Jamani,tumchangie huyu dada, 😭 roho imeniuma Sana huyu dada alifungwa Toka kwa yule mme wa mwanzo, yaaani hakustuka mapema, tatizo lilianza kwa yule aliyekwambia kuhusu maji ya maiti
@marthashenenga90762 жыл бұрын
Ndiyo hata Mimi na msapoti aliyesema kuhusu maji ya maiti akufunguka tu. Lakini ndiyo chanzo.
@farajamkuchu84582 жыл бұрын
Daaaa nimejisikia huzuni sana ajent washetan siokabisaa yupo Yesu mwenye huruma amekuhulumia pole sana dada
@vivicagreco77678 ай бұрын
Pole mamy,,, wewe unautumishi WA Mungu NDANI yako,, pole.. kibinadamu inauma sana,,, ila Kuna mahali pazuri unaenda.
@lilianmrema65682 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe, pole sana dadangu najua hali unayopitia katika ulimwengu wa roho ngumu kweli. Lkn naomba nikushauri kama utaweza kusafiri naomba uende Tabora kunamtumishi atakusaidia kukuombea na kujua chanzo cha tatizo ni kipi na utafunguliwa kabisa na kuwa huru kabisa lakini unatakiwa kuwa na Imani kuwa Mungu anaweza na anaponya. Kanisa ni Horebu ministry lipo cheyo B karibu na msikiti.
@frankchande30632 жыл бұрын
Pole sana dadaangu,utapona tu hakuna jambo linaloshindikana kwa mbele za Mungu
@annazacharianmko46572 жыл бұрын
Abarikiwe aliekushauri kwa mtumishi wa mungu Elibariki sumbe wataaibika waliokutendea hayo watamuona mungu wako
@rachelwanganga9392 жыл бұрын
May our mighty living God heal and deliver you. May he restore you, in mighty name of Jesus Christ. Amen and Amen.
@winniefloeys94602 жыл бұрын
Huyu dada namfaham sana alikuwa anaishi kwa fina buzuruga nilikuwa nampenda sana hata yeye ananifaham mimi nilikuwa dada yao,kumbe upo mama nilikutafuta sana nilikatishwa tamaa
@elpidiusezekiel27292 жыл бұрын
Huna mawasiliano yake jamani
@julithmsokwa61972 жыл бұрын
Chukua namb ake kwa davister
@nasrasway71432 жыл бұрын
Final umempata
@deomassawe84622 жыл бұрын
Dada mtafute kuhani Musa wa Kimara Temboni
@angelalyimo28622 жыл бұрын
Pole
@sarahkeivaly33512 жыл бұрын
Pole Sana dadayetu, kama ambavyo wengine wameweza kukushauri uende kwenye maombi. mm pia nakushauri dada uzidi kumtumaini Mungu amini kwamba Hutakufa bali Utaishi ili uyasimulie Matendo makuu ya MUNGU!! Ee Bwana Yesu Kristo tunakuomba, Umponye dada huyu, ili arudi pia na kuendelea na majukumu yake ya kawaida!!
@marymolel8002 жыл бұрын
Daaah nimeumia shetan n mpuuz sana tuko pamoja dda mungu wa mbingun akuinue na utasimama tena
@josephinejoseph36222 жыл бұрын
Pole dada nimelia sana.Mungu atakuponya hebu jaribu kukitia mafuta ya upako Kuna mtu alikuwa na Fonda km Hilo na akapona.
@dativajoachimwai11942 жыл бұрын
mdada mzuri sana,akili nyingi,heshima nyingi, Mungu akufunue macho uone sawasawa. usikubali kuendelea kukanguliwa mguu wako mwisho wataukata maana ndo mpango wa shetani. ingia kwenye maombi na utapona wala hutachukua muda.
@vivicagreco77678 ай бұрын
Kweli kabisa, tumuombe jaman,
@graytonndamgoba48052 жыл бұрын
Naomba Bwana Yesu akuponye.utapona kwa Jina la Yesu Dada
@mercyanyango53232 жыл бұрын
Aje kenya kwa maombi kwa pastor eziekiel kilifi mavueni atasaidika kwa maombi mungu atamsaidia
@eliethmwanguya71182 жыл бұрын
Davistar mshauri mama amrudie Mungu maisha yake yatakuwa sawa, hakuna linaloshindikana kwa Mungu
@khadijamwenda18512 жыл бұрын
Polee sana Mumy.. Davista msaidie watumishi WA Mungu wenye nguvu
@rashidyasser94232 жыл бұрын
Pole sana dadayangu !! daah unapitia wakati mgumu kwa kweli lakini na kuhakikishia utapona kwa uwezo wake Mungu amen 🙏
@annazacharianmko46572 жыл бұрын
Dada mungu amesha kuponya nasubiri testimony jpili nilikuona kwa sumbe mungu akushike mkono
@ayshasaid15472 жыл бұрын
Pole dada iyo atakua amechelewa angesema sumu imeshatambaa mungu yu pamoja nawe kapime na sukari pia
@venessaroselyne5662 жыл бұрын
Pastor ezekiel mombasa kenya dadangu nakuambia akienda uko atapona na ata mtoto atarudishwa n miroho ametupiwa na spirit of rejection anayo pia mungu akurehemu na ailinde nyota yako sana wanaitafuta ao kwa sana
@lowassaloitore47742 жыл бұрын
Dada mtegemee Mungu katika Kristo Yesu, hakika yeye ndio mponyaji, hakuna jambo lisilowezekana kwake hata siku moja. Kinachohitajika ni Imani tu juu yake Yesu.. Mungu anakupenda sana, Wachawi hutumika sana na kuzimu kuharibu maisha ya watu na kuleta mateso makubwa sana kwao... Sio muda wa kutangatanga simama imara katika Imani, Mtafute Yesu Kristo na atakusaidia... Hila za kichawi zina mwisho, lakini Uwezo na Uweza wa Mungu hauna mipaka, Unachohitaji ni kujisalimisha kwake, YEYE huleta tumaini jipya pale ambapo mwanadamu amekata tamaa kabisa, usikubali kushawishika kurudi kwenye uganga, Mtafute aliyekuumba ambaye ni Mungu Mwenyeenzi Katika Kristo Yesu. Atakutetea sana, Mungu anatupenda sisi wanadamu,, Upendo wake hauwezi linganisha na chochote, amekutetea sana na ni Imani yangu atakuponya hakika,anasubiri tu pale utakapoachilia moyo wako wote kwake, kwamba huna tena msaada mwingine hapa duniani zaidi yake, Mkimbilie Mungu atakuponya dada yangu, na atakutumia sana maana wewe ni mtoto wake na ni mtumishi wake. Hata pamoja na madhambi tumetenda kwa kujua ama kwa kutokuja YEYE hutusamehe bure, na kutuponya.. Mungu akupe uzima na akuponye kabisa kutoka katika nguvu za giza.. Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi, Mungu wa Wote Wenye Mwili katika Kristo Yesu Tusaidie Sisi Watoto Wako, Ututenge na maagano ya kichawi,kiganga,kishirikina na utupe afya njema. Amen,
@irenemolely86612 жыл бұрын
Pole sana dada mungu akuvushe
@wemamanikana97912 жыл бұрын
Pole sana dada, nimeumia mnoo, Mungu atalipiza kisasi kwa aliyekufanyia hivyo
@beatricepallangyo28212 жыл бұрын
Pole sana Dada. Mwenyenzi Mungu Akuguse na Mkono wake wa Kuume wenye Nguvu ukawe juu yako!!!!!! 😭😭😭😭😭
@rodasanga13122 жыл бұрын
Pole sana dada njoo moshi kwa mtumishi tumsifu matiasi utapona hospitali YA Mungu
@macingatvmedia48682 жыл бұрын
Mungu akutendee mema kwa utatu mtakatifu.
@stay_onit3602 жыл бұрын
Mungu akakuponye mamangu 😭😭😭😭daah umeniliza sana love u mom 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@marthashenenga90762 жыл бұрын
Mungu ni mwema kwakweli. Ulipigwa kitu kibaya sana ila Mungu anakusimamia sana
@dudumankidume30462 жыл бұрын
Pole saana dada , naweza kusaidia na chochote kitu Ila kukufikia ndio sielewi Niko uganda
@usalamaedward11892 жыл бұрын
Mpigie kwa namba alizo zitaja hapo ndo utajua namna gani msaada wako atamfikia
@theunseen.believe56722 жыл бұрын
God has a purpose for you in this world,suffering is but for a while but God will surely heal you and make you great person,Amen
@bijouxdiana15272 жыл бұрын
Pole dada yetu utapona mungu yupo
@katalinasangama1932 жыл бұрын
Pole sana dada jalibu kwa kuahani Musa kimala temboni mungu atakusaidia
@rehemaabinelynyagawa28782 жыл бұрын
Pole sana Mungu wa mbinguni akutane na haja ya moyo wako tafuta makanisa ya kiroho kweli kweli achana na hawa maarufu wengine ni ma agent wa shetani jipe moyo ni jaribu litapita usiende kwa Waganga mshikilie Mungu hakuna jambo linalo mshinda 🙏
@christaoman88902 жыл бұрын
Aisee.pole sana ila sumu ya nyoka ilisambaa sana hapo mguuni ndio maana mguu ulitaka kuoza Mungu akutie nguvu
@nasrasway71432 жыл бұрын
Pole ndugu yangu mungu akusikie maombi yako kua na iman u will be safe dear pole Sana my
@agapejosceline82622 жыл бұрын
Pole sana mama. Endelea kumu omba mungu aku oneshe tena zaïdi. Mungu ana tu penda sote kila mtu ana riziki yake
@khadijamohanani64762 жыл бұрын
Dah pole dadangu huo ni mthihani mungu amekupa .inshaallah ipo siku utapona urudi kama zamani
@godfreymollec82062 жыл бұрын
Pole sana ukiona kitu kama hiyo siku nyingine chukua hatua haraka maombi ni muhimu kemea kwa pepo kwa jina la yesu
@glorialaizer94502 жыл бұрын
Pole sana, ni maombi na yesu anaponya.
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Pole mama ngoja tukuchangie mpendwa
@kevindaud90692 жыл бұрын
Pole dada yesu yupo atakusaidia utapona ..
@naimakhamis87482 жыл бұрын
Pole dada usikate tamaa Kwenye maombi mapadre na mashehe nenda
@julyhaule68502 жыл бұрын
Pole sana dada tunaomba Mungu akuponye
@mohamedsuleiman27852 жыл бұрын
Pole dada mola atakusaidia ni mitihan tu ya maisha
@stellahbosibori29682 жыл бұрын
Dada tafuta deliverence kwa suguye,kuhani musa,Ebarikiwe sumbe,malisa
@jamilankaya68252 жыл бұрын
Jamani ,,,jamani. Mwenyezi mungu msaidie huyu dada mungu wangu. Mwenyewe ni mchspa kazi jamani. Kiukweli wanadamu tunapita mengi,,,lakini ili ushinde vita hii ya dunia Lazina upitie mengi. Ila yote ni mapito
@rahmamngoya90442 жыл бұрын
Pole sana dada lakini ungeenda kwenye maombi sana sana imeniuma sana sana sana.kazana maombi.
@saidmatikiti15662 жыл бұрын
Pole dada Mungu atakuinua tena shetan ni mbaya
@donathamwangobe27762 жыл бұрын
Pole sana Mama angu Mungu akukumbuke nakuombea
@mariamfritsi49432 жыл бұрын
Pole sana,
@GoldenDave012 жыл бұрын
Watching from kenya,it's so painful
@safiahamad95022 жыл бұрын
Pole sana dada ni mtihani tuu utaushinda
@koperawasona95512 жыл бұрын
Pole sana dada Mungu yupo amesikia chako
@BenjaAmosi-i4k Жыл бұрын
Mwamni mungu atakuponya kweli muschawi hana huruma
@ashurakiswamba70852 жыл бұрын
Mimi nnachoona kabla ya hospital nenda Kwa kuhani Musa au mwamposa Mimi natumaini mungu atakusimamia naamini
@rezikomer95522 жыл бұрын
Muombe mngu sana mungu ndiyo ana kutaka umukumbuke
@jacklinejerr24472 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
@allyhusseinally24612 жыл бұрын
Muombe allah allah ndokilakitu 🤲inshallah kwa uwezo wake na shifah yake allah utapona inshallah
@vivicagreco77678 ай бұрын
Jaman watu tuna stori mpk unaweza ukaweka msiba mwaka mzima tuliaga tuu. Mungu. Damu ya YESU KRISTO iponye icho kidonda,,
@estawilison1372 Жыл бұрын
Lkn Dada uliambiwa usimame na mungu ungetii yasingekukuta
@jovinessjovith97752 жыл бұрын
pole sana mama angu mungu atasaidia utapona
@tatukigua54562 жыл бұрын
😭😭😭😭 mungu mponye huyu dada
@jacklinejerr24472 жыл бұрын
Pole san
@hellenjulius77902 жыл бұрын
Pole mah
@nasizakayo35922 жыл бұрын
Yaani angeisikiliza sauti ya Mungu iliyomwambia afunge huyo nyoka asingemuuma maana angeomba kabla kufungua angekua na ulinzi wa Mungu pole sana ila kupitia wewe nimejifunza kuisikiliza sauti ya Mungu na kusimama vizuri kwenye wokovu nimeokoka davista kazi yako ienee uwasaidie na wengine.
@othmanmulendelwa96222 жыл бұрын
Nenda kwa sheikh othman michael atakusaidia usingalie imani
@apostlejoshuakuhanda55242 жыл бұрын
Ahsante sana. Nimeiona namba yake...kazi njema
@asiasalim93232 жыл бұрын
Subhana ALLAH pole Sana
@heritier51192 жыл бұрын
Msaidieni huyu mama yupo stressed hata usoni hayupo sawa. Hii ni ishu ya uchawi tu hio ni michezo midogo sana, KWA wataalamu wa tiba za kiroho.
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Usilie it’s done in the name of Jesus utapona
@nasrasway71432 жыл бұрын
Dada nenda maombi ndugu yangu umechezewa na Hawa watoto WA nyoka wanakufata sababu tayar uko na chata Yao ya uyu nyoka mjinga alietumwa pole Sana Dada
@daylight17072 жыл бұрын
Pole dada
@marieunique32652 жыл бұрын
Tupo live mama keshafunguliwa kwenye madhabahu yetu ya vuka yoldan arusha
@pstv44092 жыл бұрын
Always Niko na DAVISTAR 🙏🙏🙏 God bless you 🙏
@cyantess84232 жыл бұрын
there is a reason God allowed this to happen take heart he will heal you completely amen🙏
@reisezone45742 жыл бұрын
acheni kudanganya watu Mungu hawezi ruhusu binadamu aumie kwa kazi ya shetani, huyo ni shetani tu kafanya ubaya acheni kumsingizia Mungu,
@cyantess84232 жыл бұрын
@@reisezone4574 read the book of job in the bible & punguza upumbavu
@nasizakayo35922 жыл бұрын
@@reisezone4574 ni kweli ni mambo ya giza story iko wazi.
@teresakapinga79472 жыл бұрын
Dunia hii ngumu Sana,Mungu tusaidie
@othmanmulendelwa96222 жыл бұрын
Pole dada yangu kwa mateso unayo pitia mpaka leo nenda kwawa taalam wa kuponeshe apo wa chungaji awezi kukutibu ilo donda sugu
@catherineangel25292 жыл бұрын
Polesana dada mungu yupo anafanya mambo magum yasiowezekana kwa mwanadam kwa mungu anatuuponya yupo Yesu alietumwa na mungu mtetezi wetu alikufa ili sisi tuwe hai alichukua magonjwa yetu shida zetu amini tuu mungu yupo atafanya nenda kwa mwamposa au kwa sumbe au kwakuhani musa utapona kabisaa amini tuu
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Pole saana dada MUNGU akuponya tafuta kanisa ya kiroho hiyo nguvu ya giza zitaiisha
@aryanamendes87002 жыл бұрын
Nguvu ya uponyaji unayo ndani yako jiombee hio nguvu itakuachiaa
@marymeela20922 жыл бұрын
Eeeh! Mwenyezi Mungu naomba umponye huyu dada!
@abangaabanga46772 жыл бұрын
Pole sana mama, Mungu awe nawe, Yesu atakupoona 🙏
@gracewelschemeyer6652 жыл бұрын
Amen 🙏🏽
@heriethinnocent32832 жыл бұрын
YESU akuponye my dada😭😭😭😭😭
@julithmsokwa61972 жыл бұрын
pole sana mama angu
@TheSalma19992 жыл бұрын
Jamani tumchangie ndugu yetu jamani
@evelynesabina81682 жыл бұрын
Hyu mama karogwa na yule aliyemwambia kuhusu maji ya maiti
@allyhusseinally24612 жыл бұрын
Inauma sana🤲🤲🤲
@zahirrajab77132 жыл бұрын
Yn yule mama alie zaa na mumewe ndio anae mtesa mpk leo binadamu wabaya sana
@mwanahamisiselemani71192 жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu
@joshuayusufu42232 жыл бұрын
Mama unasema waganga ni shetani unakosea sana mungu alikuwepo nakufanya Kazi kabla ya ulokole kuingia au uislam, heshima imani za watu huwezi jua ni nani mungu anamtumia jua kuna wachungaji wa uongo na waganga wa uongo pia wako wa ukweli
@msaysha58862 жыл бұрын
Pole sana aisee ila Mungu yupamoja na wewe
@Monika-cp2gk2 жыл бұрын
Pole sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@chazp64362 жыл бұрын
Wanadamu wabaya sana
@furahaedmundi23022 жыл бұрын
Pole sana dada yangu
@venessaroselyne5662 жыл бұрын
Mwambie uyu dada akimbilie 🇰🇪 kenya 🇰🇪 kwa pastor ezekiel stapona mbona
@joycemuhoja47292 жыл бұрын
Pole Sana dada je huyo nyoka alikuwa ana ukubwa gani nimeogopa Sanaa
@tahirnephessalum36782 жыл бұрын
Hujazunguka kwa wataalam wa tiba huo mguu unapona vzur tu... usiwadharau wataalam wa tiba Asili ndizo tiba zetu za kiafrica... ukizalau Itakuwa mbaya sana
@stejasatv73492 жыл бұрын
Davita asante kwa story kali tunajifunza maisha
@tanzaniawomenyouthempowerm2672 жыл бұрын
Nenda kwa kuhani Musa kimara tembon, utapona dada
@norahkalunde38452 жыл бұрын
Dada jiungamanishe na mazabau za mungu
@norahkalunde38452 жыл бұрын
Yes uko aswa ndio maari sahihi sana ngomeni ndio jibu lake uyo dada Musa ana dressing ya uponyaji
@katherinasamwel39372 жыл бұрын
😭😭 pole sana dada yangu Mungu atakuponya
@TheSalma19992 жыл бұрын
It well tutakuchangia dada
@hajiabdalla57722 жыл бұрын
Njoo Zanzibar.mtafute shekh Salum Mardhiya utapata tiba za asili na dua utasomewa.ishallah utapowa au sikiliza Zenji TV Zanzibar utaweza kupata namba yake.usizarau fanya hivyo.dada
@patrickmaina54592 жыл бұрын
Shetani hawezi kumtoa shetani.....Yesu kristo Msaada wetu 🙏
@donathamwangobe27762 жыл бұрын
Kaka naomba no zako namm npo zanzibar nashida
@donathamwangobe27762 жыл бұрын
Kaka plz naomba no yako
@hajiabdalla57722 жыл бұрын
@@donathamwangobe2776 samahani sipo Zanzibar kwa sasa
@heritier51192 жыл бұрын
Hapa ni ishu ya uchawi umeingia mwilini inatakiwa utolewe mwilini kwanza.
@apostlejoshuakuhanda55242 жыл бұрын
It is a spiritual attack.... JESUS CHRIST IS ABLE TO FREE HER FROM SUCH TORMENT...