Рет қаралды 5,469
Mahitaji
Chakula cha watu 4-6
Vikombe 4 pasta ya penne
Kwa kuandaa kuku
Vidari 2 vya kuku
Vjk 2 vya bizari ya cajun au slap ya mama
kjk 1 cha chai unga wa kitunguu maji
kjk 1 cha chai unga wa kitunguu thom
kjk 1 cha chai pilipili nyekundu ya unga
kjk 1 cha chai pilipili manga ya unga
kjk 1 cha chai unga wa bizari ya uzile
kjk1 cha chai au zaid chumvi
Vjk 2 vya chai majani ya parsley makavu
Vjk 2 vya chai mafuta ya zaituni
Mataarisho ya urojo
Siagi vijiko 2 vya kulia
Mafuta ya zaituni kjk 1 cha kulia
Kitunguu 1 cheupe au manjano
Pilipili boga 1/2 nyekundu na manjano ( kama utapenda)
Kjk 1 cha kulia Kitunguu thom kilosagwa
Nyanya 2 za kiasi
Pilipili manga ya unga kjk 1 cha chai
Pilipli nyekundu kavu kjk 1 au zaidi
Bizari ya cajun au slap ya mama ( kama huna tumia bizari ulotumia kwenye kuku)
Heavy cream vikombe 2
Supu ya kuku kikombe 1 au , kipande 1 cha magi changanya na maji kikombe 1
THIS RECIPE IN ENGLISH • SPICY CAJUN PASTA
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas www.youtube.co...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
www.instagram....
Music courtesy / contemplative-middle-e...
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world