PART4:BINADAMU ALIEENDA MBINGUNI/PEPONI AKAONANA NA MUNGU NA AKAFIKA JEHANAMU AELEZA SAFARI NZIMA.

  Рет қаралды 4,962

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 209
@elizanzula8375
@elizanzula8375 3 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana prophet simama imara kabisa na Kazi ya MUNGU utabarikiwa zaidi na zaidi uzidi kufungua watu kutokwa kwa utumwa wa ibilisi bwana yesu apewe sifa milele nguvu na ufukufu ni vyake milele tumsifu MUNGU ni wa neema kubwa. tuombee sana prophet..
@fidelbarutwanayo4068
@fidelbarutwanayo4068 3 жыл бұрын
Tatizo huwa mnaamini mtu kwenda kuzimu lakini mtu akisema kamuona Malaika kila mtu huwa anakuwa kwenye Dunia yake ila tunaweza msikia wote
@rahaisacl9954
@rahaisacl9954 3 жыл бұрын
Kwakwel mpzi kwann shetani aeze kukupa majini 1000 why mungu asikupe malaika wake na yy wakulinde mm namuamini kwakweli acha mungu atuonyeshe yake tumepotea sn
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 3 жыл бұрын
Upo sahihi mnoo ninacho gundua watu wamezoea habari flani hizi zingine zenye neema ndani yake watu hawapo teyar kuamini Bali ninaimani had mwisho wa story mwenye akili na maarifa atapata kuelewa na kujifunza zaid nayaweza kua akapata kurekebika Kwa namna moja ama nyingne
@Samir20005
@Samir20005 3 жыл бұрын
Nime barikiwa kweli from 🇺🇸
@miriamngosha6856
@miriamngosha6856 3 жыл бұрын
Yaani Davista una araka 😃 yaan katika story zako zote hii ndiyo unakiwewe sana yaan una muhao sio wa nchi hii 🤣🤣🤣🤣🤣 embu tuliza mzuka bas boss
@subiramohd1895
@subiramohd1895 3 жыл бұрын
Muulize davi daah hawa mitume wa uongo muulize hasaaaa usimuache salama
@just_this_way
@just_this_way 3 жыл бұрын
Za kina Zabron na kina Lwanda magere.
@just_this_way
@just_this_way 3 жыл бұрын
Yani ni uongo tu. Ht stor ya yule shekh omari ni ya uongo. Stori za kweli ni
@sayari_ya_simulizi
@sayari_ya_simulizi 3 жыл бұрын
Yeu kafa,kaadhibiwa kuzim..yesu n mungu yesu n mwan w mungu ...tuelew vp
@mariamndimbo8833
@mariamndimbo8833 3 жыл бұрын
Vyote amini
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 жыл бұрын
Kijamaaa kiongoo😃😃😃😃😃 Hamna shalobaro akamjua mungu
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
Ukweli ni upi ndugu?
@sayari_ya_simulizi
@sayari_ya_simulizi 3 жыл бұрын
Mungu ana roho ...so anaweza kufa
@alfambaga9823
@alfambaga9823 3 жыл бұрын
Mungu ni Mungu tu
@costantinekikinda7574
@costantinekikinda7574 3 жыл бұрын
Acha ushetaniki story uwezi mwona mungu ukaishi
@sayari_ya_simulizi
@sayari_ya_simulizi 3 жыл бұрын
Hakuna aliewahi kumuona mungu
@sadamkhamis1956
@sadamkhamis1956 3 жыл бұрын
🤣🤣 kwa kweli triple hii tumewezekana
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Round hii mko mahalii pazuri hongereni kama nikwa prophet hongeraa zake
@maserafirecord8178
@maserafirecord8178 3 жыл бұрын
Haya nimambo ya Ndani sana ki roho wengi hawawezi Eliwa Lazma uwe Wa Rohone Ndo Uelewe
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu Mimi pia najifunza
@carolinewanza2648
@carolinewanza2648 3 жыл бұрын
Unaishi mbinguni auu....ni mdudu gani uyo anaitwa mbali......
@meenalaza2839
@meenalaza2839 3 жыл бұрын
😳😳😳😳😳😳😳😳huyu jamaa nimuongo jamani duh kitu cha Arusha bado kipokichwani mwake
@pili3750
@pili3750 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ole_larusai587
@ole_larusai587 3 жыл бұрын
Davistar unafeli wapi ndugu yangu? Hii story ni ya kutunga! Tuletee sheikh Mnyeshani kaka.
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
Ila za kichawi ndio sio za kutunga?
@ole_larusai587
@ole_larusai587 3 жыл бұрын
@@jamesolando2479 sijamaanisha hivo. ..ukisikiliza vizuri utajua ni za kutunga...kama yule Danny naye alitunga tu
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
@@ole_larusai587 sehemu gani ya story uliyosikiliza vizuri ukaona hapa katunga?
@saidessry9942
@saidessry9942 3 жыл бұрын
inawezekana ikawa sio ya kutunga lakini aliwowaona moja kwa moja ni mashetani mtu mvuta bangi anapewa utume ndani ya miezi mitano ila mengi ktk maneno yake anatoa ktk ufahamu wake binafsi kila maswali anayoulizwa anajibu kwa ufahamu wake na ianoneshea bado kijana mdogo hajapekua vitabu vya kutosha lazima tuwe makini asante alphonce
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
@@saidessry9942 kwa nini wawe mashetani na sio malaika?
@kahindiwanje90
@kahindiwanje90 3 жыл бұрын
Safi Sana broo
@suzansimon5296
@suzansimon5296 3 жыл бұрын
Yahvo mbn n kawaida tuu hata mm huwa naota mengi yatakayotokea mbele
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
😂😂😂atakayemaliza hii story atanihadithia. Mi naona mapichapicha tu😂😂😂
@user-wv3th2ln4d
@user-wv3th2ln4d 3 жыл бұрын
Yani mimi ndo kwanza alivoaanza2 naona mapicha picha2
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
@@user-wv3th2ln4d tumepigwa😂😂😂
@sayari_ya_simulizi
@sayari_ya_simulizi 3 жыл бұрын
Mm naskiliza story....ila nina uhakika 💯 jamaa kaonana na falme ya majini waovu kaja kuwapoteza na hawa watu wa humu
@glorynguma3593
@glorynguma3593 3 жыл бұрын
That's my Dad MTU hatarii sana
@costantinekikinda7574
@costantinekikinda7574 3 жыл бұрын
Kanisa lako nalipiga na kuliangamiza wewe na familia yako acheni uchawi kwajina la YESU KRISTO MUNGU WETU AMEN AMEN mgeukieni mungu haraka kama hamtogeuka basi nafyeka wote na kanisa nalifunga kwa jina la YESU KRISTO AMEN
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Haha Mata bn eti usiachee hata moja hatakama tutachukuwa mwexi mximaa😂😂😂😂💥💥
@oscarkibate1913
@oscarkibate1913 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie tuwe macho wakristo
@faridaahmed2671
@faridaahmed2671 3 жыл бұрын
Eti nikamkasirika mungu jamani😂😂😂😂
@mariamndimbo8833
@mariamndimbo8833 3 жыл бұрын
Yes
@happykajeli5453
@happykajeli5453 3 жыл бұрын
Asante baba yangu unanijenga ktk imani
@makame3524
@makame3524 3 жыл бұрын
Mr dm mulize alimuona furkum wa mnyeshan alipoenda uko mbinguni🤭
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@just_this_way
@just_this_way 3 жыл бұрын
Yani stori ya Uongoooo. Eti malaika wana jinsia 😳😳😳
@jonnyfranco5318
@jonnyfranco5318 3 жыл бұрын
Wap nchibalonda aje kuskia hii k2
@achsahcharles6728
@achsahcharles6728 3 жыл бұрын
😂😂😂yuko Kalemii
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Mata kilamwanadamu anamalaika wake wakumilindaa
@swaeleesalim1272
@swaeleesalim1272 3 жыл бұрын
Interesting story tunataka movie sasa
@happynesskimt6249
@happynesskimt6249 3 жыл бұрын
Na mimi nafatilia ila sielewielewi 🤭😅😅😅😅😅
@paulagola919
@paulagola919 3 жыл бұрын
Bakora za kimkakati yupo wapi?huyu wa kuvaa jeans zilizochanika mwache ahojiwe na daniel shillah 🤣🤣🤣
@marthachai.humjuimalaikata939
@marthachai.humjuimalaikata939 3 жыл бұрын
Ukiwa unajua hii haikubari Acha kuangalia na inamana inakubariki ukiendelea kusikiliza story za uongo ndio watu hupenda lakini za kweli kwao huboeka.
@saidessry9942
@saidessry9942 3 жыл бұрын
ninaswali hivi malaika wanamuasi mungu halafu malaika anaweza kushindana na jini nakushindwa nakusudia level ya malaika ni sawa na majini maana naona jibrael alizuiliwa mbinguni siku 21 na mapepo hii ni toomuch huyu kijana ameshukiwa na malaika wakubwa ambao hata hao mitume waliopewa vitabu hawakushukiwa nawo kashukiwa na mikaiil na jibriil namuaminia kwa faida kila mtu ana malaika wawili na anajini mmoja kila mtu anawo malaika kazi zao ni kuandika mema na mabaya yako na huyu jini ni qarin wako unazaliwa nae kazi yake ni kukshawishi ktk maasi hivi viume haviingiliani na binadamu wapo kazini mpaka unakufa
@saidhamad533
@saidhamad533 3 жыл бұрын
Noma
@marthachai.humjuimalaikata939
@marthachai.humjuimalaikata939 3 жыл бұрын
AAA dada humjui malaika Tamuel Kwa kuwa hutumiki Kwa njia hiyo
@evalineawary3604
@evalineawary3604 3 жыл бұрын
Watu mmezoe story za kichawi mara majini mpaka mmekolea hata mungu aliye hai mmemsahau, na yeye pia anamatukio kuzidi hao mnaowafagilia yeremia17 amelaaniwa yule amfanyaye mwadamu kuwa Kinga yake, mwaminini mungu
@vellarose2596
@vellarose2596 3 жыл бұрын
Amen Amen🇧🇭🇰🇪👏🏽👏🏽👏🏽
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 3 жыл бұрын
Davistar hebu punguza basi maneno tupate series ya matukio,,,,hapo hata mfuatano wa matukio haupo kabisa,,,,,,muache atiririke ujaribu kuuliza a penye ulazima🙏🙏
@shukuruilomo768
@shukuruilomo768 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 3 жыл бұрын
Huu uwongo wa kipuuzi
@user-wv3th2ln4d
@user-wv3th2ln4d 3 жыл бұрын
Atakae maliza anihadithie jmn miye naona mapicha picha2 kama yote
@faridaahmed2671
@faridaahmed2671 3 жыл бұрын
😂😂😂malaika hana jinsia apo umechemsha
@nsubisingailo5006
@nsubisingailo5006 3 жыл бұрын
Na mimi usinisahau kwenye mgao wa energy drink
@andrewbigambo6721
@andrewbigambo6721 3 жыл бұрын
Sijamfustilia nimesoma maoni nimeshapata picha halisi.Anisidie kupata picha alizopiga mbinguni. Ni hivyo tu.
@suzansimon5296
@suzansimon5296 3 жыл бұрын
😂😂😂
@edwardsamwel5084
@edwardsamwel5084 3 жыл бұрын
Pamoja sana nabi
@frankanold9803
@frankanold9803 3 жыл бұрын
Hakika wewe Ni Mtume wa MUNGU
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 3 жыл бұрын
Hi story ni mchosho tu! Tuleteeni story makini ndugu! Huyu jamaa kila kitu anadanganya tu! Hana tofauti na aposto maziwa!
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
Mzee aposto maziwa alikupiga nini? Na kama unasema ni uongo je kweli kwako ni ipi?
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
na fimbo ya mb maziwa
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 3 жыл бұрын
Mi siwezi kupigwa na manabii wa uongo! Sahau! Walioenda ndo wanao smulia tunayajua!
@angelbenjamin7326
@angelbenjamin7326 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@qelseykenya3933
@qelseykenya3933 3 жыл бұрын
Mimi nipate zawadi Great fan nawapenda bure
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Davista bhana Eti anakupa hela
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 жыл бұрын
Nilisikia urefu wa Malaika ni gorofa 4 kwenda juu anatisha kweli
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Mapepo hao wanakuhadaa wanajibadilisha wanachezea akili yako.
@benahdesigner
@benahdesigner 3 жыл бұрын
Kaka dav unachelewesha sana story
@samuelnshimiye449
@samuelnshimiye449 2 жыл бұрын
prophet of GOD
@venessaroselyne566
@venessaroselyne566 3 жыл бұрын
Mr facts mashwali yako yananifanya nicheke😹😹😹
@nurukhamis7454
@nurukhamis7454 3 жыл бұрын
😫😫Napita jamani 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@subiramohd1895
@subiramohd1895 3 жыл бұрын
Davista hebu kaa mbali na mabilisi kama hawa hee hee duuu moto unachochewa huko kwa ajili ya binaadamu umeonana na munguu au ulimuona babaakoo
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rogermomodesty3568
@rogermomodesty3568 3 жыл бұрын
Umenikosha Sana ungekuwa karibu yangu ningekupa chochote
@shimii3662
@shimii3662 3 жыл бұрын
Alimuona baba ako
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@rogermomodesty3568 nipe mie badala yake🤣🤣🤣🤣
@francisgaudence511
@francisgaudence511 3 жыл бұрын
Tutafutie hamza atueleze kuhusu Israel na Palestina
@Sarah-hl9lr
@Sarah-hl9lr 3 жыл бұрын
Haha Davy eti moto utapungua?
@rashidiwataka7618
@rashidiwataka7618 3 жыл бұрын
Davister mic 🎙 yako hipo mbali sana sauti yako atusikii sawa swali zako
@elizabethjohn7177
@elizabethjohn7177 3 жыл бұрын
Nauifikishe zawadi
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
napia ututajie hawa mitume waongo
@berthamghanga1093
@berthamghanga1093 3 жыл бұрын
Hilo nalo neno, atutajie tuwajue
@carolinewanza2648
@carolinewanza2648 3 жыл бұрын
Mm ningeomba kama inawezekana nikaongea nae ju nina matatizo
@ahyatibenn8319
@ahyatibenn8319 3 жыл бұрын
Astaghafirullah...
@rosemarry2020
@rosemarry2020 3 жыл бұрын
Devi naomba namba zake tafadhali sana
@alphoncekusaja1114
@alphoncekusaja1114 3 жыл бұрын
Nahtaji kulifaham kanisa lake
@juliusmushi6428
@juliusmushi6428 3 жыл бұрын
Davista mi zawadi yangu nitakuja kuchukua mwenyewe
@qelseykenya3933
@qelseykenya3933 3 жыл бұрын
Nikija tz lazima nitafute kanisa lake
@evasaimon6764
@evasaimon6764 2 жыл бұрын
Shuhuda haieleweki haina mpangilio wa matukio yan kelele tupu
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Nani aliye muhukumu Yesu?
@mariamndimbo8833
@mariamndimbo8833 3 жыл бұрын
Yesu ajahukumiwa
@musicworldwide2625
@musicworldwide2625 3 жыл бұрын
Okay okay okay sawa
@rukiyaissa2005
@rukiyaissa2005 3 жыл бұрын
Muong mkubwa ww
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@ole_larusai587
@ole_larusai587 3 жыл бұрын
Davistar niseme tu nilikuwa nakuamini sana! Sasa naona umekuwa kama unashindwa kutambua stori za kutungwa? Huyu ndio wale akina Mtakatifu Mziwa! Ni walewale! Akiimaliza huu uongo uniwekee sheik Omary niendelee kupata shule.
@just_this_way
@just_this_way 3 жыл бұрын
Na mimi nakusapoti. Yani ni stori ya uongo.
@just_this_way
@just_this_way 3 жыл бұрын
@@ikabako2454 Ninyi wakristo mmezoea hizo fix, sisi waislamu hatu-intatain mambo ya fix. Kwa waislamu ukija na hizo fix unatiwa bakora mpaka unashika adabu.
@ole_larusai587
@ole_larusai587 3 жыл бұрын
@@ikabako2454 hatuwezi tukanyamazia upuuzi wa kusimuliwa uongo. Hii channel bila sisi watazamaji haina maana
@happyperson3016
@happyperson3016 3 жыл бұрын
Huyo spiritual father wake ndio bonge la false prophet...matukio kibao amekuwa na scandal juzi tuu
@georgemaji7915
@georgemaji7915 3 жыл бұрын
Huyu kaka ni takataka ya Ibilisi: rusifer!
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
Kwa nini sio Mungu iwe ibilisi?
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 жыл бұрын
Duh🙄💪
@jesusislord9190
@jesusislord9190 3 жыл бұрын
Haya.... twende..labda tutaelewa
@nsengakabulo4076
@nsengakabulo4076 3 жыл бұрын
Davist tupe story ya mana siyo iyu tutakajioneya siku ya mwisho njo tukawajuwe namAjina ya malaika
@abushaddad989
@abushaddad989 3 жыл бұрын
Uongo mkubwa Malaika hawana jinsia Acha kudanganya kijana.
@paulinerathgeber1045
@paulinerathgeber1045 3 жыл бұрын
Wajuaje hayo?
@rahaisacl9954
@rahaisacl9954 3 жыл бұрын
Prophet ako na macho matatu........ Atupe no jmn tunahitaji maombi
@chingaboy6917
@chingaboy6917 3 жыл бұрын
Hii story ikiisha mtaniadisia yani uwongo mtupu
@florencerose859
@florencerose859 3 жыл бұрын
Malaika jina Tamael? Hilo ni kigeni kwuangu na Mimi ni mkiristo
@bensonswai7575
@bensonswai7575 3 жыл бұрын
Ulitaman bibilia iwataj wt maelfu ya malaika yangeixha na ww tumika kiroho iliuzbtxh co mkristo jna afu unaongea ongea
@milkahotieno2198
@milkahotieno2198 3 жыл бұрын
Safari ya mbinguni ya pendeza
@kakajoss2464
@kakajoss2464 3 жыл бұрын
Mtumishi yuko sawa huyu
@petersume2780
@petersume2780 3 жыл бұрын
Mbona kama movie hivi, au imani yangu haba.
@Sarah-hl9lr
@Sarah-hl9lr 3 жыл бұрын
😁😁 engeza imani
@user-wv3th2ln4d
@user-wv3th2ln4d 3 жыл бұрын
Asitaghafrulilah Jamani dunia naona imefika mwisho 🤣🤣🤣🤣🤣
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
Unahitaji kujifunza zaidi.akili yako isifungwe kwenye be open minded. Hivi mtume Muhammad alikutana na nani kule pangoni?
@user-wv3th2ln4d
@user-wv3th2ln4d 3 жыл бұрын
Achana na habara za mtume Muhammad huyo anaongea habari za mtume Muhammad acheni kufanya comedian jmn aty amalaika wakiume anamabawa🤣🤣 astaghafrullah
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
@@user-wv3th2ln4d malaika unayemjua wewe yukoje?
@user-wv3th2ln4d
@user-wv3th2ln4d 3 жыл бұрын
@@jamesolando2479 my brother miye sijawahi kumuona malaika na sijui umbo lake lkn haya ninayo yasikia hayaingii akili
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
@@user-wv3th2ln4d sister moja hujawahi kumuona malaika, lakini pili hata umbo lake hulijui, sasa inakuaje unaanza kupinga? Ungekuwa unajua basi ungetwambia kwamba hayuko hivyo bali yuko hivi, unahitaji kujifunza zaidi dada
@edwardsamwel5084
@edwardsamwel5084 3 жыл бұрын
Manabii wa uongo wako wapi wasikie
@saidessry9942
@saidessry9942 3 жыл бұрын
hii kali leo ndio mara ya kwanza kusikia mashetani ni watoto wa mungu
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Hhhhh umeona ee Akili ni mali
@mamyomar9206
@mamyomar9206 3 жыл бұрын
1
@kabulagodfrey5343
@kabulagodfrey5343 3 жыл бұрын
D naomba umuulize mtumishi kwanini manabii wengi makanisani,huwa wanaweza kuwatabilia wageni tu kwa mara ya kwanza lkn ukiendelea kusali kwa huyo nabii huwa hawezi kukutabilia tena?
@achsahcharles6728
@achsahcharles6728 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@subiramohd1895
@subiramohd1895 3 жыл бұрын
Ndio hawa wanaokuja kutubu wakasema wameuwa watu elfu moja kwa siku
@rogermomodesty3568
@rogermomodesty3568 3 жыл бұрын
Mnaofatilia hi stor naomba kujua Ni mzuri au mbaya maana mi stor za Hawa akina aposto uwa sifatilii
@lifezest6274
@lifezest6274 3 жыл бұрын
Huyu ni nabii wa kweli. Msikilize utajifunza mengi. Ana neema kubwa ya kupata mafunuo mengi, anajua siri nyingi za ulimwengu wa roho. Usiangalie muonekano wake au umri wake, Mungu humchagua amtakae akitaka kutoa nishani. Waongo wengi ila huyu ni nabii kweli, labda akengeuge badae ila kwa sasa ni mtu makini na lucifer ana taarifa zake. Mungu amlinde mtumishi aendelee kumuaibisha shetani. The light side always wins.
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
davistar wataka malaika wa mafanikio ee
@musicworldwide2625
@musicworldwide2625 3 жыл бұрын
Na hiyo zawadi ifike bana mi wa kwanza
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mainapatrick2295
@mainapatrick2295 3 жыл бұрын
Nice story big up brother 🙏
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 3 жыл бұрын
Davistar iko wapi sheikh Omar hatutaki hiyo Story
@msrj5764
@msrj5764 3 жыл бұрын
Utak wewe pekeako wengine tunataka
@FineLOOKtZ
@FineLOOKtZ 3 жыл бұрын
Number zake please mr fact... naishi mbali sana nahitaji number zake za watsapp...
@subiramohd1895
@subiramohd1895 3 жыл бұрын
Unataka mukamuone mungu pamoja auu
@subiramohd1895
@subiramohd1895 3 жыл бұрын
Unataka mukamuone mungu pamoja auu
@rukiyaissa2005
@rukiyaissa2005 3 жыл бұрын
Muong
@FineLOOKtZ
@FineLOOKtZ 3 жыл бұрын
Так точно
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@subiramohd1895 🤣🤣🤣🤣🤣
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Astaghfirullah... Makubwa haya Baba yake na shetani ni mungu?🤔🤣🤣
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
😀😀😀😄
@tututz100
@tututz100 3 жыл бұрын
SAFARI NZIMA.
@oscarkibate1913
@oscarkibate1913 3 жыл бұрын
“Beloved, do not believe every spirit, but test the spirits to see whether they are from God, for many false prophets have gone out into the world” (1 John 4:1). In this verse believers are commanded to “test the spirits to see whether they are from God.” This same command is echoed in other parts of Scripture as well. For example, in 1 Thessalonians 5:20-21 we find Paul exhorting the Christians to not “despise prophecies, but test everything; hold fast what is good.”
@rehemamayende552
@rehemamayende552 3 жыл бұрын
Davista anakuelewa
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 16 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 493 М.
🔴KUMEKUCHA:  ..... Agosti 01,2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 11
ToRung short film: i sell watermelon🍉
0:38
ToRung
Рет қаралды 22 МЛН
❗️XOTINI YOMON QURQIB KETTI 😱😱
0:18
HUSAN_SHORTS1
Рет қаралды 4,9 МЛН
ToRung short film: i sell watermelon🍉
0:38
ToRung
Рет қаралды 22 МЛН
Czn Burak vs Argenby Which sigma is better?
0:19
ARGEN
Рет қаралды 14 МЛН