Wa 3 leo nimewahi davista uko vizuri kaka mtu makini kabisa.
@afamefunaokeke69663 жыл бұрын
I like the story...
@learnselfdefense7653 жыл бұрын
Funzo kwangu: wengi tunarithi dini na tunafia dini kwa imani hasi DINI ya kweli ipo kwenye huruma mfano huyu dada hata kama ni mkristo lazima umtamani 2 lifestyle yake maana ukristu yumo na Ana amini uislamu yumo... Lkn litakuja jitu linajilipua tu eti linataka pepo.... I wish ningekuw kama yeye Yaan sema Davistar mawasiliano muhimu mwishon...kanifundisha kitu kuwa MWENYEZI MUNGU 🤲 hakuumba kafiri aliumba watu na wala hakuna watu walioumbwa na shetani na watu hao hao ndo Mungu aliye amuru tuwapende wa hakusema dini fulani tu. Tumwabudu Mungu na c unafiki tuliouzoea. Pole Sana Dada MWENYEZI MUNGU akupe wepesi
@philipoluzege32003 жыл бұрын
Dada una mkono wa utoaji halafu ni tajiri sana Mungu akubariki sana Dada yetu
@dorcaskarago28763 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe sana.
@liliankemuma94753 жыл бұрын
Amina
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Alhamdulillah w kwanzaaa😂😂💃💃💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hongera 💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻❤❤❤❤❤❤❤❤
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
Muongo 🤣🤣
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@shantellemwanakombo3703 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@pilimusa7770 Asante wngu💃💃💃💃💃❤❤❤❤
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@shantellemwanakombo3703 umeona eeee🤣🤣🤣🤣
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
safi davistar
@florencerose8593 жыл бұрын
Heeehee Mr facts leo umependeza you look smart sawa simlizi iendele
@mamskiumbe40573 жыл бұрын
Nc
@IMANI4173 жыл бұрын
Davistar wacha stori iendelee unapayuka sana 😂😂😂 sitaki makasiriko 😏😏😏
@bakari-si1pw3 жыл бұрын
Pole sana Dada aya mambo yanatisha sana
@swahibjack95333 жыл бұрын
Mchungaji dani yupo kwel?
@adbulmama50653 жыл бұрын
Uyo maman naye ipo siku atareta mkasa wake kwa davista😀
@ryhislamminamuonamsengetu91113 жыл бұрын
Wanapenda sif..wengine wamepat utajiri kwa nguvu za giza wana amrishwa kutangaza..hawapati swawabu
@bluebrown55663 жыл бұрын
Mbona huyu mschana anakaa mwongo sana.
@dallasabinchar51283 жыл бұрын
Leo raha sana tumebahatika kuyaona masikio na shingo yake
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@asiamussa37803 жыл бұрын
Alianza kidogo kidogo
@nolaskodreckkarinyotroni64753 жыл бұрын
Bg davista umeongea point
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Wananchi hawalali.. niwapongeze sana..
@allymtamilwa63213 жыл бұрын
Nimetinga mzee
@hussennshimirimana57363 жыл бұрын
Kipindi cha Leo kitamu jamani nawafatiliya nikiwa buja 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
Mchungaji Dani jaman yupo wap?
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
mpgie🤣🤣🤣🤣
@mamskiumbe40573 жыл бұрын
Mmb
@philipoluzege32003 жыл бұрын
Atakuwa kapigwa
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 davistar amtafute
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
@@philipoluzege3200 na nan?
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Sadaq aitolewi na macamera..wale wa camers ni kutaka sifa wanafanya kwaajili ya dunia iwaone.
@thumnathumna59463 жыл бұрын
@@ikabako2454 sadaq toa mpe unaempa kwa ajili ya Mungu.na sio kwa ajili watu wakuone. Uliza popote utajibiwa ivyo.aya ni maisha ya kutaka sifa tu.
@HusseinBoarnege3 жыл бұрын
Huki like hapa huta pungukiwa na nini. Please like
@valentinanduku87183 жыл бұрын
Santa
@hamadwaziri1213 жыл бұрын
7
@swahibjack95333 жыл бұрын
8
@hamadwaziri1213 жыл бұрын
@@swahibjack9533 🥂
@wizardmobile54933 жыл бұрын
Davistar mwambie dada ajifunike kichwa chake ,muislam hatakiwi aoneshe mapambo yake
@jotafungo46223 жыл бұрын
Sawa
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
🦓
@danieljoseph16103 жыл бұрын
Cha kufrahisha hapa ni kwamba kumbe binadamu anaweza kumgawia mwenzake miaka yake yakuishi?
@abdimohamed39533 жыл бұрын
Yeye mwenyew hawezi hata nusu kugawa umri, ila ni Kwa uwezo wa MUNGU pekee ndio inawezekana kupitia Kwa wanadam
@paulndoya58053 жыл бұрын
Kamuulize Mungu
@bluebrown55663 жыл бұрын
Huyu mschana mwongo 🤣🤣
@jafarysalukele64103 жыл бұрын
Unaongea sana unaharibu,bora ww uwe unatoa story zako,unafeli
@scholamwasi27823 жыл бұрын
SIJUI UMENIELEWA
@jojokweka19023 жыл бұрын
Davita unaongea sana mpe nafasi msimuliaji
@happyfihavango41513 жыл бұрын
Ukiona davista anatoa meno sana lazima mdada mrembo
@tututz1003 жыл бұрын
DADA KUTOKA
@happyfihavango41513 жыл бұрын
Ukiona davista anatoa meno sana lazima mdada mrembo