Bonge moja la story lenye ujumbe mwenye sikio na asikie mwenye uelewa na aelewe tunza fundisho ulilolipata litakusaidia maishani mwako hususan ni spiritually
@paulndoya58053 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii episode ,,,ni ukweli uliotukuka Hakuna Mungu alieumba mwanadamu halafu yule yule mwanadamu eti aanze kumpangia majukumu yakufanya kuhusu mwanadamu mwenzie ,,,Mungu anafahamu nini unakifanya nini utakifanya na lini atakuchukua
@paulndoya58053 жыл бұрын
"YOU NEARLY QUENCHED MY LIFE LONG THIRSTY AND DESIRE FOR SOME KNOWLEDGE THAT I HAD BEING LONGING FOR"!!! @Davistar you real know where to touch your listeners,,,Your way of questioning was very impressive,,, you were taking words out of my mouth,,,nearly all the doubts I had you cleared them in this stanza,,,God bless you,,,,
@mimsbaibe6mimsgul7373 жыл бұрын
Kube dunia ina mambo I wish wenye wanakimbia kwa waganga wana watch thanks for sharing wengi hawatafulahia kazi Yao imeharibika I learned something dhahabu mzuri hujaribiwa kwa moto ndo ukapitia hayo ndo tujue siri Leo.
@heritier51193 жыл бұрын
Siku za mwisho ya sirini yatawekwa wazi thus tunazijua Siri za ulimwengu mwingine ikiwemo freemason
@margaretachieng98873 жыл бұрын
Story nzuri manake naipeda sana💜
@mwambakakudji62883 жыл бұрын
Wala hafiche sura...maana anasema ukweli.
@margaretachieng98873 жыл бұрын
@@mwambakakudji6288 nita fanyaje unione bahati lakini utani onat2
@cyantess84233 жыл бұрын
mr facts your questions are everything thank you
@tracyangells75953 жыл бұрын
Hatari kweli 👍 Hiyo Al badiri Inaonekana ni Uchawi Kabisa Huwa Naiskia Tuu Ni Hatari Kweli!! Ukisomewa 🔥Ila Naiskia Huwa haimdhuru mtu ambaye.hajakosea Sijui Afadhali Davistar amuulize na mwenyewe tujue kwa vile huyu Alikuwa ni Mchawi tuu Aisee 🤣🤣!!
@faifidelis30413 жыл бұрын
sema baba usiogope tuambie ukwel mungu akubariki
@alibashir2103 жыл бұрын
Asante kwa vipidi zako mzuri kweli, keep it up,endelea hivo hivo na vipindi zako za kutuelemisha,unaweza aje toa mtu msukule ?mungu akujali na akubariki.Amen.
@hillarykirui42573 жыл бұрын
This is a very beautiful story
@hamisimtemi38033 жыл бұрын
Davistar ningependa umuulze swali huyo bwana...kwann alipotaka kuokoka Hakufikiria kuishikiliaka kamba ya Mwenyezimungu barabara ya ule uislamu wa kweli uliofundishwa na badala yake akehamia upande wa pili? Shukran Mr Everything!
@pilimusa77703 жыл бұрын
Blessed njoo kipenzi changu🎈🎈🎈🎉🎉🎊🎊🎈🎈🎈
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 😂😂😂😂
@Teacher_013 жыл бұрын
Kumbe ni blessed kaitwaa.. 🏄
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@Teacher_01 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤❤❤
@hamisimtemi38033 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 ulete mawasiliano bas Aysha
@nooor11203 жыл бұрын
Dua yoyote anaweza kumuomba mmungu Mmungu ana hiyari yake ukimuomba kuna kukubali au kukataa.
@michaelbengesi98383 жыл бұрын
Asante Davista, tunataka naya pili, Tule shule hapa hadimu kabisaaaaaaaa. TUPO PAMOJA HAPA HAPA TU
@rachelkadego89793 жыл бұрын
Davista mbona video hazisikiki
@marthamaligo4583 жыл бұрын
🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️👂👂
@thegreat.98693 жыл бұрын
Huyu jamaa kaongea point kubwa sana. Mwenyezi mungu ni kitu kingine na dini ni kitu kingine
@fahadrashid97545 ай бұрын
Sema watu mnafeil sana
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Nyinyi watu wa dini wacheni zenu mbona hapa wakitanjwa mapastor sisi wenzenu twakimia Toka Jana mumewaka sana
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Mimi na swali hapo je nyumbani walijua uko wapi siku hizo zote ama nafsi ndio ilikua kuzimi ama mwili kwa ujumla
@saidkale64653 жыл бұрын
Alikuwa kwenye ndoto.... kwani wewe hujawahi kuota ndoto
@athumanmakale82213 жыл бұрын
Elimu ya humu ndani kweli sijawahi kuipata pengine zaidi ya Hapa hapa ndani kwa Davista.
@macamezunguzungu56973 жыл бұрын
Pamoja sana mr everything ulipo nami nipo🙏🙏🙏🇹🇿💪
@malekanoshindai61113 жыл бұрын
Moja interview iliyotulia sana
@shoarimahege27553 жыл бұрын
davista huyo jamaa ajasoma dini amesomea uchawi kwaiyo ushauriwangu usimuulize maswari ya dini huwa ayawezi anajibu kutoka kwenye akiliyake namaswari yadini hujibiwa kwadalili kutoka kwenye kitabu
@donaldjulius17833 жыл бұрын
Hata wewe hujui din
@irambonaelkhamissi34433 жыл бұрын
Tusiwaite eti masheikh watu wenye mambo hayo ya ahlul badri. Sababu hao ni washirikina hamna kitu kama hicho katika uislam. Na vilitokeya zanzimba,Mombasa,kigoma ndio walijaribu kuvieneza sehemu nyingi E.A ila nchi zingine kama Burundi waliyapiga vita hadi leo hayo mambo hamna.
Mmm Kuna watu wameona maajabu ya Dunia mmetembea hadi miji ya kuzimu kwel Nyie mna cha kusimulia,kumbe tunaonaga kwenye filam huwa Ni ya kwel ,tunaona watu wakinyakuliwa na mandege makubwa n.k,kumbe ndugu yangu we ulishapitia kiuhalisia kabisa,,,😲
@fatmamucha44193 жыл бұрын
Naww unataka uende nn
@phyillicenyambura55433 жыл бұрын
Kaka DM naomba unikutanishe na shekh Omar please
@paulndoya58053 жыл бұрын
Dini ni protocol za kibinadamu tu wala hazihusiani sana na protocol za Mungu mwenyewe siku ya kiama kuna mchungaji aliekusaidia kuokoka ukamjua Mungu ataachwa halafu wewe utatwaliwa,,,kuna padre alikufundisha kusali ataachwa halafu wewe hapo utatwaliwa,,,,kuna shehe ataachwa halafu muamini atatwaliwa,,,,mti mkavu atachukuliwa wewe hapo utaachwa,,,Mussa Chessa jambazi wa majambazi atainusa pepo wewe hapo utapelekwa motoni,,,
@bundukitv3 жыл бұрын
NILIPATA BAHATI YA KUOKOTA PESA NYINGI, LAKINI ZILINISUMBUA NA KUNITESA SANA BAADAYE / NAJUTA👇 HADI LEO HII👇 kzbin.info/www/bejne/rYi8fWqDm8qqjqM
@tatuhongeranurushaus4853 жыл бұрын
@@ikabako2454 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣et aliokota pesa sasa tumsaidie nini anafikiri sis ni watoto mpaka tuguse link hiyo
@sheikhabdallahiddi33503 жыл бұрын
mungu anasema niombeni nitawajibu. nisawa kumwomba mungu au kumstakia mungu nisawa
@tanweerahmohdhar70633 жыл бұрын
Apana albadairi kama mtu kakudhulumu kwa kweli kabisa kakudhulumu basi unasoma kumwachia mungu ndio anakulipia kiwa umedhulumika basi atalipwa tu
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
Dua ni kitu kizuri kama unamtegemea Allah. Lakini hicho kisomo cha ahli al badr kinategemea majini walikuwa kwa wale masahaba Wa rasul Mohammed
@tanweerahmohdhar70633 жыл бұрын
Na huyo bwana pia hafafanui vizuri kuhusu albadir sivyo anavyosema hata tafuta shkhe yeyote unaemwamini atakueleza kuhusu albadir je ina faa au haifai kwa anae taka kusoma kama amedhulumiwa yani ni njia yakumshtakia mungu akulipie bali kuna watu wanaitumia vibaya
@mbwanakiting71803 жыл бұрын
Good story ila picha nyeusi mpiga picha wako anatumia auto mwambie hatumie manual ili aweze ongeza mwanga vizuri...kovu hatujaliona
@khadijaomari93443 жыл бұрын
KIBAFUTA MJI MDOGO SANAAA KUMBE KUNA MAKUBWA 😀😀😀😀
@Maryam-vj1rb3 жыл бұрын
Tunangoja part 8 Davistar
@jeremiahrop27033 жыл бұрын
Aisee tunaisubiri #8 mchana kutwa
@yushuaissa4673 жыл бұрын
THIS IS PART 7A
@jafaryjey3 жыл бұрын
Aisee najifuza vingi sana, Kwahiyo kumbe muda mwingine binadamu wanamfundisha Mungu cha kufanya hahaaaa
@noelashaoona3 жыл бұрын
❤️❤️
@worldevents75333 жыл бұрын
Leo nimewahi Nipeni like zangu nimekuwa WA 51
@pilimusa77703 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@costavalenci76993 жыл бұрын
🙄🙄🙄
@khadijaomari93443 жыл бұрын
duuh watanga tujuane😀😀😀😀😀
@credo78373 жыл бұрын
🤣🤣
@wallacedaud80963 жыл бұрын
Nipo
@nooor11203 жыл бұрын
Halbadiri haikubaliki kuitumia vibaya ki dini wewe elezea vzr km hujui bora nyamaza. Davi Soma quraan yote km utaona halbadri imo au haimo Isiwe mtu akifanya kitu museme ni dini imeruhusu laa .
@davidochieng70553 жыл бұрын
Davista usiingie sana kwenye mambo ya dini utaharibu chanel yako kwa msingi ya kidini au kufungiwa kipindi chako
@taturajabukhalfani79533 жыл бұрын
Haswaaaa!!!maana hata huyo anaemuhoji hiyo dini haijui!!
@faridaahmed26713 жыл бұрын
Davista uyo kaka usimulizekuhusu mambo ya dini hajuwi kitu ninavyo muona hakikwenye dini huyo nizero mulizetu habari zamajino
@aishaally88113 жыл бұрын
Kabsa yaan
@carrenchigulu57123 жыл бұрын
Lakini jamani na miss yule mzee wa bakora za kimkakati na wanawake wa kimataifa aisee but shehe naye yupo vizuri
@straightkonect16133 жыл бұрын
Nimerequest arudi wiki ijayo jamaa wa shape za kibantu na kuwashughulikia palepale
@martinmaryogo36763 жыл бұрын
ila jmaa alkuw na misemo, et shepu la kibantu, mara mwanamke wa kimataifa kiukwl kisa chake kilkuw na mvuto
@carrenchigulu57123 жыл бұрын
@@martinmaryogo3676 yaani story yake sikuhisi kuchoka kuisikiliza mwanzo mwisho
@credo78373 жыл бұрын
@@carrenchigulu5712 polee sanaa
@fatmamucha44193 жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@florencerose8593 жыл бұрын
Hamuna jini ya njia njema hata kidogo mwuisho yake ni majuto yani (bad finishing)
@johnfrancis31153 жыл бұрын
Nchibalonda's clan tujuane
@shoarimahege27553 жыл бұрын
sawa mwanachama mwenzangu wa davist 😄😃😀
@tracyangells75953 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@anthonkephasglobalmedia74063 жыл бұрын
Namba 2🔥🔥🔥🔥
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Hongra
@anthonkephasglobalmedia74063 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 thanks
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hongera
@anthonkephasglobalmedia74063 жыл бұрын
@@pilimusa7770 asant hongera na ww kwa kuw mpenz msikilizaji
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@anthonkephasglobalmedia7406 asante sana kaka angu❤❤❤❤
@kahindiwanje903 жыл бұрын
Safi Sana
@cosmaslagat50233 жыл бұрын
Ulikatisha story venye walikutana na wale jamaa, baada ya masaa3, kuongea what happened next
@agnesmwaizinga54013 жыл бұрын
Mafundisho mazuri watu wakae chochonjo maombi kwa sana
@ibrahimmohamedi44983 жыл бұрын
Rest well cheguvara
@pilimusa77703 жыл бұрын
Wa kwanza🎉🎉🎉🎈🎈🎈🎉🎉
@aishaally88113 жыл бұрын
Hongera hivi kumbe ni kweli unakuanga wa kwanza
@Fm-MornStar20143 жыл бұрын
@Pili shem hongera sana! Za cku nyingi eti!
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@aishaally8811 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@Fm-MornStar2014 salama. Umehadimika sana shemeji. Mzima?
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Hongera 😘😘😘😘😘😘
@isayanyingi66222 жыл бұрын
Mr thank, mboona unakunywa kinywaji peke yako.
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
wa kwaanzaaaaaa🤣🤣💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@Teacher_013 жыл бұрын
Hongera mamy.. 🤣🤣🤣🤣
@pilimusa77703 жыл бұрын
Aysha kaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Ongera yako sana
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@Teacher_01 Asante wngu 😂😂😂😂😂
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@pilimusa7770 umeona eeee😂😂😂❤❤❤
@thegreat.98693 жыл бұрын
Actualy blood ni green flan hv ikiwa deoxygenated
@serengetishipping21962 жыл бұрын
Story za kutunga za simba ulanga … huyu jamaa anasoma script na ni ya uongo
@sheikhabdallahiddi33503 жыл бұрын
maadamu huyu anayo maagano na majini hajatoka bado atakuwa na mawasiliano na majini. hii ndio kazi yake
@martinmaryogo36763 жыл бұрын
wegine huwa hawaokoki bali huja kama mawakala wa shetan kabsa na wanakusanay watu et wameokoka lkn kumbe ile ni technic ya kupata watu weng kwa kuamin huyu ana nguv za mungu, ila ndo hvo utawajuaje, iman yako ndo itakayokuponya na maovu
@martinmaryogo36763 жыл бұрын
@@ikabako2454 .kuna mtu anaitwa apostal maziwa yule sasa ndo balaa, me tangu siku ya kwanz nilivoon clip zake nkajua hapa baaaac tunapgwa tu
@rahaisacl99543 жыл бұрын
Umeongea km mm
@lawilawi68003 жыл бұрын
@@ikabako2454 chessa hajamtapeli mtu lete ushahid hapa. Maziwa ndio kalalamikiwa🥴
@lawilawi68003 жыл бұрын
@@ikabako2454 hyo ya chesa nimepitwa Kwan chessa alisema anaombea watu au nimwimbaj alilipa hela ya Nini maana chessa alisema Kama mtu unachochote unamsaidia au masikio yng hayakusikia vzr😒 Ila Kama nitapeli atajua yeye na Mungu wake na watu Kama hao mbona niwengi Sana kwahyo hata huyu aliyafanya hayo kwa kivuli Cha dini kikubwa kumsikiliza na kujifunza
@furahaedmundi23023 жыл бұрын
Naona maswali yako yataleta matatizo kwenye dini hebu acha hayo maswali jamaa anaeleweka vizuri sana
@benadethafrancis52233 жыл бұрын
Mwache aulize, anaewaza dini yake Hana akilia. Mbona Mussa chessa alikuwa anasema wachungaji na maaskofu wanachukua nguvu kuzimu na hakuna mkristo alielalamiks. We take it as a learning process. Rwanda mabela amesema mafuta yanatoka kuzimu hakuna mkristo alielalamika. We Christian we take it as a learning proceses! Do you think halina waumini wa Mwapisa humu?thoose who relate this story na dini zao ni wapuuzi.
@rahaisacl99543 жыл бұрын
@@benadethafrancis5223 fact kipenzi
@lawilawi68003 жыл бұрын
@@benadethafrancis5223 Bora maana atasijui makasiriko yanini
@nooor11203 жыл бұрын
@@benadethafrancis5223 kwasababu ni kweli aliosema ndio maana hakuna wakupinga Ila huyo sio shehe anajisifia tu ushehe Shehe hawi hivo
@nooor11203 жыл бұрын
@@benadethafrancis5223 na hizo story za nguvu za kiza kanisani walikosea hawatozileta tena
@mouwanahamisi82163 жыл бұрын
Nmewahi jomon 😛
@credo78373 жыл бұрын
Shadow a.k.a Aysha unapitwa huku😂😂
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Ndiyo nmefka 😂😂😂😂 shkuran❤❤
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
za mdaa huuuu lkn❤❤❤
@credo78373 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 umechelewa 🤣
@credo78373 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 nzuri shem🤗
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@credo7837 Nakwambia
@ibrahimmohamedi44983 жыл бұрын
Furukhumu furukhumu furukhumuuuuu
@khadijaomari93443 жыл бұрын
😀😀😀
@fatmamucha44193 жыл бұрын
Subir akufuate
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
Kakosea Jina lake Hurukhumu sio furukhumu 😁😁😁
@ibrahimmohamedi44983 жыл бұрын
@@Laila-lz4ij tuki tamka kama lilivyo anaweza kuja kweli ikawa balaa
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
@@ibrahimmohamedi4498 mbavu 🤣🤣🤣🤣
@erickmasumbuko38413 жыл бұрын
Leo mie 6
@aticydavvy403 жыл бұрын
Alafu wwe kaka maswali yako yakichochezi unaoji maswali kinafki ilimrad uyo baba hauponde uislam wew oji story sio kubase kweny maswala ya din alafu kumbuka uyo alikua ni mchawi sio mwislam mweny njia sahihiii acha maswali ya kichochez ata huo ukristo wenu unamakafaraa kibao kwaiyo hapo unataka kusema kina sheikh kishiki ni wachawi wanatumia majini makafir mnatumia nguvu nying kuuchafua uislam nawasiwasi na elmu yakoo ya uandish
@treyvissy98542 жыл бұрын
Jesus loves you
@gracegelege17062 жыл бұрын
Wala usijali dini si ya Allah ata ipigania utakuja jua baadaye
@mshangaf17263 жыл бұрын
Oyoooo
@blacksezo61673 жыл бұрын
Davista mbona sauti ipo upande mmoja
@joycesycherlwy38353 жыл бұрын
Angetuelezea hizo darasa walikua wanafundisha nini? Davister haulizi kiundani angalia
@aishaally88113 жыл бұрын
Wa pili baada ya pili mussa
@pilimusa77703 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 hongeraaa❤❤❤❤❤❤💃💃💃💃💃🎉🎉🎊🎊🎈🎈🎈🎈🎉🎊
@aishaally88113 жыл бұрын
@@pilimusa7770 asantee
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Hongera wngu😂😂😂😂😂💃💃💃💃
@aishaally88113 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 asante kipenzi
@aishaally88113 жыл бұрын
@@ikabako2454 hongera
@ramadhangona90853 жыл бұрын
Locked
@pili37503 жыл бұрын
Lafudh zake za kiarab
@credo78373 жыл бұрын
Kumbe unamjua
@kinogekimbeho37813 жыл бұрын
Hana rafudhi ya kiarabu kabisa kwanza dini hajui huyo mganga mchawi tu
@pili37503 жыл бұрын
@@ikabako2454 namaanisha kwenye kutamka maneno ya kiarab huwa anatamka vizur tofaut na makafir wengine huyu akitamka neno huwa lazima koon linakaba fulan hivi
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
@@pili3750 🤣🤣🤣
@kisurangusa5543 жыл бұрын
Mimi napita tu,
@fatmamucha44193 жыл бұрын
Taratibu usije kuanguka
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@fatmamucha44193 жыл бұрын
Tupo wote
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
@@fatmamucha4419 jamani wewe uko poa
@ajteden3 жыл бұрын
Naomba mawasiliano na Shekh Omary nina masuala tu nataka kumuuliza
@nooor11203 жыл бұрын
@@myself4128 huyo si kaokoka sasa itakuwaje afundishe uchawi? Au hajaokoka anazuga?
@credo78373 жыл бұрын
🤣🤣🤣nilikuw nasubiri kusikia nn nikaendelea
@fatmamucha44193 жыл бұрын
Naona upo kwa mb Maziwa
@credo78373 жыл бұрын
@@fatmamucha4419 🤣eee
@credo78373 жыл бұрын
@@fatmamucha4419 🤣eee
@tracyangells75953 жыл бұрын
@@fatmamucha4419 Yupo kabisa 👍 Hata Mie nilimcheki huko kwa Maziwa huyu Dj wetu mdau kweli😂🤣🤣
@credo78373 жыл бұрын
@@tracyangells7595 😂😂😂
@michaelbengesi98383 жыл бұрын
Is it Ahalbadri or Albadri ?
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
ahli al badr
@hamisimtemi38033 жыл бұрын
Ahlul~badr (The warriors of badr)
@matridalule64773 жыл бұрын
Miendelezo jmn uwii
@shizaarfred40593 жыл бұрын
Aki fulkum angejua kunasiku utamsaliti na kutoa siri za kambi angekumaliza kabisa
@heritier51193 жыл бұрын
Mungu ameruhusu haya Ili tuyajue pili Ili amtumikie.
@jannyrose53673 жыл бұрын
Kwanini fisi hutumika sana kwa kichawi??? Fisi wenyewe hutolewa porini???
@jannyrose53673 жыл бұрын
@@ikabako2454 mimi natumia jina na damu ya YESu kristo pekee yake!
@masoudahmad79283 жыл бұрын
David bhn iki kinanda chako kinabn saut pungz kdg yn bil hedfon uxkii chocht
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
Ila afande lese alipata ajali kubwa san
@heritier51193 жыл бұрын
Lini hio
@ElecovidАй бұрын
Ndiyo maana wanapenda ushirikina sana waislamu
@faridaahmed26713 жыл бұрын
Usimulize kuhusu dini hajuwi
@rajabhassan56653 жыл бұрын
Sahihi bado hajasoma
@ElecovidАй бұрын
Waisilamu kweli hamna mungu
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
Na alikuwa anakula nini?
@ryhislamminamuonamsengetu91113 жыл бұрын
🙄🙋♀️🙋♀️🙋♀️
@milkahotieno21983 жыл бұрын
No 7
@ahyatibenn83193 жыл бұрын
wee Davista usimuulize maswali huyu, hajasoma dini kasoma ushawi na Majini.tofautisha dini na ushawi, siku si nyingi atabadilisha maelezo..nitapeli kama pastar Maziwa.
@omanoffroadriders7473 жыл бұрын
Naona devista umebadili maudhui ya channel yako imekuwa ya walokole ss mambo ya udini yatakuharibia ww hapo lazma ataweka ulokole mbele ili dini zingine waonekane hawana maana kuwa makini