Mtumish mungu akubariki sana kwa kazi njema unayoifanya welcome Kenya 🇰🇪 Nairobi
@FortunateAkaro2 ай бұрын
Njoo na Moshi khubiri hayo
@FortunateAkaro2 ай бұрын
Naomba fafanua maana ya kiringe wengine hatujui
@kakawamashariki89782 ай бұрын
@@FortunateAkarokiringe ni kikao au mkutano wa washirikina.
@HellenDana2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa kuhubiri ukweli napenda mahubiri yako nikiwa Kenya 20:08 🇰🇪
@SiratusApoloMugalula-qr2ql25 күн бұрын
Mungu akubaliki mchungaj
@nangongolukundula93672 ай бұрын
BWANA YESU asifiwe sana nikiwa Canada 🇨🇦 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
@enidkanini2 ай бұрын
Niko live hapa Kenya pastor niombee leo nipone nimeokoka na mpenda yesu amen ameni👏👏👏,
@nellyapelesi87412 ай бұрын
Nami pia nikiwa hapa nyumbani Kenya.
@pastorwycliffesudi598926 күн бұрын
@@nellyapelesi8741Uko Kenya wapi
@gracewanjiru327825 күн бұрын
Amen nikiwa hapa kenya
@dorcusmuania96297 күн бұрын
Pastor nashukuru kwa mafundisho yko , naeza ongea nawe unisaidie???
@peterwandena82062 ай бұрын
Amen & Amen Mungu akubariki sana Mtumishi ujumbe mzito sijawai skia karbu Kenya
@Kosai-g8oАй бұрын
Nemo Lita simama God is good
@rebekaadorphine82962 ай бұрын
Amen
@BernadetteNikuze-n1p2 ай бұрын
Mungu akulinde daima mtumishi
@hildawashe41992 ай бұрын
Mimi ni mkenya napenda injili yenye ukweli unayoihubiri.Naomba mchungaji Amiel umuombee dadangu alirogwa na uchawi wa wendawazimu.
@phionahsimiyu83342 ай бұрын
Amen 🙏 mtumishi wa mungu nafwandilia mafunzo yko nkiwa Kenya be blessed 🙏 🙏
@tulibakobellon1235Ай бұрын
Bwana YESU akutunze Mtumishi wake.
@LucyMerchiorlyАй бұрын
amen
@petronyereresaliboko40472 ай бұрын
Amen kutoka hapa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿
@RubaR-nr5wz2 ай бұрын
Aminaa mungu ni mwema ubarikiwe sana mtumishi kwa ujumbe huu mzuri wa kutufundisha 🙏🙏🙏
@EmanuelLemba-t1d2 ай бұрын
Ameeen
@GggyJhh-y4x2 ай бұрын
Ameen and ameen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana nimebarikiwa ❤
@andrewmhagama98162 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu tunabarikiwa
@DamasiIzakiАй бұрын
Bwana yesu apewe sifa Niko luvuma ubalikiwe mchungaji kalibu luvuma
@FurahaCiza2 ай бұрын
Amen amen
@peninahkariuki46792 ай бұрын
Ameen 🇰🇪
@AnnWanjiru-ic1td2 ай бұрын
Ameni, ameni🙏🏾
@YohanaWagana2 ай бұрын
Sawa kabisa
@anglestinailungu9252Ай бұрын
Mtumishi niombee Kuna vitu viko kwenyemgogo na mabega na mguu
@JaneDoe-hf3zy2 ай бұрын
Ameeni
@phanicekhavere2 ай бұрын
Eee kumbe Malawi ni waswahili ? Mungu awabariki ubarikiwe sana mchungaji
@simonnsengiyumva10002 ай бұрын
From Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@EdsonSamwel-p4k2 ай бұрын
Tuko pamoja mtumishi tupelekee injili nyumbani kigoma wamekumic kigoma
@dorcusmuania96297 күн бұрын
Niombee nifunguliwe niwe kama ww nko kenya
@jotafungo46222 ай бұрын
Fix
@LindaJohn-fy1in2 ай бұрын
Acha kunyoa kiduku mitindo ya kidunia mchungaji samahani kama nitakosea
@andrewmhagama98162 ай бұрын
Usiwe kama farisayo na masadukayo Unaosha kikombe nje wakati ndani ni kichafu au unapaka chokaa makaburi kwa nje wakati ndani ni mifupa inayonuka..Tafuta Neno
@Jesusisaking12 ай бұрын
Jamani wapendwa mnaona andika comment ni Mungu na mungu!
@SamoraTabaga2 ай бұрын
Kazinjema mchungaji katekela, naomba kuuliza kwanini uliandika alahu akibaru kwenye shuka, Hilo neno ulimaanisha nini wakati umeenda kuloga?
@HellenDana2 ай бұрын
Sababu huwezi kuwa mganga au mchawi bila kuslimu kiislamu na usome lugha ya majini ambayo ni kiarabu
@AgnessMpanduka-l5gАй бұрын
Mungu anaeitwa Allah wa waislam ndio anatumika na Waganga na wachawi huwezi kusikia kwa jina la Yesu kwa Mganga wa kienyeji, wenyeuwezo huo wakutumia jina la Yesu ni Freemasons ndio wananguvu ndio hawa Manabii wa michango wameandikwa mpaka kwenye Biblia.
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur2 ай бұрын
Ivi kwanini lugha za kiarabu na kiislamu zinatumika sana na wachawi?
@SamoraTabaga2 ай бұрын
Yasi nataka na Mimi kujua hapo
@HalimaPaskalАй бұрын
Hata me nataka kujua audhu billah minashetani rajim inatumika kwa waislim na huko kwa wachawi initumika???
@AgnessMpanduka-l5gАй бұрын
@@HalimaPaskal Lazima itumike bila hivyo huwezi kuita Majini hasa ya Kiarabu ndio yanatumika sana kwa waganga na wachawi.
@ruthmwamburi756Ай бұрын
Amen
@jannetteanzemo32802 ай бұрын
Amiiina.
@YohanaWagana2 ай бұрын
Sawa kabisa
@BONIFACEBIDA2 ай бұрын
Mch ubarikiwe sana karibu shinyanga huku anga bado zito tunakuitaji sana