PATANISHO: Mke wangu alimwaga nyama na akakula fare!

  Рет қаралды 131,083

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

Күн бұрын

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya
Subscribe to RadioJambo KZbin - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Пікірлер: 337
@rosebravos6755
@rosebravos6755 5 жыл бұрын
I'm addicted to listening and reading comments at the same time, if sailing in the same boat, hit the like button
@lizkanjah8503
@lizkanjah8503 5 жыл бұрын
Bona unaongea ukweli
@mwendapoleee
@mwendapoleee 4 жыл бұрын
@@lizkanjah8503 for addiction fanya press up x20
@metrinebusuru204
@metrinebusuru204 4 жыл бұрын
Me to
@mwanamisiwaziri5680
@mwanamisiwaziri5680 4 жыл бұрын
Me too here
@ديبديب-د6ف
@ديبديب-د6ف 5 жыл бұрын
Am watching from Riyadh team hamaam nipe like za gidy hapa
@josephmutua2020
@josephmutua2020 4 жыл бұрын
Purity is muture lady I love it, Kimani is mama's boy
@prettybabygalmichelson6557
@prettybabygalmichelson6557 5 жыл бұрын
No 6 leo team Saudi Arabia tuned
@linahkery676
@linahkery676 5 жыл бұрын
Pamoja Dammam
@marymutavi5446
@marymutavi5446 5 жыл бұрын
Pamoja Riyadh
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
Kama kawa
@seedahmad9574
@seedahmad9574 5 жыл бұрын
Kwa mpigo
@maurinekhasila3326
@maurinekhasila3326 5 жыл бұрын
PRETTY NIKO HAPO
@gddhyffugugh1953
@gddhyffugugh1953 5 жыл бұрын
Purity is a wise lady... An iron lady.. I like it
@nellypheans2248
@nellypheans2248 5 жыл бұрын
Team addicted mko wapi
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
Nko hapa
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 5 жыл бұрын
Niko hapa
@yahabibiyahayatiyahayuni7339
@yahabibiyahayatiyahayuni7339 5 жыл бұрын
tuko hapa
@samuelnyanjui8326
@samuelnyanjui8326 5 жыл бұрын
Watching from Mississippi USA
@Jmwamuchemi
@Jmwamuchemi 5 жыл бұрын
@Azam Didier meaning? Lol
@samuelnyanjui8326
@samuelnyanjui8326 5 жыл бұрын
@Azam Didier hahahahaha 😂😂
@natashakatumbi6317
@natashakatumbi6317 3 жыл бұрын
C uniitie job uko
@tamashaism
@tamashaism 5 жыл бұрын
Mwanaume mgani hajaona mtoto wake..na anasema nakupenda..show love and responsibilities for your kid first..
@ruthmaina2161
@ruthmaina2161 5 жыл бұрын
Oyaaa mm leo ndo wa kwanza💪💪💪💪
@emilymuthoni3776
@emilymuthoni3776 5 жыл бұрын
nikaa unasema ukweli eti ulikuwa no one
@ruthmaina2161
@ruthmaina2161 5 жыл бұрын
@@emilymuthoni3776 aki serious
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
Safii
@emilymuthoni3776
@emilymuthoni3776 5 жыл бұрын
@@ruthmaina2161 Congratulations baz
@ruthmaina2161
@ruthmaina2161 5 жыл бұрын
@@emilymuthoni3776 🙏🙏
@tabithawambui3904
@tabithawambui3904 5 жыл бұрын
Purity. Big up my dear sister
@zipporahlungahi1409
@zipporahlungahi1409 5 жыл бұрын
That lady is right let her stay in her on and do her own things this happened to me too, unaishi na mtu hatambui bidii yako na haoni maisha mbele.
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 5 жыл бұрын
My dear you are not alone......we started from grass but hakuona maisha mbele....alioa last year though he is unhappy in that marriage......they regret like kimani mcheeeeeew......no second chance
@medahwanjiru9471
@medahwanjiru9471 5 жыл бұрын
Purity ur in conference ya wa mama big up
@winiewinnie2770
@winiewinnie2770 5 жыл бұрын
Purity congrats. Men wametuzoe saana tena sana
@johnsonmwaura131
@johnsonmwaura131 5 жыл бұрын
Hehe aaiiii sisana
@luckydubebello1131
@luckydubebello1131 5 жыл бұрын
Team Qatar mpoo💪💪💪
@johnchemkang7632
@johnchemkang7632 5 жыл бұрын
🙋🙋
@ezekielngigi9216
@ezekielngigi9216 5 жыл бұрын
#TEAM teleza from nakuru bwana siasa sa wazazi
@jacquelinealunga1715
@jacquelinealunga1715 5 жыл бұрын
Team addicted nko hapa
@mummymummy3650
@mummymummy3650 5 жыл бұрын
Jacqueline Alunga 😂 I say
@linahkery676
@linahkery676 5 жыл бұрын
Team kujiamini sisi maneno ya mama mkwe sisi apama tambua sweet mum thaali sufi omi mshikila
@blessedironladie9927
@blessedironladie9927 5 жыл бұрын
Kerubo iyala ,mafi mushkila,team hamam
@linahkery676
@linahkery676 5 жыл бұрын
@@blessedironladie9927 mayebi mushikira habibity ghasili hamam sawi malaki khalas😂😂
@blessedironladie9927
@blessedironladie9927 5 жыл бұрын
@@linahkery676 hahaa,taali habibi
@princessfay5414
@princessfay5414 5 жыл бұрын
Most men put all their mind on what the parents say ending up breaking their marriage & regreting
@tomkebeyamukuki2346
@tomkebeyamukuki2346 4 жыл бұрын
Lodenyi ovendi
@princessfay5414
@princessfay5414 4 жыл бұрын
Mbe garaha
@tomkebeyamukuki2346
@tomkebeyamukuki2346 4 жыл бұрын
@@princessfay5414 megera
@mercynjeri8415
@mercynjeri8415 4 жыл бұрын
Wanasahau their immediate family watoto na bibi. Pesa zikiisha wanasema ni bibi alimaliza. Jipende kwanza
@godsfavour5665
@godsfavour5665 5 жыл бұрын
Purity ilove your stand weeeee hii ndio kujielewa
@johnsonmwaura131
@johnsonmwaura131 5 жыл бұрын
Aiii apana wewe
@kipkoechmutai48
@kipkoechmutai48 3 жыл бұрын
I like that woman.... Matured
@giftmuthomi5581
@giftmuthomi5581 5 жыл бұрын
Team patanisho oyaaaaah
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
Oyaaa
@kamaugrace5313
@kamaugrace5313 5 жыл бұрын
Oyaaah
@lizkanjah8503
@lizkanjah8503 5 жыл бұрын
You never know the value of something until you lose it
@williamkiparor4446
@williamkiparor4446 5 жыл бұрын
Patanisho... very enjoyable
@loicemugure3234
@loicemugure3234 5 жыл бұрын
Purity that’s the way to go #women conference 2020👌🏽👍🏽✅
@hylinekwambo7997
@hylinekwambo7997 5 жыл бұрын
Team kuchelewa mko wapi nipe like hapa
@seedahmad9574
@seedahmad9574 5 жыл бұрын
Nko apa
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
Mimi huyu
@sofiasyed1964
@sofiasyed1964 5 жыл бұрын
Vumbi ndo imefanya tuchelewe
@Girl_Maasai
@Girl_Maasai 5 жыл бұрын
Purity follow your heart. Some men can be annoying sometimes. People should learn how to stand on their own as family. Mambo ya watu ni ngumu
@emilymuthoni3776
@emilymuthoni3776 5 жыл бұрын
wanawake ni kama awa congrats purity
@nyarsakwa1492
@nyarsakwa1492 5 жыл бұрын
Purity alikuwa women conference 😉😉
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 5 жыл бұрын
I saw her on my left side beside my seat .......no second chance......tujipende ladies kwanza
@nyarsakwa1492
@nyarsakwa1492 5 жыл бұрын
@@nancyruoruo1025 😂😂😂😂self love Kwanza,huyu next tym anakuwa speaker kwa mkutano
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 5 жыл бұрын
@@nyarsakwa1492 😂😂😂ama head girl
@nyarsakwa1492
@nyarsakwa1492 5 жыл бұрын
@@nancyruoruo1025 😂😂😂kabisa!
@lilianayiela1773
@lilianayiela1773 5 жыл бұрын
pole purity ulkua umeolewa kwa mama's boy
@tinasanta4080
@tinasanta4080 5 жыл бұрын
Jamaa muwe munasikiza patanisho kwanza ndio mucomment...acheni kuwahi numbers 😄😄
@melancholypure5375
@melancholypure5375 5 жыл бұрын
Hahaha
@tribelesskenyan.8795
@tribelesskenyan.8795 5 жыл бұрын
I support you. Ina sound kama ni compe
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
Wacha nijaribu
@jacquelinealunga1715
@jacquelinealunga1715 5 жыл бұрын
You never know what you have untill you loose it.
@annemuoria0893
@annemuoria0893 5 жыл бұрын
True
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 5 жыл бұрын
True
@cyndyandeka2408
@cyndyandeka2408 4 жыл бұрын
True 💞💯
@margaretgithinjiwangariggd2673
@margaretgithinjiwangariggd2673 5 жыл бұрын
Purity good . and mature woman. nakupeda uko swa.. kimani wee ni mjinga mwanaume anaskia wazazi ni bure kabisa. purity kam gulf. uko swa . utatoboa kwa mwarabu. dea .kaa hivo ngumu this year hatutaki makasiriko.
@hadhbbbd5564
@hadhbbbd5564 5 жыл бұрын
Mi Leo nko top 20,team jeddeh mpo
@seedahmad9574
@seedahmad9574 5 жыл бұрын
💪💪
@redr3104
@redr3104 5 жыл бұрын
Hello, gidi na gost😃😃 nataka kupstanishwa nikiwa saudi☺️
@davidisabwa7713
@davidisabwa7713 5 жыл бұрын
Please send for me namba ya gidi nko na shida fulani
@redr3104
@redr3104 5 жыл бұрын
@@davidisabwa7713 Ata sina
@tribelesskenyan.8795
@tribelesskenyan.8795 5 жыл бұрын
Hehe. Osha hamaam kwanza 😎
@redr3104
@redr3104 5 жыл бұрын
@@tribelesskenyan.8795 hehe.. naosha Niki patanishwa🤔
@tribelesskenyan.8795
@tribelesskenyan.8795 5 жыл бұрын
@@redr3104 kabla mpenzi apigiwe utakua umeitwa mara mob sana.
@jeremiahkibui6154
@jeremiahkibui6154 5 жыл бұрын
Huyu mwanaume amepoteza mwanamke mzuri sana
@Jmwamuchemi
@Jmwamuchemi 5 жыл бұрын
Audio na talking hazipelekani, 🙄😂but I understood the patanisho 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@djexitkenya881
@djexitkenya881 3 жыл бұрын
Family comes first kimani is a Man👊
@estherkibui2371
@estherkibui2371 5 жыл бұрын
Kimani have nice voice 😋👌
@wilfredkibiti8847
@wilfredkibiti8847 5 жыл бұрын
Hata Mimi 😂
@dianacharlie5283
@dianacharlie5283 3 жыл бұрын
🤣🤣
@malikzafarani172
@malikzafarani172 5 жыл бұрын
Hiyo patatisho ilikua ya kizazi sana 🇶🇦🇶🇦.
@ADFCouple
@ADFCouple 3 жыл бұрын
Purity please don’t make the mistake of going back. You sound like a Kikuyu, remember the saying of “wamucoka niguo ureyaga mudu”... My kikuyu is rusty but I know you get my point.
@sallyokumu6456
@sallyokumu6456 5 жыл бұрын
Kimani has lost a diamond while digging for stones, wamama walienda Beijing kwa conference na exams wakapita💃💃💃💃💃
@vivianotambo4275
@vivianotambo4275 4 жыл бұрын
motivational quotes.. eee ni Investor Ghost
@lemamathenge9252
@lemamathenge9252 4 жыл бұрын
hahah i liked that one from ghost
@essynyakundi4471
@essynyakundi4471 5 жыл бұрын
Yaani men's Hawana adabu, mimi nlipata mwanaume bila kitu nikamwosha, tukajinyima tukajenge after that mainlaws wakaingilia until they made sure nko out of that house, saa hizi mwanaume ndio anajua nko wamaana after 2yrs,anaregreat Sana, Giddy better nisugue hammam ya mwarabu, juu watoto wangu wako na everything, team 964 mpooooo
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
Pia mimi aki
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 5 жыл бұрын
Same situation.....
@lilliannelima7009
@lilliannelima7009 5 жыл бұрын
Kumbe siko pekeyangu
@mohammadahmed76
@mohammadahmed76 5 жыл бұрын
Kazi nizuri
@shigitau910
@shigitau910 5 жыл бұрын
Usiwai cheza na feelings za wanawake wa muranga wakienda hawananga kurundi nyuma... Money means nothing
@dianacharlie5283
@dianacharlie5283 3 жыл бұрын
You've said it all!!!
@estherkaranja6864
@estherkaranja6864 5 жыл бұрын
Purity hapo sawa
@maurinekhasila3326
@maurinekhasila3326 5 жыл бұрын
Pole sana dada aki umepitia mengi sana
@vellarose2596
@vellarose2596 5 жыл бұрын
Self love baby gal
@maurinekhasila3326
@maurinekhasila3326 5 жыл бұрын
Jamani mm leo niwanani Gidi semeni kujelewa my team hamam
@jshahshsh2383
@jshahshsh2383 4 жыл бұрын
Kikuyu men's wana penda kusikiza mamazao
@leyanadd9421
@leyanadd9421 5 жыл бұрын
Kimani aende akaoe mamake...jinga type......
@hagaimwaitumile2331
@hagaimwaitumile2331 5 жыл бұрын
Kazi kweli kweli uku juu gidi
@ashamakokha4022
@ashamakokha4022 5 жыл бұрын
😂😂nyanya dowry aki Gidi hiyo tricky
@peninawanjiru1104
@peninawanjiru1104 5 жыл бұрын
Mimi nakuaga nakufeel ....halleluyah
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 5 жыл бұрын
Mwendawazimu
@cyndyandeka2408
@cyndyandeka2408 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@francislegei908
@francislegei908 4 жыл бұрын
Good job guys
@robertmaingi4635
@robertmaingi4635 5 жыл бұрын
Hata kama nmechelewa patanisho Baghdad Iraq tuko ndani lazima💯
@kimwacilia8007
@kimwacilia8007 5 жыл бұрын
Hi Maingi what currency used in iraq today ? Is it dinar or dollars ? Do you know whether I can exchange iraq dinar in kenya shillings, ? I have more 100 million dinar not knowing what to do with it please advice
@AnonyMous-gb7qh
@AnonyMous-gb7qh 5 жыл бұрын
Listening to some parents can damage your marriage. You can’t marry your parents you have to draw a line somewhere.
@essynyakundi4471
@essynyakundi4471 5 жыл бұрын
No 32,at least have tried, team hammam oyaaa 964
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
964 oyaaa
@khaluuilucki8414
@khaluuilucki8414 5 жыл бұрын
Tuko pamoja pia 964
@essynyakundi4471
@essynyakundi4471 5 жыл бұрын
Naona tuko wengi, chapa Jazi
@jackiendambuki4788
@jackiendambuki4788 5 жыл бұрын
Leo mmechelewa sana. .......niko ndani kama kawa
@robertmaingi4635
@robertmaingi4635 5 жыл бұрын
Jackie pia Baghdad Iraq tuko ndani kama kawa😂😂
@cosmaslegacy255
@cosmaslegacy255 5 жыл бұрын
Hii mambo ya nyama waah!!!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@cyndyandeka2408
@cyndyandeka2408 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@fatmamacharia3593
@fatmamacharia3593 5 жыл бұрын
Aki vumbi ya jana imenichelewesha, Team hamam
@hanifaali9526
@hanifaali9526 5 жыл бұрын
Fatma Macharia nilikua naona sand storm nikiwa Saudia natamani kulia.
@angelinpretty3970
@angelinpretty3970 5 жыл бұрын
Hata mimi Sema kuchoka
@stellaloves9879
@stellaloves9879 5 жыл бұрын
Pole
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
Wacha nkufungie mkondo
@sofiasyed1964
@sofiasyed1964 5 жыл бұрын
@@hanifaali9526 wah Riyadh kunoma
@janerosakaruu1190
@janerosakaruu1190 3 жыл бұрын
Some people are not meant to be in your life forever, some people are passers-by.. When the time comes for them to go, Let them passersby go.
@dotdots7868
@dotdots7868 5 жыл бұрын
Mama ni mzazi sijui wanawake mna complain ni kama hamtakua in laws,lazima pia awafanyie wema wazazi,lakini a balance
@teyseergdi3099
@teyseergdi3099 4 жыл бұрын
Purity umenikasirisha...mbona ulimwaga nyama. Hio nyama siku moja itakuongeleshea....hahaha
@rosewairimu1217
@rosewairimu1217 5 жыл бұрын
Jina Kimani😯😯😯😯wengi hawajielewi
@maggiealf4474
@maggiealf4474 5 жыл бұрын
Alizaliwa pekee yake na ako na bidii sana, kaa ingekuwa mwingine angelilia kwa choo, Purity usirudi kwa boy mama atakumalisia wakati bure
@lucymburu737
@lucymburu737 5 жыл бұрын
Puriiiiiiiiiiiity😄😄😄
@stargal906
@stargal906 5 жыл бұрын
Hiii mambo kwa kweli waaaah
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
Inauma sana
@stargal906
@stargal906 5 жыл бұрын
@@RoroRoserororo jamani mimi nilivyo na uruma huyo mwanaume ningekuwa nisha msamehe Tayari
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
@@stargal906 luhya ladies tuko na huruma sana ata angekua wangu nikujie 🤣🤣
@stargal906
@stargal906 5 жыл бұрын
@@RoroRoserororo 🤣🤣🤣hapo sasa
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
@@stargal906 kabisa 🤣🤣
@sudeshmamtaz8922
@sudeshmamtaz8922 5 жыл бұрын
Waah! Hapo sina la kusema juu pia mm yalinipa hayo na saa ii nmemove on
@lucynjogu5449
@lucynjogu5449 5 жыл бұрын
Mm na pita tu🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️nipe like
@ramsondangote9679
@ramsondangote9679 5 жыл бұрын
Patanisho ya Leo ilikua kali lakini hii patanisho ya Leo inafunzo kubwa Sana wakati.... Una kitu huwezi ukaona thamani yake alakini wakati ameondoka ndo utajua..... Aki woiiiii huu mbaba na mhurumia sana
@patrickmudaki1861
@patrickmudaki1861 5 жыл бұрын
Anamwaga aje nyama na hii economy 🙆
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 5 жыл бұрын
Namshangaa😃😃😃😃
@stargal906
@stargal906 5 жыл бұрын
Umeskia tu hapo PA nyama😂😂😂😂
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
Hataki kujua 🤣🤣🤣
@patrickmudaki1861
@patrickmudaki1861 5 жыл бұрын
@@stargal906 hapo ndio muhimu 🤭🤭
@nelimakitindaa6358
@nelimakitindaa6358 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@puritymutheu375
@puritymutheu375 4 жыл бұрын
Purity ako sawa
@zipporahlungahi1409
@zipporahlungahi1409 5 жыл бұрын
Usirudi Purity iishi maisha yako
@angelinpretty3970
@angelinpretty3970 5 жыл бұрын
Yaani kimani anafuata mambo ya parents Sasa yamemshinda Tena anajirudisha. Anyway vindu vichenjanga maybe anaweza badilika
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 5 жыл бұрын
Men always regret when it's to late....nilinjenga pia but alioa but he looks unhappy in that marriage
@ruthrima234
@ruthrima234 3 жыл бұрын
Kimani pambana na hali yako ulisikiza wazazi u never knew the value of something until you loose it ,purity respects herself
@dinahandi7027
@dinahandi7027 5 жыл бұрын
Hapo sasa.utatambua chakufaa kikisha kuondokea
@hellennjeri2431
@hellennjeri2431 5 жыл бұрын
Team Qatar 🇶🇦 wadoha nasikiliza nikitoka job kuchelewa nayo 😂😂😂
@mamatrevor3871
@mamatrevor3871 5 жыл бұрын
Ndani dear
@christineouma2957
@christineouma2957 5 жыл бұрын
Wah kazi ipo
@lilliannelima7009
@lilliannelima7009 5 жыл бұрын
Nimekucheki my Dear mambo ndiyo nimefika sasa kusikiza
@christineouma2957
@christineouma2957 4 жыл бұрын
Karibu bebs
@milkahwatene3798
@milkahwatene3798 5 жыл бұрын
Men never let your family come between you and your wife.coz they don't know where you met.Kimani wifage mwena ugi Purity niatuite itua ria kwiikaria.
@nyarikisport
@nyarikisport 3 жыл бұрын
Mwanaume ni majukumu na kua kiongozi wa nyumba mwenye msimamo thabiti na ndoa itasimama.
@theenjeri
@theenjeri 4 жыл бұрын
Once bitten twice shy. Purity watch out
@maxmillarnabwire2855
@maxmillarnabwire2855 5 жыл бұрын
Hallohallo niko ndani
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
Halloo
@lisawaweru819
@lisawaweru819 2 ай бұрын
I had the same 😢😮
@nancypaul916
@nancypaul916 5 жыл бұрын
Na huyo anacheke huko studio pliz aache kuchekelea watu
@peterochieng3598
@peterochieng3598 5 жыл бұрын
Wale wanaotafuta hawapatiii,wenye hawataki ndo wanapata,let it be a lesson to all men and ladies
@stellahmiles2369
@stellahmiles2369 5 жыл бұрын
Beirut Lebanon 👀👀🙌✔️
@maurinekhasila3326
@maurinekhasila3326 5 жыл бұрын
Leo mm nimechelewa
@mzeeniwewe136
@mzeeniwewe136 5 жыл бұрын
🙋🙋
@stellahmiles2369
@stellahmiles2369 5 жыл бұрын
@@mzeeniwewe136 🙌✔️
@stellahmiles2369
@stellahmiles2369 5 жыл бұрын
@@maurinekhasila3326 kulipotelea wapi
@mzeeniwewe136
@mzeeniwewe136 5 жыл бұрын
Kama uko Lebanon tujuane🙋
@teresiahkogi1951
@teresiahkogi1951 5 жыл бұрын
6 leo kuna watu walilala huku kwa gidi na ghost
@josephkioko2779
@josephkioko2779 3 жыл бұрын
2nd wife, nyumba yake. the first one niya yule wakwanza hata kama hamekufa, watoto wanaridhi hio nyumba ni yao.
@teresiahkogi1951
@teresiahkogi1951 5 жыл бұрын
Aky gidi na ghost simnitafutie mpatanisho wangu na mnipatanishe tafadhali ii dryspell itaniua aki oooiiiaa gidi na ghost nioneeni huruma wacheni na hii jinga ya mwanaume ashaa poteza mke mwema
@janerosakaruu1190
@janerosakaruu1190 3 жыл бұрын
Mama's boy!!! 🤔 Hii ni Stress tupu!!
@janerosakaruu1190
@janerosakaruu1190 4 жыл бұрын
Purity wachana na mama's boy.. Hapo ni shida tu
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 жыл бұрын
Huyu dada ako na machungu sawa na yangu nlinunua point mbili nlijenga nkafanya kilak2 nyumba yangu mke mwingine ndo aliishi, father inlaw cnajangu apo na imagine na pesa zangu za saudi Arabia
@janerosakaruu1190
@janerosakaruu1190 4 жыл бұрын
Kimani please go to men's conference.. You need some life lessons.
@doreenbae866
@doreenbae866 5 жыл бұрын
Nawenye tuko mayolo tunambonyeza aje😅😅😅😅
@marthakamau5540
@marthakamau5540 5 жыл бұрын
Priisss Purity, give him the last chance, amelearn sasa
@tashkariuki7652
@tashkariuki7652 5 жыл бұрын
Haki angempatia last chance
@mumblessed001
@mumblessed001 5 жыл бұрын
Hawa vijana wanasikizanga wazazi huleta shida kimani fikiria sana unapata bibi mature hutawai pata kama yeye
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 5 жыл бұрын
nikaskia nyama njaa ikanivamia sana
@hannaomumia5546
@hannaomumia5546 5 жыл бұрын
Leo niko mbele kama mfuko wa koti no 22
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 жыл бұрын
Na wazazi weeengi tunafeli na wtt wetu mpaka tunawavulugia ndoa
PATANISHO : UMEPIGA SIMU RADIO JAMBO KUONGEA UWONGO ???/
22:58
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 99 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Murottal Anak Juz 29 - Riko The Series (Qur'an Recitation for Kids)
1:23:07
Riko The Series
Рет қаралды 5 МЛН
News Round||Latest News Cover
1:29:22
Radio Yoo
Рет қаралды 13
The best patanisho ever
24:31
Mutwiwa Julius
Рет қаралды 368 М.
كيف تنجح العلاقات مع ياسر الحزيمي | بودكاست فنجان
3:03:09
Naomba mwili wa mwanangu Sabina niamini alikufa
50:14
Mwamogusii TV
Рет қаралды 157 М.
PATANISHO : LAWRENCE - NILIMPIGA MKE WANGU YVONNE AKIWA MJA MZITO
22:10
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 28 М.
PATANISHO: Nilikuwa na lala kitanda moja na mke mwenza wangu
18:13
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 84 М.