I have a baby thru pastor Gillack after 5yrs in marriage without a baby,,,God is great
@irinemosati55574 ай бұрын
Mimi niko gulf lakini mtoto wangu na mama walikuja kanisani ukaombea mtoto wangu akapona.barikiwa sana mtu wa Mungu.
@user-dm3hv3fs5i11 күн бұрын
New life church in kisii Iko side gani plz my mum amesumbuka sana na ugonjwa help
@EUNICEMO99610 күн бұрын
@@user-dm3hv3fs5iukipata location andika hapa pia mimi crusade ya kenyenya ilinipita
@Hellenjohn-br1jv4 ай бұрын
Pastor gilauk the man is saying the truth he us send by God so please be careful i ask God to protect you caver you with the blood of God Amen
@jaowe-s2u3 ай бұрын
Naomba ushers wawe wanafunga sana juu uwa hawajui kutofautisha roho wa Mungu na mapepo,..uwa tunaumia sana wakati mwingine wanabeba mtu akishikwa na roho wanamfunga miguu kwa nguvu jameni
Mtu anatoa unabii na amefungwa hivyo jaman,kwan hanjui kutofautisha roho
@kennethochogo38533 ай бұрын
Kufanya kazi ya usher sio rahisi ni ngumu sana...sisi wakristo tuwaombee watendaji wa kanisa...hasa ushers, cleaners....na wale wasiojulikana...
@VionaMuthoni28913 күн бұрын
Kabisa
@rosekadzokillian97003 ай бұрын
God is in this young man.. He's the one talking... Pastor Gilack respect those words.... Anaongea kwa uchungu.. Ni Mungu huyo.. Mpeleke kwa Ezekiel apate mafunzo, He's a coming Prophet... Do as God has told you. PASTOR.. AMEN
@MaryMbugua-wd3ev3 ай бұрын
Kwani unabii ni kitu mtu hufunzwa??ama unasema afundishwe nini??
@rosekadzokillian97003 ай бұрын
@@MaryMbugua-wd3ev Apate mafunzo kama wale wengine kisha ahubiri injili,.... Re. Watch and listen the video again
@Florencewairimu-hy1fi4 ай бұрын
Hii ni ujumbe wa kweli shida ni kwamba wengi hawaelewi vile kipawa hiki kinaoperate.
@floramumbua33934 ай бұрын
True
@EstherMomanyi-wf7xr4 ай бұрын
Pastor mm nakushuru wew pamoja na pastor jackline kwa maombi mnaofanyia sister yangu ambaye alikuwa ugonjwa ingne tofauti na mgonjwa engine na sai ako atleast na nina mini atakuwa salama
@carendeborah56874 ай бұрын
God lives in us for sure,only that we allow the darkness to take over our bodies but the spirit of God is always with us
@raubenmagezi45973 ай бұрын
God is raising a new generation in Kenya am in uganda among the least Apostles of God,you will see singers shaking that nation, it's a pity for proud servants God will break their knecks. Be blessed.
@CollinsAroni3 ай бұрын
Pastor Gillack be blessed through u my daughter got delivered
@zipporahjepchirchir79374 ай бұрын
Asante yesu huku mungu ametenda ,barikiwe paster Gillack na jackline🙏🙏
@user-wr2rz2uj8t4 ай бұрын
Pastor following you from Turkana, Please remember me going through a lot in life since childhood till now .
@VionaMuthoni28913 күн бұрын
😅Waaaa he has being sent with God this is a good message from God direct,aliposema afunguliwe angefunguliwa huyo ni malaika alikuwa anaongea bila hata fujo roho wa Mungu hana fujo
@jmubs953 ай бұрын
Powerful! Thank you Lord for using the youth.
@NaomiNakhumicha46364 ай бұрын
This is more spiritual, wueh
@angelasherine28783 ай бұрын
Bishop Ezekiel pray for am from California tunakupenda Ezekiel bishop man of God
@Lameckawuondo3 ай бұрын
Sawa
@NaomiNakhumicha46363 ай бұрын
This is pastor Gillack not Ezekiel, en point of correction Ezekiel is an Evangelist not Bishop 🙏🏻
@PURITYNGUSYE-cy8jz3 ай бұрын
Yes lord,,roho ameniguza nd i know God is taking me to another level spiritually
@joyletlubanga15264 ай бұрын
Aki mungu ni mungu tu kwa hakika anaweza kumtumia yeyote ili kufikisha ujumbe na kwa hakika umefika, nakupenda sana MUNGU wangu
@tinahmaghanga52493 ай бұрын
May God deliver my sister Faith from all oppression of the enemy apokeee maisha yake in Jesus name
@ColletaOngango4 ай бұрын
Thank you Lord Jesus for this wonderful message in Jesus name
@norahsingombe265814 күн бұрын
I believe God is existing pastor Gillak
@mellenarasa84974 ай бұрын
KeelKweli Mungu, yupo let us not take it for granted ❤❤
@VickyChelangat-ko6nn3 ай бұрын
Be blessed Pst Gillack, you are the chosen
@TripleM-n3bАй бұрын
God is great 🙏Don't forget me ooh God😭😭
@TripleM-n3bАй бұрын
God is great🙏God rem me ooh
@user-mr9do2hc1f4 ай бұрын
God touch him. And let your will be done. Make him untouchable, in the mighty name of Jesus Christ Amen.❤🙏🙏🙏 Ghana.
@teresaliruma42183 ай бұрын
Pastor Gillack,even Nairobians knows you
@mirriamndanu-fe7cr2 ай бұрын
Mungu nisaidie kwa biashara yangu
@Vishemkerubo4 ай бұрын
Indeed God can use anyone to deliver his message
@alexinamoraa-ut7pb4 ай бұрын
Ujumbe umevika ashukuliwe milelee🙏🙏🛐🙌
@AgnesBiyogo4 ай бұрын
Mungu ainuriwe kisii❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
@pettybrown26554 ай бұрын
Thank you GOD 🙏 for that message
@BrezyMary3 ай бұрын
Be blessed pastor gillack lord give more powerful 🙏🙏
@Perer-j4m2 ай бұрын
mungu abariki watoto wangu Sarah n Juliet n mamagu pale nyumbani na ubariki ndoa yangu pastor
@Damacklikerubo3 ай бұрын
Napenda kuangalia hii message kila siku tafdhali pastor Gilack husisahau ukumbuke haya maneno yake
@EdithMemoh3 ай бұрын
Pastor be blessed
@jaowe-s2u3 ай бұрын
@B hiyo inataka ufahamu wa kiroho ndio uelewe,,,roho wa Mungu anatumia watu wengi ni vile ushers wa new life hawafungi sana wakapata kujua kutofauitisha roho na pepo....
@NancyWanyonyi-n7d2 ай бұрын
God is great
@ValishTalia-ss2xu2 ай бұрын
Be blessed
@violetnasimiyu87183 ай бұрын
Poleni sana Mungu awasaidie na kuwapa ufahamu.
@zawadicharo-sy9xn4 ай бұрын
A massage from God
@reginawanjiku30184 ай бұрын
Wotchin live from saudia arabia
@Damacklikerubo4 ай бұрын
Be blessed A man of God
@AbekMbalukha4 ай бұрын
That's true pastor take care am apostle Abel do so plzzzzz
@user-lh8vc6zv5b4 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏ooh God you're so great. Let's repent and run to our Father 🙏 in Jesus name
@LydiaNyanchama3 ай бұрын
I believe in this church God is here
@macm-d3m4 ай бұрын
Glory be to God almighty.
@jaowe-s2u3 ай бұрын
I pray that u understand the message plzz pastor Gilack...Ametumwa na roho kwa na Mungu plzz
@NaomyKamarinyang4 ай бұрын
May God bless you pastor
@Jisca-yn3ue4 ай бұрын
Be blessed pastor 🙏
@angelaokidi90784 ай бұрын
Amen 🙏, Lord God forgive us where we done wrong
@user-yc2jz4bb2p4 ай бұрын
Postor Niko Iraq nimeanza kukufuatilia kutoka Sasa ,aki Niko na mtoto mwenye n mgonjwa na sielewi, mm n Mary Niko Iraq postor niombeni sanaa
@Perer-j4m2 ай бұрын
bariki familia yangu
@SurprisedBirdBath-qh2nn3 ай бұрын
God bless u pastor gilack and ezekiel
@EuniceNyakerario-hn2uy2 ай бұрын
Nibariki
@reginawanjiku30184 ай бұрын
Mungu naomba niogezwe mshahara katika kazi yangu
@LilianOsoro-pw2hw3 ай бұрын
Wacha mungu akutangulie pastor
@PURITYNGUSYE-cy8jz3 ай бұрын
I receive in Jesus name Ameen
@loyceakuku60193 ай бұрын
Mungu akusaidie pastor Gilllack
@PetermaunguMulei2 ай бұрын
In Jesus name
@WanjikuNjihia-vy9jrКүн бұрын
Kinisha Iko kishi wapi
@alicemuthoni42943 ай бұрын
Amen
@ChristinMulongo-vn7hv3 ай бұрын
Amen 🙏Amen 🙏Amen 🙏
@lucymoraa400629 күн бұрын
The holy spirit was speaking to you pst take note and be keen. Barikiwa sana.
@fridahkarimi55103 ай бұрын
God bless you pastor Gilack
@Lydia-gf8ct4 ай бұрын
Especially wanasiasa chunga sana pastor
@ericknyarandi85583 ай бұрын
God bless you pastor gillack
@euniceomaore64423 ай бұрын
Amen Amen Glory to God
@joycewafula9353 ай бұрын
Mungu guza mwanangu Nancy mahali alipo apone
@wcyliffeonyango24333 ай бұрын
Sunday. Poa blessings
@user-ig7gq9ne7l4 ай бұрын
Be blessed paster
@harrietajiambo2293 ай бұрын
Hii dunia Mungu yupo ila wengi watachukuwa kama acting but Mungu yupo na yuko hai na mwanawe Yesu Kristo
@MaryMbugua-wd3ev3 ай бұрын
Mbona mfunge mtu kama MWIZI HAPO mmekosea sana you hAVE to styleup you people
@RachaelMwangi-ql3rz3 ай бұрын
Aki kunaye mungu na anatumianga njia nyingi sana kuongea nawalio mwamini
@djpdaprince22333 ай бұрын
Ebu tueke ilianzaje more fire
@angelamunyalo90983 ай бұрын
Pastor Ezekiel na Sarah wabarikiwe popote walipo na mapastors wengine
@EmilyNanjala-fz9je3 ай бұрын
Ombea hao ushers
@damarisanekeya33543 ай бұрын
wacheni vituko kanisani please.
@Smallbutdangerous25413 ай бұрын
Who knws this man please
@Rehema-uw4et3 ай бұрын
Mwalimu Ramadhan mwanajuma popote afanye njia za zote Leo anitumie hela zangu,na asipo tuma akose Amani Leo na hata milele.
@josephine-jr9cc4 ай бұрын
Hata sielewi it's more spiritual
@bettykosgey3 ай бұрын
Which side in kisii Town please 🙏
@maryamsaidi54244 ай бұрын
Pastor huyo ametumwa ni Mungu aki hata mimi nimehisi kitu fulani kwa mwili wangu
@joyceserem65684 ай бұрын
Surely you were send to kisii by,do your work bila uoga,unamtumikia mungu Wala sio binadamu.wasipoamini kweli,watatoka wote😢
@Judy4Christ4 ай бұрын
Wow❤❤❤😢
@MaryMbugua-wd3ev3 ай бұрын
Hizo keyboard kelele MINGI
@dgdvdg4 ай бұрын
Amen and amen 🙏 🙌 👏
@irinemosati55574 ай бұрын
Sasa wale wanasema ati wanatamani kua pastor au waende kusomea upastor.sasa huu ndio wito si ile ya kujibandika.Mungu tusaidie tuwe na macho ya kiroho.
@dgdvdg4 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@veronicahkhaikwa49293 ай бұрын
Thank you Jesus
@NorahMarion3 ай бұрын
Huyu pastor anapatikana wapi
@harrietajiambo2293 ай бұрын
Ukiona roho akisema pastor asiwai kubali kitu chochote cha bure niko sure kuna mpango ulikuwa unapangwa kuletea pastor msaada na hio ndio ingekuwa mwisho wa huduma
@gahrigeberhard3 ай бұрын
Very correct
@melodymoraa81583 ай бұрын
Where is church situated at kisii
@LilyCruise-fp7mj4 ай бұрын
Woi me sijaona hii😢😢,aki huduma huwa hivi ?? But Ezekiel atafafanua au hata gilack anajua coz they have spirit of prophesy
@boazmunjalu2 ай бұрын
Two sprit are fighting in the boy Pastor be careful....
@SynaiderMutaka4 ай бұрын
Iko na wapi
@LilianOsoro-pw2hw3 ай бұрын
Ameeeen pastor
@JUllySewe3 ай бұрын
The spirit of God in me tells me that , what this man is saying is not true!
@sharonoduor26623 ай бұрын
So U who have the spirit of God tell us the truth
@JUllySewe3 ай бұрын
@sharonoduor2662 let him go to our higher alter huko mavueni akaongee venye ameongea hapa , then you will know the truth 😉