PART7:DADA MWENYE MAJABU YA KUTISHA/NASHUKA KUTOKA MBINGUNI/NILIWEKWA MOCHWARI/NAIJUA KESHO/ZINDIKO

  Рет қаралды 4,347

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@satinotino481
@satinotino481 3 жыл бұрын
Davistar point iyoo hahaa 😆waislamu uzika haraka sana,,panahitaji uangalifu sana
@satinotino481
@satinotino481 3 жыл бұрын
Njia za mungu haziingiliki hallelujah 🙌
@neutrineanzilimi9798
@neutrineanzilimi9798 3 жыл бұрын
Amen
@allymtamilwa6321
@allymtamilwa6321 3 жыл бұрын
Ahsante davistar mungu akubariki
@Burange666
@Burange666 3 жыл бұрын
Nasikia watu wengi wanazikwa wakiwa hai kutokana na uzembe wa madaktari tunaomba serikali iwachunguze madaktari wauwaji karibu mahospitali yote ya Tanzania uzembe huo upo na unaendelea.
@noelwilliam344
@noelwilliam344 3 жыл бұрын
Tunabarikiwa sana na shuhuda. Mungu akubariki Devista
@deborahburundi648
@deborahburundi648 3 жыл бұрын
Huyu dada yupo dini Zote ka mimi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@johalisemalima6979
@johalisemalima6979 3 жыл бұрын
Niliona south Africa mtu akifa ili waseme amekufa wamtowe kitandani inapita siku 5... ndio... wanaleta tena mashine ya kumstua ikikataa wanakaa siku mbili....hapo ndipo wanakwambia amekufa bongo ni dk 30 mtu unaambiwa amekufa dk 3 anapelekwa kwenye mafriji.... dk 30 zingine kazikwa.... ni khatari
@nancyjohnson6620
@nancyjohnson6620 3 жыл бұрын
Huyu dada anasimulia vzr
@Glassskin_co.
@Glassskin_co. 3 жыл бұрын
Haiezekani kudungwa formaline (dawa ya kuhifadhi maiti) maanake huwa inakatwa jugular (mshipa wa shingo) tunaweka tube ndio dawa inamiminwa na kiasi cha dawa nikama litre 1 sababu ya tube ni moyo haupigi huwezi kumchoma maiti sindano hio dawa itabaki papo hapo kwasababu mishipa haina tenasity labda alichomwa adrenaline (kumuamsha) ila walikua na uzembe wakufanya CPR
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 3 жыл бұрын
Ahsante kwa elimu hii
@henrykathurima15
@henrykathurima15 3 жыл бұрын
Bw.Davistar Mata anayaeshoma shindano maiti ni mndumu wa mochwari si daktari.Na wandumu wengi Wana utaaramu jinsi mwili Wa binadamu unaofanya kazi.Kunao Wana utaaramu wakifadhi maiti. Shindano inaendugwa maiti niyakuifadhi mwili usielibike.
@dallasabinchar5128
@dallasabinchar5128 3 жыл бұрын
Problem si ya dini ikiwa ma doctor wa kicha sema amefariki it means everything was done as well na familia ayina cha kufanya ao kuchunguza kuliko ma doctor isipo kua ni kuzika maiti
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaa
@florencerose859
@florencerose859 3 жыл бұрын
Huyu dada alipata msada tu hapo lakini kunahuwezokano ya kwuamba watu wengi wanawuawa kwa mochuari
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
true pia hii ni story ya funzo
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 3 жыл бұрын
Tumesubiri sana atimae
@Samir20005
@Samir20005 3 жыл бұрын
Davi una kawa sana bana
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 3 жыл бұрын
Mungu atupiganie
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
Santa dada mahair
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
ina maana ukifika mochwari kisha uzinduke dakitari wanakumalizia
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 3 жыл бұрын
Ndo zao kumalizia wanaozinduka.
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
@@khadijajuma7142 kabisa
@nancygeorge3749
@nancygeorge3749 3 жыл бұрын
Nimewaiiii
@modesthenrykitange2397
@modesthenrykitange2397 3 жыл бұрын
Davista pia mortuary attendant hawaui watu hata kama daktari alifanya makosa ya ku declaire death na ni mara chache sana kwa daktari kukosea. So nahisi tusitumie hisia sana kuzungumza na kutuhumu ni heri kufanya research then ndo uweze kulizungumzia. Hizi ni profession za watu na lazima uwe na utaalam nazo
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Sawa
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Zile sindano Ni kwa Ajili mwili usiharibike
@modesthenrykitange2397
@modesthenrykitange2397 3 жыл бұрын
Lakini pamoja na hayo kama m2 alikuwa katika process ya kufa huwa kina jambo linafanyika..inaitwa kitaalam resuscitation..ili ku mrevive huyu mhusika..na vyote hivi visipo fanikiwa basi uhakiki wa mambo niliyotaja yanafuatwa ndiyo mgonjwa anatangazwa kuwa amekufa despite all the efforts of resuscitation. Na huwa kuna room ya postmortem kwa wale wenye shaka huu ya kifo cha mtu huyo.
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
hiyo betry unalitaja sana ebu fafanua vizuri juu sielewi mie
@modesthenrykitange2397
@modesthenrykitange2397 3 жыл бұрын
Pacemaker
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
Davistar unauliz uzembe kwa madactor mbona ni kawaida yao
@Glassskin_co.
@Glassskin_co. 3 жыл бұрын
Kuwa daktari ni wito sio wote ni wazembe waliosomea udaktari kwaajili yakdaraja basi hana huruma lakini kunakiapo sote madaktari tunaapa yakuua tutahifadhi maisha kwa uwezo wote na tupate baraka ila tukidhulumu tupate laana. Nimewaona wengi sana nimefanya kazi nao wanaishi maisha ya ajabu na mahangaiko mungu si athumani
@modesthenrykitange2397
@modesthenrykitange2397 3 жыл бұрын
Na swali lingine la kwa huyo dada je kama alipewa formaldehyde..je aliona sehemu ya mwili wake alipoingiziwa dawa!? Na nina mashaka kama alipewa hiyo dawa kwasababu organs nyingi ungekuta zimekufa au zimeharibiwa na dawa
@latifajabil1707
@latifajabil1707 3 жыл бұрын
Shuklan
@ryhislamminamuonamsengetu9111
@ryhislamminamuonamsengetu9111 3 жыл бұрын
Wana kwepa garama
@cocotz1892
@cocotz1892 3 жыл бұрын
Wa kwanza
@samjosh12
@samjosh12 3 жыл бұрын
Mtangazaji punguza kuongea, acha watoa shuhuda wawe huru kuongea. Suala la kuzika haraka au isiwe haraka Ni suala la kiimani wala halihitaji maoni. Acha watoa shuhuda wawe huru, punguza kuongea.
@tututz100
@tututz100 3 жыл бұрын
KIJANA ANAYE
@mwajumaselemani5370
@mwajumaselemani5370 3 жыл бұрын
Tupoo
@emmaraphael5982
@emmaraphael5982 3 жыл бұрын
Biblia inasema usimuache mchawi akaishi
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 3 жыл бұрын
@@hassanmaulid2166 nikupe andiko
@marthaabel6453
@marthaabel6453 3 жыл бұрын
Andiko kitabu cha KUTOKA 22 mstari 18
@kyladias
@kyladias 3 жыл бұрын
Agano la kale, Yesu alikuja akarekebsha hayo akasema mpende adui yako na umuombee , vita zetu c za mwil na damu
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 3 жыл бұрын
Kuzika haraka ni haramu
@MaryamMaryam-wp5yk
@MaryamMaryam-wp5yk 3 жыл бұрын
🙄
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 3 жыл бұрын
@@MaryamMaryam-wp5yk 🤣🤣🤣
@modesthenrykitange2397
@modesthenrykitange2397 3 жыл бұрын
Na swali lingine la kwa huyo dada je kama alipewa formaldehyde..je aliona sehemu ya mwili wake alipoingiziwa dawa!? Na nina mashaka kama alipewa hiyo dawa kwasababu organs nyingi ungekuta zimekufa au zimeharibiwa na dawa
"Pernah menyamar jadi penjahat" | ASP ALI BATCHA DIKHIANATI POLIS JOHOR
12:41
Detektif Mat Despatch
Рет қаралды 516 М.
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН
Sihir Pemisah "Nyawa Untuk Nyawa"
16:10
YouCast Clips
Рет қаралды 314 М.
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН