu nyie mnaokufuru na kuwaita wakristo makafri!
@TheSalma19992 жыл бұрын
Dah hiyo kali umemwita Allah nini mi naamini kwenye kuheshimu dini za wengine punguza ukali wa maneno please jamani
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Nyie washirikina mmesikia 🤔
@highzacknnko96852 жыл бұрын
@@jesuspower2390 ngoja waje na povu lao tuwasikie😄
@mamananga28492 жыл бұрын
Tupo mzee wa luminati
@highzacknnko96852 жыл бұрын
@@mamananga2849 mtaipendaa
@rebound21792 жыл бұрын
Haishangazi kuwa Ushirikina ni sehemu ya Uislamu, kwa sababu mungu wa uislamu ni Shetani mwenyewe. Ndio maana majini humwabudu. Quran isemayo kwamba uchawi ni mbaya ndiyo hiyo hiyo tu inayotumiwa kufunza Mashekhe, Imam na Ustadh uchawi na kumwabudu Shetani. Sababu ya unafiki huu ni kuwa Allah ni AL MAKRI (The Greatest Deceiver, Mwongo Mkuu)- Quran 3:54, 8:30. Biblia katika John 8:44 pia yaelezea kuhusu Baba wa Uwongo😂😂😂
@heritier51192 жыл бұрын
Dini haimzuii mtu kuwa mchawi
@khalidyasinkhalid59442 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Davistar laiti ungejua kiarabu kwa 2% tu ungezima hizo kamera na kutoka mbio hatari🏃🏃🏃🏃 maana sio kwa m'borongo huo
@@khalidyasinkhalid5944 kumbuka kak huyu anadgree 4 zakislama na anachokieleza anakupa na ushahidi bdo tu utamuona mbaya?????
@khalidyasinkhalid59442 жыл бұрын
@@musaissa7463 kweli nasikia mambumbumbu hawataki kuviona vyeti vyake vya uhitimu wa hivyo vyuo. Nikuitia eeemeeeeen
@carenhilary80672 жыл бұрын
Yesu NI njia pekee
@heritier51192 жыл бұрын
Osama alikuwa shujaa wa wapumbavu, badala ya kujenga mashule, vyuo na misikiti duniani eti anajenga makundi ya kigaidi kuua wasio na hatia akipingana na uislamu hauruhusu kuua mtu yeyeto asiye na hatia. Yupo motoni anakula moto Saa hizi.
@habibadaudi82422 жыл бұрын
Sina la kusema Ila mm na sikitika sn kuchafuliwa dini iso kuhusu kwann lakini
@cheupesewing35492 жыл бұрын
Haichafuliwi huo ni ukweli,kama huamini fanya utafiti mwenyewe utapata jibu akili za kuambiwa changanya na zako, karibu tumtumikie mungu wa kweli.
@habibadaudi82422 жыл бұрын
@@cheupesewing3549 utafiti gani na wakati mm nasoma tangu nikiwa mtoto mpaka sasa
@habibadaudi82422 жыл бұрын
@@victorbeno haiwezi kutokea hata siku moja
@cheupesewing35492 жыл бұрын
@@habibadaudi8242 unaweza usome hadi ukamaliza vitabu vyote na usielewe chochote.
@JifunzeNenoLaMungu2 жыл бұрын
Kwann mna sura za majini kwenye Kitabu chenu na majini na shetani wote walitupwa kutoka Mbinguni kwasababu ya uasi... Hamuoni mnafuata shetani amewadanganya ana majini mazuri wakati wote wametopwa na wanasema walienda Mbinguni wanakuta mawe yamoto yanawazuia.. soma sura ya majini utajionea mwenyewe
@noeldaudi590 Жыл бұрын
Wewe davista achakuchonganisha Kwani wewe ni muislamu nini
@milley71852 жыл бұрын
Hayo maombi ya nyumbani mabaya Sana...Kuna vitu wanapandikiza vitandani
@rosepallangyo1352 Жыл бұрын
Uyooooooo
@Shalom20182 жыл бұрын
Mimi nina swali kwenye hiyo sura zukuruf imeandikwa Yesu Kristo? maana waislamu hawamuiti Yesu bali nabii Issa
@heritier51192 жыл бұрын
Yesu lina nguvu isa halina nguvu. Yesu litaharibu mambo
@Shalom20182 жыл бұрын
@@heritier5119 Najua ni hivyo ila kwa upande wangu nikiwaambia waislamu hiyo aya ni vizuri nijue kama limeandikwa Yesu Kristo, maana wao wanamuita Issa bin Mariam,ndio maana nikauliza
@kuschprince3216 Жыл бұрын
" Presenter,ungeuliza huyu allah wa waislam ni nini/ nani? allah si mungu kwa kifupi ni shetani au la?! Kwa hivyo hata mohammed pia ni mfuasi wa shetani? Kwa hii islam si dini ni uchawi?!!
@rab7922 жыл бұрын
huyu mshenzi pia
@omarkombo3474 Жыл бұрын
yeye anasema ameagiza majini wamletee mavi tena anasrma kamuomba mungu hajamsaidia huyu jmaa ni muongo sana alikua anatumikia mashetani sio uislam
@andrewmhagama98169 ай бұрын
mungu allah afanyi kitu chochote kwa mtu alie okoka na awezi kumdhuru, mungu wenu ni mdogo sana ata mimi aniwezi kwa maana ni mkuu wa mashetani
@slimshah94602 жыл бұрын
Wewe muogope mungu wewe ni mchawi tu ,alafu unadai umsoma kote huko lkn Arabic yako yenyewe yakujulisha
@habibadaudi82422 жыл бұрын
We baba acha uwongo acha kuchafua dini yawatu mavazi ni mavazi tu halafu huna hata haya
@michaelassam57892 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@husseingabo54972 жыл бұрын
Yaani huyu anadanganya mchana kweupe shenzi kabisa huyu
@heritier51192 жыл бұрын
Kachafua dini ipi SAsa huyu alikuwa mchawi aliyejifichia kwenye dini
@tututz1002 жыл бұрын
J.BOYS.F.C.1999
@elisantebenjamin26132 жыл бұрын
Divistar huyu Mtumishi ana ushuhuda mkubwa na stori nyingi nahisi bado hujamchimba vizur aelezee yale aliyosoma chuo kule nje alipokua muislamu na vile aliketi na kina Gaddafi ilikuaje na chuoni wanafundishwa nini @Davistar