Рет қаралды 29
Jifunze kiingereza na Teacher Othman
📚 katika somo la leo tutajifunza jinsi ya kusema sikuwa nina ... kwa lugha ya kiingereza. pia tutaangalia jinsi ya kuuliza maswali na majibu yake. #englishgrammertips #jifunzekiingereza #learnenglish