Hii stor naona kama haiend mbele.dav mwambie atupeleke kwenye point mana naona tunatambaa
@judiehance17363 жыл бұрын
Kweli,, vitu ambavyo sio vya muhimu aviache kwanza ama asielezee mno
@shamsaseiph72953 жыл бұрын
@@judiehance1736 yan mim mpaka nimeamua kuiacha stor mana kichwa chenyewe kimejaa matatizo ya maisha bado huyu nae angetupunguzia stress badala yake anatuchanganya
@judiehance17363 жыл бұрын
@@shamsaseiph7295 😂😂😂shamsa bhana
@shamsaseiph72953 жыл бұрын
@@judiehance1736 ndio mwaya
@igurusitv65533 жыл бұрын
Napeleka mbele lakini Bado chenga tu
@mwajumaselemani53703 жыл бұрын
Na hiyo dawa uliopewau ndo inayokuundama lila sehemu ukifika wachawi wanakuona sasa wanataka wakujaribu ili wajipime uwezo wako na wao
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Yaa ‘ Na siku zote wachawi hupenda kuwajaribu Watu wenye kinga’ hata ukiwa unaamini kila jambo MUNGU Akulinde watakujaribu jaribu sana ili kushindanisha na nguvu zao ’ jambo la msingi unakua huna hofu wala mawenge kabisa...!..UNAWACHORA TU..!
@bobkariz56633 жыл бұрын
Mob love from Kenya
@tututz1003 жыл бұрын
UTAJIRI
@kimcash98593 жыл бұрын
Nimempenda kaka mpole Sana Usimulimulaji wake very silent
@karrolleschon39863 жыл бұрын
🎧🇸🇪🇰🇪
@eishstoner66923 жыл бұрын
Hii part 5 umeregeleaa
@salumsamesame17413 жыл бұрын
Bawama hilo😂😂
@shamsaseiph72953 жыл бұрын
Ngoja niende kwa mmasai wangu na shebi
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
Haya
@kisurangusa5543 жыл бұрын
Watatu hapa?
@rehemambito79893 жыл бұрын
Kenya tuko ndani kama kawa
@mbwanaomary45043 жыл бұрын
Wakwanza mm
@reginamwikya96913 жыл бұрын
+254 in de house
@macamezunguzungu56973 жыл бұрын
Nami nakumbuka kipindi Cha shule walimu duh😳
@navokisembo3 жыл бұрын
Kaka aharakishe kwenye point. Ila hawa watu wa Kilimanjaro kwa nini wanapenda mtu amalizie sentence zao? Kama akisema nilirudi basi atasema niliru halafu Davista ndo amalizie nilirudi. Hebu Davista wakaushie uzimalize sentence zao ndo wataacha kuongea neno kifupi. Story zao ni nzuri sana ila uongeaji wa maneno ikiufupi
@getrudamichael6216 Жыл бұрын
😁😁😁
@abdullatifshaaban95823 жыл бұрын
Dengrzi pia zilikueko
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Nimewai tena 😃😃
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hongera💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽
@thumnathumna59463 жыл бұрын
@@pilimusa7770 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kujifaliji faliji tu😏😏😏😏
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@thumnathumna5946 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@thumnathumna59463 жыл бұрын
@@pilimusa7770 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kizembe jmn mh.
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@thumnathumna5946 🤣🤣🤣🤣 kesho wahi
@bakari-si1pw3 жыл бұрын
Bado tuko pamoja
@zeyzey54393 жыл бұрын
Ongeza saut ambere
@somoeawadh77743 жыл бұрын
Muko Wapi nyinyi, 🤔
@pilimusa77703 жыл бұрын
Ndiyo nimefika. Asante❤🥰💋
@somoeawadh77743 жыл бұрын
@@pilimusa7770 😍
@philipoluzege32003 жыл бұрын
Ndio kufika
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Ndiyo nmefka Asante😘😘
@jotafungo46223 жыл бұрын
Itanoga tu
@mapundaharuna80783 жыл бұрын
1
@latifajabil17073 жыл бұрын
4×4😅😅😅😅
@furahahappiness1103 жыл бұрын
16 niko macho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haki ya Mungu tutaona mengi kwa Davista