PATA NONDO ZA SAFARI YA YANGA ALGERIA KUTOKA KWA ALI KAMWE/MSAFARA,WACHEZAJI NA VIONGOZI.

  Рет қаралды 44,330

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

#daimambelenyumamwiko #timuyawananchi

Пікірлер: 131
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 Жыл бұрын
YANGA AFRICANS Daima mbele nyuma mwiko mungu awajalie afya njema na mfike salama. Na mchukue kombe💛💚💛💚💛
@queenraphaher7736
@queenraphaher7736 Жыл бұрын
Tumeridhika sana. Mashabiki tunawashukuru sana🇹🇿🙏
@SelestinaNjiku
@SelestinaNjiku Жыл бұрын
Mungu awatangulie mfike salama, mungu awatie nguvu kwa Kila hatua ya mafanikio
@eliupendo3205
@eliupendo3205 Жыл бұрын
Allah awatangulie mfike salama na tutashinda kwa uwezo wake inshallah
@unclegmihale455
@unclegmihale455 Жыл бұрын
Ikawe heri kwetu kufika salama na kucheza salama hatimaye kurud na Kombe Nyumban Tanzania 💚💚💛💛🔰🔰💪🇹🇿
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Жыл бұрын
Ali kamwe waambie wachezaji wetu wapambeni wameshafanya makubwa mengi mengi sana na hatuwadai na wasiwe na presha yoyote warelax tunawapenda sana, daima mbele kila jema kwenu🙏
@dastopadady2402
@dastopadady2402 Жыл бұрын
Nime kuwa wakwanza yanga ni mojat2 lk tafadhali🎉
@googleus4903
@googleus4903 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana ndugu yangu Alwataan, naikubali sana team ya digital mnatupa fursa hata mashabiki tulio nje tunapata kujua mambo yanayoendelea katika Club yetu pendwa...Msichoke kutuhabarisha maana tupo hapa kusapoti #wananchi💚💛
@alfredbomani8047
@alfredbomani8047 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ni Mwema mno. Safari njema. Mchezo wenye baraka na matokeo mema ya mechi yetu. #Tupopamoja. MUNGU IBARIKI
@karenlema4317
@karenlema4317 Жыл бұрын
Amen
@annahpmihozi8449
@annahpmihozi8449 Жыл бұрын
Amen 🙏
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Жыл бұрын
Amina Mungu atusimamie tushinde
@latifabande2381
@latifabande2381 Жыл бұрын
Mungu yupo pamoja nanyi I nsharaa
@happinessmwisse1152
@happinessmwisse1152 Жыл бұрын
Mungu awe pamoja nanyi daima,,, Amuba
@marykinyaha1841
@marykinyaha1841 Жыл бұрын
Mungu ibariki Yanga irudi na ushindi
@tinabapemacho8650
@tinabapemacho8650 Жыл бұрын
mashallah tuna waombea safari njema muende kuipambania timu yetu nataifa sisi wana yanga kazi yetu ni dua kuwaombea mweze kufanya vyema ili muwez kurudi 'na kikombe
@selemanihasani1333
@selemanihasani1333 Жыл бұрын
Be idhini llah tutaxhinda na tutachukua ubingwa inxhallah 🙏🙏🙏✍️
@mbarakasijaona7638
@mbarakasijaona7638 Жыл бұрын
Mungu ibariki safari ya young Africans wafiike na kurudi salama wakiwa na kombe Inshaallah.
@emmanuelodiembo
@emmanuelodiembo Жыл бұрын
Nice enterview, & msemaji wetu umeongea ktk calm environment hope ukimentain hii status itakua poa Sana.
@ArnoldRwegasira-hp9gt
@ArnoldRwegasira-hp9gt Жыл бұрын
Mungu ajalie mfike salama mrudi na ushindi
@rezicky
@rezicky Жыл бұрын
ALLAH AWAJALIE SAFARI NJEMA MRUDI SALAMA IN SHAA ALLAH ALLAH AWAJALIE USHINDI WAKISHINDO AMEEN YAARABY👐💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
@googleus4903
@googleus4903 Жыл бұрын
Chama langu💚💚💚tumefanya makubwa mwaka huu, najivunia kuwa mshabiki wa Mwananchi kwa zaidi ya miaka 20 sasa...Ikimpendeza Mungu tuchukue ubingwa wa CAF hapo tarehe 4, ikitokea tumekosa si mbaya pia tumepambana sana mpaka kuvuka target, tunahitaji kujipongeza #Wananchi💛💛💛
@leoniaashery9337
@leoniaashery9337 Жыл бұрын
Mungu atende muhujiza yanga washinde
@aishabakari8040
@aishabakari8040 Жыл бұрын
Semaji leo umependeza 👌🏻👌🏻
@frankntibenda66
@frankntibenda66 Жыл бұрын
Safi sana yanga yakimataifa mngu tubless tuihexhimixhe tanzania yetu nateam yetu pia izid kuimalika naixhangaze dunia na vilabu tofaut tofaut ndan na nje yatanzania 🙏🙏🙏💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛 inshallah tutaxhinda
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 Жыл бұрын
Mwenyenzi Mungu Awe Pamoja na Msafara wa timu yetu. Kila mipango mibaya iliyopangwa isifanikiwe kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth, Amen!!!
@Jetson34platnumz
@Jetson34platnumz Жыл бұрын
Yanga Ni kubwa yanga ni kubwa yanga ni kubwa
@martinandugai2340
@martinandugai2340 Жыл бұрын
Jamani mzee wa utopolo na kigeregere msiwasaau
@yonathanibushiri4210
@yonathanibushiri4210 Жыл бұрын
First people here......naitakia ushindi team yangu ya Yanga
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
First people X Firs Person √
@hassanihamisi1773
@hassanihamisi1773 Жыл бұрын
Mwenyezimungu ni mwema kila wakati🤲 Inshallah Atafanya wepesi kwenye hili la jumamosi🤲
@matandularamadhani9800
@matandularamadhani9800 Жыл бұрын
Young Africans tunaenda kushinda game kule Algeria kama tulivyo wafunga waarabu wenzao Club Africain ya Tunisia na Rivers United ya Nigeria hakika tutaishangaza Africa na dunia kuna watu watasema umdhaniae sio kumbe ndiye. #DaimaMbeleNyumaMwiko..!! 🤲🤲🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔰🔰🔰💛🖤💚🔥⚽⚽⚽🏆🏆🏆🏆✅✅✅
@petermwita8571
@petermwita8571 Жыл бұрын
Mungu nibaliki
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Жыл бұрын
Naitakia kila la kheri timu yangu yq yanga uko indako ikaludi na kombe ❤❤❤❤
@عبداللهالعازمي-ع3ش
@عبداللهالعازمي-ع3ش Жыл бұрын
Inshaallah kher inshaallah
@DianaKabwaye
@DianaKabwaye Жыл бұрын
Damage mbele normally mwiko mungu isaidie Yong afrikani
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 Жыл бұрын
Nawatakieni safari njema Allah awahifadhi ktk safari hiyo pia muende mrudi na furaha In sha A llah mwenyezimungu atuhifadhi ktk mchezo wetu huo Aameen💚💚💚🤲
@kapondazenaida-nq5hk
@kapondazenaida-nq5hk Жыл бұрын
Semaji lamabingwa mara29 kazi nzuri
@patridabernard9148
@patridabernard9148 Жыл бұрын
Tunaamini kabisa mungu atatenda muujiza mkubwa mnoo kwetu wanayanga na nashukuru mtakuwa mmefika salama salimini katika jina la YESU na mkaweze kutuletea kombe letu Amen
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 Жыл бұрын
Mimi naona nidalili za daima nyuma mbele mwiko
@mwadinimwadini6069
@mwadinimwadini6069 Жыл бұрын
Kila la kheri YANGA .MUNGU ibariki.
@godsonjulius292
@godsonjulius292 Жыл бұрын
Inshallah tutashinda❤
@upendoomary1921
@upendoomary1921 Жыл бұрын
Mungu awasimamie wachezaji wetu tupate ushindi tuchukue kombe
@VictoriaLeonard-yh9rc
@VictoriaLeonard-yh9rc Жыл бұрын
Semaji leo umeongea vizur San Kila la heri kwa mchezo wa marudiano Mungu akatupe ushindi
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Жыл бұрын
Kila siku anaongea vizuri sana, sio kama yule A.A ambaye badala ya kuwa MSEMAJI yeye anakuwa MTANGAZAJI!!!
@yusufumwakyambiki8062
@yusufumwakyambiki8062 Жыл бұрын
Kira lakheri timu yangu 💚💛🙏🙏
@SaidihusseinAthumani-dy9kw
@SaidihusseinAthumani-dy9kw Жыл бұрын
yanga yetu tutakufa nayo na ushindi kwa waarabu ni lazima
@godsonjulius292
@godsonjulius292 Жыл бұрын
Wakwanza ❤
@julianashani9408
@julianashani9408 Жыл бұрын
Tushaelimika na ushamba wa kuwafokea viongozi wetu, haya n matokeo tu, Mungu ashaweka mkono wake katika Timu yetu ya Yanga SC tunarudi na kombe hapa
@nassorahmed4672
@nassorahmed4672 Жыл бұрын
Mungu waajalie yanga yafike salama na wapigwe tatu bila amin
@asifusuleiman108
@asifusuleiman108 Жыл бұрын
Tukishinda tusishinde medali tunavaa tumetoka mbali 🙏🙏🙏
@samwelmoronya602
@samwelmoronya602 Жыл бұрын
Mungu ni mwema tutashinda 🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲
@mustaphaabdul6396
@mustaphaabdul6396 Жыл бұрын
Anamagoli 14 Champion 7 Shirikisho 7 Mpaka sasa Anamagoli 34 msimu huu
@fatumaligome4584
@fatumaligome4584 Жыл бұрын
Mungu ibariki yanga yetu
@marine88sis6
@marine88sis6 Жыл бұрын
Hapana michuano hii mayele anamagoal 14 zalan kawapiga nje Ndani magoal sita hat trick Halafu Al hilal goal Moja jumla Saba nahuku shirikisho Saba 14 Bado ana assist tatu
@aminamaulidi1788
@aminamaulidi1788 Жыл бұрын
Msisahau kuchukuwa ngoma za matarumbeta ili sauti iwe juu mkiwa Alger
@mudywhite7589
@mudywhite7589 Жыл бұрын
Kwanza mpaka tulipo fikia yanga yangu siidai kwa matokeo yeyote Yale yatakayo tokea nimelidhika kikubwa Dua tuuu Asante I Saaaana nawatakieni safari njema
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 Жыл бұрын
Alhamndulilah Kwautufikisha hapa tulipo
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 Жыл бұрын
Mungu baba wa mbinguni muumba wa mbingu na nchi.nakuomba ikikupendeza watu wako wa Tanzania ukawabariki goli 3 kwa bila ili kombe lije Tanzania..waimarishe wachezaji napinga na kukataa kila kazi za shetani kutoka Algeria.naziharibu kwa jina la yesu kristo wa nazareth. Mungu kadimame na jeshi lako la malaika ukawashindie yanga.amen
@everlynkimaro40
@everlynkimaro40 Жыл бұрын
Hakuna msimu ambao Club yangu ya Yanga imenipa furaha kama msimu huu toka nianze kuishabikia na hakuna Mashabiki waliofurahi zaidi msimu huu kama mashabiki wa Yanga ktk nchi hii, wachezaji wetu hapo mlipofika hakuna tunachowadai, kapambaneni Kwa utulivu na kujiamini naamini mwenyezi mungu ataweka mkono wake juu yenu, AMEEENI 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@sophiaabdallah7821
@sophiaabdallah7821 Жыл бұрын
Aaamin n tunavimbaa haswaa kitaa
@Amanzi27
@Amanzi27 10 ай бұрын
Pamoja Yanga ❤
@DidaMhasha
@DidaMhasha Жыл бұрын
👏👏👏
@ErnestPatrickNeswai-tp2jq
@ErnestPatrickNeswai-tp2jq Жыл бұрын
INSHAALLAH tutapata ushindi na ubingwa
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Yanga champion na tunakwenda kuishangaza Africa Yani usm arger hawatoamini kitakachotokea
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 Жыл бұрын
Ijaisha mpaka iishe sisi ndio yanga yaku wakela.
@mlishoadadi4424
@mlishoadadi4424 Жыл бұрын
Nawatakia kila la heri wachezaji na benchi la ufundi kuelekea mchezo wa tar 03/06/2023.
@DianaKabwaye
@DianaKabwaye Жыл бұрын
❤❤❤
@mustafamussa2917
@mustafamussa2917 Жыл бұрын
WATANZANIA HAWATOAMINI MACHO YAO HASA WALE WA MAKOLO TAREHE 3 KULE ALGERIA...WASUBIRI KUHAMA NCHI TU NDO KILICHOBAKIA WALITAKIWA KUFURAHI NA KUJA KULIAAA TAREHE 3 TUKIJAALIWA
@fabiannguvumali2773
@fabiannguvumali2773 Жыл бұрын
Naomba kuuliza akuna Shelia baazi yaledio wasichambue yanga aswa EFM INAPANDIKIZA CHUKI ZIDI KIZAZ kijacho nawaomba viogozi efm siwatu wazuli wanapandikiz chuki kwavijan wasas atuta ona mazala sas ila badae tutaon
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
Efm ni wachambuzi wa mchongo, hawapendagi Yanga ishinde, we waache wachambue wansvyotaka lkn hawawezi kuishusha YANGA
@jeremiahjustine3120
@jeremiahjustine3120 Жыл бұрын
Mimi nataka waandikiwe barua wasenge sana.hawa
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 Жыл бұрын
Jamani hapa nipazima kweli au sielewi
@rebekaadorphine8296
@rebekaadorphine8296 Жыл бұрын
Huko tunahenda kushinda ❤
@AyuobAbuobakar
@AyuobAbuobakar Жыл бұрын
Palipo na majaaliw yke Allah tutaenda kushinda kule ALGER inshaallah
@paulgaran5379
@paulgaran5379 Жыл бұрын
Bebeni vyakula vyenu na maji na kila kitu kutoka nyumbani msiende kutegemea chocolate kutoka Algeria
@fredyongeto9616
@fredyongeto9616 Жыл бұрын
Nashauri kwa Nini mtaalamu wa phycology asiwe sehemu ya kuzungumza na wachezaji walau upande akili ili kuzidi kuwajengea uzoefu.
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
Hilo lilifanyika Jana J'4
@IriasaNgwenya-zj6qe
@IriasaNgwenya-zj6qe Жыл бұрын
Mdogo nafurahi sana kwasababu mimi nishabiki wa yanga niko tabora naamini mtaleta kombe
@prosperabison1368
@prosperabison1368 Жыл бұрын
Safar njema na naiman tutashinda inshallah 🙏
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Жыл бұрын
Kaka ally kamwe mimi ni Mwana yanga tena Ila kiukweli ulinikwaza sana pale ulipo mkashifu mgunda kiukweli ulinikwaza na uliwakwaza wanayanga ili tu ndo dukuduku langu
@monicalucas3738
@monicalucas3738 Жыл бұрын
Inshallah kwa uwezo wa MUNGU tutapata ushindi🙏
@mamyyusra9021
@mamyyusra9021 Жыл бұрын
Tuko pamoyaaaaa🎉🎉🎉
@reganclarence4657
@reganclarence4657 Жыл бұрын
💚💛💛
@graysonmbisse4021
@graysonmbisse4021 Жыл бұрын
Mayele atakuwa na goal 14 kimataifa
@OZZAM-fr4nw
@OZZAM-fr4nw Жыл бұрын
Mbona mm nimelipia yanga app lakin bado inakataa kutoa taarifa,
@joachimluhamo3042
@joachimluhamo3042 Жыл бұрын
Boresheni sauti , sauti ipo chini sana
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
Umetumia earphone, Ukisikiliza bila E/phone sauti ni kubwa
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Ni simu yako kaka! Sauti iko safi sanaaaaaaaa
@MsimbatiBoy-eg6ez
@MsimbatiBoy-eg6ez Жыл бұрын
Kila lá KHERRI 🙏
@MapambanoCostantine
@MapambanoCostantine Жыл бұрын
Hii ndiyo timu ya mpira Tanzania Yanga ni Moja tu
@MtunziProperties
@MtunziProperties Жыл бұрын
CLARIFICATION KIDOGO Magoli ya MAYELE kwenye CAF competition ni 14. Hatrick mbili dhidi ya zalan, goli moja dhidi ya al hilal and 7 ya CAFCC. I love you YANGA💛💚🖤
@jacksonelieza160
@jacksonelieza160 Жыл бұрын
Asante jpm bila wwe leo kombe letu tungelipeleka mala ulaya mala ethiophia mala wapi lakini wwe ukaamua kutuletea mudude r i p jpm asante rais samia kutupa ndege
@heavenangelschoirkigamboni383
@heavenangelschoirkigamboni383 Жыл бұрын
Nina mamlaka ya kufunga na kufungua,hivyo ninafunga kila uchawi wa wapinzani utakao fanyika dhidi yetu yanga,nafunga mala mala isyohesabika,natamka mapenzi ya Mungu yatimie juu ya mpila,baada ya kusema hayo namshukuru Mungu kwa maana ametenda na ubingwa tutachukua,Mungu awatangulie na kuwatia nguvu na kuwapa ushindi wote,hasa professor nabi,mungu aseme naye juu ya sabu anazofanya,Natamka ushindi katika jina la yesu
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 Жыл бұрын
Kwa matokeo yoyote hatuwadai
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Жыл бұрын
Jamani sijazoea kumuona msemaji katika khari hii,tumemiss tabasamu lako kaka😊
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Жыл бұрын
Acha ukolo wako, kwani hujamwona hapo alivyotabasamu....mtabaki hivyo hivyo makolo, mmefilisika hamna chochote 😂😂😂
@marine88sis6
@marine88sis6 Жыл бұрын
Hamjapandisha makolo kweli humo wakabeba Mvua wakapeleka kule?
@RahmanChacha-ko5fc
@RahmanChacha-ko5fc Жыл бұрын
Mayele Mtu nyiye
@hashimbitamale458
@hashimbitamale458 Жыл бұрын
Kila la kheri chama langu
@fabiannguvumali2773
@fabiannguvumali2773 Жыл бұрын
Naomba kujuwa akunashelia kuzuiwa baazi yaledio wasichambue yanga aswa EFM INAPANDIKIZA CHUKI ZIDI KIZAZ KIJACHO
@nadyaomar4863
@nadyaomar4863 Жыл бұрын
Ziekwe hata stika za logo ya yanga
@aishafranco1055
@aishafranco1055 Жыл бұрын
Tupo nyuma yenu tunawaombea 💚💚💚💚💚💚💚👆👆
@mjinjasagamambi7531
@mjinjasagamambi7531 Жыл бұрын
Je, hakuna waandiashi wa habari tofauti na Yanga TV?
@marcobulili4341
@marcobulili4341 Жыл бұрын
Msichukue sifuri
@joojombi2341
@joojombi2341 Жыл бұрын
Safi sana sasa huyo jamaa wa TFF kuna clip yake inaongea upuuzi mtupu ilihojiwa na Azam TV hivi hakunamtu wa kumjibu huyo fatani mkubwa Mr Karia??? Kwani yy nani ktk dunia hii jmny?????
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 Жыл бұрын
Mi sikioni hicho kitufe kiko wapi
@mackysuphian
@mackysuphian Жыл бұрын
Tunachukua kombe
@daudlubugwa4696
@daudlubugwa4696 Жыл бұрын
Je nauriza jamani aucho anacheza me hi ya fainly arijeria
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 Жыл бұрын
Mkapigweee mnachezaa Kodi zetu shenzi nyie mpigwe mama iawabeba Ila hambebeki
@MtashobyaJosia-wt9jq
@MtashobyaJosia-wt9jq Жыл бұрын
mtashobya josia nikiwa kenya isibania tunawatakia ushindi
@MsimbatiBoy-eg6ez
@MsimbatiBoy-eg6ez Жыл бұрын
Dhuuuu ma saa saba7 angani c mchezo
@thomaslali705
@thomaslali705 Жыл бұрын
Kila jema
@juliussenzia8717
@juliussenzia8717 Жыл бұрын
Twende tukajitoe asilimia miambili
@kalasonowenya5610
@kalasonowenya5610 Жыл бұрын
NAKUOMBA SANA MAYELE AMESHAKUWA MFUNGAJI BORA NAKUOMBA SANA AWAKUSANYE ATOE PASI WENZAKE WATUPE FURAHA ILA AKIPATA NAFASI AWAUEEE OMBI LANGU AKIPATA MPIRA KWANZA WEZAKE THE I YEYE AWE LAST OPTION KWENYE KUFUNGA Wakikosa Mara mbili ya tatut goli
@asifusuleiman108
@asifusuleiman108 Жыл бұрын
Na kiatu cha zahabu tunacho wenye wivu na wivu wao kina nani? Si hao
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 111 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 13 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 19 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 13 МЛН
EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
26:20
Global TV Online
Рет қаралды 307 М.
MWAMBIGIJA AMPA ONYO TULIA KUJIITA RAIS WA MBEYA
15:04
Chadema Media TV
Рет қаралды 2,4 М.
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 111 МЛН