Ushike mkia darasani uje kulilia like KZbin hujielewi
@gabrielenocygabriel4623 Жыл бұрын
Story nzuli sana jamaa yupo makini hongera davista
@marryjoely8091 Жыл бұрын
Na uyu jamaa ananyota ya kupendwa na waganga tu wanamtumia na maisha haeenjoy ata hata. Pana chezea wamayo🤣🤣🤣
@Irenes_Kitchen Жыл бұрын
Mwamba huyu hapa💪wa mayo😂❤❤
@azuwaniriziwani2695 Жыл бұрын
tupe namba zake anywe soda, napenda sana anaposema maji marefu hapa
@bashiruhassani1017 Жыл бұрын
Jamn tukumbuke kumchangia kak davista
@Clevomk Жыл бұрын
I'm number 1
@MartinyMaryogo-nt6xg Жыл бұрын
huyu jamaa aliteseka sana jmn tumwombee sn
@bashiruhassani1017 Жыл бұрын
Nazan tangazo tuliona apo juu tumchangia kak davista so kusema me wakwanza wat kuna vit vyakuchangia
@mwashumcubwa1928 Жыл бұрын
Kumbe mzee n nguvu zake zote majini yamefaanikisha kumuuwa Duuuh uchawi xo inshu
@heritier5119 Жыл бұрын
Kwa shetani hakuna mshindi
@rachaelmichael Жыл бұрын
Atamaliza lini tuanze ya Pastor Meshack
@rerisamba Жыл бұрын
Wamayo jamani yani mimi nilidhania ndio pona yako nae kauliwa doh hii nikali sana huyo Mzee nakujigamba yote aliishia hivyo
@laoiyadi1176 Жыл бұрын
Wamayoooooo on air😂😂😂🎉
@Teacher_01 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️🔋
@jobuish Жыл бұрын
Wamayooooo na misosiiiiii 😅😅😅 Ni nomaaaaa
@bintalmasi2393 Жыл бұрын
Duh Wamayo anaenda kutumiwa tena
@ANITHASTEPHEN-bs1ee Жыл бұрын
Naomba part 35
@deusdeodavid5360 Жыл бұрын
Sasa wamayo baada ya kupanda ndege kwakua huonekani unapanda basi
@womanofsteel1402 Жыл бұрын
Story yangu pendwa ya 🔥🔥🔥
@mabulamasunga7378 Жыл бұрын
Maajabu ya Dunia
@jacksonerasto3696 Жыл бұрын
Mzee maji marefu chaliiiiii!!!!😥😥😥😥
@heritier5119 Жыл бұрын
Shetani Hana fadhila
@stejasatv7349 Жыл бұрын
God protect you
@bakari-si1pw Жыл бұрын
Utuwekee na yule dada ile ya Maiti ya sheby boy ametusaau sana
@ashajuma2313 Жыл бұрын
Dalasa kubwa sana hili duuh🤔
@ibrahimngokoe2102 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@rebeccajames4412 Жыл бұрын
Nikitegea haweki nkitoka hivi anapost😢 bt ni sawa ntakua no. One tu siku moja😂😂😂😂😂wamayooooo all the way..
@mwashumcubwa1928 Жыл бұрын
Nimechelewa Leo 😢
@patrickpazza4764 Жыл бұрын
Hapana jamaa n story nzuri na Kuna funzo nalipata hapa kwenye issue ya biashara na uwekezaji kwa ujumla
@mosessimiyu2051 Жыл бұрын
Tupo pamoja, wamayo
@johnmkama8902 Жыл бұрын
Upagani unakazi Sana watu nikufa nakugangana halafu wanakufa kibudu Sana dawa ni kuokoka tu kwa ukwwli
@mwitamalwa2773 Жыл бұрын
Leo mwamsho naomben lakes zenu
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
hii simulizi ni nzuri sana ila sijaianzia mwanzo,
@mildredakinyi9855 Жыл бұрын
Azà utatufikia
@bakari-si1pw Жыл бұрын
Bado anaona mambo yakutisha sna wewe moyo wako maka wa chuma 😮
@kiehbhzh7044 Жыл бұрын
Majigambo yamemwisha mzee daah 😢
@florakimaro-vw7qj Жыл бұрын
Wamayo najikaza tu story inatisha hii najuta kufwatili najikaza tu
@hildascorner2327 Жыл бұрын
😂😂😂
@GLORIAHAROYAL Жыл бұрын
So maji marefu alikufa
@kashuradiocles1068 Жыл бұрын
Tuwemoooo
@esterlove9035 Жыл бұрын
Aisee umepitia
@butondodavid2105 Жыл бұрын
Washirikina wanasema bora kupoteza hiriz kuliko kufiwa na mganga .MAJI MAREFU KAWA MAFUPI NA TAJIR WAKE WAWIZ
@mwami_the_don_ Жыл бұрын
Like mnafanyiaga nini
@kashuradiocles1068 Жыл бұрын
Tunakula
@mwajumamuhammad5074 Жыл бұрын
Like wanafanyiaga nini hahahaha swali zuri sana
@joivon3038 Жыл бұрын
Kifupi we ulikua msukule unaejitambua wat huchukuliwa hivi wapo wengi sana
@shepherd1x84 Жыл бұрын
Mimi hujiuliza nchi hii inaishije kama washirikina wako na uwezo wa kutengeneza pesa haramu,kutoonekana kwa hali ya kibinadamu duh!
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊🙏
@cyantess8423 Жыл бұрын
wamayo amevunja rekod hapa mchanganyiko malum waganga nimehesabu hawa 1 ndagu 2 kafunga mama kwa lodge 3 ustazi 4 wa show na fisi 5 kamtuma akaenda kwa babu 6 akafa nimekosea auu vp? nipo mpaka aokoke
@ANITHASTEPHEN-bs1ee Жыл бұрын
Pole wamayo naomba part 34
@leaherasto929 Жыл бұрын
Mzee kakata Moto nani atamsaidia jamaa?? Ngoja niendelee na story
@MUSAMNAKU-r7e Жыл бұрын
Maji marefu akawa maji mafupi.
@tegeschannel2131 Жыл бұрын
Lakn wamayo kuna mda alisema huyo mzee mpaka sasa yupo 😂. Sasa inakuaje mzee kumbe aliuliwa na radi?
@barakabahati6600 Жыл бұрын
Hii story iliandikwa getoni 🤣😂😅🤣😂😅😄
@rahimomary7663 Жыл бұрын
Na Mimi nashaangaa au alimaanisha mtoto wa marehemu maji marefu ndiyo yupooo😂😂😂😂
@NAIKODOYENG Жыл бұрын
Wamayo tumo kimoja,,,,,,,
@LavazasBroadcast Жыл бұрын
Davistar Control interview umeiachilia vitu zingine hatuelewi maana huyu jamaa anafanya exaggeration sana. Alafu mbona kasema huyo mzee yupo hadi sasa tena anasema kapigwa radi kafa 😅... Following from Dar. Wapi likes za Wakenya wanakaa bongo?
@DavistarMataMediaDM Жыл бұрын
Mzee yupi maana alipitia wazee zaidi ya 20
@heritier5119 Жыл бұрын
@@DavistarMataMediaDMMzee yule mwenye mandevu aliyemuua mganga na mfanyabiashara
@salngas902 Жыл бұрын
Dunia ina mambo
@AminaMaziku Жыл бұрын
Duu kumbe mganga amekufa Tena m nilikua nashida nae
@rehemaabinelynyagawa2878 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Amina wewe
@happsamwita7381 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅 Yan alivotesek Ivo bdo mnatak waganga Mimi nimeogopa mno