PATANISHO : GIDI...NITAFUTIE MKAMBA MMOJA MREMBO NITULIE MIMI NI MKISII ....

  Рет қаралды 29,382

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@ruthn9381
@ruthn9381 Жыл бұрын
I respect the way Ghost sits back and offers help whenever he is needed to. Good job!
@nasramuhammad2046
@nasramuhammad2046 Жыл бұрын
Anatuebisha ss kma team strong
@christineamlinger5630
@christineamlinger5630 Жыл бұрын
​@@nasramuhammad2046kiswahili kimetoroka hapa😂😂😂
@lioness8207
@lioness8207 Жыл бұрын
At 20years unataka kuwa 3rd wife what's wrong with some girls aki,why rush hata ujajigenga uko hpo oooh nampenda haoni anatumika vibaya.women should educate their daughters teach them to love themselves first.
@moreh462
@moreh462 Жыл бұрын
Upate wapi mkamba saa hii na season ya maembe inaelekea kuanza. Utakonda sana mzee
@hillahmwesh4861
@hillahmwesh4861 Жыл бұрын
Njaa pia inasumbua these young girls azin wanarukia kuolewa wakihepa hard life hapa nje of which ni level ya maisha sana sana sisi mayouths.
@beatriceasaji
@beatriceasaji Жыл бұрын
Team strong.mtu unamwachia watoto na anaoa.bado mnaongea nini😢
@Amira1977-y
@Amira1977-y Жыл бұрын
WAZIMUUUUUU!!!!!!
@babieakawanga9127
@babieakawanga9127 Жыл бұрын
Hii mzee ata yeye hajakomaa,ati anataka mkamba Tena,
@babieakawanga9127
@babieakawanga9127 Жыл бұрын
Labda ni juu ya watoi,😭😭😭😭😭 feel sorry for the kids,may huyu dame alikua anawatesa
@rachelmuch5788
@rachelmuch5788 Жыл бұрын
Mimi ata siezi taka kusikia sauti yake
@maureen2375
@maureen2375 Жыл бұрын
Siwezi hata salamu, watoi kuwajulia hali mungu awajulie
@evanskip1
@evanskip1 Жыл бұрын
The guy is 52 yrs
@FranciscaMutua-m2k
@FranciscaMutua-m2k Жыл бұрын
Wanawake tatu tofauti huyu jamaa dio shida na pia anaaribia wasichana maisha ipo siku yake maana anaongea na kiburi
@bensonathewa5956
@bensonathewa5956 Жыл бұрын
Eeeeh naye ngombe ya miaka twenty inajiambia itatoboa , I blame the lady ,,,,, because umeona ,umeambiwa , then wewe bado mdogo na unajipeleka na nikama jama mwenyewe pia ni maskini mbaya
@mercywaturi7764
@mercywaturi7764 Жыл бұрын
Uyu mwanaume ana taka ku tumia young girl ,
@HajisandereeSanderee
@HajisandereeSanderee Жыл бұрын
Woow giidi
@emmamwesh6293
@emmamwesh6293 4 ай бұрын
Yenyewe Wakisii ni mafala .
@Amira1977-y
@Amira1977-y Жыл бұрын
GIDI ANGEKUA MZUNGU????????? That is life style na WAZUNGU!!!!!
@AhmedAhmed-du3qr
@AhmedAhmed-du3qr Жыл бұрын
Unapenda wazungu sana uff 😂
@Amira1977-y
@Amira1977-y Жыл бұрын
@@AhmedAhmed-du3qr HATA SIWATAMANIIIIIIIIIII!!!!!!!!!! 40 yrs SIO MZEE!!!!!
@AhmedAhmed-du3qr
@AhmedAhmed-du3qr Жыл бұрын
Ok , heri upende wa africa 😂
@Amira1977-y
@Amira1977-y Жыл бұрын
@@AhmedAhmed-du3qr👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
hapa tatizo sio miaka ila tatizo ni huyu bwana amemchukuwa huyo mtoto kama wa hakiba tu amlelee watoto ndo mana hata mimba alimtoa na anamsubiri huyo huko saudia
@FranciscaMutua-m2k
@FranciscaMutua-m2k Жыл бұрын
Ukweli hata ako na 50 anjisikia kijana asipojjiadhali atazeeka peke yake wanawake sio wajinga
@nicekhasaya9635
@nicekhasaya9635 Жыл бұрын
Pia mimi mnitafutia 😊 am Maureen from luhya land
@mosescasillas3552
@mosescasillas3552 Жыл бұрын
Mambo,am Moses tutafutane
@mokayaken2497
@mokayaken2497 Жыл бұрын
Unaka mkisii?
@isintajonathan195
@isintajonathan195 9 ай бұрын
Kizungu imekata simu 😂😂
@nancynduta5513
@nancynduta5513 Жыл бұрын
Ghost Mulee ni wale watu hukupigia story ukichapa kazi....anakumotivate na kicheko tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lovlycutenjonjo8104
@lovlycutenjonjo8104 Жыл бұрын
Ata mimi nitafutiwe No. 2 pliz.
@halimasalim6842
@halimasalim6842 Жыл бұрын
Huyo mwanaume yupo over 45 bali sio 35,huyu bado ataoa tu😊😊
@missmalaikalee4646
@missmalaikalee4646 Жыл бұрын
Sheito. Wakamba we r not for sell. Hate from Seattle
@bensonathewa5956
@bensonathewa5956 Жыл бұрын
Still wondering vile mwanaume wa 35 and above anaeza taftana na katoto ka 20 years 🙄🙄life imeanza kukosa meaning we are doing very dirty things , Sasa ata Hawa warembo wetu surely hapa si nikama unalala na babako tu ,koz sikuizi people hide there age 😔😔 personally I'm 28 but kutaftana na mtu ako 20years bwana apana ,that's a kid ni Mtoto ametoka highschool juzi watu waache ujinga tafta Rika yako , msumbuane uko ,,, girls shame on you pia nyinyi mmekuwa makondo bana have standards usiongozwe na umaskini , kwandoa adi uende kuolekea mtu anatoshana na babako , kueni ngumu bana , ukona mbaba ata muezi enda na yeye clinic ama duka Sabu mtu anaeza kukatia akithani ni babako , ningumu kupata boy wa 20 ameoa Dem wa 35 ,
@b.3940
@b.3940 Жыл бұрын
Wanawake watatu? Wakikasirika wote at the same time huyo jamaa ataruka kutoka nyumba ya gorofa 6 juu ya stress.
@agnesandalo6936
@agnesandalo6936 Жыл бұрын
The man is the problem,bibi ua kwanza alienda,bibi wa pili Saudia,na huyu wa Saudi akimtumia pesa bado ataoa wa tatu,wiii
@maureen2375
@maureen2375 Жыл бұрын
Ety @20 mtu anaolewa 3rd wife 😂😂😂
@FranciscaMutua-m2k
@FranciscaMutua-m2k Жыл бұрын
Wakamba hatutaki gaidi mjinga mzee nenda na huko
@lilian2660
@lilian2660 Жыл бұрын
Wish tungemuona hiyo sura yake mbaya
@carolinenjoroge9092
@carolinenjoroge9092 Жыл бұрын
🎉Wakamba chrismas no loneliness. Mmeonekaniwa!
@bensonathewa5956
@bensonathewa5956 Жыл бұрын
@@lilian2660 long are the days when people use to get married Sabu ya sura sahi 😂😂😂😂😂ni Bora mmeoana , as much us you don't like his attitude Kuna mtu amemkufia
@mokayaken2497
@mokayaken2497 Жыл бұрын
Ni vile tu maembe yako karibu kuiva ndio maana ujeuri
@nasiekutarishi3292
@nasiekutarishi3292 Жыл бұрын
Gidi wacha kuchanua huyuuu mzeee team gulf itamfunza adabu
@nellycheptoo5854
@nellycheptoo5854 Жыл бұрын
qatar is raining
@ashleypetertv5894
@ashleypetertv5894 Жыл бұрын
Ni winter
@mathiaschenjeni2349
@mathiaschenjeni2349 Жыл бұрын
realy beb?
@sabatoager
@sabatoager 8 күн бұрын
ety apewe tu mkambes
@humblegirlkwamboz
@humblegirlkwamboz Жыл бұрын
Atulie nn
@babieakawanga9127
@babieakawanga9127 Жыл бұрын
This is crazy,i feel so sad for the kids😭😭😭😭😭some stepmother are evil and some dads are stupid n dumbs,now he is looking for mukamba instead of thinking of kids,😢😢😢some men n women 🤮🤮🤮🤮🤮 selfish,grutton,God remember kids n give them strength n knowledge
@mwendapoleee
@mwendapoleee Жыл бұрын
A girl of 20yrs is not ready for marriage,a phone on loan for what?
@isintajonathan195
@isintajonathan195 9 ай бұрын
Unatoa wapi nguvu ya kuoa 3 wifes na hii uchumi ya zakayo 😂😂
@alieejoy8633
@alieejoy8633 Жыл бұрын
Huyu ni fotte fay
@bredawakio5381
@bredawakio5381 Жыл бұрын
Age aint issue to me hubby is 50 am 26 married for 4 yrs now and we are quite good and RARELY ARGUE WE GOT ONE KID
@clementineonami
@clementineonami Жыл бұрын
70:46 Kitakuramba tu
@christineamlinger5630
@christineamlinger5630 Жыл бұрын
​@@clementineonamiprophetess 😂😂 unajua aje ama unaombea mwingine kimrambe pthooo
@bensonathewa5956
@bensonathewa5956 Жыл бұрын
Age is an issue bwana 😂😂😂😂 time mze ataisha nguvu , we all know hautakuwa sister ,you'll definitely cheat ,,, apana danganya watu , then hakuna marriage ati you rarely argue 😂😂😂wewe ndo kondo ingine imeruka kamba 😂😂😂
@bensonathewa5956
@bensonathewa5956 Жыл бұрын
That's not hubby why sugarcoat , just say my mubaba 😂😂
@stephenwalumbe9373
@stephenwalumbe9373 Жыл бұрын
Imekatika ameenda kutafuta kizungu
@stellakoki5029
@stellakoki5029 11 ай бұрын
U r the problem stay alone
PATANISHO : HIYO MIMBA SI YANGU..NI YA HUYU MWALIMU...
22:50
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 65 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
PATANISHO: ALINIAMBIA ASHAPATA DEM WA NAIROBI HATAKI DEM WA USHAGO - NANCY
18:13
Lion & Mbusii Stori Za Jaba
2:24
Lipalikes
Рет қаралды 937
The best patanisho ever
24:31
Mutwiwa Julius
Рет қаралды 365 М.
PATANISHO : MAUREEN - MUME WANGU AKO NA SUGAR MUMMY
20:41
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 41 М.
PATANISHO : BENARD - NILIMSHUKU MKE WANGU IVY AKO NA MPANGO WA KANDO
22:05
PATANISHO : MUME WANGU AMEKATAA KURUDI USHAGO
23:20
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 34 М.