LemFi is a mobile app for users in the UK, US& Canada to send money to 10 African Countries, Kenya, Ghana, Nigeria, Senegal, Ivory Coast, Cameroon, Benin, Tanzania, Uganda & Rwanda with zero fees at the best rate. Visit the website here - lemFi.com Download the app here: iOS -apps.apple.com/ke/app/lemfi-prev-lemonade-finance/id1533066809 , Android play.google.com/store/apps/details?id=com.lemonadeFinance.android #LemFi #CreatingWithLemFi
@dantez87756 ай бұрын
You can escape human judgement but you can't escape God's judgement, wait for it, it's coming!
@rejinarejina72636 ай бұрын
Am sure the kids are not more they died and buried.
@happynesspeter21746 ай бұрын
Uwiiiii😢😢😢😢😢
@mjombawallace49666 ай бұрын
Its verily coming
@MolelyMolely-h5r6 ай бұрын
Team Samaritan gonga like hapa kama uliskiza voice ya mamchungaji akimwambia Leon aseme watoto wako Arusha😢😅
@abdallagakweli63666 ай бұрын
Likes za nn na watto hawajulikani walipo
@nyambumwangi8776 ай бұрын
likes ukapike nazo Ama situletee mash???
@suewanyoike97746 ай бұрын
Samaritan sialiskia but ataskiza story zingine lakini watoto hatapewa waodio kusema
@NorineEdesa6 ай бұрын
aki angekua stano watoto wangekua wamepatikana kitambo walai
@CyphroseRobert6 ай бұрын
Hapa ni kuwakabidhi watoto kwa wahusika .Tumechoka kusikiliza utopolo.Arusha siyo mbinguni.
@juddiewandera6 ай бұрын
Corruption at it again, how can a criminal get out of prison kama sio pesa za kutesa watoto wa watu haki 😭😭😭
@LucyWangari-rs3kx6 ай бұрын
Imagine soo bad
@miriammiloyo12126 ай бұрын
Imagine na kwanza ni church
@pastordavidnjoyamedia.40196 ай бұрын
That DCI know everything.They have already been bribed and advised these criminals to take the children to Arusha to hide the truth.
@shalomkind45756 ай бұрын
Ndio hawa watu wanafaa wapewe kichapo cha mbwa
@Userantelope6 ай бұрын
I am forwarding this to someone in Finland and Switzerland
@jacklineadhiamboowino9646 ай бұрын
Kindly do it we need justice for the children
@margaretwambete12286 ай бұрын
Plz do.lets advocate for the voiceless
@lizglenda60016 ай бұрын
We need justice,,Do so please
@LilianGakii-dn8qy6 ай бұрын
I support u
@gladyshuegli30556 ай бұрын
I AM IN SWITYERLAND, AND FOLLOWING WHAT THIS STUPID COW IS TELLING, HAPA HAKUNA HIZO KANISA ZA MAPEPO WA KUKONDESHA WATOTO.
@NancyKimani-f6t6 ай бұрын
Hao wote ni watu waovu in the name of church na kusaidiana, washidwe sana in Jesus name
@njorogegacheru73006 ай бұрын
Hii ni kanisa la shetani. I wish hii case iko na STANO
@sandraawour6 ай бұрын
my thot too,, rem how they fought to get brayo n grace who was in very critical condition with one kidney left
@carolinewangari77006 ай бұрын
We would have gotten the kids already,samaritan do it for the love don't do it for the likes
@GraceMahihu6 ай бұрын
I also wish too
@Carlos-yi7jz6 ай бұрын
Me toooooooooooo
@Tmrembo6 ай бұрын
Just mentioned the Church Samaritan na wewe. Aibisha hawa makaidi.
@hellenNzilani-dk1sn6 ай бұрын
We want mash and the other kid period
@peninagateti6 ай бұрын
@Hellen huyu ndio bibi ya pastor kitu tunataka ni watoto mambo na arusha hawakuenda, hata kijana alisema huyu mchawi alichukuwa watoto.
@rosemuthoni81096 ай бұрын
Very true
@eunicewanjama24496 ай бұрын
Kabisaa
@wairegijulius95876 ай бұрын
period
@hellenNzilani-dk1sn6 ай бұрын
@@peninagateti atoe watoto ala bona asikodeshe wake
@leahndungu37136 ай бұрын
We don't want to see this demon here, where is mash and the other one
@wanguwangu39276 ай бұрын
Unaona vile wamenona na bwanake Kwa pesa za kuteza watoto wa wenyewe GOD IS WITCHING!, Malipo ni hapa hapa nduniani!,KANISA LANGU na kweli ni lako kanisa la mungu haiwezi teza watoto!
@bettywangui25726 ай бұрын
Toa watoto wacha kutafuta utajiri na watoto wa wenyewe
@natashalucy-pn3cx6 ай бұрын
We want the children back to their parents hands final
@Faith-xt5wc6 ай бұрын
Finland Embassy should take legal action. Can someone interpret to various embassy that this woman has visited.
@BoazOkalo6 ай бұрын
" pastor wajua sikukuita u preach" point on Samaritan. Focus is key
@hannahwanjiku-b4m6 ай бұрын
We want justice justice justice fr mash n another kid
@gachericatherine6 ай бұрын
Sama watoto wako.wapi tell us about mash and the other boy pliz
@denniskavili90776 ай бұрын
Mama mshenzi Sana...........I wish ungejifisha Tu na uulete watoto ......u will be humbled......soon
@nancyrori66376 ай бұрын
Please sama tell that woman we need children back to their parents story zingine ajiwekee
@mariagichuri72736 ай бұрын
But we wanted the children....or what is really going on?
@judithkandie50516 ай бұрын
How can you host such a person...... All we want are the kids, not episodes
@maggiewanda24046 ай бұрын
We want mash and the other kid period! Hata huna aibu bibi ya pastor respect your age!
@AliceWangu-b3z6 ай бұрын
Kanisa yenu na Bwana yako si ya Mungu
@gracew74606 ай бұрын
Mnahubiri mungu mgani, na wazazi wanalia
@Comfort-s3i6 ай бұрын
Aki siku ya hukumu mtashangaa sana how people pretended on earth and how you women in church worshipped pastors wife's mkiwaita MUM's chieth as if they were your second God ...ngojeeni tu💔💔💔💔
@Stellah-z1j6 ай бұрын
Hii Kenya, wanyonge watazidi kudhulumiwa simply because they are poor. Mungu ndiye mtetezi wa wanyonge.
@gracewanjiru87166 ай бұрын
Ukiskia kanisa langu kuwa murife. Kanisa ni la Yesu ,He is the one who died for the Church.
@catherinenjeri22116 ай бұрын
True church ziko na picha y wife n husband
@GladysJemutai-f8j6 ай бұрын
True,that is why chenye inafanyika huko is ungodly
@nonamenoname74206 ай бұрын
@grace,ll have my Bible and hymn book therefore I can worship at hone
@nonamenoname74206 ай бұрын
Birds of a feather flock together. This woman and the husband are the same. They lie and speak the same language. Shidwe
@ChumanaSusi6 ай бұрын
Kitu inaitwa kanisa langu toroka mbali sana na kitu kama hiyo. Ni mali ya mtu na si.mali ya mungu
@fatumaadam42716 ай бұрын
Am done😢sio kwa ubaya .
@juliusmwongela62496 ай бұрын
Kwa hii serikali ya ruto ni ngumu sana muhalifu kukaa ndani akiwa na pesa. Lets pray watoto wapatikane guys Ata am pretty sure yule madam alikuwa anazika mizoga ya watu kwa shamba lake ako free as wifi
@mumbisandtmann89316 ай бұрын
Ondoa Ruto kwa mdomo yako juu yeye sio anafanya hizi thambi,mambo ilikua ata kabla hii ni wakati imefika kila kitu kua wazi@juliusmwongela6249
@SamuelKabuku-fd1qs6 ай бұрын
Sio hii peke ata zenye zimepita Kenya we have problem with leadership
@hawababy1206 ай бұрын
Weee mama tuachie maneno tuaitaji mash full stop 😢😢😢🇧🇮
@faithimannkings59976 ай бұрын
Kenya has vecome a gangsta paradise and people do evil and get away with it. Even pastors are committing crime. May God belp us
@mumbisandtmann89316 ай бұрын
Watu wasirudi kusema revival will start in Kenya juu imekua Sodom na Gomorrha yani maofu imezidi @faithimankings5997
@janejapan93636 ай бұрын
The government it's self is gangsta
@mjombawallace49666 ай бұрын
End times monsters are these 😅😅😅 cramping ya kuko deshwa the 😅😅
@joycenjeri69456 ай бұрын
Criminals are pretending to be pastors for money?
@joycenjeri69456 ай бұрын
Criminals in the name of pastors.
@CharityWachira-zw9cf6 ай бұрын
I wish hii kesi ilichukuliwa na stano.saa hii mash angekua na mama yake.
@jacklineadhiamboowino9646 ай бұрын
True
@dorcasjebet16916 ай бұрын
But samaa can't allow that to happen.
@GitongaJosyline6 ай бұрын
Sama pea stano hii kesi uyu mama anyamaze
@monicahkamau-us2fl6 ай бұрын
Kabisa stano is the good Samaritan who knows how to handle things the right way
@Tabbyrenish6 ай бұрын
Mash angekuwa alipatikana kitambo
@christopherallindi81766 ай бұрын
Msma Pastor, change your ways early before its too lare Sama is not your enemy...
@catherinethou6 ай бұрын
Fact remain watawachiliwo tu kenya nchi ya kitu kidogo
@njorogegacheru73006 ай бұрын
Aki Samaritan dont let your fans down.Borrow a leaf from STANO. Ungemwekea video akiongea na Leon.
@faithmutua26946 ай бұрын
Sama ako after views he can even confront her.anasikiza t
@emeldernyamwaya25736 ай бұрын
Sama haskiangi
@marynabwile40866 ай бұрын
Like senior Dave pia yy hasikiangi
@godfreylangat22436 ай бұрын
Huyu hawezi nunua hata ka -Tv kadogo he his self-centred on himself with content creation very soon hata views hatakosa akiwndelea kupuuza maoni yetu.
@rachelaswani16016 ай бұрын
Samarita brought this lady here sat her down to listen to her,hii kesi hakuna mahali inaenda..
@chullakoi88036 ай бұрын
Samaa cc hatutaki story watoii wako wapi?
@fridahkarimi55106 ай бұрын
Mama a prayer answered without the missing & mistreated poor children 😢, leta watoto,kanisa sio lako ni la mungu. God Judgment is upon you,wewe ndio mkikuyu pia unamaliza wenzako kuiba watoto na kuwatesa!
@damakemunto52866 ай бұрын
Nasikia vimbaya sana huyu mama akiongea uongo... May Jehovah strike these woman
@rackelturner67276 ай бұрын
The patron said something bad happened but he did not reveal
@faithmuange39146 ай бұрын
Nani mwingine ameboeka na hii mambo kama mmy juu sioni mash akitokea mmy 😢 devil 😈 pastor 😢
@teresiahmungai86756 ай бұрын
Pia mimi nimeboeka
@kavoikiletu69846 ай бұрын
Uzuri Mzee anakula kondoo,haikosi uyu pia amefunga Ben ten. Muhimu atoe watoto na aache io biashara kabisa
@kokimusyoki6136 ай бұрын
Yule kijana wakuchunga watoto ndio ben10
@estherwarui29396 ай бұрын
Justice may be denied because of money but there's a just God I n heaven..the kids are very innocent you can't imagine leon was saying they used to wake up and Praise God but that certain day they never woke up ...am trying to conect all these stories but something might have happened liz the Pastor was told to run away ,leon something happened let's just pray for the two families ....
@marykaruri89946 ай бұрын
Our heavenly Father come down and deal with these devils....😢
@AnyThing-zo8xj6 ай бұрын
Bona mnaficha hiyo church shually
@aplokimo4056 ай бұрын
Si afahal8 jeshi wachukue watutese kuliko hii mateso sii afadhal8 basi tukae bila koti bila nini kama haki hakuna bora pesa wto wanauzwa kwa waxungu sasa nini hixo apana hapana i say noo to this government
@mercymumbi25106 ай бұрын
Huyu anadinywa na LEON😂😂😂😂😂😂😂😂
@sylviaokoth29726 ай бұрын
ILike the way you are thinking 🤔🤔
@juddiewandera6 ай бұрын
Hey ati retreat😮 oooh my God na watoto wanaachwa njaa ndio wapigwe picha wakitumia wazungu surely 😭😭😭
@faithmuange39146 ай бұрын
Sasa mnaleta uyu mama hapa kufanya nini kama watoi hawako
@sylviaokoth29726 ай бұрын
Stano should help hii mazungumzo haisaidii😢😢 haki
@janetchirchir57646 ай бұрын
Kweraaaaaa Mam Mash c maskini wacha ushetani wewe kama watoi wamekufa hilo gari lako likuuue
@susanngugi24896 ай бұрын
Dci ametulet down
@FaithKaloki-dh5ce6 ай бұрын
Kwani alipewa pesa na yeye
@Iragibarune1.6 ай бұрын
Huyu mke wa pastor nimuwongoooo awekwe ndani pumbafu zake tulisha sikia vingi sana nakuhona vitu vingi ndani yaiyi maneno hawa watu wote niwa wovuu sana wanajificha kwajina la mungu Mungu asaidie hao watoto wapatikane. Sana niwatoto wawili masha na mtoto ambae niyatima alikua ana lelewa na nyanya yake pls masha akipatika mumlete nahuyo mtoto pia asibaki uko😢😢😢
@jojoh-n5e6 ай бұрын
What is F.*****Ng wrong with this woman jiiiz why would she be still holding holding hostage other people kids...so sad huyu apewe raia wadeal na yeye the trauma with the kids so far 😢😢😢😢😢
@janetchirchir57646 ай бұрын
kanisa langu Sio la Mungu😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@janewanjiku-c3c6 ай бұрын
Magaidi wanaachiliwa tu juu ya pesa wanafunga watu innocent wenye hawana wa kuwatetea,BUT Wajue wanaalani watoto wao kwa.maovu wanayo.yafanya,,itawarudia tu
@CyphroseRobert6 ай бұрын
Eeeh Kanisa kumbe ni lake! Sheet,Kanisa ni la Mungu.
@catherinethou6 ай бұрын
Wakikuyu mmezidii this becoming to much, kindly hii sanitize ziende allover the Kenya tujue shida iko wapi, huyu mwanamke atoe watoto awache ku bweka bweka huku
@mercylinebosibori32686 ай бұрын
Samah good job. To pastor's family may God judge you with your generation
@treasureforashes34976 ай бұрын
This is how corruption rules kenya,imagine a couple wamekatalia mtoto wa mtu by force by fire and nothing is done
@sheerow3716 ай бұрын
😭😭
@puritywainaina88066 ай бұрын
It's painful very painful n serikali is doing nothing
@estherkimeu76386 ай бұрын
Mniambie hii kanisa iko wapi nitawakilisha vilivyo.cant be crying with mama mash everytime...ni mama kama mimi...wamama hoyeee
@Anviy6206 ай бұрын
This is the woman who ordered watoto wakondeshwe in the name of making money shamon you
@cecilianyamokami69086 ай бұрын
Hapo sawa sama... Hawa waharifu, mbona wako out of cell?
@Tarubini16 ай бұрын
Really????? Samaritan, please don’t give up on this case😱
@sammymwilu21836 ай бұрын
Kanisa yangu!!! thats a pure business....Murife ruuuun.
@nxjjfj49236 ай бұрын
😢😢😢 how can such a creminal get released from prison,yaaan hii Kenya hakuna Sheria 😢😢,mtu anakata na watoto wa wenyewe ??????? I can't hold my 😭😭😭😭😭😭😭
@maryndungu24746 ай бұрын
Mm naona venye hii mambo ilitokea walifisha watoto kwanza wawapee food hii kenya mnyonge haki
@cateWainaina-k6q6 ай бұрын
We mama. Nyamaza
@juddiewandera6 ай бұрын
Rudisha watoto wa wenyewe kwa wazazi wao if truly you are a servant of God
@irinewachira65896 ай бұрын
They are not servants of God, servants of God can never starve young kids.
@megaumojakitchen15996 ай бұрын
Thanks for mentioning Finland, tutapiga simu huko embassy.
@nasykanjawakanyoni14216 ай бұрын
Watoto wako wapiii period Kuwajenga nini Kuwanyima chakula 😢😢
@jeniffernaliaka37636 ай бұрын
Ati nilikua nimekutamani, kijana mdogo nauko na mtoto WA eight years, ngonja ufungwe ndio utajua ujui. Nita adopt huyo mtoto wako😢😢😢😢😢😢
@njorogegacheru73006 ай бұрын
Samaritan name this church and help the society. If pst Ngatia ako nje it's high time we take the law in our hands.Tumia huyu mama anakuitisha jina ya church apige finland
@teammikebikestunts66096 ай бұрын
Hi team Sama. Watoto warudishwe kwa wazazi period. Sama I wish ungerecord maongezi kati ya Leon na bibi ya pastor aache kutubeba ujinga. Atoe watoto .
@user-chungamali6 ай бұрын
Watoto wako wapi😢😢😢😢
@faithngigi50166 ай бұрын
Kesho Ni kimbikimbi Kwa eastern tv na true K tv
@GraceMahihu6 ай бұрын
Mama mash jipeleke police station pls.kwa DCI kiambu. I don't think u will get help here
@SusanKaranja-go7ke6 ай бұрын
Mumeuza watoto wengi sana nyinyi kazia .
@wairegijulius95876 ай бұрын
whaaaat an opportunity, napenda kuhubiria watu heheeeee
@dignanjau6926 ай бұрын
Mama mjanja Sana usipokuwa makini anakushinda
@janenjeri71006 ай бұрын
Ati toxic 😢😢 really....?? Ama Hawa watoto wameuzwa.... (Adoption) Maybe.... Huyu ni mkora....
@SharonJira6 ай бұрын
Samaa simu ya uyu mama sanitize b4 atoke hapa aki mbona mnabembeleza hawa watu hivo aki wakat watoto wanazd kuteseka😢
@CharityWachira-zw9cf6 ай бұрын
Hawezi anamguopa
@gracemumbi50876 ай бұрын
Sama umetuboo Sana I wish pastar show ni eye alikua na hii case,mash angekua na mama yake
@lucywachira77096 ай бұрын
Ukiangalia mama mash hayuko in toxic marriage.... hizi ni story za jaba sama huyu mama anatupea.. Please saidia watoto, thàts all I want
@PhilomenaNduku6 ай бұрын
Wale policemen wa kupiga then ask questions later mkuje msaidie hapa pls.
@benilandis6 ай бұрын
Switzerland wapi?nataka kufwatilia.wacha uongo Mama
@stanleyngumba82516 ай бұрын
Please somebody in box me name of the church please.
@ruthmachariaofficialinspir63716 ай бұрын
Watoto wako wapi?
@aplokimo4056 ай бұрын
Mtu yeyote mbaya niprleke kotini nipeleke cotin8 pesa ndio wanajua hawatujui hata kidogo guys hii serkali imesh8dwa kazi wal uhuru said this kazi yao nivyeoo tu
@patiencemwandairo54346 ай бұрын
Hawa macriminals wakipelekwa ndani wanatoka bond na then kuna agreement ya some percentage ya tax wanalipa my thought.
@miriammiloyo12126 ай бұрын
Ngai huyu si ni shos jamani in whose hands are we safe. God intervene on our behalf😢
@njeriwakarongo90696 ай бұрын
Kuna kitu huyu mama anajaribu kuficha ..anashida akisema leon ni kijana mdogo so what🤔🤷🏿🤦🏿
@SamiraMulama-op6bm6 ай бұрын
Hatutaki kuskia hizi story za upuzi upuzi Na kabisa...we read the messages..Ni Nini unauliza huyu mama..atoe watoto together with the pastor n Liz
@ruthkarungu50956 ай бұрын
Nyefnyef. We want the kids wacha ujinga "Mackenzie" !
@BethNyambura-t8f6 ай бұрын
Samaa atawagonganisha vichwa na Liz 😅😅😅sababu ya mhusband
@mjombawallace49666 ай бұрын
😅😅😅😅😅 watu an opportunity 😢😢😢napenda hivyo 😅😅😅😅 shetani mkubwa
@HalimaNjeri6 ай бұрын
Aki .ko na patience sanaa huyu mama ni muomgo tena vibaya sana
@estherkinyua9146 ай бұрын
Mama muuaji na mdandanyifu. Toa watoto haraka.
@TESSY-nr8cq6 ай бұрын
Woi.. i rlly pity mama mash.. the kids r suffering jst bkoz money is tlkng here.. 😢😢
@BenardChiriro6 ай бұрын
Watoto wako wapi
@lydiaadisa47986 ай бұрын
Did you capture 'FINDLAND'
@jeffcheta6 ай бұрын
Kama polisi wameshindwa c utupinie location Sama mob tuingilie
@ragamuffin24336 ай бұрын
Very smooth and calm liar this mama. Wow...this world is full of craziness LOL