Part6_Jinsi ya kuwashinda mapepo katika fomu ya kibinadamu|USHUHUDA WA RACHEL&ZIPPORAH MSHALA

  Рет қаралды 21,246

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp.com/DjZYNtGlQSE...
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/Jzfy3pn4CyB...
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 75
@marianachriss2444
@marianachriss2444 2 жыл бұрын
BWANA YESU KRISTO nisaidie niyafanye mapenzi yako zaidi kuliko chochote kile duniani, Ameeen
@lydiawasai9439
@lydiawasai9439 2 жыл бұрын
Amen
@happinesskwamboka1540
@happinesskwamboka1540 2 жыл бұрын
Amen me too I pray for that be blessed 🙏
@micamathew2595
@micamathew2595 2 жыл бұрын
Ee Bwana Yesu nakupenda!!! Niokoe Ee Bwana wangu, nisaidie. Niwezeshe kuwashinda hawa mapepo ambao wako katika namna ya kibinadamu. Ni wengi sana!!! Tena wanatupa tamaa ya kuwatamani wanawake!!! Wanajiachia uchi!!! Ee Yesu nisaidie. Ahsantee Bwana Yesu!!! Nijalie mke mwema. Amen!!! Sifa kwa Bwana Yesu, Mungu mkuu!!! Bwana wa majeshi!!! Mungu mtakatifu!!! Amen!!!
@fhdm4023
@fhdm4023 2 жыл бұрын
Asante sana jacktan,kwa hawa madada kutuletea ushuhuda huu nimejifunza mengi sana ,bwana yesu awabariki
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@user-pe9yf8tv5t
@user-pe9yf8tv5t 11 ай бұрын
Thank you so much promover TV for Good testimony ❤❤❤ God help us to overcome the world
@sharnelluvinzu5090
@sharnelluvinzu5090 2 жыл бұрын
Amen, habari za demon reincarnation ( mapepo kwa mfumo ya kibinadamu ) pia yameongelewa sana na evang Funmilayo adebayo wa Nigeria ,na pia ameongelea uvaaji wa nguo za jinse ni global uniform of Antichrist, na pia uchezaji wa football ,alakini watu wanadhiaki na kupuuza ,lakini ushuhuda huu ni thibitisho , kweli mambo haya yako ,
@myself4128
@myself4128 2 жыл бұрын
Yesu alisema itakuwa kama siku za Nuhu,Nuhu alidhihakiwa pia kabla ya Gharika!! wanadaam wametawaliwa na Shetani ndio maana usishangae!
@piliechildofkingjesus4594
@piliechildofkingjesus4594 2 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu kwa ufunuo huu
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
AMINA ....following🙏
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@lilianngushi1531
@lilianngushi1531 2 жыл бұрын
Asante YESU kwa kunifunuliya hii Siri kubwa Sana katika ulimwengu wa roho.
@nellydeborah943
@nellydeborah943 2 жыл бұрын
Amen , barikiwa mtumishi jactan
@naomikalinga3042
@naomikalinga3042 2 жыл бұрын
Eee YESU tulehemu maana nimambo mengi tunayafanya bila kujua kwamba Ni yakipepo Asante kwa ushuhuda huu jactan tunajifunza mengi na naomba MUNGU atusaidie tuweze kuyaepuka kikubwa anatupa neema ya kuyajua haya
@macamezungu7031
@macamezungu7031 2 жыл бұрын
Bwana yesu apewe sifa ameni ubalikiwe saana mtumishi wa mungu🙏
@carolynadhiambo2543
@carolynadhiambo2543 2 жыл бұрын
MUNGU Naomba ROHO Mtakatifu nisindaganyike maana DUNIA Ina Tisha kwakweli Yani tuko tu tunaishi Kwa neem zake MUNGU
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
MUNGU anatupenda na hataki tupotee jehanamu ndio anatufunulia mambo ya rohoni kutuepusha na moto wa jehanamu
@mariamngowa2882
@mariamngowa2882 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana kwa ujumbe huu Mungu atusaidie tutoke katika mitego ya shetani
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@dawhiteschola8847
@dawhiteschola8847 2 жыл бұрын
Asante YESU kwakutufinulia siri tusizo zijua 🙏
@lucyshiko1881
@lucyshiko1881 2 жыл бұрын
Evangelist funmilayo adibayo wa Nigeria pia alisema Tonto dikeh si binadamu watu wakaanza kumuita mwenda wazimu
@sharnelluvinzu5090
@sharnelluvinzu5090 2 жыл бұрын
Hata pia ameongelea kuhusu demon recarnation, na Hata football na uvaaji wa jinse kwani jinse ni global uniform of Antichrist, buh watu hawataki ukweli
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 жыл бұрын
Aisee Yesu atusaidie tu kwakweli
@blessed599
@blessed599 Жыл бұрын
Naezapata aliposema?
@saeedalharthi4128
@saeedalharthi4128 2 жыл бұрын
Waaa,,sina la kusema Bali nikumshuku mungu kwa kutupenda sana kupitia kwa watumishi wake ili tufungunge macho kiroho hata mwilini be blessed jacktan na promover tv
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Somo hili hua nalisikia Sana ufufuo na uzima ooh binadam wasio na miili, ulimwengu usionekana ,alama ndani ya miili zetu
@emmanuelsamwel741
@emmanuelsamwel741 Жыл бұрын
Amen
@aminaally4163
@aminaally4163 2 жыл бұрын
Tuache Haya mambo machafu YESU KRISTO anatupenda sana
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 Жыл бұрын
Shalom mtumishi wa Bwana Yesu Kristo tuko pamoja kayika kujifunza mbinu za adui na namna ya kumshinda
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
Amen. Asante Yesu kwa mambo makuu ulioyafunua kwetu sisi
@lilacjoseph9509
@lilacjoseph9509 2 жыл бұрын
Asante yesu mwana wa mungu na mkombozi wetu kwa sababu ya kutufunulia haya
@dadaz4653
@dadaz4653 2 жыл бұрын
Asante YESU mfalme wa Aman naendelea kubadirika
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Amen,haya maisha bila kuishi kwa NENo la Mungu na kumtii , jameni hatutaweza kwa nguvu zetu barikiwa Mtumishi Jacktan,May God’s grace be upon you
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@BerylSeer1
@BerylSeer1 2 жыл бұрын
💬Nimesikia, Mungu atatusaidia.
@rhodachanangula7734
@rhodachanangula7734 2 жыл бұрын
kuna wakati utakuja ambapo kila mkristo ataelewa kwamba kutumia vitu bandia ni dhambi, Mungu atusaidie
@riccahcate8126
@riccahcate8126 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen barikiwa kaka Jacktan kwa kutuletea ushuhuda huu
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@peninahkariuki1136
@peninahkariuki1136 2 жыл бұрын
Ameen watching from Kenya
@joshuaImani-hy8jn
@joshuaImani-hy8jn 3 ай бұрын
One of the complex message ever heard in this platform
@daisymuthoni675
@daisymuthoni675 2 жыл бұрын
Together n learning God bless from 🇰🇪
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
Mungu anisamehe nilishuka pasipo kujua😭😭 nirehemu mungu🇰🇪🇰🇪.
@lianareonce4996
@lianareonce4996 2 жыл бұрын
Ee Mungu naomba use nami usiniache pamoja na matakataka yote tunayopitia.
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Be blessed man of God for bringing this testimony Niko mbele
@leahbhoke8718
@leahbhoke8718 2 жыл бұрын
Bwana Yesu nisaidie Mwokozi wangu
@harimakidesu3680
@harimakidesu3680 2 жыл бұрын
Yesu akubariki sna jactani ubarikiwe naubarikiwe
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen amen
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 Жыл бұрын
Asante watumishi
@florafaustine4637
@florafaustine4637 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@happinesskwamboka1540
@happinesskwamboka1540 2 жыл бұрын
Amen thank you ❤️ be blessed 🙏 aboundantly 🙏🙏
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 жыл бұрын
Mungu na atusaidie jmn
@ezekieljob8679
@ezekieljob8679 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Jactan ila sijaipata sehemu ya tano 5
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen. Hiyo hapo kzbin.info/www/bejne/ganJooyiisupibs
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 Жыл бұрын
BWANA Wetu Yesu Kristo utuokoe uturehemu
@sallymumia8425
@sallymumia8425 2 жыл бұрын
Glory to Jesus Christ.
@Trizahfx4456
@Trizahfx4456 2 жыл бұрын
True nowadays there are doubles/clones,Aliens etc
@admerarobert3485
@admerarobert3485 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie
@salomejames5892
@salomejames5892 2 жыл бұрын
Eee, BWANA YESU, utulehem, tusaidie, saidia vijana wetu tupe macho ya kiroho
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Ameeeen
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 2 жыл бұрын
Bila Roho haiwezakani kweli
@lilianngushi1531
@lilianngushi1531 2 жыл бұрын
Ewe Bwana nisaidie
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Ameeeen
@jossyayielo7576
@jossyayielo7576 2 жыл бұрын
Asante🇰🇪🇰🇪
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 2 жыл бұрын
sifa zimurudie Yesu kristo
@salomejames5892
@salomejames5892 2 жыл бұрын
Tuma mwenderezo Kaka jactani kwani kupitia shuhuda hizi zinatubadilisha Sana kiroho na kimwili pia
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 8 ай бұрын
Matayo 6 -152
@BerylSeer1
@BerylSeer1 2 жыл бұрын
Sasa pia sisi wenye tunaangalia kuna mapepo pia wanaangalia 😩😩😩
@blessed599
@blessed599 Жыл бұрын
Usiwe na hofu
@aselatryphone6134
@aselatryphone6134 2 жыл бұрын
Instagram wanatumia majina gani Zipporah na Rachel,
@gladnessvuzuka7756
@gladnessvuzuka7756 8 ай бұрын
𝖦𝗈𝖽 𝗌𝖺𝗏𝖾 𝗆𝖾 𝗐𝗂𝗍𝗁 𝗐𝗈𝗋𝗅𝖽
@optimamarenda7082
@optimamarenda7082 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie
@naomiobare
@naomiobare Жыл бұрын
Bwana yesu turehemu
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 85 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 19 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 206 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 29 МЛН
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
Jesus was not crucified: the evidence with Dr. Ali Ataie
3:36:49
Blogging Theology
Рет қаралды 474 М.
Wolfram Physics Project: Update with Q&A Tuesday, Oct. 19, 2021
3:11:21
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 85 МЛН